Wafugaji wa kisasa hutumia sana hizi njia kupunguza gharama, 1. Black soldier flies (Maggot farming) 2. Azolla farming 3. Worm farming 4. Duckweed farming 5. Hydroponics fodder Elimu ni muhimu sana lakini uthubutu ndo unatoa watu, Hongera kwake
Hawa funza wanauzwa kwa bei ya tah 4000 kwa kilo. ..ukiwazalisha kilo 5000 tu unakuwa umetengeneza tsh million 20.. KuwaAlisha mpaka kuwavuna wa chukua siku Saba tu. Kama hujuwi Kaa kimya! @@abedysteven4930
Wafugaji wa kisasa hutumia sana hizi njia kupunguza gharama,
1. Black soldier flies (Maggot farming)
2. Azolla farming
3. Worm farming
4. Duckweed farming
5. Hydroponics fodder
Elimu ni muhimu sana lakini uthubutu ndo unatoa watu, Hongera kwake
Watoto wasomeshwe hakuna namna knowledge is everything
Nimemuelewa sana Jamaa...Hio ndio maana halisi ya kusoma..vijana wengi wanasoma ili waajiriwe.. na bado hawajasema
Aisee kusoma muhimu mm nzi nauwa kumbe Sina elimu.
Yani
Hongera sana Ila jitahidi kuwa na hadhari ya usalama wa mazingira ktk mazingira na Afya.
Mhii mkaka wa mtu mwenyewe mzuri Masikini ya Mungu 😢😢😢😢😢😢
HONGERA NDUGU YANGU MTANZANIA MWENZANGU SHULE MSINGI WA MAISHA SASA APO NDIO MSINGI WAKE WA MAISHA UBALIKIWE MDOGO WANGU KWA MAENDELEO YA MSINGI 👍 👌
Kuwafuga ni kazi raisi sana msingi mavi tu wanajaa wenyewe kama unaitaji kuwafuga kunya geto kwako utakua umeanza na mtaji wa nzi 5000
😂😂😂
Huyu jamaa akafundixhe entomology ya fly
Kuna ginsi ya kupata namba zenu. Kwani tuna lengo ya kufuga nzi chuma. Tupo Tunduma.
Hawa nao Ndio Wale wale kama Yule mfugaji wa Mende,, Mafii Mafii Tu
😂😂😂
Hawa funza wanauzwa kwa bei ya tah 4000 kwa kilo. ..ukiwazalisha kilo 5000 tu unakuwa umetengeneza tsh million 20..
KuwaAlisha mpaka kuwavuna wa chukua siku Saba tu.
Kama hujuwi Kaa kimya!
@@abedysteven4930
Me nimeshika neno pyupa Moja 😂🙌🔥🔥
😮😮😮😮😮 makubwa
Watu wanafanya mzaha. Lakini ukweli ni kuwa wenzetu huko nje wana viwanda na wanawazalisha wadudu hao kwa tani nyingi tu kwa siku.
Elewa neno nilikuwa israeli👏👏👏
Kwa iyo ndo nini
Mwache aseme aliyetoka katoka ndege sio gari
Wasafi kuna mladi wa chawa na kunguni naomba mtutembelee mpate faida zaidi
Nimekuelewa kijana hii ndio faida ya elimu
Mmmmmmmmmmmmmmmh,
Nzi hawa hawa ninaowajua mimi mbona hao wakubwa kama kumbi kumbi
Kumekucha
Mimi nafuga mbu karibuni
😂😂😂
Kuwa serious basi!
zipo njia rahisi sana za kuwapata hao funza bila kusumbuuka na. huo mzunguuko mrefu.pumba na mbolea ya ng'ombe
Kwa hyo ni nzi wa chooni
Tunaohitaji kujifunza jee tunakupataje
Chakula chao huangaiki unaenda kunya mwenyewe.
😂😂😂😂 Nimecheka Kwa SAUTI Mpaka Watu wananishangaa
Kufuga nzi sio gharama....mtaji mavi tu😂😂
Mimi nafuga mchwa mje munitembelee wasafi
Duuu
Afu vijana mnasema hamna ajira
Kuna mradi wa kunguni mbagala ,wasafi tembeleeni
Wanafaida Gani?
Eeweeeeeh_🤔
Nipe namba zako nifike huko Mimi mtu wa media
🤣🤣🤣
😂😂😂 nicheke tu
Wahata hawajawah kuwa na akili
Angalieni msitumwe na watu kufuga viuwe wa kusambaza ugonjwa mnapewa ela
Mmh nikaz😂
Heee😂
Kipindi pindu sasa
Na chakula chao itakuwa anakunya humo humo ili nzi wapate kula
Mm nailaumu serikali kwa kushindwa kuwapa vijana ajira, tutaona mengi Sanaa, vijana watafuga hata Mavi ili yakauke wakauze.
Huna akili timamu wewe unadharau hicho alichofanya huyo mwamba hzo inovation ndio zinazalisha ajira sasa
Mimi nafuga mademu
😂😂😂😂
Mzee umenichekesha kinoma.
Kutafakali ya filauni utaona ya mussa
😅
Mnakunya humo ndani
ENTOMOLOGIST