Jinsi mlima Emanga imekuwa pahala patakatifu miongoni mwa jamii ya Kisii

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • Kwa miaka mingi, mlima wa Emanga kaunti ya Kisii umejulikana kama mlima takatifu. Kwa wengi pia mlima huu umetajwa kuwa wenye upendo kwani umekuwa ukitumika kufanya matambiko maalum kando na kuwa eneo ambalo liliaminika kuikinga jamii hiyo dhidi ya maadui.

ความคิดเห็น • 6