ASKOFU;AMSHAURI MASANJA/NAOMBA TUKUTANE/AONGEA KWA UCHUNGU/SIAMINI KWENYE MAFUTA NA MAJI YA BARAKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 พ.ย. 2022
  • #wasafi #millardayo #diamondplatnumz #cloudstv #harmonize #rayvanny #simulizinasauti #globaltv #zuchu

ความคิดเห็น • 5

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky ปีที่แล้ว +2

    I'm....Muslim but nimependa huyu Baba anavyojibu and yupo very happy and chairman hachoshi kusikilizwa Ataishi miaka mingi Saana

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 ปีที่แล้ว

    Mchungaji anajieleza vizuri sana

  • @namsamson3443
    @namsamson3443 ปีที่แล้ว +1

    Mchungaji kama Mchungaji hawezi saidia kila mtu kama alivyosema kwa sababu tuko wengi sana kanisani. Ila washiriki wenyewe pamoja na Mchungaji wao ndio wanatakiwa kujua hali za wenzao na kama ni kusaidiana mnaweka nguvu pamoja

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 ปีที่แล้ว +1

    Dada umempelekea moto mchungaji.. hayo maswali wachungaji wa michongo hawataki.. huyu mzee ni mchungaji aliyeenda shule.

  • @jeniphjosephat15
    @jeniphjosephat15 ปีที่แล้ว

    Kazi ya kanisa ni kusaidia washirika waumini haswa wanapokuwa na matatizo.