- 22
- 401 191
MBEYA MORAVIAN TOWN CHOIR
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 22 ต.ค. 2019
Mbeya Moravian Town Choir (Kampuni)
Spreading the message of love, faith, and unity through soulful gospel music from the heart of Mbeya, Tanzania.
Blending African rhythms with classic hymns
Passionate voices sharing hope & inspiration
3 Albums Available on Music Platforms
Uplifting performances at festivals & community events
Follow us for a journey of worship, praise, and the beautiful sounds of Mbeya!
#MbeyaMoravianTownChoir #GospelMusic #FaithThroughMusic #MbeyaVibes
Email : mbeyamoravianchoir@gmail.com
Call & Whatsapp : +255 755 324 441 & +255 755 444 572

MBEYA MORAVIAN TOWN CHOIR (KAMPUNI)- KWA NJIA YA MWILI (Official Video)
MBEYA MORAVIAN TOWN CHOIR (KAMPUNI)- KWA NJIA YA MWILI (Official Video)
มุมมอง: 1 824
วีดีโอ
Mbeya Moravian Town Choir - Mbaraka wa Askofu Pangani (official video)
มุมมอง 3.6K7 หลายเดือนก่อน
Wimbo maalum wa hongera kwa Askofu Mkuu wa Kanisa La Moravian Tanzania
MBEYA MORAVIAN TOWN CHOIR - EZEKIELI (Official Video)
มุมมอง 3.2K9 หลายเดือนก่อน
Mbeya Moravian Town Choir Music Producer - Fredy Kameta Video Director - Director Prince Lut Video production are done well by @MaxAfrica255 under MaxD Studio The Mbeya Moravian Town Choir(Kampuni) © 2024
Mbeya Moravian Town Choir (KAMPUNI) -_ UNIGUSE KWA UPYA (Official Video)
มุมมอง 10K10 หลายเดือนก่อน
UNIGUSE KWA UPYA NIFANANE NA WEWE UNIJAALIE MEMA NIISHI MAISHA MEMA (X2) UNIGUSE KWA UPYA NIFANANE NA WEWE UNIJAALIE MEMA NIISHI MAISHA MEMA (X2) BILA WEWE MUNGU WA MIUNGU MIMI SIWEZI BILA WEWE MUNGU WA MIUNGU MIMI SIWEZI OOOOOO!! WEWE MUNGU WA MIUNGU MIMI SIWEZI BILA WEWE SIWEZI (X4) MAANA AHADI ZAKO YESU .............NI KWELI NA AMINA HAZINA MPINGAMIZI YEYOTE DUNIANI .............ZINATIMIA HI...
MBEYA MORAVIAN TOWN CHOIR _-Kwanjia Ya Mwili (Official Audio)
มุมมอง 7722 ปีที่แล้ว
TUNAKUKARIBISHA KUUSIKILIZA WIMBO WETU MPYA MAALUMU KWAAJILI YA CHRISMASI. Tunaamini Mahubiri Haya Yatakufikia Kwa Njia Ya Wimbo Huu Na Kukufariji Endelea Kuwa Mmoja Wa Watu Wetu Wa Karibu Kwa KUSUBSCRIBE,KULIKE NA KUCOMMENT KATIKA VIDEO ZETU Na MUNGU ATAKUBARIKI KWA KUUNGAMKONO KAZI YAKE KUPITIA SISI.
MBEYA MORAVIAN TOWN CHOIR - EZEKIELI (OFFICIAL AUDIO)
มุมมอง 7K4 ปีที่แล้ว
#MbeyaMoravianTownChoir #Ezekieli
MBEYA MORAVIAN TOWN CHOIR - TUNAIMBA SIFA
มุมมอง 6K5 ปีที่แล้ว
MBEYA MORAVIAN TOWN CHOIR - TUNAIMBA SIFA
Mbeya Moravian Town Choir- Mungalalamukaga (Subschibe Kupata Nyimbo zetu Mpya)
มุมมอง 313K5 ปีที่แล้ว
Mbeya Moravian Town Choir- Mungalalamukaga (Subschibe Kupata Nyimbo zetu Mpya)
MBEYA MORAVIAN TOWN CHOIR YASHIRIKI IBADA YA MIUJIZA KKKT KIMARA DAR ES SALAAM
มุมมอง 8505 ปีที่แล้ว
MBEYA MORAVIAN TOWN CHOIR YASHIRIKI IBADA YA MIUJIZA KKKT KIMARA DAR ES SALAAM
LIVE; Mbeya Moravian Town Choir wamelipamba Taji kaburi la Mke wa Mboma
มุมมอง 1.5K5 ปีที่แล้ว
LIVE; Mbeya Moravian Town Choir wamelipamba Taji kaburi la Mke wa Mboma
LIVE; Mbeya Moravian Town Choir wamefanya ibaada Msibani kwa Mboma jiji Dar
มุมมอง 7585 ปีที่แล้ว
LIVE; Mbeya Moravian Town Choir wamefanya ibaada Msibani kwa Mboma jiji Dar
MBEYA MORAVIANI TOWN CHOIR- TUTUMIE LUGHA GANI (OFFICIAL VIDEO)
