CASSIAN AIONAYA TANZANIA JUU YA UJIO MPYA WA ZUMARIDI KUTOKA JERA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.พ. 2023

ความคิดเห็น • 351

  • @djbless6201
    @djbless6201 ปีที่แล้ว +22

    Mungu akubariki, nimepata kumwona mtumishi mwingine kutoka Congo anaitwa mtume Meshack yupo vizuri sana kuna clip alikutaja🔥🔥🔥. Mungu azidi kuwatumia watumishi tunaitaji mafundisho yenu kila wakati.

  • @hillarymaende9872
    @hillarymaende9872 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe sana mtumishi,kwa kweli kama watumishi wangekuwa wanaubiri injili y ukweli kama ulivyo wewe kwa ukweli wengi tungekombolewa,lakini inatupa kazi kujua nabii wa uongo na nabii wa ukweli eeeh mwenyezi utuonekanie na uwanike hawa manabii wa uongo ili tuwatambue ili kujiepusha nao,bariki mtumishi wa mungu kwa mafundisho yako napendezwa kwa kweli roho wa mungu ako ndani yako

  • @estonmnthali3719
    @estonmnthali3719 ปีที่แล้ว +12

    Mimi mwenyeji wa Malawi 🇲🇼 nipo Africa kusini ila nina fatiliya sana injiri yako, Mafundisho kusema ukweri nima zuri sana, I like the way you preaching. Manabii wanatabiri uwongo katika jina la Mungu.
    I agree with you 💯 Mtumishi wa Mungu

    • @peninamziray6302
      @peninamziray6302 ปีที่แล้ว +2

      Anatufundisha mengi sana japo tumwombee maana vita ni kubwa

  • @dainesykalinga7133
    @dainesykalinga7133 ปีที่แล้ว +12

    Barikiwa mno ,Ahsante Mungu kwa kumtuma Mtumishi wako Cassian Kuziokoa nafsi zetu.

  • @frdieumercimayengejesustvo1534
    @frdieumercimayengejesustvo1534 ปีที่แล้ว +9

    Amen Amen kaka yangu, ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU 🙏

  • @hellenngwilla550
    @hellenngwilla550 ปีที่แล้ว +8

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu hakika umetumwa na Mungu utuokoe

  • @victoriakarema3206
    @victoriakarema3206 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Amina kubwa .paza sauti yako mtumishi hata kwa talumbeta ,wambie makosa yao wapate kupona na nguvu na mitego ya ibilisi.wakishupaza shingo wewe hautadsiwa.barikiwa saana.

  • @annambezi6226
    @annambezi6226 ปีที่แล้ว +5

    Mahubiri ya kuto kupepesa mdomo Wala jicho ili wanaojifanya hawasikii Basi ikiwezekana ujumbe upite Kama unatoboa sikio et. Hii Kweli NI INJILI YA SIKU ZA MWISHO. MTU AJIFANYE HASIKII, LAKINI ATASIKIA

  • @ave-yo4yr
    @ave-yo4yr ปีที่แล้ว +1

    Eeeh Yesu kristo kwa uweza wa nguvu ya Roho mtatifu wigo wako umfunike mtumishi huyu lil azid kutupa kweli nayo kweli ituweke huru. Amen

  • @raphaelmukama6615
    @raphaelmukama6615 ปีที่แล้ว +1

    GOD is with you Ev Cassian people of GOD will be free throw your preeching so I pray to our lord Jesus Christ of Nazareth to protect you Amen

  • @eliaspendo2643
    @eliaspendo2643 ปีที่แล้ว +3

    Amina mtumish wa Mungu,tuko pamoja na usichoke kusema kweli,waambie Ila ile CK ikifka wasiseme hawakuambiwa,barikiwa sana

  • @martinahlighare6495
    @martinahlighare6495 ปีที่แล้ว +4

    Ukweli hujitenga na haukosi pingamizi. Be blessed a man of God.

