Lissu akipewa uenyekiti tu CHADEMA inakufa. Lissu ni mwongeaji sana tu, lakini kwenye utendaji hakuna kitu. Lissu huwa ni mtu wa kusubiri wengine waharibu ili awakosoe, na mbaya zaidi anapokosoa hatoi suluhisho kwamba nini kifanyike. CHADEMA kama mmemchoka Mbowe ni sawa, lakini ni bora uenyekiti mkampa mtu mwingine, sio Lissu.
Nadhani Mbowe anatakiwa kuondoka na kuwaachia wengine sio kumwachia Tundu Lissu tu. Kama wengine hao ni Tundu Lissu bado aachiwe. Kubaki na Mbowe maana yake ni ku submerge chama mazima. Hakitakuwa chama chenye maana tena. Mbowe ame compromise kabisa kwa watawala na hana power ya kuendelea na mapambano ya kudai mabadiliko ambayo ndani ya chama chake anayakataa
Hakuna cha kupewa ni uchaguzi iWeb was haki tu. box la kura liamue kwani wote walikuwa katika nafasi ZA Juu Lau Kama yuko wa kupewa sio Mbowe wala Lissu
Mangi kimambi yupo sahihi kinachotakiwa ni kumpa tundu lisu uongozi kwani anaweza kuiongoza chama hicho mbowe wakati wake utakumbukwa kwa mahali alipo ifikisha inatosha sasa aachie ngazi sasa inatosha
Lissu ndo chaguo letu kwa sasa,kwa mapambano haya ya sasa mbowe ni roho nyepesi hawezi haya mapambano coz ccm imebadili siasa wameamua kubebwa na dola siasa wameshindwa kabisa wanapumulia mashine,
Safi sana dada menge kimangi
Chadema mkimpitisha Mbowe kwisha habari yenu!
Hakuna shaka juu ya ushindi wa Lissu mtandaoni bali mbowe atashinda kwenye sanduku la kura.
Lisu daima😊😊😊😊😊
Kumbe Mange siku nyingine unakuwa na busara. Kwa hili umeongea vizuri sana. Mbowe ampishe Lisu .
Sitaki kuamini kama mbowe ataachia nafasi ya mwenyekiti atataka bola mtu afe iliabakie yeye uyojamaa niatalisana
Good job lisu
Lisu daima
Kwa sheria ya Tanzania hakuna uraiya pacha tundu lisu sio raiya wa Tanzania na aliunga mkono mashoga
Mwanaharakati usiivuruge
Chadema wewe uko uqaibuni
Lisu ni mkimbizi kama wewe
Lissu hafai na hatoshi kura zote kwa mwamba sio huyo mropokaji.
Tuna mtaka hivyo hivyo
Lissu sio mropokaji bali ni mkweli na sio mlarushwa.
Ccm hawawezi kumpenda lisu. Upo sawa tumekuelewa mwana ccm
Lissu sio Mropokaji ila ni msema wa kweli
Tunamtaka hivyo hivyo na uropokaji wake
Sio Ngongo Ni Ngogo Brother
Tundu lisu maneno tu hawezi kiongoza chama hapa chadema inaenda kufa rasmi
We ccm kalale
We akili ndogo jinga xana
Lissu akipewa uenyekiti tu CHADEMA inakufa. Lissu ni mwongeaji sana tu, lakini kwenye utendaji hakuna kitu. Lissu huwa ni mtu wa kusubiri wengine waharibu ili awakosoe, na mbaya zaidi anapokosoa hatoi suluhisho kwamba nini kifanyike. CHADEMA kama mmemchoka Mbowe ni sawa, lakini ni bora uenyekiti mkampa mtu mwingine, sio Lissu.
Uko sawa mange ila democrasia ichukue nafasi atakayeshinda ndo atakuwa anafaa kati ya hao watatu
Kwani kuonyesha hisia kwa mgombea nidhambi,,mangi yupo sahihi
Nadhani Mbowe anatakiwa kuondoka na kuwaachia wengine sio kumwachia Tundu Lissu tu. Kama wengine hao ni Tundu Lissu bado aachiwe. Kubaki na Mbowe maana yake ni ku submerge chama mazima. Hakitakuwa chama chenye maana tena. Mbowe ame compromise kabisa kwa watawala na hana power ya kuendelea na mapambano ya kudai mabadiliko ambayo ndani ya chama chake anayakataa
Mbowe pumzika kaka utaaibika bro, watu wanataka mageuzi, umekaa miaka zaidi ya 20 hakuna lolote , mpishe Lisu sasa.