มุมมอง 31K5 ปีที่แล้ว
MBEYA MORAVIANI TOWN CHOIR- TUTUMIE LUGHA GANI (OFFICIAL VIDEO)
MBEYA MORAVIANI TOWN CHOIR -AMKENI TWENDE TUTANGAZE
มุมมอง 3.1K5 ปีที่แล้ว
MBEYA MORAVIANI TOWN CHOIR -AMKENI TWENDE TUTANGAZE
Moravian Mbeya Town Choir - Kazi Uliyotutuma (Official Video)
มุมมอง 4.2K5 ปีที่แล้ว
Moravian Mbeya Town Choir - Kazi Uliyotutuma (Official Video)
MBEYA MORAVIANI TOWN CHOIR -BWANA NDIYE MCHUNGAJI WANGU
มุมมอง 7K5 ปีที่แล้ว
MBEYA MORAVIANI TOWN CHOIR -BWANA NDIYE MCHUNGAJI WANGU
MBEYA MORAVIANI TOWN CHOIR -ONDOKA UANGAZE
มุมมอง 8K5 ปีที่แล้ว
MBEYA MORAVIANI TOWN CHOIR -ONDOKA UANGAZE
Moravian Mbeya Town Choir -Mungalalamukaga (Official Video)
มุมมอง 28K5 ปีที่แล้ว
Moravian Mbeya Town Choir -Mungalalamukaga (Official Video)
Kabila langu pendwa dunia hiii wanyakyusa oyeeeee
🔥🔥🔥
BIG UP TINA MAMA JJ
Wooow kazi nzuri san god bless u..
Amen kubwa
❤❤❤aiseee Camera man amefanya kazi yake vilivyo Asante kwa Wimbo mzuri sound nzuri voice Tam hongereeni sana
Mmeimba vizuli sana
❤ kazi nzurii sana
Asante sijui mlikua wapi mmpendeza sana wimbo mzuri hiyo shutting ilikofanyikia nikama ujerumani hivi mambo yenu makubwa sana
Hongereni kwa wimbo mzuri
Barikiwa Sana the mbeya moravian town choir mmekuwa wamoto balaa
Wimbo mzuri na hata madhari ya shooting yapo vizuri. Mungu awabariki watu wa Mungu, Yesu amekuja kwa ajili yetu 🙏🏾
🔥🔥🔥🔥
Amina,watumishi wa mungu mko vizur , wimbo unabariki San mbarikiwe zaid Kama nilivobarikiwa mim na huu wimbo🙏🙏🙏
Mungu awabariki team yote kwa injili takatifu ❤🙏
Very good kampuni nawapenda Sana video iko poa sana
🎉🎉🎉🎉🎉
Hongera saaaana....kazi nzuri wapendwa...hakika amezaliwaaaa
Hakika wimbo mzr sana video pia ipo clear 🎉🎉🎉🎉
Wimbo mzuri sana,pia video ipo clear hakika yesu amekuja kwaajilu yetu ni shwangweeeee🎉
Huyu anae wa shuti ana wapendelea sana video zenu nzuri sana
Mwanakondoo ameshinda! hakika mkombozi amezaliwa ni shangwe na furaha
💪
Iko poa ongereni sana
Ahsante Mungu kwa kutuletea huyu Yesu 🎉
Iko superb sana The Mbeya Moravian town choir
🎉🎉🎉🎉 Mungu pamoja nasi Emmanuel amekuja kwetu
Utukufu kwa Mungu
Hongeren sana wana kampunii kwaya
Ndaga ndaga ndaga fijo naloli❤❤❤
Tuliorudi tena kuangalia 2024 tujuane
god bress oll song chusa
mungu awa saidie wanyakyusa nyimbo nzuri
Ongera Sana mdogo Angu nuswe uko vizuri mungu akutunze Sana yaani unaitendea haki saut mungu akulinde Sana mungu akuongoze
🔥🔥🔥one of my favorite song
Sherehe za kinyakyusa hu lazima upigwe
Natamani nielewe wanavyoimba ila nafurahi sana kusikiliza nyimbo zenu
Huyo ndo imanuel mgogo
Asanten Sana kampuni Moravian nyinyi ni top mbeya hapa nyie ni kampuni kweri
Mtu anifafanulie hii nyimbo jamani, naipenda sana
Msifadhaike mioyoni mwenu, mnamwamini Mungu niaminini na mimi
2024 like hapa
Mbarikiwe sana namkumbuka anti yangu ana mwaipeta siku moja mje mtupigie nyimbo hizi kansanii
Mungu akubalik
Lilino nnsumwike❤❤❤❤
Hongereni Sana kampuni Moravian mjini kwa wimbo mzuri sana ofa umenigusa
Amina
Nawapenda kwa utume wenu,na mavàzii mazuri
Safi Sana kampun
Ndaga Fijo Mweee🎉🎉😂
Nawakubali sana kampuni kwa wimbo mzuri ntakuja kujiunga nanyi siku moja nimefurahi sana kwa wimbo mzuri mungu awabariki sana
Ndagha mwimbile bhandu bha kyala