Msichana Aliyebakwa Afaidika

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024
  • Baada ya runinga ya citizen hapo jana kuangazia masaibu ya msichana mmoja aliyebakwa na mpenzi wa mamaye katika kaunti ya Kitui, hii leo habari hizi zimezindua hisia huku baadhi ya viongozi na wamasaria wema wakiji tokeza na kuahidi kumsaidia msichana huyo.

ความคิดเห็น • 25