Kama unamini injili ya kweli ni injili ya wokovu kwa kuongozwa toba ya kweli nakutembea katika bwana na sio maombez na miujiza alafu hakuna toba .... gonga like twwnde pamoja.....
Nimewaheshimu sana wazee wetu awa, MUNGU awabariki sana....Askofu Zakaria Kakobe Mungu akuweke, Apostle Vernon Fernandez Mungu akuweke, Askofu Sylvester Gamanywa Mungu akuweke.huu ndiyo ukweli...tuwaunge mkono....pia karama zote zipo na zinafanya kazi, hakuna andiko ambalo linaondoa karama ya utume na nabii, wapentekoste kwa jambo hili tufunguke.
Nomasanaaaaaaaaaaaaaaaaa hiindo injili yakweliiiiiiiiiiiiiiiiii.......Bg up Zakaria Kakobe & his friends God bless you.atakaewapinga atapingwa na Mungu.kwakuwa mumeamuwa kusemaukweli Mungu yupamojananyi don't look back Go St let forward.
Ninakuombea sana, ili Mungu akutumie vema kabla ya wakati wako na akupe miaka mingi na Heri duniani, maana Yesu wetu amedhalilishwa sana na watumishiwa sasa. Mungu akuinue katika hili wengi wapone. Damu ya Yesu ikufunike katika Upako huu
MTUMISHI WA MUNGU ASKOFU ZACHARIA KAKOBE NAKUOMBEA KWA MUNGU UISHI MIAKA MINGI ZAIDI KWA AJILI YA KUSUDI LA MUNGU. MAANA YALIYOFUNIKWA MUNGU ANAYAFUNUA KUPITIA KINYWA CHAKO
Dr. Gamanywa nataka niulize hivi Kama mimi ninawito na nahitaji kutumika katika kanisa Hilo Hilo nililolelewa bila kupewa support na kanisa husika au Kama nitaanzisha huduma yangu mwenyewe?
Eeee baba zangu sijui Kama Kuna vijana waliondaliwa vema kuibeba injili na doctrine iliyo nyooka ya kweli kiasi hiki mtakapo maliza muda wenu.kama wapo namuomba Mungu niwe mmoja wao.
i dont mean to be off topic but does any of you know a trick to get back into an instagram account?? I was dumb lost my account password. I would love any assistance you can give me
@Willie Draven Thanks for your reply. I got to the site on google and I'm waiting for the hacking stuff now. Seems to take quite some time so I will get back to you later when my account password hopefully is recovered.
Mwalimu ni yule anayefundisha neno la Mungu Mhubiri ni yule anayekemea na kuwataka watu tuache kuishi maisha ya mfumo wa dhambi na kugeuza nyuso zetu kumuelekea kristo Yesu
Wandugu! Tunaposoma bible tusome vizuri tusichague vifungu vya kusoma, au tukasoma, mistari 2 au 1, hatuta weza kuelewa,halafu kabla ya kusoma bible tunatakiwa kumuomba Mungu atuongoze vizuri,tusiongeze maneno au kupunguza maneno kwenye bible. Kuhusu mitume, kumchagua mwingine kwa ajili ya kuziba nafasi ya yuda, siyo wao waliyo jiamulia matendo ya mitume 1:1-27.
Hivi huu ni woga au kitu gani, kwanini manabii na mitume wamekuwa kichomi kwenu?!iiiiiiii, Mpaka mmehama kuhubiria watu mnahaha juu ya hudums hizi mbili?
Gamanywa ni Mzee wa khiki tuu, ni km uyo Mzee wa upako , anatafuta khiki kwa mama, km Gamanywa alivyokuwa alijipendekeza kwa Mzee maghufuli nakumsifia Saana. Yaani hakuna viongozi hatari km Hawa wakikristo
Kama unamini injili ya kweli ni injili ya wokovu kwa kuongozwa toba ya kweli nakutembea katika bwana na sio maombez na miujiza alafu hakuna toba .... gonga like twwnde pamoja.....
Asanteni Baba zetu katika Imani Mungu awape maisha mareeefu katika JINA LA YESU KRITO ALIE HAI
Nimewaheshimu sana wazee wetu awa, MUNGU awabariki sana....Askofu Zakaria Kakobe Mungu akuweke, Apostle Vernon Fernandez Mungu akuweke, Askofu Sylvester Gamanywa Mungu akuweke.huu ndiyo ukweli...tuwaunge mkono....pia karama zote zipo na zinafanya kazi, hakuna andiko ambalo linaondoa karama ya utume na nabii, wapentekoste kwa jambo hili tufunguke.
Ninainjoy sana. Bishop Kakobe endeleeni kufanya hinyo.
Askofu kakobe Asante kwa mafundisho yaliyokwenda shule
Nomasanaaaaaaaaaaaaaaaaa hiindo injili yakweliiiiiiiiiiiiiiiiii.......Bg up Zakaria Kakobe & his friends God bless you.atakaewapinga atapingwa na Mungu.kwakuwa mumeamuwa kusemaukweli Mungu yupamojananyi don't look back Go St let forward.
injiliiliyo iliyohai na kweli
MUNGU Akulinde sana Mchungaji kakobe na akupe nguvu zaidi kwasabu watu wanaiharibu injili ya YESU KRISTO
Askofu kakobe wewe Nakuombea sana kila nikikumbuka hakika MUNGU Aishie milele Akubariki kwa injili takatifu unayo fundisha
Wazee hawa Mungu awafanikishe katika kurudisha kundi la Bwana katika imani halisi
Askofu kakobe hakika MUNGU wa Mbinguni Akubariki sana umebaki pekeyako unae hubiri injili kama hii MUNGU Akulinde sana na family yako
aminaaa
Amen
Hakika Yesu yupo Kazini. Maranatha!
