"HUO ni USHAMBA" - WAZIRI wa MADINI AWAWASHIA MOTO WAKURUGENZI WANAOSHIKILIA MAGARI ya OFISI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 65

  • @nicolastitus568
    @nicolastitus568 2 ปีที่แล้ว +3

    Da wewe nikiongozi bora sana nakutabilia utakuja kuwa raisi baadae uko vizuri sana nakupenda kiongozi wangu

  • @augustinesimwiya9091
    @augustinesimwiya9091 2 ปีที่แล้ว +1

    Weldone Kaka! Ng'araa D.Biteko🇹🇿🇹🇿🙏
    Kaz Iendelee

  • @qasammawa5310
    @qasammawa5310 2 ปีที่แล้ว

    Allah,akurinde,nakila baya lililo mbere yakp,msemakweri nimpenzi wa mungu ,tumpongeze my Raiskuenderea kukuamini kuwepo eneo hilo,,sisi wanabukombe, tunayo fahari kubwa,natuenderea kukuombea,nakukupigania ,usikunamchana,haujatuangusha, ukweli,nauchapa kazi wako,hauna mashaka,pianikiererezo tosha kuwa umefundwa,vyema.Mora akubariki Dr,biteko

  • @hussenmishamo1963
    @hussenmishamo1963 2 ปีที่แล้ว

    Tunaomba sana mwenyez mungu atujarie viongoz kama bteko wazarendo 🙏

  • @championshahidu2465
    @championshahidu2465 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana kwa ushauri wako mzuri natumaini wakurugenzi na watumishi wengine wamekuelewa mh.

  • @emmanuelmtono7576
    @emmanuelmtono7576 2 ปีที่แล้ว

    Well said. Waziri Dotto ni mpole sana. Lakini hapo umeongea ukweli mzito sana. Safi sana. Kila la heri.

  • @issayasosolo6033
    @issayasosolo6033 2 ปีที่แล้ว +8

    Wewe mpaka hapo unatufaa kwa maendeleo ya nchi yeti, umewatupia jiwe la uso miungu watu hata kwenye Mali za imma!

  • @halimajamaniamekuwamndeme9617
    @halimajamaniamekuwamndeme9617 2 ปีที่แล้ว

    Penda sana waziri, good nice, umeongea maneno mazuri sanaaa,

  • @jeremiahmakoye6340
    @jeremiahmakoye6340 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sana Mwl,Mh Dotto Biteko

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 2 ปีที่แล้ว

    Safi sana huo ndio uzalendo kweli. Asante Biteko.

  • @rutakihama3523
    @rutakihama3523 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sanaaa Mh Dr Biteko wewe ni mzalendo wakweli

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 2 ปีที่แล้ว +1

    Safi muheshimiwa....

  • @agustinocharles2650
    @agustinocharles2650 2 ปีที่แล้ว +1

    GOD bless you

  • @damaspmtz1018
    @damaspmtz1018 2 ปีที่แล้ว +1

    Umeongea, point Sana

  • @jacksonletema6071
    @jacksonletema6071 2 ปีที่แล้ว +1

    😀😀😀😀😀😃asante mh nimekubali unatufaa sana

  • @bockernyarusahi3655
    @bockernyarusahi3655 2 ปีที่แล้ว +3

    Bila unafiki Serikali haipendi Wsnanchi wake,wao wanaangalia maslahi yao,kwani Landcruiser haiwafai hao watumiaji wa hizo Gari!,mpaka wanunue mavx/mav8,na ilhali dawa na maji safi hayapo kwa Wananchi,bado tutabaki kuwa maskini sababu hatujaonesha nia ya dhati kupamnana na umaskini,eti Nchi maskini,kwa matumizi ya hizo Gari. Hatuna umaskini

  • @mwankenjatv9330
    @mwankenjatv9330 2 ปีที่แล้ว

    Akili kubwa👍👍👍💪💪💪💪

  • @michaellong5368
    @michaellong5368 2 ปีที่แล้ว

    Mheshimiwa nimekupenda sana.

