Naloli Naloli

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 132

  • @pendondossy2158
    @pendondossy2158 4 ปีที่แล้ว +13

    Mpk mchaga naupenda naloli naloli uswe tulibabuke 🙏🙏🙏💃💃💃💃

  • @lucasalickmbila7748
    @lucasalickmbila7748 5 ปีที่แล้ว +15

    Wimbo huu uliwasha nuru kwetu watu wa Mbeya na majirani zake. Mungu akubariki sana dada umeimba vizuri na upako wote.

  • @angelinakisoo2332
    @angelinakisoo2332 3 ปีที่แล้ว +3

    Japo mimi siyo mnyakyusa na kinachoibwa sikijui zaidi ya jina la Yesu, ila nabarikiwa sana na huu wimbo barikiwa dada🙏

  • @shyneafya2468
    @shyneafya2468 หลายเดือนก่อน +2

    Nani yupo hapa ndugu zangu wa Mbeya mnaendelea kusikiliza 1/9/2024 yan wimbo huu unanitoa machozi mwenzenu

  • @lilianmwalemba3537
    @lilianmwalemba3537 3 ปีที่แล้ว +9

    2021 like kama unaisikiliza hii nyimbo Naloli naloli uswe tulibhabhuke mungamu kha jhesu

  • @husseinnkuna6401
    @husseinnkuna6401 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki wote🙏🙏 naitwa Hussein nipo dar es Salam ila home ni ipinda kyela

  • @adammwambuluma6894
    @adammwambuluma6894 4 ปีที่แล้ว +35

    Tujuane ambao hatupo. Mbeya lakin 2naskiliza hiinyimbo

  • @alexdonard3084
    @alexdonard3084 10 หลายเดือนก่อน +1

    Wimbo huuu huwa naulewa sana

  • @patrickmahimbo2575
    @patrickmahimbo2575 4 ปีที่แล้ว +5

    Nimependa producer kacheza na background backup vocal.. na sauti yako.. iko vyema sanaaa.. Mungu akufanikishe.

  • @anithamahaba8054
    @anithamahaba8054 2 ปีที่แล้ว +1

    Woow naupenda sana huu wimbo,japo mm ni kuryani sielewii lugha, Mungu akubariki sanaa

  • @fbensony
    @fbensony 5 ปีที่แล้ว +18

    Wanyaki Kwa kunesa tu hahaha hakuna wa kutupita aisee

  • @CreliaApronia
    @CreliaApronia หลายเดือนก่อน

    Mungu akuongoze kww uimba wako

  • @mpelienock
    @mpelienock 4 ปีที่แล้ว +3

    Barikiwa Umboke Kyoma, it's a blessing song.
    Naloli uswe tulibhabhuke.

  • @AsheryMwambulo
    @AsheryMwambulo หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana dada Umboke

  • @aminathatave5247
    @aminathatave5247 3 ปีที่แล้ว +3

    Wimbo huu unanifanya niliye jamanii😭😭

  • @shabanimagogo502
    @shabanimagogo502 4 ปีที่แล้ว +3

    Najutakaga kukanyaga ardhi ya kyela mumenipa kumbukumbu zisizotoka kuanzia mwaka 2013 mpaka leo tamaduni zenu ziko kichwani pangu kinachoniuma zaidi nyimbo hii hunikumbusha mwanamke wakindali niliewahi kumpenda sana wimbo huu alikuuwa akiupenda sana

  • @festohangu3178
    @festohangu3178 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri Sana rafiki yangu

  • @happymwamakula8573
    @happymwamakula8573 2 ปีที่แล้ว +1

    Aminaa tukusekela nkati mwa kyala

  • @batalemustachi6717
    @batalemustachi6717 5 ปีที่แล้ว +10

    nalolinaloliiii ndenyakyosaaaa engamu ja Jesu like zako

  • @daviesoscar1603
    @daviesoscar1603 5 ปีที่แล้ว +5

    I hope Neema can watch this Nyakyusa Ballard, she can just burst into tears as she remembers her unforgettable day.
    Glory be to Jesus

  • @felicianmapunda2328
    @felicianmapunda2328 3 ปีที่แล้ว +3

    Wimbo mzuri sana watani zangu wanyakyusa

  • @sumaadamson214
    @sumaadamson214 ปีที่แล้ว

    Nawapenda sana ndugu zangu wanyakyusa nawapenda Toka moyoni 🥰🥰🥰

  • @kingswebe3251
    @kingswebe3251 4 ปีที่แล้ว +2

    ubarikiwe sana mama yangu, hakika huu wimbo unanibariki sana.

