HEARTBURN
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 19 ธ.ค. 2024
- Mwandishi : Kalmasi Konzo
Msimuliaji : Lucas Lumbasi (+255 710208145)
Follow Me On Socials :-
Facebook : www.facebook.c...
TikTok: www.tiktok.com...
Instagram: www.instagram....
USISAHAU KU SUBSCRIBE NA KULIKE KAMA UNAPENDEZWA NA SIMULIZI.
Psalms 46:1 ESV
"God is our refuge and strength" - บันเทิง
Yani kablah ya masaa 24 teyar tuna simliz 3 Eeee Mola muhifazadhi huyu kija mpe hitaji la Moyo wake mfanya wepes kwa kila peny uzito 🤲
😅😅 Mungu atulindie kipenzi chetu LUCAS ❤❤
@ZenaidaDaniel-r9d 🤲🤲🤲🤲
amii🤲🏽🤲🏽🤲🏽
Just imagine, unaingia tu kwenye comment unakutana na Comment ya namna hii yenye kutia moyo, nguvu, na maombi kwa Mola, asante sana Amina, nawapenda na Mungu atufanyie hivyo sote 🙏
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZIAmiin
Mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥
❤❤Leo nipo🔥🔥 Lucas kama kawaida yake kua nasisi kla uchao, Asante mungu akubariki 🙏🙏💜👏
I like it🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Heee kaka Lumbas mzigo uko poa
Hakika inapendeza sana hakuna kuboeka ❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Wa 5 ila sio mbaya mud mwafaka 🎉🎉🎉😊
😭😭😭yaani mm nakupenda kaka lucasi cozz kila unacho kisimulia kimebeba uzito wa maisha yangu..yaani sasaivi namm najifunza roho mbaya ..japo siwezi..ila nitashinda tu😢marafiki..binaadamu..na ndugu..dah Acha kabisaaa
🤣🤣
pole dada rehema
Wala usiwe na roho mbaya dear bali jifunze kusoma alama za nyakati..suluhisho ni kuishi na waja kwa akili na.usiamini chochote kupitiliza
🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao
❤❤
Thanks lucas
Lucas ❤❤ simulizi nzuri sana kipenzi changu 🥰🥰 mzee kamsharange
Mungu akupe heri nyingi umejua kutufurahisha mashabiki zako ,leo ni burudani tuu
Hahahahaha 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nimejikuta nimelia sana dah kifo Cha mama fili❤❤🎉🎉
Nipo nipewe 🎉🎉🎉
Asante bro wetu wa nguvu unajua kutujal sana naimani Mungu atakuw nawe siku zote na kukupa furah ya Moyo wako , azidi kukupa baraka tele na mafanikio mema I love you LUCAS LUMBAS wewe ni mtu wa mana kabisa💪👌
Wooh kumbe leo niliwai mauwa yang ila ntasikiliz ninazalula🎉🎉🎉❤
🎉🎉🎉
Leo nimewahi ❤❤❤❤❤
Nmewahi leo nmekua wa 5 nipeni like wadau🎉🎉
Haya tunasikiliza hapa ili tujuwe mwisho wa HEART BURB ILI TUJUANE ITAKUWAJE ✌️🪑🎧
🎉🎉🎉a❤❤❤
Wale mnaoishi humu ndani like zenu😃😃😃
Nimewao wapi likes jameni chukueni maua🎉🎉🎉🎉🎉
Wanawk tuish kwa akili na viumbe.vinavyo itwa wanaume kma ivo mama phili angeish kwa akili na uyo baba feel miaka yte iyo angejeng japo vyumba viwili acnge pata tbu saiv ila tukijiachia ayo ndo yanayo tokea
Naumia Sana kumpa mtu mda na nguvu zako Kisha akutimua bla chembe ya utu💔💔 ila Mungu hua achi maumivu yapite bule🙏🙏
@TeklaNdekeja atakuja kuta msaada mwisho wa cku uyo baba atajuta
@@TeklaNdekejame ningeenda kwenye sheria najuw tungegawan tu izo mali na tuna mtt mkubwa mbna angejuta ila wnwke wngne tunashndwa kujiongeza
@Babyfaty-m3y roho yakususia nahasra huwa zinatangulia Sana me yalisha nikuta ila Mungu hajanicha nashukuru Sana kwa Hilo Kwan ad sasa Hana kla ktu zaid ya nyumba tu n vitu vyandan