  • @farhanhassan6858
    @farhanhassan6858 2 ปีที่แล้ว

    Umeongea vizr sana kiongozi

  • @jofreysinchenje1995
    @jofreysinchenje1995 2 ปีที่แล้ว +1

    Great waziri

  • @hassanmaganga1544
    @hassanmaganga1544 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sana kiongozi

  • @mauruskimbe5478
    @mauruskimbe5478 2 ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @imelidamfikwa7954
    @imelidamfikwa7954 2 ปีที่แล้ว

    Biteko huwa nakukubali sana,chapa kazi

  • @wangwemseti7592
    @wangwemseti7592 2 ปีที่แล้ว +4

    Mkumbushe biteko kuna wachimbaji wanatumia gharama ya uchimbaji ikifika wakati wa kuchenjwaa wanapata hasara hata gharama za kulipia gharama erusheni zimekata Bado serikali itakata Kodi bila kujali hasara ya mchimbaji naionba serikali imtazame huyu mchimbaji na kumhurumia pale anapokua amepata hasara kwenye madini

  • @rehemamohamedy4007
    @rehemamohamedy4007 2 ปีที่แล้ว

    Well said mkuu

  • @kilonzokallage6159
    @kilonzokallage6159 2 ปีที่แล้ว +5

    Wakati mwingine maarifa yatumike,kazi za migodi ni kazi za rough road ,sasa mnanunua ma prado ya nini,
    Hizi ni kazi za ma Hard top,mnatubebesha mizigo ya service bure,uliona wapi madini yanachimbwa mjini?

  • @bernardkashindye8159
    @bernardkashindye8159 2 ปีที่แล้ว

    Safiii hongera

  • @mamertkibori2450
    @mamertkibori2450 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akutangulie umesema Kweli kabisa.

  • @frankngoloka2589
    @frankngoloka2589 2 ปีที่แล้ว +1

    Wape ukweli wao

  • @erickdioniz8277
    @erickdioniz8277 2 ปีที่แล้ว +3

    mnanunua magari ya bei sana wakati nchi yetu maskini ni ufala

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 ปีที่แล้ว

      Badala ya mapikup double kebin

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 2 ปีที่แล้ว

      Wewe nawe ni mshamba

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 ปีที่แล้ว +2

      @@kwisa4899 Hatuko kwenye ujanja au ushamba tupo kwenye uhalisia wa hali ya nchi na maisha ya Watanzania hao wapo kazini sio kwenye starehe wakitaka starehe wanunue yao si wanalipwa mishahara. Hivi kwa njia za Mirerani au kwenye migodi kunahitaji gari za starehe kweli?kule kunahitaji gari ya kazi ambayo unaweza beba chochote nyuma ya cabin ,hujaona wa South Afrika au tuseme Wazungu wenyekuchimba madini hawaendi na magari ya kifahari kwa kuwa wapo kazini hapa Tanzania Mkandarasi anaenda site na V 8 ata sijui ikibidi kupeba vitendea kazi ataweka wapi kama sio uharibifu wa kodi zetu

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 2 ปีที่แล้ว

      @@leokamil6284 Kama nakuelewa vile

  • @mynameisindicated
    @mynameisindicated 2 ปีที่แล้ว

    Kwani dereva kukaa na hela yeye ni mhasibu? Apewe hela wakati wa kutaka kufanya service. Ila ukisema dereva akae na hela siyo sahihi. Hela inakaa na mhasibu

  • @mariamrrusa3514
    @mariamrrusa3514 2 ปีที่แล้ว

    Big up

  • @benedictmrisho5947
    @benedictmrisho5947 2 ปีที่แล้ว

    Mh tunaomba upambane Mwanza Gold Refinery Plant ipate kutambulika duniani ni muhimu sana.

