Nikisikiliza story zako da Veronica nahisi kumuhitaji Sana Mungu Jamani. Kwenye Kila jambo letu tunamhitaji Sana Mungu hatua zetu after zake...oooh Mungu tusaidie, hata kwa Mimi ambaye natamani kuolewa namuomba Mungu anikutanishe na aliyekusudi kutoka kwake, aniepushe na viumbe hawa Amen.
Jaman jaman nyie , mwili wote unanisisimka ,pole da Agatha 😂 umepitia mazito mno 😭😳 nahis mwisho uyo jini atakufa alafu amwachie na Agatha maisha mazuri 😂😂 najikaza kucheka jamani lkn Sio poa kabisa 🥺🥺
Yaani haya mambo uyasikie tu hivi hivi kwamtu usiombe yakukute Namshukuru MUNGU ameniepusha nahili maana yalikua yanataka kunitokea namuomba MUNGU azidi kuniepusha nayo nimtihani huu jamani pole sana Agatha
Daaah kumbe haya mambo yapo hii simulizi imenifanya nikaota ki kweli nashukuru Naswali so niliposhutka cha kwanza nikaenda kwenye mswala nikaswali Maana na mimi naota nipo kumukimbia kama agatha 🤔🙏
@@graceanthony223 Huenda labda ama pengine huyo Baba yake alifanya maagano na hao viumbe ili apatikane yeye Agatha baadae ili aje aolewe nao maana hao viumbe huoana hata ndugu iwe Kaka na dada ama mtoto na mama, wao huoana. Sasa waweza kujiuliza Baba yake aliwezaje kuwa anaongea nao huku akilalamika kuwa “bado ni mdogo sana” all in all kuna mnyororo mrefu Sana pengine walimfatilia hata kabla ya yeye kuzaliwa.

Aaaminii
Agatha, nyumbani kwao ni kwenye mapagale...jini hana uzuri wowote! Hayo ni mapepo tu
Ahsante..Sis.Vero I'm no.1
Agatha hayo yalikua mapatano ya babako, yule aliye kua akizungumuza na babako alikua jini na inaonekana babako alikupeana kama ungali mdogo tuned 🇰🇪
Mmh hii dunia imekwisha jaman mungu atusaidie sana.
Jaman hiizo story bakii kuskia tuu apaa lkn usikutane nayoo mungu atulindee🙏
Ww umewai kutana hvoo
@@samwelimoshi5614 aaaaaah mungu atulibdee
Jaman jaman nyie , mwili wote unanisisimka ,pole da Agatha 😂 umepitia mazito mno 😭😳 nahis mwisho uyo jini atakufa alafu amwachie na Agatha maisha mazuri 😂😂 najikaza kucheka jamani lkn Sio poa kabisa 🥺🥺
Makubwa...amuachie maisha mazuri 🤔yaani wewe upo kuwaza hizo mali kiini macho ambazo hata kwenye ulimwengu wa nyama binadamu hawazioni. Bure kabisa
Atakuwa na jumba kubwa 🤣🤣
Achana na hawa viumbe ambao sio wanadamu🙌🙌
Mmmmh!mpk mwili unasisimka wallai yaan unaona kama hadithi vile ee mungu the tuepushe nahawa viumbe wa ajabu
Da vero punguza kuongea bwana story inakua fupi unaongea sana na matangazo n mengi😢😢
Yani ndio nasikiliza simulizi japo imepita mda lakn aki naogopa 😢😢yn nikilala naifikiria
inatisha.....jamn from🇲🇫🇲🇫🇲🇫
Yaani haya mambo uyasikie tu hivi hivi kwamtu usiombe yakukute Namshukuru MUNGU ameniepusha nahili maana yalikua yanataka kunitokea namuomba MUNGU azidi kuniepusha nayo nimtihani huu jamani pole sana Agatha
ᴺᴵᴴᴬᴰᴵᵀᴴᴵᴱ ᴷᴵᴰᴼᴳᴼ ᴴᴱᴮᵁ
@@CAPTAIN_GALAXY13 aka sitaki hata kuhamisha je kama nimume wa Agatha
Hawa ndio waligaramia mazishi ya baba yake, napia huyo mwanamke alimunganisha pia ni yule yule alimwongeresha kwa mazishi
Pole agatha,dunia ina Mambo ya ajabu
Ningekua mimi Agatha nisingerud kwake ng'oooo,,,aniue tu
Da vero tunaomba simulizi ya AGNETHA
Na me naiomba
Maana kamtaja agneta hapo
🙄🙄 pole sana Agatha dunia hii inamitihan Mingi ila guy wako too much
Duuu aisee watu wanapita kweli
🙆 hi Dunia mhhhh 😭😭😭😭Mungu 🤲Tusaidiye 🧘
Nyie uchawi upo jamani, tena huu ni PRO MAX
Pole agatha,dunia ina Mambo ya ajabu
Maisha ya Agatha kama Prison Break
Daaah kumbe haya mambo yapo hii simulizi imenifanya nikaota ki kweli nashukuru Naswali so niliposhutka cha kwanza nikaenda kwenye mswala nikaswali Maana na mimi naota nipo kumukimbia kama agatha 🤔🙏
🤣🤣🤣pole
Karibu pia kwa Yesu kama upo tayari
Daah pole sana Agatha
Mpaka naongea mwenyew naposikilza inatisha sn
Agata angeenda kukaa kwenye bucha ya kitimoto
😂😂😂😂
Ni huzuni😢😢😢😢
Wa pili
Dah aisee huyu Agatha nadhani hata Babake nae huenda alikuwa Jini
Mimi nahisi baada ya mama yake Agatha kufariki baba yake akaoa jini ndio maana alikua anakataa kuoa kila ndugu zake wakimuambia
Mimi nahisi baada ya mama yake Agatha kufariki baba yake akaoa jini ndio maana alikua anakataa kuoa kila ndugu zake wakimuambia
@@graceanthony223 Huenda labda ama pengine huyo Baba yake alifanya maagano na hao viumbe ili apatikane yeye Agatha baadae ili aje aolewe nao maana hao viumbe huoana hata ndugu iwe Kaka na dada ama mtoto na mama, wao huoana. Sasa waweza kujiuliza Baba yake aliwezaje kuwa anaongea nao huku akilalamika kuwa “bado ni mdogo sana” all in all kuna mnyororo mrefu Sana pengine walimfatilia hata kabla ya yeye kuzaliwa.
Alf kweli
@@geraldmnaku6951 kabisaaa🙆chanzo chamateso ya Agatha nibaba yake
Kama yatisha sisikilizi mpka kesho mchana😂😂😂niko solo kwa nyumba🤔🤔🤔
😂😂😂😂😂🙌
Solo ni nn
Hahhaha haistishi,em sikiliza tuu bhnaaa
Huenda babake alimzaa na jini hivi ilibidi wamchukue pia huko.aliponaje Agatha ni MUNGU
@@octaviangeorge2012 solo ni mwenyewe
Wallahi mtihani mkubwa
🌎🌏 🙌🙌🧘♂️
Duuuuuuu