@@TeklaNdekeja mungu yupo hamuachi mja wke
Mama anauma jamani simulizi mzuri sana yenye mafuzo very nice 🙏❤❤❤❤❤❤ flowers 💐
😮♥️♥️♥️🥀🥀🥀🌹🌹🌹🔥🔥🙏
Woow mambo ayoo mapema yamefika 💃💃💃
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Let me sit and hear the story of health burn niona akafanya nn uko mbele
❤❤💜🙌
Yani Lucas Mimi kukupenda tu ndio kitu najua bila simulizi yako silali❤❤
Love you kaka Lukas love story
🎉🎉
Mmmh lucas story zako cku hz😢
Zimekuwaj?🤔
So amazing 👏 😍 🙌
❤❤🎉🎉😂😂😢😢1
Ukiolewa na mtu mubinafs kma kamushange😭 aisee hatali💔 yaan uchume namwingine hlautumie ila kafanya poa kumfukuza namwanae me najua matokeo yake wacha nimpe masikio lucas
@@TeklaNdekeja nasbir nije nimcheke tu
@Babyfaty-m3y nani huyo kamsange😂😂
@@TeklaNdekeja ndy🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@Babyfaty-m3yNenda t bibiwe ata usionee uruma nikukamua haswaaa ad akose ata yakununulia bocxa ndio unamwacha🤣🤣🤣 hafai kabsa ku onewa uruma,😂
@@TeklaNdekeja ila uyo fety atakuja kulia mdomo juu ikifika zamu yke 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😅😅fill unapenda kulialia
😢😢 inauma sana
Asante Lucas Roma
😢😢ihiii FETTY Mungu anakuona ila mzee kamshange umeyataka mwenyewe 😅😅
Kauponza mwenyewe Kuna wa2 hawana Mtt hata 1 na wanasubra
❤❤❤❤
Wakwanza
Nice
Lucas lumbar hujawahi kituangusha mashabiki zako❤🎉🎉🎉
Jmn lukas kaamua kutokutupumzisha
😢😢😢🤔
Kwan huyu fili c akaibe document za baba yake jaman jasho la mama wa wa2 lnaenda bure maskn.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣fety mganga wko kiboko hemu nielekeze na mm mna kuna zee natak nilifunze adabu🤣🤣🤣🤣🤣
Rafiki nikufaana dogo alisaidiwaa nayy amekumbuka hisani safi kaka huo ndotafiki
Ndo mm katika maisha haya siwexi ekeza na mwanaume hata awe bn yangu bora nijipambanie mm ona mama mathayo kafukuxwaa usiku tena namatusi juu wakati wametafuta mali wotee😢😢😢 huyu babujinga atakuja kulia bs tuuu.. halafu marafiki kama mama tausi wapite kushote yani marafiki wanafiki mwezio amepata shidaa unasema usijeachika looo huyu mwisho atakuja kuomba msaada kwamama mathayo tumohumuhumu tunaendelea kusikiza. Mwanaume anaetumia akili zakichwa chachini lzm awe ashik majinuni kwakimada kila aambialoo nakimadaa yy anakubali huyu umbwaa atakuja lia tuko hapa.nakuna wanaume kama hawa walaaniwee namachozi yawake zao kimada kaomba pesa baby utaapata mara laki tatu usiku moja pewaa😂😂😂😂shezi kweli
Rip mama filiy😢😢😢 kamshangee kweli babu jinga yani mpaka sahi hajasoma alama xanyakati kwa feith?amekusaliti umepigwa hakukutetea ww bado unamtafuta hakika round hii nyumba atauxa hata gari yani huyoo atatafuta mitimilikixote azibadilishe hakika utalia utamkumbuka mkeo namtoto naitakua late
🎉🎉🎉🎉
😢😢😢ohoo kumbe fili nikachanganya. Majini hapo munielwee coment sifutii jaman😂😂😂😂Jaman
Dada shatani si mtu roho mbaya
Laki sita za tz kenya 30k loooo mbona huyu amekuja kuchuma wallah huyu kamshange atabakizwaa na ninioxake tuuu subiri show
No
🎉🎉
🎉🎉🎉🎉
❤❤❤
❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤
❤❤❤
❤❤❤