JUMA LA UWAKILI | PR. KENAN MWASOMOLA | 10.10.2024 | DAY 5

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 20

  • @neemamapenzi6960
    @neemamapenzi6960 10 วันที่ผ่านมา +3

    Sema tupone Mchungaji barikiwa nikiwa Temeke

  • @vayaulashedrack5994
    @vayaulashedrack5994 11 วันที่ผ่านมา +3

    MUNGU akubariki Sanaa Pr. Kwa ujumbe wa moja kwa moja. Kanisani Leo kumekuwa tu na ujumbe wa faraja siyo wa kukemea dhambi. Na Dhambi ni kama zimehalalishwa

    • @allec2905
      @allec2905 11 วันที่ผ่านมา +1

      Kweli

  • @ERASTOMLIGO-l9w
    @ERASTOMLIGO-l9w 6 วันที่ผ่านมา

    Amina

  • @mispereschijanja2615
    @mispereschijanja2615 11 วันที่ผ่านมา +2

    Asante saana maana Mungu anataka akina Eliya Leo hii na ndo wewe amekuleta sema tu hata km ni kufa Mungu atakufufua

  • @LuciaMasalu-nt5uq
    @LuciaMasalu-nt5uq 11 วันที่ผ่านมา +1

    Nabarikiwa sana na mafundisho haya

  • @marthalusega8948
    @marthalusega8948 11 วันที่ผ่านมา +1

    Hongereni kanisa la Magomeni kwa kumchagua mhubiri anayetumia imeandikwa na bila kuupindisha ukweli unatoka kama ulivyo

  • @allec2905
    @allec2905 11 วันที่ผ่านมา

    Ahsante Mchungaji kwa mahubiri haya ya kukemea dhambi hadharani

  • @kwebagm1584
    @kwebagm1584 10 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @benardotuoma59
    @benardotuoma59 11 วันที่ผ่านมา

    Nabarikiwa nikiwa hapa Dodoma

  • @vayaulashedrack5994
    @vayaulashedrack5994 11 วันที่ผ่านมา +1

    Nitume mimi BWANAhuu mmenikumbusha mbali Sanaa tangu nikiwa mdgogo nilikuwa nasikia huu wimbo mbarikiwe Sanaa waimbaji kweli yakale ni dhahabu

  • @marthalusega8948
    @marthalusega8948 11 วันที่ผ่านมา

    Mungu mpatie maisha marefu Pr Mwasomola ili aendelee kuwa baraka kwa wapenda ukweli.

  • @NdwaniyeElias
    @NdwaniyeElias 11 วันที่ผ่านมา +1

    Naitwa Elias n,Joseph kutokaRwanda nabarikiwanamafudishomazuriyenu Bwanayesuawabariki

    • @BiasharaKUBWA
      @BiasharaKUBWA 11 วันที่ผ่านมา

      Ubarikiwe mtu wa Mungu

  • @amossafari4838
    @amossafari4838 7 วันที่ผ่านมา

    Ukuhani wa kifisadi ni kitabu gani hicho Pr?

    • @isayarozeck7512
      @isayarozeck7512 4 วันที่ผ่านมา

      Hiyo ni Title ya Chapter siyo Title ya kitabu

  • @y.pmanyasi
    @y.pmanyasi 11 วันที่ผ่านมา +1

    Somo la leo ndio limeharibu makanisa yetu, wazee wanagombe uzee wa kanisa, wachungaji wanagombea uenyekiti wa field ,conference na union

  • @evaristgamba4204
    @evaristgamba4204 11 วันที่ผ่านมา

    Tunawafatilia leo nitakuja hapo niweke alama

  • @davidmjemah3676
    @davidmjemah3676 11 วันที่ผ่านมา +1

    MUNGU akule nguvu ya kusema neno la Mungu kwa ukweli wote Maana ndivyo itupasago Mungu ainue watu wake

  • @davidmjemah3676
    @davidmjemah3676 11 วันที่ผ่านมา

    Mchungaji MUNGU atukuzwe kwani kiukweli lazima kweli zisemwe kwwupe kabisaa
    unafikiww sana2