Peter Msechu - Usijali (Official Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024
  • VERSE 1
    Na je huu ndio mwanzo wangu,
    Ama ndio mwisho wangu
    Na je hili ndio pito langu
    Ama ni ushindi wangu
    Sielewi
    Maana kila siku
    Vita ni kuu
    Akili yangu yakosa pumziko
    Tena moyo wangu umenyimwa urafiki
    Na mazingira
    Sasa nimwone nani, nimwone nani nimweleze nani,
    Maana kifuani pamejawa na mzani
    Mazingira mazingira hayanipi tumaini
    Ila kuna sauti ya upole inanijia ikisema
    CHORUS
    Wala usijali, wala usijali
    Wala usijali, unaweza anza tena unaweza ng'ara tena
    Wala usijali, wala usijali, wala usijali,
    Unaweza anza tena, unaweza ng'ara
    tena
    VERSE 2
    Na hata rafiki, jamaa ndugu niliowaamini sana
    Kuja tazama ghafla mbona siwaoni mara
    Na kale kamtaji nilikojikusanya
    Kufanyia biashara
    Naja tazama tazama kote kamedorora tena
    Na hata imani niliyokuwa nayo siku zile kabla
    Nikitazama kila siku inazidi kuwa hafifu
    Mwenendo wangu mbona naona kama si imara tena
    Zaidi ya jangwa niko peke yangu sioni mwangaza
    Sasa nimwone nani, nimwone nani nimweleze nani,
    Maana kifuani pamejawa na mzani
    Mazingira mazingira hayanipi tumaini
    Ila kuna sauti ya upole inanijia ikisema
    CHORUS
    Wala usijali, wala usijali
    Wala usijali, unaweza anza tena unaweza amka tena
    Usijali
    Wala usijali (iko siku utasimama tena)
    wala usijali, (ameandika jambo jema maulana)
    wala usijali,
    Unaweza anza tena, unaweza ng'ara
    tena
    Unaweza ng'ara tena
    Simama imara
    Wala usijali
    pambana na maadui wanaokuombea mabaya
    Wala usijali
    Aonaye amekuona yuko juu atakuinua
    Wala usijali
    Unaweza anza tena
    Unaweza amka tena
    Simama imara
    Wala usijali (pambana tena)
    Wala usijali
    Siku yako inakuja imeandikwa
    Wala usijali (chozi lako linaonekana)
    Unaweza anza tena, unaweza ng'ara tena
    Hata kama umefiwa na mume au mke simama tena,
    Usivunjike moyo
    Wala usijali
    Aliyemchukua anakuona
    Wala usijali( na atakusimamia)
    Usijali anza tena
    Wala usijali
    Unaweza anza tena unaweza amka tena
    Wala usijali, unaweza anza tena, unaweza inuka tena.

ความคิดเห็น • 68

  • @zomasamweli
    @zomasamweli หลายเดือนก่อน +11

    Kama unamkubali hidaya boli gonga like

    • @ambakisyemwakinunu2002
      @ambakisyemwakinunu2002 หลายเดือนก่อน

      Mwigizaji mzuri sana huyu dada

    • @SalamaNauthar
      @SalamaNauthar หลายเดือนก่อน +1

      Nimekuja Kwa ajili ya Hidaya boli

  • @christophermsekena616
    @christophermsekena616 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe ni mtumishi wa Mungu kabisa ni vile tu umechelewa kuokoka na kuanza kuitangaza Injili kupitia hiki kipawa...Yesu akuguse Mungu aendelee kukuinua wimbo mzuri sana

  • @mostyhodari2145
    @mostyhodari2145 หลายเดือนก่อน

    Ujumbe mkubwa sana bila mapenzi hapo hongera sana kaka.

