Mbeya Moravian Town Choir- Mungalalamukaga (Subschibe Kupata Nyimbo zetu Mpya)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 70

  • @luganobrighton9778
    @luganobrighton9778 หลายเดือนก่อน +6

    Tuliorudi tena kuangalia 2024 tujuane

  • @batuelcharles2489
    @batuelcharles2489 8 หลายเดือนก่อน +7

    Ukizaliwa mnyakyusa tayari wew ni wa peponi labda ukengeuke kimpango wako🎉🎉🎉am proud to be nyakyusa

  • @FridahMwakila
    @FridahMwakila ปีที่แล้ว +8

    Asante Mungu kwa watoto wako hawa ambao wamechagua fungu jema KUTUMIKA SHAMBANI MWAKO

  • @HappyMwamakula-ol3jb
    @HappyMwamakula-ol3jb 9 หลายเดือนก่อน +9

    Najisikia fahari kuwa mnyakyusa,hongereni sana mmeimba vizuri sana.

    • @Pabrodeprince
      @Pabrodeprince 5 หลายเดือนก่อน +1

      Mwamakula dada wa mm

  • @EnnaMbetwa
    @EnnaMbetwa 4 หลายเดือนก่อน +4

    Mbeya ni Israel ya Tanzania nabarikiwa sana

  • @queendavid504
    @queendavid504 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mtu anifafanulie hii nyimbo jamani, naipenda sana

    • @nurusanga1300
      @nurusanga1300 หลายเดือนก่อน

      Msifadhaike mioyoni mwenu, mnamwamini Mungu niaminini na mimi

  • @SALUMMAIRA
    @SALUMMAIRA ปีที่แล้ว +6

    ❤ najiskia fahari kuwa mnyakyusa

  • @teachergodfreypeter9052
    @teachergodfreypeter9052 2 หลายเดือนก่อน +1

    Natamani nielewe wanavyoimba ila nafurahi sana kusikiliza nyimbo zenu

  • @marthahaule5311
    @marthahaule5311 หลายเดือนก่อน +1

    mungu awa saidie wanyakyusa nyimbo nzuri

  • @davidarabiy3924
    @davidarabiy3924 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asanten Sana kampuni Moravian nyinyi ni top mbeya hapa nyie ni kampuni kweri

  • @MusaKamwela-ht7dn
    @MusaKamwela-ht7dn ปีที่แล้ว +4

    wimbo huu ni mzuri Sana nawapenda wanyakyusa hakika mmeimba vizuri mbarikiwe sana

  • @albentinaleonard3679
    @albentinaleonard3679 ปีที่แล้ว +3

    NDAGA KYALA ...YESU AMEKWENDA KUTUANDALIA MAKAO

  • @nnalabakangana8126
    @nnalabakangana8126 หลายเดือนก่อน

    Ndaga ndaga ndaga fijo naloli❤❤❤

  • @БутаевАбдурахман
    @БутаевАбдурахман ปีที่แล้ว +2

    Mbeya is the capital of England.

  • @amenyemwansile6919
    @amenyemwansile6919 ปีที่แล้ว +4

    Mungu awabariki waimbaji kwa wimbo wenu mzuri unaohusu kurudi mara ya pili kea yesu kristo

  • @JacklineGeofrey-py7re
    @JacklineGeofrey-py7re ปีที่แล้ว +2

    Wanyakyusa tubarikiwe na bwana🙏😘

  • @EmmanuelMwakibinga-x1w
    @EmmanuelMwakibinga-x1w ปีที่แล้ว +3

    imbombo mweeee love the song from Malawi Blantyre

  • @fridamwakamisa1812
    @fridamwakamisa1812 2 หลายเดือนก่อน

    Huyo ndo imanuel mgogo

  • @EmmanuelJoo-p6h
    @EmmanuelJoo-p6h ปีที่แล้ว +2

    Mmenikumbusha tulipokuwa na matamasha ya madhehebu mbalimbali na wimbo mkuu. R.I.P Mwamuzi na Mwl Martin Chifupa

  • @estermwakatundu3028
    @estermwakatundu3028 5 หลายเดือนก่อน +2

    kufa kulala jmn bibi ulikua unaimba sana huu wimbo😢😢nimekumbuka mbali

    • @NeemaMathew-m6p
      @NeemaMathew-m6p หลายเดือนก่อน

      Yaani Mimi pia nimemkumbuka sana bibi maana alikuwa akiimba anacheza anafurahi balaa,Rip my grandma tutaonana trna mungu akipenda

  • @costancegambi-dh4ry
    @costancegambi-dh4ry ปีที่แล้ว +2

    ni mibaraka sana huu wimbo

  • @MwakalingaAnthony
    @MwakalingaAnthony 10 วันที่ผ่านมา

    Kabila langu pendwa dunia hiii wanyakyusa oyeeeee

  • @MzeeKiana-c1g
    @MzeeKiana-c1g 4 หลายเดือนก่อน +1

    Miujiza ya mwenyezi mungu iwe nasi wakati wote

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 2 หลายเดือนก่อน

    Sherehe za kinyakyusa hu lazima upigwe

  • @McBupe
    @McBupe หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥one of my favorite song