  • @JosephKadama-fc7xj
    @JosephKadama-fc7xj 10 หลายเดือนก่อน

    Ngoma kali sana! Ila sijui maana yake

  • @amosmwaijibe2510
    @amosmwaijibe2510 5 ปีที่แล้ว +2

    Wimbo mzuri Dada hongera alafu mbona uwo wimbo wako mwingine siupat wakinyakyusa.

  • @piusnkwale
    @piusnkwale ปีที่แล้ว

    Kwasisi tunaotoka mbeya tunalilewa vibe la wanyakyusa😊

  • @suzanaramadhan1141
    @suzanaramadhan1141 4 ปีที่แล้ว +2

    Nyimbo namkbuka mama Angu jmn mweeee Napoli

  • @ronaldowilson7339
    @ronaldowilson7339 5 ปีที่แล้ว +4

    Matron mambo yako sawa , mungu ni mwema

  • @mercyosman2605
    @mercyosman2605 5 ปีที่แล้ว +12

    Icant understand the language but the spirit tells itself may God bless Amen love from Malawi ithank God for everything that hes doing for us everydays of our lives 😍😍😍😍

    • @emmanuelmwanjala17
      @emmanuelmwanjala17 5 ปีที่แล้ว +3

      That's nyakyusa language from mbeya Tukuyu means it's true it's true we are enjoying through Jesus name

    • @emmanuelmwanjala17
      @emmanuelmwanjala17 5 ปีที่แล้ว +3

      That's nyakyusa language from Mbeya Tukuyu means it's true it's true we are free and enjoying through Jesus name

    • @mercyosman2605
      @mercyosman2605 5 ปีที่แล้ว +3

      @@emmanuelmwanjala17 ooh wow thats sounds great thank you for the translation inow know. God bless you 👏👏👏👏its really agood song

    • @jastinimpeligwa473
      @jastinimpeligwa473 5 ปีที่แล้ว +1

      mercy osman 👏👏👏👏👏👍👍👍

    • @daviesoscar1603
      @daviesoscar1603 5 ปีที่แล้ว

      Hi

  • @shabanimagogo502
    @shabanimagogo502 4 ปีที่แล้ว +2

    Wimbo unanikumbusha mbeya kyla boder ya malawi wanapaita kasumulo boder niliishi kyela zaidi ya miaka 4 nilingiaga mbeya mwaka 2013 nikisikiliza hii namkumbuka mpenzi wangu wakindali miaka iyo natamani tena nipate kasichana kakinyachusa tena nimewamiss 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @magrethnatai8846
    @magrethnatai8846 5 หลายเดือนก่อน

    Mimi Mchaga lakini naupenda huu wimbo, Napendaga harusi za wanyakyusa ili niucheze.

  • @jumahalfani6789
    @jumahalfani6789 ปีที่แล้ว

    I don't know Swahili but I love the song....From. Jamaica 😂

  • @ericaambindwile2529
    @ericaambindwile2529 ปีที่แล้ว +1

    Very nice song, be blessed my deae

  • @tuponilengomba7706
    @tuponilengomba7706 5 ปีที่แล้ว +7

    Ndagha ghwakukaja kyala akutulee

  • @dinakyoma5977
    @dinakyoma5977 5 ปีที่แล้ว +3

    Ubarikiwe sana. Stay blessed Umboke

  • @emanuelmwakipesile6848
    @emanuelmwakipesile6848 3 ปีที่แล้ว +1

    Upo mbali na mbeya unasikia hii kitu unasikia hii kitu unahisi upo rungwe au kyela kabisa

