AISEE! MAGUFULI Hajawahi KUKASIRIKA Hivi "NITAONDOKA NA MTU"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 พ.ย. 2024
  • AISEE! MAGUFULI Hajawahi KUKASIRIKA Hivi "NITAONDOKA NA MTU"
    Rais Dkt John Magufuli, leo Oktoba 06, anaendelea na ziara yake nchini ambapo leo Oktoba 06, ameanzan rasmi ziara mkoani Rukwa kwa kuzindua barabara ya Tunduma - Sumbawanga..
    YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
    ---------------------------------------------------------------------------------------
    HABARI MPYA DAILY: www.youtube.co....
    HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:www.youtube.co....
    GLOBAL RADIO TV:www.youtube.co....
    EXCLUSIVE INTERVIEWS:www.youtube.co....

ความคิดเห็น • 19

  • @drnickysarapion134
    @drnickysarapion134 5 ปีที่แล้ว

    Mzee wetu JPM mungu azidi kukuweka.
    Unatufanya sisi maskini tuwe tujisikie amani kwa awamu hii.....
    Nasty tunafika sehemu tunapata huruma kama binadam

  • @addushandu3089
    @addushandu3089 5 ปีที่แล้ว

    Rushwa ya Magufuli ni kusema ukweli. Na rushwa ya Mungu ni maombi. Magu yupo vizuri nampendajeeee!!!!! Mungu mpe upeo more than kipimo

  • @DrElizabethHLemaND
    @DrElizabethHLemaND 5 ปีที่แล้ว

    Tumshukuru sana Mungu kwa kutupa Rais muwajibikaji. Anawajali wananchi. Mungu akutunze baba

  • @drnickysarapion134
    @drnickysarapion134 5 ปีที่แล้ว

    Asante TBC kwa ketchup update tulipo mbali na TV

  • @stevenmaketa8051
    @stevenmaketa8051 5 ปีที่แล้ว

    Tunaomba mwnyz Mungu uwndelee kumlinda huyu rais maisha marefu aamen

  • @oscarkasalile3966
    @oscarkasalile3966 ปีที่แล้ว

    Wewe kesi ni mzalendo wa kweli

  • @jumajoseph9353
    @jumajoseph9353 5 ปีที่แล้ว

    Rais wa Dunia Magufuri

  • @emanuelshayayi54
    @emanuelshayayi54 5 ปีที่แล้ว

    Mbona Mungu,ulichelewa kutupa Magufuli wetu!.

    • @figterman6422
      @figterman6422 5 ปีที่แล้ว

      Mungu huwa hachelewi wara hawai anajibu kwa wakati wake

    • @hadijamandanje6189
      @hadijamandanje6189 5 ปีที่แล้ว

      Mungu alipanga iwe leo na kila jambo analifanya kwa sababu na wanadamu tunajua baada ya matokeo kwa kuwa tunakuwa hatujui malengo yake

  • @dicksonandrew6947
    @dicksonandrew6947 5 ปีที่แล้ว

    Huyu Raisi ni wa mfano Duniani kote hajawahi tokea

  • @jumajoseph9353
    @jumajoseph9353 5 ปีที่แล้ว

    No one like JPM

  • @prisilagasper7240
    @prisilagasper7240 5 ปีที่แล้ว

    Tutenziiii

  • @simontamba1285
    @simontamba1285 5 ปีที่แล้ว

    Hakika wewe ni Jembe zaidi

  • @simontamba1285
    @simontamba1285 5 ปีที่แล้ว

    Amno utukatilaa

  • @simontamba1285
    @simontamba1285 5 ปีที่แล้ว

    Rukwa tunaomba na reli ya tazara ifike sumbawanga mjini ikibidi hadi nkasi itatupunguzia u maskini Kwa kusafilisha mazao yetu hadi huko Darisalamaa

    • @doktazimba5202
      @doktazimba5202 5 ปีที่แล้ว +1

      angalia na mgogoro wa vyumba stendi kuu ya mabasi sumbawanga imekuwa kero kati ya mkurugenzi na raia

  • @mattmwasumbi2833
    @mattmwasumbi2833 5 ปีที่แล้ว

    jpm ni jembeeeeee

  • @famitoissanawanda6295
    @famitoissanawanda6295 5 ปีที่แล้ว

    Kkkkk we mzee kiboko