KAKOLANYA; SINA UTOVU WA NIDHAMU / NATAMANI KURUDI YANGA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 18 มิ.ย. 2024
- Follow us on Social Media Platforms
Instagram:
Crown FM - / crownfmtz
Crown TV - / crowntvtz
Twitter (X):
CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
Facebook:
CROWN MEDIA: profile.php?...
TIKTOK:
- www.tiktok.com/@crownmedialiv...
SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz - กีฬา
Camera ni 🔥
🧠 crown tupo visuri
Crown 👑 ❤😊
I’m the first one pull up ⬆️
Beni Yuko vizuri, tumchukue yanga
Akacheze anakochezaga yanga syo sehem ya kuja kumalizia ujana alf yanga tunakuwaga na aleji na mtu msalit na tunakuwaga na misimamo kama pilato
😊😊
Mic zvarixhen tag la #crown
Nakufahamu sana,nmesoma na Dada Yako Emma David Kakolanya wewe ni last born kwenu.
Akili kubwa sana. 👏🏽👏🏽👏🏽
Akacheze Dodoma fc yanga wameshavuka hio hatua ya kufqnyakaz na malimbukeni
Sure
🔥🔥
Sijasikia akisema anatamani kurudi Yanga. Msianze kuishushia hadhi média hii mpya.
❤
Nouma sana
🎉🎉🎉❤❤
🔥🔥🔥
Nataman sana huyu mwamba kulud asante sana beno
Caption za uyu anaeweka izi interview za uongo dadek namind sana
#Hapaninyumbani
Mwandishi jitahidi kuwa na maswali mazuri,mpe nafasi unayemuhoji..usimkatishe..
Hizi kamera hatar san
🎉🎉🎉🎉
✌️
🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Unya
Beny amefanana na Gerson msingwa mtupu
Almas unapomuhoji mtu tulia basi sio na ww unaelezea
Camera ni hatare
Mwandishi muache mtu pia ajieleze usimwingilie kumwambia story ambayo anatuhadisia
👑👑👑👑
Kulikuwa na maswali mazito kuhusiana na usaliti wake pale Yanga,lakini mwandishi umeshindwa kuyauliza,maswali yako ni mepesi mno ---- Huyo kwasasa Yanga hatumtaki hata kama atakuwa tayari kucheza Bure ( bila kulipwa ) na kama watathubutu kumsajiki,fans tuta andamana kupinga huo usajili.
Mbona kwa Manula ukufulukuta mjingawewe
Hapa ni nyumbani. th-cam.com/video/Jr_Ex2Nph_8/w-d-xo.htmlsi=0AN-cNqpX0rCmvE8
❤
🎉🎉🎉🎉