ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก
ต่อไป
เล่นอัตโนมัติ
NAMNA YA KUSALI - SHEIKH HAYTHAM & SHEIKH SHARIFF ALIILM TV KENYA
มุมมอง 73K
Namna ya kujisafisha Damu ya Hedhi na ya Uzazi || Kuoga janaba - UKHT: MWANAHARUSISingo Media
มุมมอง 2.5K
JEE TWAJUA KUOGA JANABA VIZURI /MAFUNDISHO YA KUOGA JANABA / SHEIKH MURAD NAUHY [ALLAH AMHIFADHI]ABUU AISHA أبو عائشة
มุมมอง 107K
🔴LIVE เชียร์สด : ลิเวอร์พูล พบ อาร์เซน่อล | หงส์แดงลุยปรีซีซั่นดวลปืนใหญ่GOTJISIRI CH
มุมมอง 176K
สไลด์เดอร์นปโปะหม่ำๆ ถ้าไม่ร้องก็ไม่กิน #บี้เดอะสกา #bietheska #theskagangBie The Ska
มุมมอง 1.9M
Cool Items!🥰 New Gadgets, Smart Appliances, Kitchen Tools Utensils, Home Cleaning, Beauty #shortsCool Items Official
มุมมอง 14M
น้องคนนี้ขอโดดน้ำคลอง เพื่อมาแลก 1000R!! #เกมกับshorts #roblox #freerobuxWinrockeR ChanneL WKC ヅ
มุมมอง 375K
Hukumu ya swala kwa mwanamke alie tia dawa nywele zake. Faidika na Mwanamke Muislamu
มุมมอง 15K
MAFUNZO YA KUVESHA SANDA MAITI / SHEIKH MURAD NAUHY ALLAH AMHIFADHI [PART2]ABUU AISHA أبو عائشة
มุมมอง 354K
LIVE : ASUBUHI NJEMA 24 JAN 2021 udhu na swala 1 (Namna ya Kutawadha)Africa TV2
มุมมอง 89K
Namna Ya Kuoga Janaba /How to perform Janaba - PART 4TEAM ALI DOCTOR
มุมมอง 442K
Mafunzo ya Udhu na Sala 2 - SHEIKH RASHID AL SHUKERYMasjid Istiqaamah Bujumbura
มุมมอง 248K
#UKISOMA DUA HII NYUMBANI MARA ( 41) KWA TARATIBUZAKE MCHAWI AKIJA ANAKUFA/ maalim shabanimaalim shabani online tv
มุมมอง 235K
เกือบจะเดือดแต่มีหักมุม หนุ่มประกาศกร้าว _ูเป็นหัวหน้าครอบครัวBright TV
มุมมอง 964K
ตีนไก่ทอด ตีนไก่ชุบแป้งทอด สูตรทำขาย เคล็ดลับอยู่ที่วิธีคลุกแป้ง #ครัวพิศพิไลครัวพิศพิไล
มุมมอง 65K
การแบ่งปันเป็นสิ่งที่ดี น้องเจเคแบ่งขนมให้คนอื่นจนหมด sharing is good #การแบ่งปัน #sharing #shortsคิดดีทีวี | Kiddee TV
มุมมอง 185K
น้ำใจคนดี #แม่สุน้องซูกัส #ตลก #shortsHeHaa TV
มุมมอง 545K
เชียร์สดช้างศึก U20 ไปถึงแชมป์ ไทย พบ อินโดนีเซียช้างศึก - ฟุตบอลทีมชาติไทย
มุมมอง 1.2M
วันแรกลงทะเบียนรับเงินหมื่นผ่านแอปฯ “ทางรัฐ” มีผู้ลงทะเบียนสำเร็จกว่า 2 ล้านคนสํานักข่าวไทย TNAMCOT
มุมมอง 206K
ดราม่าโอลิมปิก นักกีฬาจีนฟิวส์ขาด! โดนเหยียบไม้เกือบแสนหัก!! ใจสลายหวิดวางมวย!!หมีเก็บบอล
มุมมอง 132K
KARMA AT SCHOOL 🏫 Stop timedednahype
มุมมอง 39M
Maashallah
Asante sana kwa maelekezo yako mwema Allah akulipe kila la kher
MashaAllah kwa elmu wallah
Ukianza kutawadha wasema bismillaah husemi Tena kitu paka baada ya kumaliza ndio useme*ash'hadu anlaa ilaaha ila'llah wa'ashhadu anna muhamadan rasuulullaah
Basi uyu yy alikua ana fundisha
❤❤❤❤❤❤❤
Thank yo@@samirahemedy3526
Xaw
Ila Binadamu bwanah
Hii dini tamu sana ukijua vizuri
Asante unafundisha vizur na ninaelewa mungu akubaliki
Asante unafundisha vizuri sana. Mimi nimeslimu nilikua sipati somo vizuri nashukuru sasa nimeelewa kupitia hii video
SHUKRAN mungu akujaze kila la herry
Ma sha allah
Shukran sheikh kwa ukumbusho
Allah akulipe duniani na akhera
Mashaallah ❤❤❤❤❤ shukran Allah akuhifadh
Allah ibarik fik sheikh murad
Asante mwenyezi mungu kwakutufikisha mwezi huu lamadann❤❤❤❤❤❤❤❤
Mashaala allah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Waalaykum salam warahmatullah wabarakat
Shehe nashukuru kwa kutoa elim asee napenda sana ulivyotuelekeza waislam wenzako pale tunapokosea
Jazakallahu lkheyr
Asante ALLAH akuzidishie❤❤❤
Kisha useme*Allaahummaj'alnii minattawwabiin waj'alnii minalmutatwahhiriin waj'alnii min'ibaadika swalihin
BarakaAllahu feek🙏🇬🇧
Shukurani shehe alaa akuzidishie umuri mrefu
Masha Allah Allah akulipe kwa elimu hii uliyoitoa ndugu
mashaalah
Mashaalllah
Walykumu msalam warhatuallah wabarakatuh
Allah akulip kher
Mungu akuzidishie Inshaallah
Shukran sheikha Allah akulipe ujira uliokua mwema
Masha Allah
Husemi chochote katika kila hatua hizo adhkari unazosema katika kila hatua hazikuthubutu kwa mtume swalla'llaahu alayhi wasallam
Unasema darasa ni la kuonyesha naman ya udhu unavyofaa kutiwa naam
Mashaallah
Maashallah ❤
Shukran sana mola akujaalie kheri inshaallah
Shukran.May Allah guide us right.