  • @swardosward1990
    @swardosward1990 ปีที่แล้ว +3

    Ameni ubalikiwe pia Kuna Chanel inaitwa TENGWA tv mafundisho yenu ni Moto Yana roho wa mungu naombeni Wana wa mungu tufuatilie nakuyashika moyoni Amen

  • @felsonsanga8502
    @felsonsanga8502 ปีที่แล้ว +3

    Ubarikiwe sana pastor Pascal upo sahihi. SEMA kweli mpaka mwisho wa uhai wako

  • @bintmwambapa7734
    @bintmwambapa7734 ปีที่แล้ว +2

    Aminaaaa Mtumishi wa MUNGU alie hai! Sema tupate kupona , YESU Kristo akupe maisha malefu Sana

  • @christinasebastian
    @christinasebastian ปีที่แล้ว +2

    MUNGU akutunze katika kumtumikia na azidi kukupa afya njema ibilisi asiwe na nafasi juu yako Wala katika family Ako nakufunika Kwa damu ya kristo YESU barikiwa sana

  • @user-rs4vz2vt9z
    @user-rs4vz2vt9z 10 หลายเดือนก่อน

    Shida ya wahubiri sikuhizi hawamuhubiri kristo ila wanapondana wenyewe kwa wenyewe,moombe mungu akuonyeshe wito wako kama kuna mtumishi wa mungu hafanyi sawa sio kazi yako,unaingilia kazi ya mungu.wacha sisi tunao hubiriwa tuchague Pumba na mchele.

  • @annijulius4953
    @annijulius4953 ปีที่แล้ว +35

    Niliona Zumaridi anaamuru mapepo ya Mico Jackson yacheze ndani ya mtu ktk kanisa lake mtu huyu alicheza sana kama Mico Jackson na watu walifurahia sana nilkashangaa sana. Mungu atufungue macho tuone sawa sawa lasivyo wengi wanaenda Jehanam bila kujua.

    • @simonlaizer6261
      @simonlaizer6261 ปีที่แล้ว

      Kweliiiiiii kweli mungu atufungue macho ya kiroho tupate kumbuka yeye zaidi na kimtegemea

    • @judithlejalearnmore2236
      @judithlejalearnmore2236 ปีที่แล้ว +1

      Watanzania ndo mwaka unga huwo,Kenya haiwezekani shetani mtu atawale

    • @emmymatigula4870
      @emmymatigula4870 ปีที่แล้ว +2

      Wana wa MUNGU ALIYEHAI
      Tulisome sana Neno la MUNGU ALIYEHAI tukifudishwa na ROHO MTAKATIFU na MUNGU MWENYEZI ALIYEHAI atusaidie 🙏🏾

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 ปีที่แล้ว

      Ata mimi niliiona iyo😫nilisikitika sana

    • @frankdanford8245
      @frankdanford8245 ปีที่แล้ว +2

      Ile ilikuwa ni maonyesho ya show tu hamna lolote pale yule kijana alilipwa akacheze na wajinga wakashangilia yaani ni usanii mtupu

  • @dainesjoseph3065
    @dainesjoseph3065 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa sana paschal Mungu akubariki mno na akurehem

  • @user-lf6ti3ie7l
    @user-lf6ti3ie7l 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akutie nguvu na kukulinda mtumishi

  • @user-ro6kq5xx2d
    @user-ro6kq5xx2d ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe mno mtumishi wa Mungu

  • @irenemuia2718
    @irenemuia2718 ปีที่แล้ว +15

    Piga kelele mtumishi wa MUNGU,DAMU ya YESU KRISTO ikufunike

  • @frankfelix3876
    @frankfelix3876 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki kassian mtumishi wa mungu umenena vyema kiukweli huyu mama anamtumikia Ibilisi na sio mungu ninae mjua

  • @emanuelsichone8027
    @emanuelsichone8027 ปีที่แล้ว +3

    Amen tukazane kuomba ubarikiwe mtumishi

  • @bonifaciodinis1634
    @bonifaciodinis1634 ปีที่แล้ว +6

    Amém, glória á Senhor Deus.

  • @frankmwampamba-pu8ug
    @frankmwampamba-pu8ug ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubalik mtumishi wa mungu mungu anisamee mm nilud shamban mwake

  • @MbokaLusajo-fg3me
    @MbokaLusajo-fg3me ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sanaa mtumishi na akulinde pia najua umetangaza vita Kali!mkono wa BWANA UWE JUU YAKO

  • @zionembassytv5672
    @zionembassytv5672 ปีที่แล้ว +6

    Barikiwa sana mtumishi..lakini usiite pesa yeyote inayotolewa KWAAJILI ya kazi ya Mungu changizo Bali ni sadaka

    • @NICKSONKP
      @NICKSONKP ปีที่แล้ว +2

      Warumi 15:26
      maana imewapendeza watu wa Makedonia na Akaya kufanya changizo kwa ajili ya watakatifu huko Yerusalemu walio maskini.
      1 Wakorintho 16:1
      Kwa habari ya ile changizo kwa ajili ya watakatifu, kama vile nilivyoamuru makanisa ya Galatia, nanyi fanyeni vivyo.

