Halafu inaonekana familia ya Agatha walikuwa na maagano na haya makini kwenye issues za Mali nk na hii ndio imepelekea Hadi huyu Binti kupendwa na jini. Kamatakumbuka ababa yake alikuwa anaongea na mtua mbaye Agatha hamwoni.
@@jangel203 kwani wee ndio unataka akikupenda tu kosa ndio maana mnaambiwa wakati wa kulala mlale na nguo za kujihifadhi kidogo sio zile nguo za kulalia laini Zinazo onesha mwili wako laini umekwisha na wanawivu balaa ukisema utembee na mtu mwingine anakufa ndio baadae jamiii inakutenga yule Dada kila akiwa na mwanaume aifiki miezi Sita anakufa
Hiistori ikitengenezwa filam ungepata pesa nyingi sana aisee polesana
Itengenezewe movie hii nzuri sn,
Na inamafundisho mungu atusaidie tuu maana hii dunia mh
Mungu atusaidie tunaishi kwenye ulimwengu wenye mambo mengi sn
Pole sana agatha 🥲🥲
Hili simulizi inaumiza na inatuonyesha na namba ya kuishi kwa kumtegemea MUNGU na kufanya kazi kwa bidii sana
Kweli dah.Vero epsod ya 16 imechelewa dear
Mungu amuepushe Agatha ..natamani dakika ziongezeke ziendelee.😒
Mungu tunatakiwa kumtegemea sana
Halafu inaonekana familia ya Agatha walikuwa na maagano na haya makini kwenye issues za Mali nk na hii ndio imepelekea Hadi huyu Binti kupendwa na jini. Kamatakumbuka ababa yake alikuwa anaongea na mtua mbaye Agatha hamwoni.
Jesus christ,
Tunaishi kwenye dunia yenye changamoto na majalibu mengi,
Lakini Yesu hajawahi kushindwa na lolote.
Muhimu ni kumtegemea yeye
Eimeen
Waa hatari tuned 🇰🇪 🇰🇪
Nipo mtwara wala hatusikii
Agatha had imechosha hapa tunafatilia ili tujue alitokaje kwa jin na kuendelea na maisha yake ya kawaida bas 😂😂😂
Haaaahaaa
Kwakweli
😂😂😂😂😂
Kweli 😂
Da vero jamani unaweza kufanya niongee na agatha
Samweli. ckuona kitu ila inatisha ,inafundisha pia.
Yaani Agatha anatia huruma ....jini nae si amwache tu
Usiombe upendwe na jini ni wasumbufu sana
@@jovovichmedia9424 yashindwe mi sitaki hata kidogo khaaa
@@jangel203 kwani wee ndio unataka akikupenda tu kosa ndio maana mnaambiwa wakati wa kulala mlale na nguo za kujihifadhi kidogo sio zile nguo za kulalia laini Zinazo onesha mwili wako laini umekwisha na wanawivu balaa ukisema utembee na mtu mwingine anakufa ndio baadae jamiii inakutenga yule Dada kila akiwa na mwanaume aifiki miezi Sita anakufa
Ant vero hujatuambia je yulenduguyake badoyupo palekwao nayulejini? au aliludi kwaokijijini?
Wa 3 kulike😊
😥😥😥 Agatha jaman
Mbona simlizi zingine zinatisha sana MUNGU amtie nguvu sana huyu dada
Jaman sehem ya 16 vp? Mbna dada vero unachelewa sana ku update?
Mpaka Naogopa Aiseeee
Ila apa post kunakitu jmn nakumbika ata Ile simulizi ya sikujua alikua anaenda kukutania apo apo post mmmmmh apo kunajambo jmn
Yani km movie
Tengeneza movie ya simulizi hii. Itauzika.
Hii dunia inamambo mengi 🤦
Da vero marafk zngu wanasema we mwanaume kisa saut yako
Woow! Da Veronica thanks kwa muendelezo pamoja sana.. I'm no.1
najuta kuisikiliza ucku huu,mweeeeeee .Dunia ngumu hii.
@@paulinalala1693 kwa kweli
@@paulinalala1693 kwa nn umeona nn
Kama movie hivi nyie
Nzuri
Mbona Atari 🤔,
Daah hi story bhn kwakwelii imenifunza vitu vingi san napia nampa pole san dad angu agatha kwa haya alopitia n magumu san aisee🤔🤔
Alhamdullah
Dar vero vip kuhusu yule mdogo ake aghata walokua wanaishi wote bado yupo pale au kaondoka..?
Mme wake huyo alimtaftia pakukaa ila hakumshirikisha agata
no 6
Daah stor nzur sana
@@magrethgerazius9942 Sanaaa ,arafu sijaerewa mahan kasema leo Anakamilisha,nawakat ndokwanzaaa imeaza kukorea,sijuwi itaendere,,,,,
@@janethkomba4485 ataendelea jtatu ,Yan inazid kunoga kwakwel
Duuh,
Wa 5 Mie 🤣🤣🤣🤣