mchungai nashukuru kwa mafundisho mazuri ila fundisho LA chombo chambaba niliwahi kufanya hivyo nikaweka kikombe sahani bakuri ngras na hotipoti kwa ajili ya mume wangu lakini kitendo chakuja mama mkwe kutoka kijijini alidai kua niushirikina namfanyia mwanae na siku zilivyo zidikwenda vile vyombo vilivunjwa kimoja baada ya kingine kwa sasa nimerudia tena sasa nahawa mamazetu wakwe wapewe somo
Mbali huku tuko vijijini DRC tunakufwata 💯 %,na kweli tunabarikiwa kabisa.Mafundisho hayo yanaokowa jozi chungu nzima na kweli mungu akubariki na akuzidishiye elimu,hekima,ujuzi,afya,uchumi,na kila kitu kya mafaa kwako.
mwanaume mwingine amelishwa madawa na mama yake hadi mke anakuona ufai kabisa muda wote yuko bize na mambo yake hana muda kujua umefanyia nini mwanaume mwenye hofu ya mungu ndiye anajua samani yamke
Nabarikiwa sana na mafundisho yako Pastor, Mungu azidi kukubariki... 🙏🏽
baba asante sana kwa mashauri mazuri ,huko ambapo ulipo Mungu akulaze mahali pema peponi🙏🙏🙏👏👏🙏👏🙏🙇♀️
Baba asante sana kwa mashauri mazuri sana kweli 🙏🙏🙏🙏 huko ambapo ulipo Mungu akulaze mahali pema peponi🙏🙏👏👏👏
I hear you man of God
Ubarikiwe mchungaji Kwa mahubiri Yako mazuri ya ndoa pia ushauri Kwa wanandoa
Whoow!!nimependa,mafundisho,kweli kabisa
Hayo mahubiri Yako mazuri yananikosha sana mchungaji wetu
Tunakufata sana uku
Wallai i wish ungekuwa mwislamu...uko juu sana...waweza kuwa sheikh mzuri sana Wallai...Allah Akupe Afya siku zote.
asante sana Mwalimu kwa mafundisho mazuri matamu kwasisi wamama Mungu akubariki
Nashukuru mchungaji nimejifunza vitu vya maana sana leo ubarikiwe zaidi
Mtumishi WA mungu umetubariki sana.
Umelala baba usingizi wa milele! Umeacha waya mweusi,utowai kusaaulika,
Upo vizur sana kwa mafundisho mtumishi
Very true. Be blessed always man of God
barkiwaaaaa baba
Ubarikiwe mtumishi
Mungu akubark mchungaji nmejifunza kitu
Amen Amen
ni kweli mchunga unabari maisha ya wengi nasi tunakuombea sana tunabarikiwa
Nimebarikiwa sana mtumishi mungu akubariki saaaana
Nimejifunza kitu kizuri mtumishi mungu akupe maisha marefu
kwasunda
mchungai nashukuru kwa mafundisho mazuri ila fundisho LA chombo chambaba niliwahi kufanya hivyo nikaweka kikombe sahani bakuri ngras na hotipoti kwa ajili ya mume wangu lakini kitendo chakuja mama mkwe kutoka kijijini alidai kua niushirikina namfanyia mwanae na siku zilivyo zidikwenda vile vyombo vilivunjwa kimoja baada ya kingine kwa sasa nimerudia tena sasa nahawa mamazetu wakwe wapewe somo
Asante muchungaji nina jifunza kitu
Nmebarikiwa kwa kweli na haya mafundisho.GOD BLESS U MAN OF GOD
Amina Catherine Mungu akubariki sana sana
namiss mafundisho yako mwalim na mchungaji
jaman maandamano tena! yote hayo ya baba mie kuchoka kbs
Mbali huku tuko vijijini DRC tunakufwata 💯 %,na kweli tunabarikiwa kabisa.Mafundisho hayo yanaokowa jozi chungu nzima na kweli mungu akubariki na akuzidishiye elimu,hekima,ujuzi,afya,uchumi,na kila kitu kya mafaa kwako.
Shukran
wooou tnx papaa
Uko sahihi mtumishi
Be blessed man of God. Im richly blessed by your teachings
Jamani mbona uko na mafundisho matamu,ndoa yangu itaimarika🙋
Mitimingi
Well done servant of god
ubarikiwe sana
Mengine sikubaliani nayo ila ndio hivyo yangu nachukua yasiyo yangu naacha.
Sure
hapo mchungaji umeongea vizur sana
Hahahaha nimejifunza ubarikiwe Pastor
Mchg sema tupone kweli nimebarikiwa sana na mafundisho yako barikiwa sana
🙏🙏🙌
hapohapo mtumushi! japo baathi ya waumee hukwepa majukum! ndo hata mke washindwa heshma ampe nani jamani! raha nda hamna
mwanaume mwingine amelishwa madawa na mama yake hadi mke anakuona ufai kabisa muda wote yuko bize na mambo yake hana muda kujua umefanyia nini mwanaume mwenye hofu ya mungu ndiye anajua samani yamke
mzee mitimingi anatema madini sana hiv kanisa lake lipo wapi nimemfwatilia sana anakitu cha pekee
Huyu jamaa ananipa madini
Mchungaji anatoa vitu vizuri mi na mke wangu
Leo ndio nmejua kwann baba huekewa bakuli zima la nyama then cc wengine twashkishwa vipanda viwili viwili😁😁😁😁😁😁
Hahahaaaa umenichesha
@@benfrancis8288 hats Mimi nimecheka kweli
hahaha maandamano tena mchungaji,nimefurahi sana ntafanya hivyo
Hahaha aiseee haha dah
Kongole ... WCC
siku izi mbona huweki vipindi TH-cam Mtumishi,😒😒
Nataman siku moja nikuone
Pole sana
hapo Kwa maandamano
ko ww hutaki kuandaman hahahah
Amen