Mwakalobo umekufa kijasiri mbele ya Mungu 😭😭 na umekataa kuipenda nafsi yako ili usiipoteze mbele ya Mungu,hongera maana utaipata tena mbinguni,umeufia ukweli💪💪
Uyu mganga wa Mishi yuko wapi nikampe ela ya soda maana amejua kuninyooshea uyu binti. Ila Philly unanipa mawazo hata nakufikiria wewe ni nani maana huu uwezo wa kupambana ulonao sii kawaida.
Mikwaju juu ya mikwaju pilipili moto juu ya moto kisa kuziba lidhiki ya mtu, Mish na Fetty nawasalimia mamboo....akika nyie mnastahili kuishi pamoja😂😂🙌
Bila shaka baba phil analindwa na marehemu mke wake yani kifo kinamuwinda kisha kinapita karibu yake swaaaaa 😂😂😂😂😂😂na Fety gereza rinamuangalia nahizo mali mwishoni Phil atakabidhiwa😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Huyu feti Anajisumbuwa tu Hata akimuuwa Mzee kanshange Hatoishi kwa Amani na Hizo Sababu Will yupo Lazima ipo ciku Atajuwa ukweli kuhusu Mali za Baba yake
Kama hiyo kopo yamaji ikiogotwa na chizi akanywa hao maji mbona Mishi atakoma😂😂😂😂😂😂Rosela amejilipuwa kuweka wazi hisia zake pole sana mishi nasemaje pole chombo kimechukuliwa A.K.A mwamba Phil🤣🤣🤣😀😀😀
Saa 1 kamili usiku🔥🔥🔥🔥🔥
Tunasubiri Kwa hamu bro😊
Jamn kaka Lukas cano ni wapi au ni sehemu gane sipafahamu
Umeniwahi ilikuwa natak kumuuliz leo😂😂😂😂😂😂😂😂@@ReginaJumanne
Lucas tuambie cano ndo ŵp sis wengne hatukujuw au ni sehem za kutunga tu
❤❤❤❤❤❤
Mwakalobo umekufa kijasiri mbele ya Mungu 😭😭 na umekataa kuipenda nafsi yako ili usiipoteze mbele ya Mungu,hongera maana utaipata tena mbinguni,umeufia ukweli💪💪
Acha ni lale hapa mana ni 🔥 🔥🔥🔥🔥
Asante sana Lucas kwa kutuletea mwendelezo wa simulizi hii tamu kweli kweli 🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao
Yaani jamani ni kitumbua tu ndio kina sababisha haya mauji yote jamani daaah 😭😭😭
😮♥️🥀🥀🥀🥀🌹🌹🌹🌹🔥 asante sana Lucas Lumbasi kwa burudani na elimu hii nzuri,ama kweli kufa au kuishi ni kazi ya Mungu pekee 🙏
Pokea mauwa yako kaka, utunzwe na Mungu siku zote🎉🎉🎉🎉🎉
Nimewaiiiii......🎉 thanks lucas😊
Hadi raha kilicho mkuta mishii,,,🎉🎉
Nilikuwa nimengoja sana thanks lucas🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Jamani mm Sina habari kama imefika ❤❤❤❤❤❤
Leo nimewai pia.. Asante Lucas lumbas ❤❤
Leo nimewahi jaman maua yangu 🎉🎉🎉🎉😂
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Asante@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
Leo mapema San kak lucas asant san
Wa Kumi n moja 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉 pongezi kwako mr luu wakwanza tuko pamoja😊😊
Watatu jamani 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 much love from Omani ❤
Asante broo kazi nzuri sana
Asante lucas Unatufurahisha Mmungu akupe umri mrefu inshalah❤
Kweli hii jamani kama siamini ahsant kaka lukas lumbas 😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nyieee leo mapema ukuu🎉🎉🎉
Nimerauka nipe like ata moja🎉🎉🎉asante kaka lucas kwa simulizi nzuri❤❤❤❤
Kaka Lucas Leo me wa kwanza 🎉❤❤ nakupenda xana
Asante kaka kwakutuletea mapema ❤❤🎉
Wow finally heart burn imewasili shukran kaka Lucas Lumbasi ❤❤❤❤ ubarikiwe mnooooo
Asante kaka lucas wacha tuendelee na simulizi yt pendwa❤❤❤❤🎉🎉😢
😂😂😂, wuwiii ni bora hakunywa, maana angekunywa nakukutana na hizo pilipili sijui angejibu nini😂😂😂😂😂
😂😂😂
KakA Lumbas huu mzigo una ladha ya tofauti nimeukubali mno
Asante kwa kazi nzur! Please ongeza madam, 3hrs
Jamani thank you for rukas
🎉🎉🎉🎉❤
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 hatr saaana
Sai ndio nmepata time ya kuskiza jamani❤❤
Waooo Leo mapemaaa
Uyu mganga wa Mishi yuko wapi nikampe ela ya soda maana amejua kuninyooshea uyu binti.
Ila Philly unanipa mawazo hata nakufikiria wewe ni nani maana huu uwezo wa kupambana ulonao sii kawaida.