  • @siamoye4549
    @siamoye4549 2 ปีที่แล้ว +1

    Jaman wakwe na mashemej zangu wanyakyusa

  • @prosperpuro1712
    @prosperpuro1712 4 ปีที่แล้ว +3

    Me mchaga lakini ili dude silipingagi miaka100

  • @liliangreyson6667
    @liliangreyson6667 4 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe mdogoangu,gwe ntine

  • @ZenathManyanya
    @ZenathManyanya 6 หลายเดือนก่อน

    Yan mpaka natamn kuwa mnyakyusa

  • @tulibakomwafula9079
    @tulibakomwafula9079 3 ปีที่แล้ว

    Naloli nabububo jubha usajigweghe💃🏿💃🏿💃🏿💃🏿

  • @tibeliusmdegela2748
    @tibeliusmdegela2748 4 ปีที่แล้ว

    Napenda jinsi unaomba ukiwa na bashasha unafanya napenda wimbo hata kama sielewi maana yake.

  • @filbertamasale2649
    @filbertamasale2649 5 ปีที่แล้ว +3

    Kazi Nzuri mama

  • @noelmarapachi1808
    @noelmarapachi1808 10 หลายเดือนก่อน

    Niliwahi kukutana na huu wimbo Uyole Mbeya mwaka 2008, nikanunua Tape Yake, kipindi hicho anaitwa Uboke K. Mwandiga. Ubarikiwe dada na kazi ya Bwana

  • @gwamakapeter704
    @gwamakapeter704 4 ปีที่แล้ว +1

    uswe tulibhabhuke mungamu ja kyala# amen..!!

  • @farajamwasomola2903
    @farajamwasomola2903 5 ปีที่แล้ว +6

    Ndanga Fijo wakukaja

  • @ramadhaniluoga5491
    @ramadhaniluoga5491 3 ปีที่แล้ว

    Nyimbo nzur hongera

  • @edwardgwaspika4943
    @edwardgwaspika4943 ปีที่แล้ว

    This song is so beautiful. Big congratulations:)

  • @gracengolanga3294
    @gracengolanga3294 2 ปีที่แล้ว +1

    Ooh how I love this song

  • @Worthyonia
    @Worthyonia 4 ปีที่แล้ว +4

    I cant understand this song bt i like it😘😘

    • @ibrahshowtz
      @ibrahshowtz ปีที่แล้ว

      Uli ntungulu ugwe 🤣🤣🤣🤣

  • @sesiliamwambepo7136
    @sesiliamwambepo7136 4 ปีที่แล้ว

    Jamani nautafuta wimbo wa leka ngete ikisibha

  • @philomenasamson4766
    @philomenasamson4766 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe

  • @bonyikenda9341
    @bonyikenda9341 4 ปีที่แล้ว +2

    Ndagha fijho, mulipo wa kulisu ipimba,

    • @tulibakomwafula9079
      @tulibakomwafula9079 3 ปีที่แล้ว

      Kwa mpuna, ku Njisi ku mbatata imbulunge, pamisioni!!!!!!!!!!!!

  • @isibingotv2206
    @isibingotv2206 4 ปีที่แล้ว +2

    Dada mwenye rasta za gold umetisha

  • @lilianngare4747
    @lilianngare4747 5 ปีที่แล้ว +3

    Congratulations madam God bless u abondantly

  • @atuganilekitego8616
    @atuganilekitego8616 ปีที่แล้ว +1

    I'm proud to be nyakyusa

  • @marymwashilindi6162
    @marymwashilindi6162 2 ปีที่แล้ว

    Wanyakyusa pyeeee

  • @patrickmahimbo2575
    @patrickmahimbo2575 4 ปีที่แล้ว

    Kwani huyo mwessa mbona anatrend sana ni jina au ..

  • @danieldaud9341
    @danieldaud9341 4 ปีที่แล้ว +1

    Wahehe kwaya

  • @lazaroraphaelmwandosya7010
    @lazaroraphaelmwandosya7010 10 หลายเดือนก่อน

    Hallelujah 🙏🙏❤

  • @irenemark6908
    @irenemark6908 หลายเดือนก่อน

    Maana yake nini?