  • @joannembaja6053
    @joannembaja6053 ปีที่แล้ว +1

    Mungu tuu ndiye kimbilio ..dunia imelewa na kuharibika .Yesu rudi upesi

  • @veronicawilson4263
    @veronicawilson4263 ปีที่แล้ว +2

    Sema Mtumishi wa MUNGU YESU Kristo yuko pamoja na wew

  • @theodorapeter6859
    @theodorapeter6859 ปีที่แล้ว +2

    Amina mtumishi sema tumepone Mwenyenzi Mungu akutunze na kukulinada

  • @eliajumaamwazaro3153
    @eliajumaamwazaro3153 ปีที่แล้ว +6

    Amen. Dunia imefika mwishoni

  • @mtz5582
    @mtz5582 ปีที่แล้ว

    Au tufanye hivi...tusiwahusishe hawa aina ya kina Zumaridi na Ukristo....wala tuiwazungumzie kabisa since tunawapa umaarufu .Tuelekeze nguvu kwenye injili ya uponyaji wa kiroho.Amen

  • @joycelydiah7156
    @joycelydiah7156 ปีที่แล้ว

    Watching from kenya napenda mfndisho yko, speak the truth to ashamed the devil 👿👿👿 God protect u for that naked truth.

  • @misigarojustine3357
    @misigarojustine3357 ปีที่แล้ว +4

    Alikuwa anauza kibanda Buhongwa sakoni inavyosemekana Sema kweli mtumishi mwenye macho haambiw taxama

  • @victoriamwiyanda9149
    @victoriamwiyanda9149 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akulinde Pascal usiache kufungua akili za watu mwenye masikio na asikie

  • @eunicemsuyaa4473
    @eunicemsuyaa4473 ปีที่แล้ว +1

    Wewe ni malaika kutoka mbinguni ubarikiwe sana mungu AKULINDE ila kuna kipengele ulihubiri khs mambambo ya wanawake ni dhambi hapo Cjaelewa bado

  • @emmanuelmtaita4068
    @emmanuelmtaita4068 ปีที่แล้ว +5

    Barikiwa mtumishi, Mungu akutunze.. maombi yako kwetu tunahitaji kumjua Mungu kweli

  • @edinalihedule7609
    @edinalihedule7609 ปีที่แล้ว +3

    Amen Mungu akutunze sana mtumishi wa Mungu 🙏😭

  • @laliaelulu1815
    @laliaelulu1815 ปีที่แล้ว +4

    Nakufuatilia vizur San kutoka Canada 🙏🇨🇦🇨🇦 Mungu akubariki

  • @Shalom2018
    @Shalom2018 ปีที่แล้ว +1

    Amina mtumishi wa Mungu.Mungu azidi kukubariki na kukupigania

  • @rebeccamsangi3189
    @rebeccamsangi3189 ปีที่แล้ว +1

    Amen mtumishi wa Mungu napenda sana mafundisho yako yananibariki sana

  • @issackkambona9348
    @issackkambona9348 ปีที่แล้ว +3

    Mungu aendelee kuku tia nguvu nyingi sana ili kweli yake iendelee kusimama

  • @janejohn2391
    @janejohn2391 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki na ninamuomba Mungu anipe upako kama wako wa kusema ukweli naninamuomba Mungu anisikie

  • @jackiemaggy2484
    @jackiemaggy2484 ปีที่แล้ว +1

    Be blessed man of God ukweli usemewa

  • @amonamiri9358
    @amonamiri9358 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu, umetufunza na kujua ukweli Mungu azidi kukulinda.

  • @johnbartazary9597
    @johnbartazary9597 ปีที่แล้ว

    Mtumishi wa MUNGU mwinjilisti Paschal Cassian MUNGU azidi kukujalia nguvu zake.