  • @Eliyamabura
    @Eliyamabura 3 หลายเดือนก่อน

    Ndaga Fijo Mweee🎉🎉😂

  • @mbeyainfotv
    @mbeyainfotv ปีที่แล้ว +2

    Mwe mweh 🎉🎉🎉

  • @blandinamollo699
    @blandinamollo699 ปีที่แล้ว +2

    Asanteni kwa kuimba vizuri

  • @MoajGraphics
    @MoajGraphics ปีที่แล้ว +2

    Huwa nabarikiwa sana na wimbo huu

  • @ellyjonas-rt9ft
    @ellyjonas-rt9ft ปีที่แล้ว +2

    Bigg up sana wanyakyusa kumbe hampoi

  • @FatumaKanyenye
    @FatumaKanyenye 2 หลายเดือนก่อน

    Lilino nnsumwike❤❤❤❤

  • @charitysamuel9487
    @charitysamuel9487 ปีที่แล้ว +3

    Kurudi kwa bwana ❤❤❤❤amen

  • @oswaldmwamsamali6703
    @oswaldmwamsamali6703 5 หลายเดือนก่อน

    Wimbo mzuri sana. U Mwipwa gwangu ku Bwiba akimbagha fiyo ulwimbo ulu. ❤

  • @deogratiusmwaipopo
    @deogratiusmwaipopo ปีที่แล้ว +2

    Ndaga fijo

  • @rebekadaniel9569
    @rebekadaniel9569 3 หลายเดือนก่อน

    Ndagha mwimbile bhandu bha kyala

  • @TosigwegeraisonMwakisenjele
    @TosigwegeraisonMwakisenjele ปีที่แล้ว +1

    Asanteni Sana kwawimbo mzuri Sana

  • @TunsumeMchewere
    @TunsumeMchewere 7 หลายเดือนก่อน

    Huu wimbo kiukweli Mungu alikuwa pamoja nanyi hongereni na Mungu awabariki watumishi wake

  • @marthahaule5311
    @marthahaule5311 หลายเดือนก่อน

    god bress oll song chusa

  • @happinessmarijani2783
    @happinessmarijani2783 ปีที่แล้ว +1

    Safi Sana ubarikiwe

  • @danielkayun7988
    @danielkayun7988 ปีที่แล้ว +1

    Amina 2023

  • @RuganoHansi
    @RuganoHansi 6 หลายเดือนก่อน

    Unyakyusa juuu karibuni arusha tumain kwaya st james

  • @amosimbembela8504
    @amosimbembela8504 2 หลายเดือนก่อน +3

    2024 like hapa

  • @AsafuEriakimu
    @AsafuEriakimu 5 หลายเดือนก่อน

    Asantenibmama wangu

  • @NasrySuleiman-ke5ie
    @NasrySuleiman-ke5ie 7 หลายเดือนก่อน

    😭😭😭 I miss my Mommy

  • @FatumaMwakajila-l7j
    @FatumaMwakajila-l7j 5 หลายเดือนก่อน

    Bwanaasifiwe

  • @RuganoHansi
    @RuganoHansi 6 หลายเดือนก่อน

    Karibuni arusha

  • @JustineLupa-bp5bj
    @JustineLupa-bp5bj ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @estermwakatundu3028
    @estermwakatundu3028 5 หลายเดือนก่อน

    My tribe

  • @WhitneyMwamalala
    @WhitneyMwamalala 8 หลายเดือนก่อน

    Wimbo pendwa sana 🔥🔥🔥🙏

  • @QueenMgala
    @QueenMgala 6 หลายเดือนก่อน

    Amen🙏🙏🙏❤️❤️

  • @charleskasebele8968
    @charleskasebele8968 2 ปีที่แล้ว +1

    Oo oof

  • @emmanuelimushi7413
    @emmanuelimushi7413 2 ปีที่แล้ว +4

    Swahili version?

  • @emmanuelmwansasu93
    @emmanuelmwansasu93 2 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥🔥

  • @stevenbahingai4319
    @stevenbahingai4319 ปีที่แล้ว +1

    🙌

  • @gardmwakyanjala909
    @gardmwakyanjala909 ปีที่แล้ว +1

  • @HamoudWilliam
    @HamoudWilliam ปีที่แล้ว +1

    ❤😅😅

  • @WinifradaJob-vu2jz
    @WinifradaJob-vu2jz 8 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤

  • @charleskasebele8968
    @charleskasebele8968 2 ปีที่แล้ว +1

    O

    • @Yustina-q7x
      @Yustina-q7x ปีที่แล้ว

      Msifadhaike mioyoni mwenu,na kwenda kwa baba(Mungu)kuwaandalia makao❤

  • @victoriamefya6287
    @victoriamefya6287 ปีที่แล้ว +3

    Ndaga fijo

    • @davidarabiy3924
      @davidarabiy3924 ปีที่แล้ว

      Asante sana vijana mbeya mjini kampuni moravian mmenikumbusha mbali sana akati mdogo naupenda sana wimbo huu mmetueshimisha sana wanyakyusa

  • @RuganoHansi
    @RuganoHansi 6 หลายเดือนก่อน

    Unyakyusa juuu karibuni arusha tumain kwaya st james

  • @donaldmwaikugile5405
    @donaldmwaikugile5405 10 หลายเดือนก่อน +1