Askof kakobe wewe ni mwalim Mungu azidi kuchochea kalama hiyo ndani yako
Maranatha
Yesu anatoshaaaaa
AmnaAaaaa
Hakika hamtafumba macho mpaka Mungu atakapokamilisha kusudi lake kumrudisha Yesu mioyoni mwa watu.
Mbarikiwe sana watumishi
Good is good
GOOD..!!
MUNGU Akulinde sana na Family yako Mchungaji kakobe wewe Ni Nabii😂wa MUNGU
Ninakuombea sana, ili Mungu akutumie vema kabla ya wakati wako na akupe miaka mingi na Heri duniani, maana Yesu wetu amedhalilishwa sana na watumishiwa sasa. Mungu akuinue katika hili wengi wapone. Damu ya Yesu ikufunike katika Upako huu
Ķjjjķjhk
9
9
Ki.kk9kkmk
Bom9mkok9mlk
M
Mi
9k9k
Kk90kk
9M9m
Kk
Kk
Hakika MUNGU Akubariki sana na Azidi kukurinda bado tunakuhitaji
Asante Shalom TV
imekwishaa!
Ameeni mungu awabariki sana
MTUMISHI WA MUNGU ASKOFU ZACHARIA KAKOBE NAKUOMBEA KWA MUNGU UISHI MIAKA MINGI ZAIDI KWA AJILI YA KUSUDI LA MUNGU. MAANA YALIYOFUNIKWA MUNGU ANAYAFUNUA KUPITIA KINYWA CHAKO
NIMESIKIA NGUVU MPYA NDANI YANGU KUPITIA MAFUNDISHO HAYA.ASANTE ROHO MTAKATIFU
Eee Mungu Fanya kitu katika kizazi hiki kipya
Asante baba tuko nyuma yako
HAKIKA MUNGU MUNGU ANAMTUMIA MTUMISHI WAKE BISHOP C G
Kweli tupu
Kweli Mungu sio mwanadamu
Hii ndio injili inayotakiwa
Dr. Gamanywa nataka niulize hivi Kama mimi ninawito na nahitaji kutumika katika kanisa Hilo Hilo nililolelewa bila kupewa support na kanisa husika au Kama nitaanzisha huduma yangu mwenyewe?
Hii ndiyo injir sio et. Kukanyaga mafuta yaupako
Yesu anakuja.
Eeee baba zangu sijui Kama Kuna vijana waliondaliwa vema kuibeba injili na doctrine iliyo nyooka ya kweli kiasi hiki mtakapo maliza muda wenu.kama wapo namuomba Mungu niwe mmoja wao.
AMINA! Mungu na atende. Kwako
amosHee mwangelLeewa Ameeen, Mungu akufanikishe ktk nia yako
Wapo wengi tu
Wapo wamehifadhiwa kwa ajili ya wakati wao!! Tena ni vijana
Hili ndilo Neno ambalo ulimwengu umelikosa
THIS IS TANZANIA LIFE TIME REVIVAL OF MONUMENTAL RECORD
i dont mean to be off topic but does any of you know a trick to get back into an instagram account??
I was dumb lost my account password. I would love any assistance you can give me
@Dane Bruno Instablaster :)
@Willie Draven Thanks for your reply. I got to the site on google and I'm waiting for the hacking stuff now.
Seems to take quite some time so I will get back to you later when my account password hopefully is recovered.
@Willie Draven it worked and I finally got access to my account again. Im so happy!
Thank you so much, you really help me out !
@Dane Bruno Happy to help :)
Manabii na mitume kwasasa wamejaa na sijui km wamepewa hizo huduma.
kama hujui sio vizuri kupost bora ungeuliza Mtu wa Mungu
Naomba nisaidiwe tofauti ya kundisha neno na kuhubiri neno. Au tofauti ya Mhubiri na Mwalimu. Asante sana
Mwalimu ni yule anayefundisha neno la Mungu
Mhubiri ni yule anayekemea na kuwataka watu tuache kuishi maisha ya mfumo wa dhambi na kugeuza nyuso zetu kumuelekea kristo Yesu
WAKUBALI WAKATAE INJILI YA YESU KRISTO ITAHUBIRIWA TU. HIZI NI NONDO TUPU NA LAZIMA WATU WAPONE KUPITIA HAYA MAFUNDISHO. MBARIKIWE WATUMISHI WA MUNGU
Fideth Kimath maaskofu hawa mungu awape maisha mareeeeeeefu sana ,ili wakikomboe kizazi hiki, emeeeeeee
Hapo sawa tumechoshwa na wauza njiwa hekaluni, karama za rohoni hazitembei nje ya huduma tano. Watu wanakurupuka bila wito,
Wewe mtume ni chuma
Wandugu! Tunaposoma bible tusome vizuri tusichague vifungu vya kusoma, au tukasoma, mistari 2 au 1, hatuta weza kuelewa,halafu kabla ya kusoma bible tunatakiwa kumuomba Mungu atuongoze vizuri,tusiongeze maneno au kupunguza maneno kwenye bible. Kuhusu mitume, kumchagua mwingine kwa ajili ya kuziba nafasi ya yuda, siyo wao waliyo jiamulia matendo ya mitume 1:1-27.
tujifunze njia ya Bwana kwa usahihi zaidi
Hivi huu ni woga au kitu gani, kwanini manabii na mitume wamekuwa kichomi kwenu?!iiiiiiii,
Mpaka mmehama kuhubiria watu mnahaha juu ya hudums hizi mbili?
Amen
Maranatha
HAKIKA MUNGU MUNGU ANAMTUMIA MTUMISHI WAKE BISHOP C G
Maranatha
Hakika mungu ni mwema kwa watu wake