ABRAHAMU - AIC Mwanza Town Choir
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
- Asante kwa kutazama, tafadhali subscribe kwenye TH-cam channel yangu, waweza kuacha comment, like na kushare na wengine. Mungu akubariki sana
Album NJOONI TUMWIMBIE BWANA
#AICMwanzaTownChoir #Abrahamu
©2020 Administered by Ngomma VAS Limited.
What an ever green blessing song ,preaching about Abraham and Isack.Amen!!!!
Pongezi waimbaji..kwa kazi mnayofanya wimbo umenigusa mno..na kuumba uwepo mpya..MUNGU AWATIE NGUVU
Inanikumbusha mchumgaji Timothy Kamau aliekuwa akiongoza kipindi Cha salaam na nyimbo vok miaka ya nyuma..
Huu wimbo unikumbusha ujanani mwangu na unanipendeza kweli mubarikiwe sana waimbaji
Mwanza town choir ni moja ya kwaya zilizopata sifa kwa kumwimba Mungu myaka ya 1970 n'a dhaidi.Wakati huwo tulikuwa BADO watoto tukisikiliza Nyimbo hizo kupiti kupitia Radio Habari Maalum kutoka Marangu.Nyimbo hizo zimependwa saana nchi Zaïre Dr Congo.
Looking for the song, thanks for loading. God bless
One of my favorite.Ladha halisi ya nyimbo za kumcha Mungu.
Ujumbe umefika ukisikia sauti ukisikia mdundo unaendana na nyimbo hakika mlimtumikia mungu
Hizii nyimbo zinanikumbusha miaka ya nyuma kidogo 80s na 90s pale k.b.c radio ya taifa ,jumapili njioni na mchungaji festus munyi kimuyu (na neno litaendelea)na zinanibariki tuu saana🙏🏿amen
Whata nice throwback! Takes me back to 1975 and VoK Radio's WIMBO NIUPENDAO back in the day.
Duh kumbe wa zaman sana
@@nabosedward4836 sana, sana, tena kaka!
Sweet memories ,,,, would sing during primary school Sunday service in 70s, , inspired my love for God 🙏
Waimbaji wamenikumbusha kipkndi cha wimbo niupendao. Asante sana
Program used be presented by Biblia husema studio,Kijabe.The presenter used to be Rev.Miligo.
Mungu awabariki sana. Tunabarikiwa mnooo tangia zamani mpaka leo mwaka 2.1.2021
Poa sana. Nyimbo zilizojaa upako na Roho wa Mungu.
A good composition. Sweet melodies , still relevant
Am very interested by the way guitars are being played,
A very well organized singing here
I'm called Bakaija Nestor from Uganda. Bwana Yesu Kristo awabarikeni
These songs never get old.
Hizi ndizo Bwana. Pamoja na 'modification'...... fulani.... Bado Uvuvio/upako upooo... Barikiwa....
This song blesses me. May God bless this choir to continue with evangelisation through songs.
Ninalo neno juu yako umeacha upendo wako.you really make me feel like am in heaven...I love you people singing with passion may God bless you people you are a blessing to me and my family 💕
Wau! A very steadily composed song. Wonderful!
These songs brings the gospel to life God bless
God bless the composer's generation .
Waaaauu, who is gona give me tat very old religion, it directly connects me with te heavens... Bblessed..
Nimekumbuka mbali sana zamani. Asante sana kwa faraja ninayopata kwa kusikiliza huu wimbo.
The song has taken me back to my childhood days. Be blessed for the download.
Me too
Wimbo huo unanitia moyo Sana
Thank you for uploading this video. Me and my brother’s been looking for AIC Mwanza for long. We used to have the Tape, but time passed
Best songs I loved in my childhood
This song is over 50yrs old
Sikuwa nimezaliwa,sijui kama waimbaji wa kisasa kama Huwa wanasikiza hizi nyimbo ,manake wanafanya vituko tu, mungu awabaliki kwa ujimbe mzuri
I like your songs need the whole album
God bless you guys
Sinaguza moyo wangu sana
Blessed choir may the Lord remember you always
an all time best song
When choir used to be choir unlike today when we have commercialised singing.
