Waziri wa ardhi na ujenzi Mombasa akamatwa na polisi kwa kupanga njama ya kumlawiti mwanablogu mmoja

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • Waziri wa ardhi na ujenzi kaunti ya Mombasa Mohammed Hussein amekamatwa na maafisa wa polisi kwa tuhuma za kupanga njama ya kumlawiti mwanablogu mmoja jijini humo. Waziri huyo anatazamiwa kufikishwa katika mahakama ya shanzu hii leo. Haya yanajiri huku gavana wa Mombasa Abdulswamad Sharrif Nassir alikatiza kimya chake kuhusu madai hayo

ความคิดเห็น • 17

  • @alexjaddu377
    @alexjaddu377 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Good work police....this is the way to go for you acting indipandatley

  • @basilmidam3811
    @basilmidam3811 46 นาทีที่ผ่านมา

    Huyu governor ni tribalistic....we only voted for because of ODM but mimi siwezi kukupigia kura

  • @basilmidam3811
    @basilmidam3811 42 นาทีที่ผ่านมา

    Midomo mingi lakini gazi hakuna just continue practicing nepotism...shariff nakuajiri familia yenu

  • @patriciambuvi8233
    @patriciambuvi8233 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ata wewe utakumbushwa maofu unayo yafanya wacheni Sheria ifuate mkondo kwani wewe ndiye ulitukanwa Zaidi Ya Uhuru Na Ruto anavyo tukanwa Leo? Haibu Sana kwa mambo tunayoyaona Kwa uongozi wako achana Na wapizani wako hawausiki Ila hawakutumana Bruce alawitiwe

  • @nummereins6885
    @nummereins6885 16 นาทีที่ผ่านมา

    Hii neno lawiti linafanya hili jambo kuonekana ndogo. Huyu jamaa alitombwa mkundu na wanaume kadhaa

  • @francismeeme3693
    @francismeeme3693 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wawekwe ndani kabisa

  • @lilcham-sz7u
    @lilcham-sz7u ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wazili na yeye abakwe 😂💔🙌💯

  • @alexjaddu377
    @alexjaddu377 58 นาทีที่ผ่านมา

    Why in Kenya always if one is in wrong side of the law....they give excuse of siasa or triblelism.....I can't here this shit anymore

  • @basilmidam3811
    @basilmidam3811 44 นาทีที่ผ่านมา

    Why pretend to be innocent.... justice for Bruce....i wonder watu gani wamombasa ushapoteza

  • @crowmwelmwaluma1703
    @crowmwelmwaluma1703 38 นาทีที่ผ่านมา

    that's silly sentiment a mistake is a mistake Mombasa isn't for You only let him face the law

  • @MamaChocholate
    @MamaChocholate 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    justice for Bruce this boy suffered a lot

    • @gww-px8vc
      @gww-px8vc ชั่วโมงที่ผ่านมา

      True na can you imagine wataji defend waseme ni mambo ya kisiasa while the guy was done dirty....victims end up being treated as criminals,

  • @crowmwelmwaluma1703
    @crowmwelmwaluma1703 37 นาทีที่ผ่านมา

    you don't need to threaten people

  • @mohamedmustafa2656
    @mohamedmustafa2656 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tenge

  • @mohamedalitalabmohamedali8447
    @mohamedalitalabmohamedali8447 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Shariff the best governor

    • @AyyubNajib
      @AyyubNajib ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      What you mean by saying shariif best gevernor

    • @SaadaOmar-e8p
      @SaadaOmar-e8p 13 นาทีที่ผ่านมา

      Ni best governor wakuamrisha kula witi watoto wakiume ....alipaswa amshataki lakini sikumtumia watu wamteke n kutumia jina Lake kwenda kuomba msamaha