  • @fotunatafortunatus
    @fotunatafortunatus ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏 barikiwa sana mtumish wa mungu

  • @rahma6189
    @rahma6189 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki kwakusemaukweli

  • @loycep7785
    @loycep7785 ปีที่แล้ว

    Aminasema ile kweli mtumishi ili watu wakijua kweli kupitia maandiko watakuwa huru na manabii wa uongo wataaibika
    Maana wanaandaa watu kuingia Jehanamu badala ya kuwafundisha habari njema ya wokovu kwa Yesu

  • @upendomwakatobe1333
    @upendomwakatobe1333 ปีที่แล้ว +4

    Nakukubali mtumishi wa Mungu aliye Hai. Mungu aendelee kukutunza

  • @yusternachilima5888
    @yusternachilima5888 ปีที่แล้ว +2

    Mungu abalik kazi ya imani yako

  • @ongwaleah7491
    @ongwaleah7491 ปีที่แล้ว +5

    Amen Amen Mtumishi wa Mungu

  • @jacksonsamwel2808
    @jacksonsamwel2808 ปีที่แล้ว +2

    Hakika mwenyezi mungu asimame nawewe wakati wote utoapo huduma hii ya kuwafungua watu kiroho

  • @festomayemba6656
    @festomayemba6656 ปีที่แล้ว +3

    Mtumish mungu akubaliki sana

  • @abelmirwatu544
    @abelmirwatu544 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe kwaajili ya ufunuo ubarikiwe sanaa tena na sanaa.

  • @veronikampate9848
    @veronikampate9848 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akushike kwa mkono wake

  • @ombeniyohaneaustin8415
    @ombeniyohaneaustin8415 ปีที่แล้ว +1

    Amen ubarikiwe mtumishi wa mungu

  • @emmanuelmtaita4068
    @emmanuelmtaita4068 ปีที่แล้ว +2

    Mtumishi, Sema Ukweli , tuepuke watumishivwa uongo. Amen

  • @stevenanord3853
    @stevenanord3853 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki sana mtumishi
    AMEEN

  • @heritier5119
    @heritier5119 ปีที่แล้ว +4

    Mnaweza mkadhani yupo jela kumbe yupo kuzimu anapewa kozi

    • @olicej7837
      @olicej7837 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ila wewe utakuwa umemuona kbsaa 😅😅😅😅😅😅Na ndiyo karudi sasa nguvu za wanaomshangilia mmmmmh huwez amini kuwa alkuwa gerezani yaani watu kama viroboto kanisani kwake😂😂😂😂😂😂😂

  • @gigxjr9754
    @gigxjr9754 ปีที่แล้ว

    Asante sana kwa ujumbe wa kuwa na Hekima,kutujulisha ujanja wa shetani

  • @user-rx1sp4ny8h
    @user-rx1sp4ny8h ปีที่แล้ว

    Mungu akurinde namitego yamwovu

  • @gigxjr9754
    @gigxjr9754 ปีที่แล้ว

    Kunabaki miujiza miili Yesu kristo aliye sema ya kupoteza wa fuasi wa Yesu kristo sikiliza:

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 ปีที่แล้ว +3

    Damu ya Yesu inanena mema

  • @felisterkioko
    @felisterkioko ปีที่แล้ว +3

    Kwakweli mutumishi wamungu. Umetumwa usaidie watu wamungu kabisa 🙏 ubarikiwe sana na ulindwe kwa damu ya yesu kristo 🙏🙏

  • @jacksonmbonea7411
    @jacksonmbonea7411 ปีที่แล้ว

    Amen,mwanzo nilikua sijakuelwa lkn sasa nafwatilia mahubiri yako

  • @millicentywauii2307
    @millicentywauii2307 ปีที่แล้ว +2

    Amen mungu akubariki sana

  • @happymushi2219
    @happymushi2219 ปีที่แล้ว +3

    Amen - kweli itatuweka huru- Mungu akulinde

  • @saidibaraka931
    @saidibaraka931 ปีที่แล้ว +2

    ubarikiwe sana tu mtumishi wa mungu

  • @evaalphonce5703
    @evaalphonce5703 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe mtumish wa Mungu

  • @christeternallifetv5959
    @christeternallifetv5959 ปีที่แล้ว +2

    Ahsante mtu wa Mungu TUTAMSAMBARATISHA KAMA SIMONI MCHAWI✍️

    • @ruthjemson4386
      @ruthjemson4386 ปีที่แล้ว +1

      Nakuelewa sana mtumishi wa Mungu na Mungu akutunze kwajili ya taifa letu na watu Kwa ujumla

    • @christeternallifetv5959
      @christeternallifetv5959 ปีที่แล้ว

      @@ruthjemson4386 amen

  • @faridashabanifaridashabani5950
    @faridashabanifaridashabani5950 หลายเดือนก่อน +1

    Amina Sana Baba 🙏❤

  • @ridiajofrey8276
    @ridiajofrey8276 ปีที่แล้ว

    Amen mungu akubarki mtumishi wa mingu

  • @gloriaachiula5622
    @gloriaachiula5622 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana mtumishi. Endelea kusema kweli....nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi! Hakuna kuremba! Huyu mama ni shetani mkubwa!

