Mhe Waziri Mkuu ni safi ume pata Naibu ata ku saidia. Sisi Becco Ltd tume omba mara nyingi Malipo Yetu kutoka JV Arabs toka 2020. , Naomba ufuatilie. Pesa ni 11B.
Nashangaa sana, umoja wa Afrika kukaa kimya nakuiacha ecowas iungane na Ufaransa kuzihujum nchi za Afrika kama Niger ziendelee kutawaliwa, kukaliwa kimabavu na kunyonywa na mataifa ya kigeni kama Ufaransa. Nauliza hivi, Ecowas na umoja Wa afrika ni nani mkubwa??. Viongozi wa umoja Wa afrika wamelala sana . Naomba umoja wa Afrika waamke wapambane na Rais wa Nigeria Tinubu anaisaliti Afrika na Waafrika.
Kwel mama, mh rais wetu safar imenoga, Mungu akulinde na akuinue Mara 1000, kaz lazima iendelee, mh Biteko naomba niuone sasa utendaji wako ukimsaidia mh waziri mkuu Kassim majaliwa
Mimi nampongeza Mhs.Rais,kwa uteuzi wa kijana ,ili kumsaidia waziri mkuu,naye spate mwanya wa kupumua.Nina Imani naye sana tena sana atamfaa bila wasiwasi.
Kama Rais yupo tayari kumlinda atakapobana mianya ya watafuna nchi kuiba pesa labda vinginevyo nikukumbushe tu Magufuli alipokuwa waziri kwa sababu ya uchapa kazi aliwekewa sumu CCM hawapo tayari kwa watz wazalendo Doto Ana kazi kuongoza mapapa vinginevyo awe kama wao kuvunja sheria na kuiba pesa ya umma 😢 na kuwa msema uongo kwa wananchi 😅
Dotto sina shaka na ww, ila usipokuwa makini kupitia dp world hadhi yako itashuka na haitainuka tena. Kaoneshe uzalendo ktk majukumu yako ya naibu waziri mkuu
Katiba haijataja naibu waziri mkuu lakini katiba hii tulionayo inampa mamlaka raisi kuanzisha cheo au kuanzisha wizara au kufuta wizara na pia kuziunganisha wizara
Mh. Dotto Mungu akuongoze katika majukumu Mapya, piga kazi uweke alama
Yangu macho😮maneno na body language vitu tofauti
Mh..Biteko piga kazi kaka macho yangu🙄
Hongera kwa mtanguliza mwenyezi Mungu 🙏🏼💪🏽✌️👊
Mhe Waziri Mkuu ni safi ume pata Naibu ata ku saidia. Sisi Becco Ltd tume omba mara nyingi Malipo Yetu kutoka JV Arabs toka 2020. , Naomba ufuatilie. Pesa ni 11B.
Majaliwa hakikisha unachukua fomu ya urais 2025 tukupe urais
Mh.doto biteko hekima iwenawe tunaona majukum uliyo nayo na utendaji wako . Hakika unaweza the best government leader.
Mh doto atatusaidia sana upande wa nishati namuamini❤❤❤
Jihuzulu majaliwa ubaki na heshima yako tunakupenda
Nashangaa sana, umoja wa Afrika kukaa kimya nakuiacha ecowas iungane na Ufaransa kuzihujum nchi za Afrika kama Niger ziendelee kutawaliwa, kukaliwa kimabavu na kunyonywa na mataifa ya kigeni kama Ufaransa. Nauliza hivi, Ecowas na umoja Wa afrika ni nani mkubwa??. Viongozi wa umoja Wa afrika wamelala sana . Naomba umoja wa Afrika waamke wapambane na Rais wa Nigeria Tinubu anaisaliti Afrika na Waafrika.