Safi,mmenikumbusha mbali,choir yangu,nawamiss sana
One of the very best of my lifetime. I remember we use to sing this again and again during Music lesson back in 1973. I was then in class two.
Kwanza hiyo chorus: Abrahamu usimchinje mwanao, Abrahamu tazama kondoo yule! It was pure gold whenever VOK radio played it! I think I first heard it around 1976/77. I was a baby, but loved gospel music coutesy of uncles, mom.
HUOWIMBO UNANIKUMBUSHA BABAYANGU MZAZI AKIWANA RADIOYA PHILPS BAND 21964 1973
Saaafi sana. Hawajabadili ile originality yake!
May God expand your territory in music
U
Thats my song God bless you
Monishi
I am requesting Emmanuel Ngozo phone number.
Mungu awabariki Sana(life icon s)
Wonderful song
Hivi hz style za sasa za AIC zmetoka wapi nyimbo za zamani zilikuwa nzuri sana kuanzia ujumbe mpaka music
I used to listen to this song in my early age 1972.it bless me even now.
Hehehehe, the year I was born. This used to be my late maternal grandmother's song,in Arusha.
Reminds me way back in1986 in my lower primary school
Wow!,,,,hawa watu wako wapi hivi leo? I would be so happy to see them....may God bless them and give them looooooooong life..❤❤❤❤❤❤❤
AIC zamani walikuwa wamejaaliwa kwa talanta ya uimbaji. Nasikitika sasa hivi wameipoteza, wameiga namna mpya ya kucheza kama wacheza ngoma za kienyeji.
Lakini kama wakiweza kuachana na uimbaji huu wa sasa nawashauri warudi kwenye uimbaji ule wa zamani, watafanya uamuzi mzuri sana.
Na miongoni mwa nyimbo nzuri ni pamoja na huu wa Ibrahim Usimchinje mwanao. Wimbo huu ni mzuri na unapousikia ni kama wimbo mpya kumbe una umri wa miaka zaidi ya 50++
Duh kumbe wa zaman sana
Wimbo mtamu mafundisho tosha nimekubali baraka tele.
Soothing gospel songs
Very nice Song…. grettings from switzerland 🙏
Faith comes by hearing and hearing by the Word of God. This song has been a blessing for many years.
Rev. Mwini kimuyu , Nyimbo za zama zina upako , biblia husema broadcasting .
Amen Rev ubarikiwe na Bwwna
R.i.p. Rev. Timothy kamau of Aic bibilia husemi studios Kijabe Kenya who in every Sunday afternoon would light up the VOK radio with his deep voice , air this beautiful song and other s in ,70s
You’ve taken me along time back when you mentioned Timothy Kamau. In my mind I can still hear his voice on Sunday afternoons presenting his show. Whenever I hear Kijabi mentioned, I think of him. Is he still around in 2024?
Very nice songs,may God bless aboundant.
Wanikumbusha kipindi cha wimbo niupendao kijabe na Timothy kamau
Great song
Blessed annointed powerful song.
My favorite song from this choir,❤❤
Mm, it reminds me of 1974-we use to sing as youths and it was very nice indeed, the tune, the style and movements-Great
Zilizopendwa bado zapendwa
Gospel have changed my mind
like this song coz is mychurch
Thank you for this choir those who have come to b with you and those still alive..bless their children childrens children in Jesus
God tests humanity faith.
Barikiweni
DIEU est ma délivrance, je suis plein de confiance et je ne crains rien.(Esaïe 12:1-2).
Very nice song and original .
This song strengthen my faith.
Nmekumbuk utotoni🙏
Holy holy holy 🔥😢❤️
Kazi hii sifa na utukufu kwa Mungu wetu Yehova
Video
It reminds me of our dear parents rip
Wimbo huu unanifunza umuhimu wa imani kwa Mungu na kuwa Bil tashwishi
Hii nyimbo inanitoa machozi nikifikiria nilivyokua mdogo watu wakiimba kwaya hii kuna ndugu wengi tumewapoteza