HATIMAYE BABU WA TIK TOK AOMBA RADHI, AWAONYA WANAOSAMBAZA VIDEO, "BASATA INIPUNGUZIE ADHABU"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 20

  • @xxxl-jf2ji
    @xxxl-jf2ji 2 หลายเดือนก่อน

    Pumbavu sanaaaa hili zeee

  • @latwibujuma
    @latwibujuma 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mzee wa hovyo sana yaan yule si mdada ni mtoto kabisa alizingua sana huyu babu umli wake na kile alicho kifanya ni vitu viwili tofauti anatafuta laana tu kwa Mungu

  • @aidankakulu398
    @aidankakulu398 2 หลายเดือนก่อน

    ZEE HILO FALA SANAAA

  • @EddySempay-qf1on
    @EddySempay-qf1on 2 หลายเดือนก่อน

    Mzee omba msamaha kwa Allah

  • @alexaudax-rm8sz
    @alexaudax-rm8sz 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee wa ovyo uyu afunguwe maisha uyu mtu gani mzima ovyo aujielewi aujitambui mshamba mmoja uyu jitu Zima ovyo lichafu

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg 2 หลายเดือนก่อน

    Mzee mjinga sana

  • @mwitamalwa2773
    @mwitamalwa2773 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu mzee wahovy sana

  • @israeluronu9958
    @israeluronu9958 2 หลายเดือนก่อน +1

    Siulikuwa unatukana ww😅😅endelea kutukana maana ulisema huombi radhi. Sasa imekuajeeee

  • @IlyasaJuma-cc3ee
    @IlyasaJuma-cc3ee 2 หลายเดือนก่อน

    Halafu amuombe na ,mungu wake😢😢😢😢😢

  • @bongo39
    @bongo39 2 หลายเดือนก่อน

    Sio kwa jamii tuu kwa watoto wako

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu ovyo sana

  • @OmaryPhilipo
    @OmaryPhilipo 2 หลายเดือนก่อน

    Una Lana WWE Allah ndoo atakuhukum

  • @rayisadesigns2646
    @rayisadesigns2646 2 หลายเดือนก่อน

    USIWASINGIZIE WATU WA PWANI, WATU WA PWANI HAWAPO HIVYO WALA WATU WA BARA NAO HAWAPO HIVYO, HUO USHENZI NI WA KWAKO. KIKUBWA OMBA RADHI YAISHE NA UTUBU KWA MOLA WAKO!!

  • @Esquire266
    @Esquire266 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona unaogopa video za zamani zisisambae kama huna kosa?

  • @khadijakheir9323
    @khadijakheir9323 2 หลายเดือนก่อน

    Kafanya nini babu

  • @ALiBAba-zz2td
    @ALiBAba-zz2td 2 หลายเดือนก่อน

    si mdada. nimtoto

  • @PanyaBuku-qo7tu
    @PanyaBuku-qo7tu 2 หลายเดือนก่อน

    Bwege mkubwa wewe unaomba msamaha jeuri sanaaaa rudi kwa mungu wewe zee zima bado unaoimba sura limekujaa laaana

  • @Mumewangu
    @Mumewangu 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu ilikuwa apigwe na viboko mbwa huyu

  • @jasonwatz7457
    @jasonwatz7457 2 หลายเดือนก่อน

    Mzee hana adabu kabisa kwa umri wake, huyu si msanii ni muhuni flan hivi

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu mzee ni wakufungiwa moja kwa moja hanaga adabu hata chembee hata alivyofungiwa alitukana nakujibu watu ovyooo kwenye page yake 😂😂😂😂😂😂😂😂lioneeee kwani uliulizwa unampenda nani? Mzee hanaga adabu hata apa ana act