Take my word lisu akipewa hicho chama kitakufa dakika kitaku chauma
Ww ni mjinga kupita kiasi unaishi kwa lamuli
why..?
@@ramadhanchenga4606
Nayakataa maneno yako nakuyafuta kwa nguvu ya Mungu aliye hai kwani aonavyo Mungu sivyo waonavyo binadamu.
MWAMBIENI ACHE KUJIUZA HUKUMAREKANI ANAWAEKASAWA YIYI HUKO TANZANIA TUNAMJUWA VIZURI KAZIYAKE MANGE KIMAMBI NIKUJIUZA
Rudi shuleni ujifunze kusoma na kuandika vizuri alafu uje umkosoe Mange kimambi
Hivi Mbowe kelele hizo hazioni? Tunamtaka Lissu afungue chama maana Chadema nikama niyawachaga tu
Waanzishe haraka lakini Cha Cha Siasa sio haraka. Waulize uana haraka wa Joseph Uganda anefika wapi? Mbowe bado anawafaeni CHADEMA
Lisu kwanza
Lisu kwanza
Mboe tutampa viti maalum maana kazi imemshinda
Mboe tunajua kaidiwa makubwa akipita uwenye kiti na ccm
Tundulisu apite bila kupingwa.
Ccm yanamtaka mbowe ili awe pazia awe anafunuliwa kila wakati lakini chuma lissu wanamjua kuwa ni mtu wa misimamo
Hakuna cha kupewa ni uchaguzi iWeb was haki tu. box la kura liamue kwani wote walikuwa katika nafasi ZA Juu
Lau Kama yuko wa kupewa sio Mbowe wala Lissu
Et mwanaharakati jaman mtu anajiuza, huku hamsemi
Ccm wote wanamtaka Mbowe
Mangi kimambi yupo sahihi kinachotakiwa ni kumpa tundu lisu uongozi kwani anaweza kuiongoza chama hicho mbowe wakati wake utakumbukwa kwa mahali alipo ifikisha inatosha sasa aachie ngazi sasa inatosha
Mbowe hana nguvu za kupambana na ccm …ila mr lissu ndio mpango mzima kwa sasa……..mr lissu apewe mauwa yake
Lisu akisikia sauti ya risasi anakimbilia Ubeligiji bora Mbowe yupo tayari kufa au kufungwa
Wasio na akili pekee ndo watakuelewa 😂😂😂😂😂😂@@laninjeje8290
Unajuwa siasa ni vita Sasa ukiona mgombea wanamkubar Wana sisiem ujuwe hafai kabisa maana walisha mnunuwa ni wakwao
Mafisiemu tuacheni. Bana hakiwezi. Kufa mtasubiri san
Lisu atuongoze nayeye hatakidogo ndomaana Yama geuzi
Lissu ndo chaguo letu kwa sasa,kwa mapambano haya ya sasa mbowe ni roho nyepesi hawezi haya mapambano coz ccm imebadili siasa wameamua kubebwa na dola siasa wameshindwa kabisa wanapumulia mashine,
Mbowe hana hekima kabisa ang'ang'nia madalaka bila haibu karne hii 21 watu wameishakua wasomi
Tarime tunaenda na lisu ,mbowe kwisha
LiSu nI dalali wa mali zetu kwawazungu
HONGELA Dada Mange kimambi na TAKA mawasiliano na wewe
Lisu oyeeeee lisu oye
Mbowe apumzike,
Ametumika vyakutosha Sasa awe mshauri tu
Tuna Mhitaji Tundu LISU 2025 LISU Tosha.
Mwambaaaaaa tuvushe tunakuhitaji
Cyo kla ktu tunakubaliana na Mange maana kpindi Cha lowasa chama hakikukoxa muelekeo bt vyama vya upinzani vilikandamizwa 2020 na utawala wa magufuli
Usimpe sifa kubwa hivyo bhana Mange ni mjinga tuu kama wajinga wengine
Lisu jembe
Kabla ya kuchagua kiongozi ni vema tuangalie attitude ya huyo kiongozi
Neno ugomvi halina afya. Katika siasa ni jambo la kawaida