Shuran saana saana umetupa farida kubwa.jazzaka Allah heri
Asanti hostazi Allah akuzidishie elim nass wte
Jazaka Allah Heri
Mashaallah 🙏🥰
Shukran Allah atujaalie mwish mwem
Shukran Allah akujalie kila la hery
Maa shaa Allah Allah akulipe kheri
Sheikh mungu akulinde utupe elimu
Mashallah
Shuqran for ur education
Shukran mashallah
Shukuran.mungu.akujaze.kila.lakher
shukran hostaz
JazakaAllah
جزاك الله خيرا يا اخي
MashaaAllh
Mashaallaah watabarakaallah
Mashallah🙏🙏
Shukran mungu atakulipa ujira wako
Asante sana mafunzo mema
Shukran ya Rabbi nakuombea heri
Mashallah Jazakallah kheri ❤❤❤
Shukran Yaa akhi
Shukulan kwaelim 🙏🙏
Assalam aleykum warahmatullah wabarakatu shukran
Jazaka Llahu Khair
Asant mungu akulipe
Barskah raahu
Shukran
Alhumdullih
MashaAllah Allah akujazi kheri..
Lakini ni vizuri pia ungesema hii ni kwa mujibu ya madh hab ya imam flani, kwa sababu tunatofautiana pia madhahib mengine tusije kuona wanakosea kumbe ni sawa..
Shukuran sana sheikh
Shukran kwa ujumbe
alah akujaliye nakuongoze
Shukrani
❤❤❤
Jee vidole puani vip
🙏🙏🙏
شكرا و جزاك الله خيرا
أمين وفيكم بارك الله
🎉
Aa Masha Allah allahubarik Allah atakuhifadhi sheikh wetu twakupenda sana ❤
Natka urecord video ya mtu aliyeshindwa kutumia maji
Namna ya ku tayyamam😢 plz
MashaAllah ❤❤❤
❤❤
Shukuran mungu akupe herry yake
Muntaaz
kama sijakosea nadhani ukiosha mdomo na pua yafaa unuse maji ili ingie ndani kabisa ya pua kisha kupuliza pua kutumia mkono wa kushoto.Alafu pia miguu huoshwakutumia mkono wa kushoto wala sio wa kulia.
❤❤❤❤❤
Shuklan 🙏
Je Ivo ukiwa unatia udh husem mfano nawait Sunday li uzui kweny kiung au vp
Shukurani
M/mung azid kukuzidishiaa
Sasa kutana na mashekh wa bakwana na waumini wao wanavyotawadha unaweza hata kutapika haswa wakisukutua Subhannallah jamaa hawajui dini wale hatari sana
Asa wewe umemuona mmoja au wadunia nzima acha ufiki
Asante kwa darasa, ila kwenye kutawadha kwenye miguu kuna muksheri kidogo maana inatakiwa uanzie kwenye goti hadi chini ya unyayo na sio kutoka chini mpaka katikati ya mguu
Kufikisha Kwa magoti hiyo n Sunnah Sio lazima
Samahani umesahau kuosha shingo
duasasa bwana husemi
Shukran umetuonyesha jinsi yaku tia udhu lkn hujatuambia wasema nn kwa kila hatua.
husemi chochote zaid ya bismillah wakat unataka kuanza na dua baàda ya kumaliza
Kwamwanamke anavua ushungi kuisha kichwa
Xhukrna kw maelez yko
shekhe mi huwa nikifika kutawadha miguu huwa nafikisha hadi magotini..je udhu wangu utakuwa hauja kamilika...???
𝑺𝒉𝒖𝒌𝒓𝒂𝒏 𝒌𝒘𝒂
Husemi chochote??
Mi nilivyo fundishwa kila kiungo na nawa mara tatu
Ukiosha mackio na nywel c ni mara moj2 jamn waumuani
Mimi naomba kuuliza ukienda chooni ukimaliza kujisaidia kama haja kubwa au haja ndogo ukimaliza unatakiwa usome dua ganj
Sio tu kusoma dua hata kuongea chooni hautakiwi dua utasoma baada ya kutoka
@@afhamomar4441kwaio ukimaliza kujisaidia una nawa to kawaida husomi dua yoyote
Mbn untia vidole puani
Km KUNA VITU anahisi vimegandia puani
Iyo dua unasoma ukiwa njoo maana mwengi kunatia udhu chooni?
Choon unaanza tu kutawadha husemi neno Bismillah ila pia ukitoka choon nd utasoma hiyo Dua baada ya kutawadha
Mbona kuosha put sijamuona
Angalia tena Ndugu
Haitakiwii unapo tia maji puani kutia vidole
KAMA KUNA VITU vimegandia?
Nlivyo fundishwa mm ni kua ukimaliza kutawadha uko tayari kusali iyo dua husemi
Sema hiyo Dua sikufundishwa SIO husemi