  • @emmahmwampondele1185
    @emmahmwampondele1185 3 ปีที่แล้ว

    Kyala akutuleghe mama

  • @ronaldowilson7339
    @ronaldowilson7339 5 ปีที่แล้ว +4

    Good work.

  • @amongidion652
    @amongidion652 4 ปีที่แล้ว +1

    Ndagha fijhoooooo ....

  • @mwashokela11
    @mwashokela11 4 ปีที่แล้ว +4

    Kukaja kununu..The Green City.

  • @majaliwamwandembo2048
    @majaliwamwandembo2048 5 ปีที่แล้ว +2

    Amen

  • @LidiahMohamed
    @LidiahMohamed หลายเดือนก่อน

  • @nebartmwakibinga9262
    @nebartmwakibinga9262 3 ปีที่แล้ว +1

    Naloli naloli

  • @stephanogodwin4086
    @stephanogodwin4086 4 ปีที่แล้ว +1

    ndaga gwakukaja

  • @maryelias2798
    @maryelias2798 5 ปีที่แล้ว +2

    Ndaga wa kumtu

  • @gastomligo8801
    @gastomligo8801 4 ปีที่แล้ว

    Naloli naloli nikiwa njombe

  • @stephanomwanguku3876
    @stephanomwanguku3876 3 ปีที่แล้ว

    ubalikiwe mama ang

  • @dianaprudence1565
    @dianaprudence1565 4 ปีที่แล้ว

    Barikiwa mnoooo

  • @raphaelmwamakimbula9642
    @raphaelmwamakimbula9642 ปีที่แล้ว

    ♥️♥️♥️👏

  • @jobmoffat7844
    @jobmoffat7844 3 ปีที่แล้ว

    Naloli mwe

  • @gipsonmwankobela2825
    @gipsonmwankobela2825 2 ปีที่แล้ว

    ndaga fijo

  • @momumotv3444
    @momumotv3444 4 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥📌

  • @lindajoseph2589
    @lindajoseph2589 5 ปีที่แล้ว +2

    Ndagha nkamu

  • @magdalenangailo126
    @magdalenangailo126 2 ปีที่แล้ว +1

    2022

  • @godnjobele9648
    @godnjobele9648 5 ปีที่แล้ว

    Naloli naloli.... Dah adi laa jaman

  • @glorywalter3085
    @glorywalter3085 ปีที่แล้ว

    🤗🤗🥳🙏

  • @ipyanamahimbo1508
    @ipyanamahimbo1508 4 ปีที่แล้ว

    Album hii inapatikana wapi Wapendwa

    • @dostovan5142
      @dostovan5142 2 ปีที่แล้ว

      Uko mbeya?

    • @ipyanamahimbo1508
      @ipyanamahimbo1508 2 ปีที่แล้ว

      Dar es salaam Vp Mbeya naweza ipata maeneo gani

    • @ipyanamahimbo1508
      @ipyanamahimbo1508 2 ปีที่แล้ว

      Wekeni nyimbo zote hapa tupakue hapa TH-cam Wapendwa

  • @lucykayombo161
    @lucykayombo161 5 ปีที่แล้ว +2

    naloli inamaanisha nn?

  • @irenengurumo4845
    @irenengurumo4845 5 ปีที่แล้ว +1

    Naloli Nalinali

  • @hamphumichael7194
    @hamphumichael7194 ปีที่แล้ว

    Kyusaa

  • @michaeljohn646
    @michaeljohn646 ปีที่แล้ว

    Jikungumbusya kukaja

  • @ndigwakomatola6210
    @ndigwakomatola6210 3 ปีที่แล้ว +1

    .

  • @kumbukenikimbu259
    @kumbukenikimbu259 2 ปีที่แล้ว +1

    L

  • @roidaluoga3005
    @roidaluoga3005 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @anthonychirwa8019
    @anthonychirwa8019 2 ปีที่แล้ว

    Amen