  • @siporajemes773
    @siporajemes773 ปีที่แล้ว

    Ushauri wangu mchungaji hubiri neno acha kufatilia maisha ya watu, neno la Mungu linasema vita na mapigano ya toka wapi? Si humu humu katka tamaa zenu?

  • @BenjaminTaxi
    @BenjaminTaxi 4 หลายเดือนก่อน

    🤝 jambo mutu michi aku jidisie nguvu apa ni mu congo stephano

  • @gigxjr9754
    @gigxjr9754 ปีที่แล้ว

    Neno la Mungu Linatutazarisha,mukiyaona ayo musiyakubali

  • @cecymwasija8061
    @cecymwasija8061 ปีที่แล้ว

    Mungu akubalik 🙏 san ten xan

  • @stellahwilfred5762
    @stellahwilfred5762 ปีที่แล้ว +2

    MUNGU TUREHEMU 😓😓😢😢🙏🙏🙏

  • @rodasanga1312
    @rodasanga1312 ปีที่แล้ว +1

    Asante mtumishi unanishtua baba

  • @frankmushi8892
    @frankmushi8892 ปีที่แล้ว +1

    Aminaaaa sanaaaa nakukubali sana mtumishiiii

  • @felistasabuni861
    @felistasabuni861 ปีที่แล้ว +3

    Amina mtumishi wa Mungu

  • @evaristebenoit5029
    @evaristebenoit5029 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU akubariki mtumishi.

  • @cmb6342
    @cmb6342 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana mtumishi

  • @NoelaAlain
    @NoelaAlain ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana Mtumishi

  • @rosterfarijala2979
    @rosterfarijala2979 ปีที่แล้ว +1

    Amina mtumishi barikiwa

  • @estonmnthali3719
    @estonmnthali3719 ปีที่แล้ว +10

    Amen Amen powerful message

  • @rebecaleonard8515
    @rebecaleonard8515 ปีที่แล้ว

    Mungu aturehemu tuwe na macho ya rohoni .....nilimuota zumadi yupo pembeni mwa mto anapika kwa kutmia kuni...ila upande wa mwili anamagamba ya yoka

  • @mollyawuor6192
    @mollyawuor6192 ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi ubarikiwe sana,lakini, vipi yule moto Eunice kutoka wilaya Roria tz

  • @TheMvenTvfamily
    @TheMvenTvfamily ปีที่แล้ว

    Wacha Mungu atende makuu juu ya maisha yetu, atuongoze kwenye njia zake tuweze kumgeukia tutoke kwenye Giza...

  • @richeljamesmosses9685
    @richeljamesmosses9685 ปีที่แล้ว

    Mungu akulinde na alicho kiweka ndani yako kizid kukilinda na kutuonya ili tupone

  • @WiselightOfficial
    @WiselightOfficial ปีที่แล้ว +1

    Mungu akutunze BABA

  • @dominickmakomelo-io6lu
    @dominickmakomelo-io6lu ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki mtumishi unapotuamsha kiimani

  • @estherminnahboaz6956
    @estherminnahboaz6956 ปีที่แล้ว +1

    Mungu aturehemu dunia imekwishaaaa😭😭

  • @user-fl3zg1vh3s
    @user-fl3zg1vh3s ปีที่แล้ว

    Tuambie tupone Mungu akulinde daima

  • @bahatimaselo8528
    @bahatimaselo8528 ปีที่แล้ว

    Zumaridi ni shetani kama ulivosema mtumishi Na MUNGU wa mbinguni akulinde kaka Cassian.

  • @biyamunguernest2222
    @biyamunguernest2222 ปีที่แล้ว +2

    Amen amen amen mtumishi

  • @epiphaniemugwaneza1259
    @epiphaniemugwaneza1259 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubaliki

  • @siporajemes773
    @siporajemes773 ปีที่แล้ว

    Waombee acha maneno maneno tunataka mafundisho sio kila ck unatusimulia ya watu, hubilini neno muifanye kazi ya Mungu pasipo manung'uniko wala mashidano asiwepo mtu yoyote atasema sikusikia neno bwana ili utumishi wenu usiwe na lawama