Je, Unamjua Jirani Yako?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ย. 2024
  • Je unamfahamu jirani yako vyema? Kufwatia visa vya ubakaji au hata utekaji nyara, famila nyingi sasa zimeamua kujitenga na majirani wao katika juhudi za kujikinga, hivi idadi kubwa ya wakenya hawana habari kuhusu tabia au mienendo ya majirani zao. Ni mwenendo ambao unaonekana kutoa nafasi kwa wahalifu ambao sasa hawana hofu ya kujificha katikati mwetu. Mwanahabari Esther Kahumbi alizuru tena mtaa wa Githurai ambapo washukiwa wawili wa ugaidi waliuwawa na maafisa wa polisi juma lililopita.

ความคิดเห็น • 16

  • @bhokejulian7385
    @bhokejulian7385 6 ปีที่แล้ว +1

    That's why sometimes I like Mwalimu Nyerere the late president of Tz ishi kama ndugu

  • @boerandemo7766
    @boerandemo7766 6 ปีที่แล้ว +3

    That's scene of crime, should be cordoned off boundaries!

  • @Giithiomi
    @Giithiomi 6 ปีที่แล้ว +4

    Best thing is to befriend the house maids. They will tell you everything

  • @thuraku
    @thuraku 11 ปีที่แล้ว +5

    Good reporting Esther.As always,CitizenTV on top of the game.

  • @fundimwenyewe7925
    @fundimwenyewe7925 6 ปีที่แล้ว +1

    Quite informative

  • @mwendapoleee
    @mwendapoleee 6 ปีที่แล้ว +2

    Huku ugerumani jina kwa mlango um Google.

  • @ritanget9174
    @ritanget9174 3 ปีที่แล้ว

    Hii tabia huwa iko Nairobi ya watu kukaa bila kujuana njooni mombsa huwezi ishi na mtu humji mombasa mpaka ujue jirani anafanya ini

  • @beatriceomino7321
    @beatriceomino7321 6 ปีที่แล้ว

    Pia mm sijui

  • @fahadsanad4163
    @fahadsanad4163 4 ปีที่แล้ว

    Waa wenye landi chukueni id number .na mjue mtu kwenye anatoka

  • @goleadgolead4044
    @goleadgolead4044 4 ปีที่แล้ว

    Ata mm sijui jirani wangu

  • @faizabaishe5172
    @faizabaishe5172 5 ปีที่แล้ว

    Mimi pia siwajui majirani wangu

  • @tonneyodhiambo6482
    @tonneyodhiambo6482 6 ปีที่แล้ว

    Pia mimi siwajui majirani wangu

  • @tonneyodhiambo6482
    @tonneyodhiambo6482 6 ปีที่แล้ว

    Pia mimi siwajui majirani wangu