Mangungu bila kupepesa macho omba radhi, Kwa nafasi Yako hukustahili kuzungumza hicho ulichozungumza, si lugha sahihi! Nani alikwambia uhuru unapiganiwa na matajiri tu? Kwanza utambue matajiri popote pale ni wachache! Hivyo hao malofa unaowataja wewe ndio wengi na ndio hasa wanaopigana vita yoyote ile. Hata wewe ulishinda ubunge waliokupitisha hasa ni hao wasio na kipato kikubwa( malofa)
nafikili limeeleweka tatizo hao malofa wamezidi kujinasibu na kujiona wao peke yao ndio waliopigania uhuru kuliko matajiri walio toa mchango wa moja kwa moja wa kifedha, magari NK.ambao ni simba sports club
Sasa anateseka nini na yasiyomuhusu wakichelekea wewe unapungukiwa nini sasa zuzu ni wewe au wanaochekelea yanayowahusu😂😂😂😂 ama kweli utopolokwinyo ni utopolokwinyo tu. aka vyuraa
RAIS NA MWENYEKITI MZAMINI NA MUEKEZAJI ,,MANGUNGU HOTUBA NI YA KIZAMANI MADUNDUKA WANACHEKELEA VUMILIENI MADUNDUKA MANGUNGU NA MO LAO MOJA MNATAKA KUJENGEWA BWAWA MUOGELEE PIGENI MAKOFI,,MANZOKI TUNASIKIA DIRIISHA DOGO ,,,,,,,PIGENI MAKOFI
Sisi tunavipenda mo nguvu moja🎉

Gongo wazi 😅
Mm napenda sn vinywaji vya mo
Ww ndio mchawi wa Simba bwege tunajua unatumiwa
Wachaujingawako sisi sio mazuzu we utopolenn Simba nguvu mija
Wew ni mwehu na Pala lako ilo
XMAKOLO NI MAKOLO MTI MMOJA MWENYEKITI NA RAIA WANACHEKELEA KAMA MAZUZU
We mjanja Bonge la msela. Kausha endelea kukaa huko huko shamba na usela wako waache mazuzu walio mjini.
Sasa anateseka nini na yasiyomuhusu wakichelekea wewe unapungukiwa nini sasa zuzu ni wewe au wanaochekelea yanayowahusu😂😂😂😂 ama kweli utopolokwinyo ni utopolokwinyo tu. aka vyuraa
Maandishi yako yanatafsiri wewe jinsi ulivyo, unafikiri kwa kutumia matako yako na siyo ubongo wako.
Lazima mufuate mfumo wa uendeshaji kama wa Yanga sc, hilo halipingiki.
malizaneni na mzee magoma kwanza
RAIS NA MWENYEKITI MZAMINI NA MUEKEZAJI ,,MANGUNGU HOTUBA NI YA KIZAMANI MADUNDUKA WANACHEKELEA VUMILIENI MADUNDUKA MANGUNGU NA MO LAO MOJA MNATAKA KUJENGEWA BWAWA MUOGELEE PIGENI MAKOFI,,MANZOKI TUNASIKIA DIRIISHA DOGO ,,,,,,,PIGENI MAKOFI
Kama yanga sasa ivi anaitwa GSm africa sports😂😂
Mangungu sisi hatutaki sissa tulikuvumilia msimu uliepita safari hii hatutokuacha tunaitaji mabadiliko yakweli
Mbona hata nyie vinyesi fc aka malofa fc tangu 1935 hamna uwanja mnaazima tu