  • @wandedalushi2984
    @wandedalushi2984 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sanaaaa

  • @JohnMewa
    @JohnMewa หลายเดือนก่อน

    Inafundisha sana❤

  • @UlomiIsack
    @UlomiIsack หลายเดือนก่อน +1

    Utunzi mzuri hakika umeona uhalisia wa maisha ya watu na jamii kubwa watu wemekata tamaa. Maisha kizungumkuti

  • @karoltunduli107
    @karoltunduli107 หลายเดือนก่อน

    Dope I love the song

  • @user-wq7zm9bo6l
    @user-wq7zm9bo6l หลายเดือนก่อน +3

    Brother kuna uwepo wa Mwenyezi Mungu ndani yako fanya muendelezo wakutupa nyimbo za kiroho🙏

  • @joshuajustustz
    @joshuajustustz หลายเดือนก่อน

    Nice chorus.... Inspiration song ❤❤❤🎉

  • @MariaMhomi
    @MariaMhomi หลายเดือนก่อน +1

    Asant kaka Kwa wimbo mzr wa kutia moyo katika safar tulionayo 🙏🙏🙏🙏god bless you

  • @Amosmsechu
    @Amosmsechu หลายเดือนก่อน +3

    Daah huu wimbo umenitoa machozi daah utunzi mkubwa sana kka

  • @oscarmamboleo8756
    @oscarmamboleo8756 หลายเดือนก่อน +2

    Hujawahi kutukosea mashabiki zako Sechu boy. Unajua saana mzee❤🎵🎶

  • @ministernikolaus
    @ministernikolaus หลายเดือนก่อน +2

    Nakubali sana huduma yako Brother Peter msecho,nabarikiwa sanaa na MUNGU azidi kukubariki Zaid na Zaidi 🙏🙏🙏

  • @fabianmainchanyangachika5017
    @fabianmainchanyangachika5017 หลายเดือนก่อน

    Nice song

  • @donaldelias2267
    @donaldelias2267 หลายเดือนก่อน +1

    Ila msechu ni zaid ya kibonge Duuuuu.kwenye hayo manguo meupe hatari

  • @alphantole
    @alphantole หลายเดือนก่อน

    Amen💯🔥🔥🔥🙏

  • @MwanadiaSaid
    @MwanadiaSaid หลายเดือนก่อน

    Sasa hii nyimbo gani. usitoe Tena nyimbo. ipo category gana

  • @christinachawe1665
    @christinachawe1665 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥

  • @meleckmchomvu2298
    @meleckmchomvu2298 หลายเดือนก่อน

    One love brother....... God given u long life uzidi kutupa faraja ya mioyo yetu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @swalehe555
    @swalehe555 หลายเดือนก่อน

    Huu wimbo umekuja wakat sahihi kwangu, wala cjali mungu yupo haya ni mapito

  • @iamissaanthon724
    @iamissaanthon724 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana kaka Steven Godfrey kwa Uandishi Mzuri na pongezi kwa mwimbaji kaka msechu🎉🎉🎉

  • @arsensiulapwa1478
    @arsensiulapwa1478 หลายเดือนก่อน

    Baba elimu kubwa sana ipo humu, endelea kutupa nyimbo hizi.. on repeat 🎶

  • @OscarMsechu
    @OscarMsechu หลายเดือนก่อน +1

    Congratulations Peter keep it up 👍

  • @user-ec1ib2do7x
    @user-ec1ib2do7x หลายเดือนก่อน

    Sweet songs ,make encourage for everyone who watch this songs,pia nimemuona ector mmoja namuelewaga sana ,anajua .big up bro

  • @laxmajor
    @laxmajor หลายเดือนก่อน

    ipo siku utashinda zaidy ya hapa mtumishi wamungu 😍🇹🇿💯

  • @thomasjohn2554
    @thomasjohn2554 หลายเดือนก่อน

    Nan kafariki tena😂

  • @mastajabudekula4828
    @mastajabudekula4828 หลายเดือนก่อน

    Nakubali those are the massage the nation need not those nonsense from diamond,harmonize.🇨🇩🇿🇦🇿🇦

  • @user-om2kz2nx2c
    @user-om2kz2nx2c หลายเดือนก่อน +1

    Ninaimani hii itakuwa kali sana

  • @mwangosikennedy9643
    @mwangosikennedy9643 หลายเดือนก่อน

    Kaka mm nakubali sana nyimbo zako, una tone ,oja safi ya uimbaji.