  • @deohank5995
    @deohank5995 2 ปีที่แล้ว

    Vijana mlikuwa wapi? Naamini soon kuna MABADILIKO chanya yanakuja,

  • @daudpaulo2867
    @daudpaulo2867 2 ปีที่แล้ว +1

    Ngoja nipeleke vyeti sijui nitapata kazi hapo

  • @magembesitta5657
    @magembesitta5657 2 ปีที่แล้ว +1

    Mngenunua dawa na ambulance kiomboi iramba ningewaona mnaakili

  • @esthergeras5355
    @esthergeras5355 2 ปีที่แล้ว

    Ununuzi wa Magari kwa akili ya kufanyia kazi ni jambo zuri ila kwa mazingira ya migodini hizo Prado mtaacha mabumper porini, land cruiser hardtop ndio zenyewe

  • @musason1680
    @musason1680 2 ปีที่แล้ว

    Umeongea vzr mno

  • @mathiasmwingira6951
    @mathiasmwingira6951 2 ปีที่แล้ว

    Huyo ni Dr bhana mpe cheo chake

  • @mwanagwakyala3213
    @mwanagwakyala3213 2 ปีที่แล้ว +3

    Jamaa una akili Sana sio hao tu unaowaambia wapo wengi

  • @samsonmagesa3959
    @samsonmagesa3959 2 ปีที่แล้ว

    Ndiyo maana Wakistaafu wanakufa mapema huo ni ushamba kwa kweli

  • @qasammawa5310
    @qasammawa5310 2 ปีที่แล้ว

    Haaaa,haaaa, safi sana,mh,biteko

  • @bundalamakanga773
    @bundalamakanga773 2 ปีที่แล้ว +2

    Temberea songea uone hujuma za makaa ya mawe yanavyo polwa

  • @barakanestory3521
    @barakanestory3521 2 ปีที่แล้ว +2

    Hivi kaongea Kwa ajili ya wananchi wote Tanzania, au Kwa madereva, Hivi mmemuelewa

    • @Zabronlupemba2200
      @Zabronlupemba2200 2 ปีที่แล้ว +3

      Wanainchi wote how, wakati anaongelea issue ya magari

    • @rutakihama3523
      @rutakihama3523 2 ปีที่แล้ว +1

      Aongelee wananchi huon kama anazindua magari hapo wananchi wanaingiaje

  • @benedictmrisho5947
    @benedictmrisho5947 2 ปีที่แล้ว

    Weka mikakati mizuri kuhakikisha hiyo Refinery imesajiliwa na kutambulika duniani.

  • @vascokasambala2159
    @vascokasambala2159 2 ปีที่แล้ว +1

    DA WAZIRI UMEONGEA POINTI

  • @benjaminimiselya6944
    @benjaminimiselya6944 2 ปีที่แล้ว

    Raisi ajae Huyu anatufaa 2025

  • @calvinonlinetv5845
    @calvinonlinetv5845 2 ปีที่แล้ว

    Waziri pekee asiyetumia V8 VXR. Tanzania nzima. Waziri anaetumia Prado TX. 🇹🇿🇹🇿

  • @kimingowameno4068
    @kimingowameno4068 2 ปีที่แล้ว

    Awiiiiiiii pasha pasha pasha waziiii

  • @mweyoms5548
    @mweyoms5548 10 หลายเดือนก่อน

    Ushamba na uhuni pia

  • @maimunashaban9538
    @maimunashaban9538 2 ปีที่แล้ว

    Pongezi sana

  • @yohanakananika3586
    @yohanakananika3586 2 ปีที่แล้ว

    ✍️

  • @maulidihassani8324
    @maulidihassani8324 2 ปีที่แล้ว

    Wakurugenzi wamepigwa nakitu kizitoo sasa kazikwao wanaojielewa

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 2 ปีที่แล้ว

    Mwambie na yule mzee wa v8, polepole..ushamba mwingi

  • @hamisnkumba8329
    @hamisnkumba8329 2 ปีที่แล้ว +2

    Mzalendo mwingine anaeijua kazi na mwenye akili zaidi

  • @cyprianbernard907
    @cyprianbernard907 2 ปีที่แล้ว

    Wambie hao washamba

  • @barakanestory3521
    @barakanestory3521 2 ปีที่แล้ว +1

    Wasimamie wanakata umeme Kila wakati,simamia watu wanateseka ,mnakata umeme sana

  • @gabrielbahat9107
    @gabrielbahat9107 2 ปีที่แล้ว

    😂😅🤣👍🏼👍🏼👍🏼👍🏼

  • @kipigapasilisungu2581
    @kipigapasilisungu2581 2 ปีที่แล้ว

    .