Hongera kwa ushindi, Nashauri kupenda kupambana na Bondia alietayari kwa hiari, kuacha kalimbano na Mabondia wa Tz yanaweza sababisha kuhujumiana Bure.
Dah mbona baadhi ya watanzania wanakua na roho mbaya na chuki binafsi? Hata kama humpendi TWAHA lakini anapofanya vizuri mpe sifa zake , sio kusema vibaya na kutoa maneno ya kukatisha tamaa. Acha ushabiki mandazi , TWAHA AMEFANYA VIZURI SANA TWAHA KAZA BABA , UKO VIZURI ,
Twaha unanizamu Sana hii ndio itakusaidia Mdogo wangu mungu akusaidie arafu nakushauri utafute Mwalim mwingine uwongeze vitu
Makodinda sema ulipata mteremko Sana
Nakubal😂😂😂
kwa kiwango alichoonyesha twaha
hakuna kitu ni hovyohovyo tu sijaona
mchezo wako ni uleule
huyo muhindi ni kiazi kilichooza kabisa
Wivu umewajaa mpka kwenye visigino maku nyie kapiganeni nyie muoneshe viwango
kaka umetisha sana nlkua najisikia unyonge sana mapambano yako 2 yaliopita ila apa fleshi twende na mwendo huwo uwo kaka
Kama umebadilika pigana na msoudh tena ndio tutajua kweli umebadilika
Mwambie
Nidhamu heshima kujituma ndio silaha kubwa inayokuinua Daima.Umecheza vyema hongera sana
Akishinda mwakinyo bondia akishinda twaha kapewa kiazi acheni ubinfsi roho mbaya izo bondia gani bongo anaongoza kwa kuchagua mabondia kama si mwakinyo twaha kamua mbaka waseme bado hawajasema
Umecheza vema kiduku hongera
Nidham y juu maneno machache yenye maana tupu!
Twaha umechez vizur sn,hakika umebadilika
Hongera kwa ushindi, Nashauri kupenda kupambana na Bondia alietayari kwa hiari, kuacha kalimbano na Mabondia wa Tz yanaweza sababisha kuhujumiana Bure.
Mwamba 💪 wewe atari sana kiduku
😇😇😇❤❤
Twaha kaka mara hii tunakupeleka kwa harmoniz
Mpeni twaha kiduku heshima yake zao la mji kasoro bahari 🎉
Nahitaji Bondia yeyote nipo tayari kusaini
Dah mbona baadhi ya watanzania wanakua na roho mbaya na chuki binafsi? Hata kama humpendi TWAHA lakini anapofanya vizuri mpe sifa zake , sio kusema vibaya na kutoa maneno ya kukatisha tamaa. Acha ushabiki mandazi , TWAHA AMEFANYA VIZURI SANA TWAHA KAZA BABA , UKO VIZURI ,
Uyo sibondiya muindi tokalini akawa bondiya muludie msausi
Kapoza mbona ana kenua tyuu, au kalewa sikukuuu hii😂
Kaka pambana na asmahen wellem tujue ww ni mkali
Thwakiboko🎉🎉🎉🎉❤
ana. ukiboko. gani ngumi hajui analuka lukatu kama toto lambuzi lililo shiba maziwa
Hii ilikuwa cyo ngumi ni daraja
Mtoto wa tanga anatakiwa mapromota wekeni mzigo anaotaka tuone burudani, ila kusema kiduku bado utaaibika vibaya😊
Na uyu kashaanza kuingia katika vita ya maneno
Tunamtaka mwakinyo uyo sikilasiku anaimba twahalabu
Ninakubali una nidhamu mia
bondia kiazi kabisa india kaziyao movie tu mimi nilijua mnashuti
Dulla mbabe ni kiazi?
Si alimtaka mwakinyo!!??si pia alitaka aletewe assemaleh warudiane?
muongo wewe meneja umetoka kwenye mfungo unaongea uwongo
Tunamtaka mwakinyo uyo sikilasiku anaimba twahalabu