Nakupenda sn ccta vero unasimulizi nzul sn jmn kikubwa kumuomba mungu tu maan dinia imechafuka na mabaya na inaonekana yule aliye myumban kwa agatha sio dadaake ni yule rafk ake aliemconnect kajifika ty sura ya mdg ake na agatha
Mimi jamani nikiwa dar nitazurura kote ila posta napaogopa sana rafiki yangu alishaniambia alikutana na kitu Cha ajabu posta nikawa mwoga 😢 na toka 2014 namfuatilia da Vero Simulizi nyingi zakutisha kukutana na majini ni posta naogopa sana kwenda huko rafiki yngu alinisulia na navyozidi kusikia Simulizi ndo nazidi kuogopa posta
Myie hivi mwajua ni nani alomwambia agata amenenepa yni kachange kbisaa..?...ni yule rafiki yke alomkonect na hyo jinii😂😂NAIMANI WANAO HUSIKA NA HII MIKASA HUWAGA WKO HPA WANASIKILIZA NA WANAFATILIA COMMENTS..POLENI SANA WOTEE...ILA AGATHA HUU MKASA WATISHA POLE SANAA
Arafu nashangaa sikuiz simulizi zimekuwa kama sehem 4🙄zamani ilikiwa moja tu,natatizo la Veronica uwa Asomi coment,wara kujibu,km wengine,sijuwi tuseme yuko busy sanaa kuriko siye wasikilizajiii🙆

Kumbe at waliojumuika kwenye msiba wa babaake walikuwa ni majini mh..Mungu atuepushe.pole sana Agatha
Asee n kwel au baba ake nae alikuwa jini 🤔🤔
Dunia ina vitu vya ajabu sana
@@khadijarajab950 mm nahis mamake alikua jini labda
@@khadijarajab950 alikuwa na maagano na majini..
Nice story 😊
Ila jini ana mpenda sana agatha 😊
Dada vero simulizi zako ni nzuri sana nazipenda jamani😍😘
Mweusi au
Leo nimekuwa no1kwenye simulizi tim hamamu mpoooo
Tupo 😀😀😀
Mimi jamani nikiwa dar nitazurura kote ila posta napaogopa sana rafiki yangu alishaniambia alikutana na kitu Cha ajabu posta nikawa mwoga 😢 na toka 2014 namfuatilia da Vero Simulizi nyingi zakutisha kukutana na majini ni posta naogopa sana kwenda huko rafiki yngu alinisulia na navyozidi kusikia Simulizi ndo nazidi kuogopa posta
Myie hivi mwajua ni nani alomwambia agata amenenepa yni kachange kbisaa..?...ni yule rafiki yke alomkonect na hyo jinii😂😂NAIMANI WANAO HUSIKA NA HII MIKASA HUWAGA WKO HPA WANASIKILIZA NA WANAFATILIA COMMENTS..POLENI SANA WOTEE...ILA AGATHA HUU MKASA WATISHA POLE SANAA
Mpaka mke wa baba Ake mdogo nimuhusika
@@floranahashon4180 fact
Da vero tunaomba uunde app ambay tutapata simulizi zako
Nahisi iyo itakua poa sana 🙏🙏🙏
App ili tuwe tunalipia🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yani wewe raha yako tuanze kulipia au? Hapa TH-cam unapungukiwa nini?
Postar ipo karibu na Bahari "na Majini kwao Baharini "ndiyo Maana Majini wengi kituo Chao kikuu Postar.
Wa ngapi jamani ♌
Uwiii posta jmn n hatari stori nying n posta km sikujua nae ilikua posta
Maeneo karibu na bahari ni hatari sana
kujua kama tupo au hatupo sawa Veronica uwe unajib comment....humaliz siku nzima kujibu
Utakapo tamatisha tunaomba tusikie sauti yake AGATA
Kwakweli
wa kwanzaa kabsaaa😀😀
Wa kwanza leo
Veronica asante sana
duu dunia hii tunaishi na viumbe vya hatal sana mwenyenzi atusaidi
Duh
Hatariii
Baba yake Agatha alikuwa na maagano gani na haya majini??!!
😂😂😂😂😂😂😂nyie watu amli mkashiba yni watu 4 wote eti wamekua wa kwanza🤣🤣🤣ebu tusilkilize agatha aliona nni alivyo pelekwa ukweni😂😂😂
Mbn mm siskiii kituu jamn😭😭😭
Hua hawasikilizi simulizi kwanza, wao hu type tu eti wakanza, pili tatu as if wameambiwa wapange laini
@@carolinetalam5832 cndioo😀😀😀
@@a_y_d_a mi pia
@@totooz5853 nikisema ni mm tuu🥹
dada velonika huku tabora leo ni siku ya tatu hatukupati tafadhali tufanyie wepesi tunamfatilia Agata
Hata Arusha.
Mmmmh hivi posta kunanini?
Du. Kumbe haya mambo yapo😢
Wa Kwanza mimi mwenyewe
Posta ina nini jaman
Kwakwel mambo haya ukiyatafakali unaweza ukachanganyikiwa
Inaonekana majini wanapatikana huko Posta sababu Sikujua pia aliambiwa aende posta ndio akakutana na yule jini, tuned 🇰🇪
Mungu amesema kupitia vitabu vyake aliumba majin na watu ili wamuambudu mungu so kila sehemu kunayo majin hata choon wapo
@@ftimaramadan4748 Wakristo tunawajua majini kama mapepo wabaya ndio maana hua tunazikemea though muslims wao huwatambua kama ndugu zao
@@carolinetalam5832 wee ach kukosea din z wenzko bc kwn waislm wamesem majn n ndg zao jmn mbn upo n makasiriko
Caro inaonekana story ya sikujua ilikusisimua ,bt n kwel ilikua n uko uko posta
Heeey calm down guys , no fighting here
Mbona haina sauti
Masikio mabovu
Halafu kuna hii akauti inaitwa SIMULIZI PLUS ni ya nani mbona inakua na kiherehere kurusha simulizi
Arafu nashangaa sikuiz simulizi zimekuwa kama sehem 4🙄zamani ilikiwa moja tu,natatizo la Veronica uwa Asomi coment,wara kujibu,km wengine,sijuwi tuseme yuko busy sanaa kuriko siye wasikilizajiii🙆
Duuu
@@janethkomba4485 achen roho mbaya 😂😂😂 ww tulia kwa vero mm nasikilizag kwa da vero tu huk kwingin hapan
Hao ni waizi tu mpenz
😃😃😃😃
🇹🇿🇹🇿
🤣🤣🤣🤣