Namtukuza Yesu kuwa Sehemu ya Ibada hii.Nimaombi yangu Kila atakaesikiliza wimbo huu Mungu ainue Imani Yako Kwa Yale uliyokuwa ukiyaombea Kwa Muda Mrefu Mungu akujibu Kwa Haraka na Asikawie.WAEBRANIA 11:1.
Mungu Niko ambaye Niko.....ukuu wake haufichiki, haumaliziki, unajieleza🎉🙌🙌🙌🙌......Hakuna kama yeye hata wakitaka kumfananisha na miungu mingine..... Mungu asiyefungwa na Muda na wakati wake ni wake❤🧎♀️🧎♀️🧎♀️
Ulisimamisha jua na mnvua, hakuna kama wewe Mungu mkuu, na Sara akapata mtoto wakati wa uzee, Jehovah do it to me also 🙇🏻🙇🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻😭😭😭😭 woooooooo huu ni wimbo wangu wakusema na Mungu miezi hii imebaki kufunga mwaka, I love it, Niko ambae Niko.

Niko ambaye Niko NINAKUAMINI hata katika haya utatenda 😭😭😭🙌🏾🙌🏾
Napenda vile huwa mnaimba maandiko 👏👏👏
Nabarikiwa sana nikimuona pastor sephone sospeter kwenye kinanda Mungu azidi kuwainua kwa ibada njema
Mungu mkuu
🙏🙏😭
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Huduma yenu ni njema sana watumishi wa Mungu Mbarikiwe sanaaa🎉
Mungu mkubwa katika kila kitu
UBARIKIWE SANA NDUGU YANGU KWA HUDUMA YENYE BARAKA
Hallelujah 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇰🇪
Hallelujah. Your Almight God
Yesu nakuamini
Haleluya Hakuna MUNGU Mkuu kama wewe. Wewe Niko Ambae Niko. Hakika Ni wakuaminiwa. Mungu Akubariki sana kwa Wimbo mzuri sana wa Baraka sana.
Huduma yako njema pastor kuvitu nmejengeka kupitia huduma yako barikiwa
Kweli ni Mungu mkuu
Super🔥🔥
Hallelujah
Great job pastor
❤❤❤🙏🙏🙏🙏
🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
🙌
❤