😂😂😂😂😂😂😂
Anajilinda tu 😂😂😂😂😂
@@Babyfaty-m3y kweli acha inyeshe tuone panapovuja.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kazi kweli kweli 🤣🤣,na huyu Mishi atakuwa ni Mishemishe kweli 😂😂😂
Jmn htambizan kmya kmya ata hatupean taarifa😅😅😅😅😅😅
Asante kk. ❤❤
Woooo 39❤❤🎉🎉🎉😂😢
Mikwaju juu ya mikwaju pilipili moto juu ya moto kisa kuziba lidhiki ya mtu, Mish na Fetty nawasalimia mamboo....akika nyie mnastahili kuishi pamoja😂😂🙌
❤❤❤
Hii story Safi sana
Asante ❤❤
Hatimae
Wakwanza jamani like zenu❤
Tanganyika jeck au kidako mkingisa hiyo
Haya wauwane hao kwa hao wasimguse rozela wetu nafili wetu
Thank you Lucas lumbasc🎉🎉
❤
Mishi nikama amemfungulia mlango rozera wetu,, kwasasa tayar tunakawifi ketu karozera
Hamjamb family Lucas lumbas❤❤
❤❤Oooh kumbeleo mapemat, Lucas asante sna kw mwendelezo🔥 Mishi nimwendo wa mikwajut, ad kbuli kimwishe🤭🔥👏achani na roho ya mishi like zenu😁💜🤜
❤❤❤❤🎉🎉
Bro Lucas lumbasi ❤🎉🎉🎉🎉
Afandee tamaa yangono imekueka pabaya mana umeua wasionahatia. Nimefurahia roxana kawa mpenxi wafily .huyu mishi nadawa zake zamichongo kazi anayooo😂😂
Mish pole yko.mganga wko dawa zimefel rosella yupo mbele yko uko unako kwenda😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@@Babyfaty-m3y kohiyo mumemaliza vp mkirudi🤣🤣🤣
@TeklaNdekeja wap naenda kweny vibwaga vya majiran kwnz huku tutaonana saa moja mna naona anko jay yy katususia🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@Babyfaty-m3y ankojy haelewek nivile twampendat 😂😂😂 huko kwa bonge ninakporo naunganisha tangulia🥰🥰naja badae
@@TeklaNdekeja ndo mna anatutesa hana ata habr na sisi anajuw wakt wwt atakao weka simuliz watu wapo ila huu mtaa unavituko bonge na anko fadh🤣🤣🤣🤣🤣
@@Babyfaty-m3yTena mtu anamwangika kwa shukran zote🤣🤣 au katuende kw Bi,Laya🥰🥰🥰🤭
Asant
Afandee ukicheza utakufa yani unafunika mtu kisa kitumbua😂😂😂😂 haya jela maisha inakuhusu haya mishi pale umeakia kuna alietangulia kaxi unayoo
Fetty Jmn fetty mpka sasahiv huyu bint n sababu ya vifo vya watu 4 haaaa kwa kitumbua chake hicho 😂
Mish 😂😂😂😂😂😂
Bila shaka baba phil analindwa na marehemu mke wake yani kifo kinamuwinda kisha kinapita karibu yake swaaaaa 😂😂😂😂😂😂na Fety gereza rinamuangalia nahizo mali mwishoni Phil atakabidhiwa😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Huyu feti Anajisumbuwa tu Hata akimuuwa Mzee kanshange Hatoishi kwa Amani na Hizo Sababu Will yupo Lazima ipo ciku Atajuwa ukweli kuhusu Mali za Baba yake
Kama hiyo kopo yamaji ikiogotwa na chizi akanywa hao maji mbona Mishi atakoma😂😂😂😂😂😂Rosela amejilipuwa kuweka wazi hisia zake pole sana mishi nasemaje pole chombo kimechukuliwa A.K.A mwamba Phil🤣🤣🤣😀😀😀
@@Evelynmoreen3655 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣imekula kwake mish phily kashakula kutumbua tyr
@Babyfaty-m3y 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kweli kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂mambo ndo hayo🤣🤣🤣🔥
@@TeklaNdekeja ndo unafik saiv au🤣🤣🤣🤣🤣
@@Babyfaty-m3y itakuwa alikuwa amelala🤣🤣🤣🤣
Asante rinasubir
Kaka Lukas ubabe wa filly unanikumbusha Roma ramon
❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
,💜💜
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mali za kamshangae lazima zirud fetty ukanyee debe mishi penzi lawatu haliingiliwi
Yani ushatunyima utamu yaisha tu leo kaa ingefika 20 uko mana sio kwa utamu huo
Afande Kachenje ameamua kukifia kitumbua cha Fetty hadi kubomoa sebule lake la kinywa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 aah chezea kitumbua wewe
@@avelinabaluhya2804 anauwa watu walio kuw hawan hatia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣kwaajil ya kitumbua
@Babyfaty-m3y 😂😂kweli rushwa ni hatari kwa haki za watu hapa duniani
@@avelinabaluhya2804 🤣🤣🤣🤣🤣fety anakula raha yy anatesek kwaajil ya kibopoli cha fety
🌹🌹🌹🌹
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
💜💜💜
❤❤❤❤😂
Au vp!
🥲🥲🤔
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤
❤❤
❤❤❤❤❤❤