  • @jeromekato7
    @jeromekato7 หลายเดือนก่อน

    Kaka peter asante sana binafsi nimekua nakufatilia polepole toka Hasira hasara,big up ✊

  • @meshackmwady9212
    @meshackmwady9212 หลายเดือนก่อน

    Kaka unafaa ubakii tu kwenye gospel tunakupenda sanaaa

  • @LaukhanPaulo
    @LaukhanPaulo หลายเดือนก่อน

    Daaa😅!! Amini bro wanadamu tunapitia mengi mjini ila kikubwa kutokukata tamaa

  • @kenjaboy8070
    @kenjaboy8070 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤🎉

  • @enockgogy5458
    @enockgogy5458 หลายเดือนก่อน

    Iko poa sana aidia zuri broo

  • @VeneroMaxvely
    @VeneroMaxvely หลายเดือนก่อน +1

    Vp msechu kika siku unazingua nguo zimechanika alafu kichwan umenyoa mnyoo wa elfu 30 video product mmezingua wajii

    • @Mary-fs4mc
      @Mary-fs4mc หลายเดือนก่อน

      Umeelewa maana ya nyimbo? au ndio unaangalia mavazi tu ,bila kujua nyimbo ina maanisha nini! Kwakifupi yupo sahihi kuanzia mavazi mpaka video kulingana na nyimbo yake.

  • @AmosYusuph-cj6gb
    @AmosYusuph-cj6gb หลายเดือนก่อน

    Wewe ni mwalimu hujawahi kukosea

  • @eddiemohamed9003
    @eddiemohamed9003 หลายเดือนก่อน

    🥰🥰🥰

  • @harifumunir6004
    @harifumunir6004 หลายเดือนก่อน

    Safi sana kaka hii imenitoa chozi kwakweli 😢😢

  • @JovinMinja-b9g
    @JovinMinja-b9g หลายเดือนก่อน

    Wimbo umetulia broo..Hongeraaa

  • @RobertLuvanda
    @RobertLuvanda หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri bro🎉

  • @clansylatv1823
    @clansylatv1823 หลายเดือนก่อน

    Brother unatuchelewesha kwenye gospel music unafaaaaaaaa na nihataaaari

  • @user-tf8yg2yl5h
    @user-tf8yg2yl5h หลายเดือนก่อน

    Congrats..keep it up

  • @vm_rr
    @vm_rr หลายเดือนก่อน

    Waiting for a week, am listening to this beautiful song in hard situations 5:18

  • @menasmusic9863
    @menasmusic9863 หลายเดือนก่อน

    it is very good 🎉

  • @user-hw7by5fr3p
    @user-hw7by5fr3p หลายเดือนก่อน

    Congratulations 🎉

  • @samuelshukurani5550
    @samuelshukurani5550 หลายเดือนก่อน

    One of my best musicians....💪💪💪

  • @user-xe9bw1ii3p
    @user-xe9bw1ii3p หลายเดือนก่อน

    Big up brother be blessed

  • @Halisitv
    @Halisitv หลายเดือนก่อน

    MASKINI MWASITI ONA KILICHOMKUTA th-cam.com/video/2S9UOgk2g2s/w-d-xo.htmlsi=XOFsVWRn0HtzFPIa

  • @user-pk4jp2wu7j
    @user-pk4jp2wu7j หลายเดือนก่อน

    blessing song

  • @Davilas281
    @Davilas281 หลายเดือนก่อน

    Ameeen brooo

  • @SalumHassan-ig7jv
    @SalumHassan-ig7jv หลายเดือนก่อน

    Nasubili pia

  • @juanezpierregiosue485
    @juanezpierregiosue485 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana

  • @Vicentjumamanyalutz
    @Vicentjumamanyalutz หลายเดือนก่อน

    Blessing

  • @herymalundo1716
    @herymalundo1716 หลายเดือนก่อน

    🔥

  • @more_hundreds_TV
    @more_hundreds_TV หลายเดือนก่อน

    I love the song...

  • @BenyDaniel
    @BenyDaniel หลายเดือนก่อน

    Amen amen❤

  • @mfalmepharao
    @mfalmepharao หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤

  • @Officialjidaa-sn9cs
    @Officialjidaa-sn9cs หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉

  • @sosomokobiasharamgaya3020
    @sosomokobiasharamgaya3020 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa ujumbe mkuu

  • @mpundempunde1722
    @mpundempunde1722 หลายเดือนก่อน

    Omba omba ila nywele kashevu kwa muster cut mmh hapo umefeli

    • @Amosmsechu
      @Amosmsechu หลายเดือนก่อน

      Kiongozi umeona hilo tu acheni roho hizoo

  • @winniefridah0411
    @winniefridah0411 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥🔥🔥