Yeye ni raisi ajae kasimu majaliwa
Kuletewa msaidizi ni vibaya?Kumbuka hicho cheo kilikuwepo tangu enzi za Nyerere.Hayo ni mawazo ya wavivu wa kufikiri
@@RehaniKharidi-st4oeitapendeza
Nilikutabiria makubwa na utafika pakubwa 2030 inshaallah tutakuhtaji ikulu
Hongera sana mungu akusimamie kaka
Hongela mheshimiwa mungu akuongoze
Kwel mama, mh rais wetu safar imenoga, Mungu akulinde na akuinue Mara 1000, kaz lazima iendelee, mh Biteko naomba niuone sasa utendaji wako ukimsaidia mh waziri mkuu Kassim majaliwa
Mungu akutanguli doto
Nilijiuliza sana kwamba kassim akistaaf tutampata wapi mwingine jaman kumbe Biteko yup Mungu akulinde kaka unaujali wa Mungu
SAFI SANA HUYU ANAANDALIWA KUWA WAZIR MKUU PALE MAJALIWA ATAKAPO KUWA RAIS HIO TIAR IMEISHA CHADEMA KAEN KWA KUTULIA
Mimi nampongeza Mhs.Rais,kwa uteuzi wa kijana ,ili kumsaidia waziri mkuu,naye spate mwanya wa kupumua.Nina Imani naye sana tena sana atamfaa bila wasiwasi.
Kama Rais yupo tayari kumlinda atakapobana mianya ya watafuna nchi kuiba pesa labda vinginevyo nikukumbushe tu Magufuli alipokuwa waziri kwa sababu ya uchapa kazi aliwekewa sumu CCM hawapo tayari kwa watz wazalendo Doto Ana kazi kuongoza mapapa vinginevyo awe kama wao kuvunja sheria na kuiba pesa ya umma 😢 na kuwa msema uongo kwa wananchi 😅
Punguzeni Bei ya mafuta , 10,000/= Kupata Lita 2.99 wananchi inatuongezea ukali wa maisha!!!boda boda hawapati faida kama zamani...
Maneno mazuri sana
Hakuna jipya maana kila leo tunajaza vyeo badala ya kuboresha maisha ya watanzania
CCM sionagi wa kusifiwa maana wote ni walewale tu
Kutuongezea tu mizigo walipa kodi sasa cheo gani hiki no mining
CCM ni kiwanda nimenukuu maneno ya jpm
Dotto sina shaka na ww, ila usipokuwa makini kupitia dp world hadhi yako itashuka na haitainuka tena. Kaoneshe uzalendo ktk majukumu yako ya naibu waziri mkuu
Mh majaliwa raisi mtarajiwa tunakuombea
Mzee majaliwa. Tunakutegemea kwenye mbio za urais. Japo tunajua utasumbuliwa sana ili usigombee.
Asa we mh majaliwa unacheka na viongozi wa chini huna maamuzi magumu wazembe tumbua
Hi Natalie angepewa chalamila
Whoever looks on this can define through K face
Kama madini ameshindwa kulipa fidia Hii ndo ataweza
K majaliwa😅😅😅 Taa nyekundu
Hizo ni fikra za wanaoshinda kwenye vijiwe vya kahawa.
Huenda Majaliwa Ndo Ka shauri na Kumuomba Mh Rais Ampe msaidizi.#Think Positively
Muda wa vijana huu sasa
Majaliwa ilotatizo katiba ailusu nafasi ya naibu aipo kikatiba
Nilimshauri waziri mkuu ajiuzulu kulinda heshima yake sasa yamemkuta kwa kupuuza ushauri
Bado tunampenda mwombeeni ktk mapito
Anyways anatayarishwa Kuwa Waziri Mkuu ajaye.
Mm nalia na waliobadirishiwa vitengo wakati wangefukuzwa wakaangalia wengine
Kila la kheri Viongozi wetu
Mh Khasim najua una act, ila uhalisia wako hauko hivo,ukisimama kwenye uhalisia wako jamii kubwa inakupenda na pengne miaka ijayo waweza kuwa Rais
Hajafunga kishikizo
Body language can tell but anyway you are the big hearted politician that side battery will not be a challenge to you
Mbona unaongea ka unalia majaalowa
*hivi hii nchi kulikuwaga na nafasi ya naibu waziri mkuu ndio naamka jaman susingizini*
Pendelea kujisomea itakusaidia
miongoni mwa vitu ambavyo watanzania wengi hatuvijui ni historia ya nchi yetu, Mrema amewahi kuwa naibu waziri mkuu Dk salim na wengine
Nafasi hii haiko kikatiba.
Katiba haijataja naibu waziri mkuu lakini katiba hii tulionayo inampa mamlaka raisi kuanzisha cheo au kuanzisha wizara au kufuta wizara na pia kuziunganisha wizara
FutuRe PRESIDENT and his PM
Kufanya nini ofisini kwako?