BISHOP ZACHARY KAKOBE NDANI YA NYUMBA YA UFUFUO NA UZIMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 69

  • @geoffreykilawe3953
    @geoffreykilawe3953 5 ปีที่แล้ว +16

    Bishop Zachary Kakobe, unajua sana neno baba, hakika hekima iliyopo kwako ni kubwa mno. Asante kwa kutuelezea hilo jambo kiblia, ubarikiwe sana. Bishop Gwajima ubarikiwe sana, shetani ameshindwa.

  • @lainifh4663
    @lainifh4663 5 ปีที่แล้ว +5

    Hongera baba Gwajima kwa ushindi huu. Umoja ni nguvu. Wakristo huu ni mfano wa kuiga: kubebana, kupendana na sio kumpa adui nafasi katika kanisa

  • @pirminmatumizi5464
    @pirminmatumizi5464 5 ปีที่แล้ว +7

    Umoja huu wa Makanisa ya Kipentekoste ndiyo nimekuwa nikimwomba Bwana Yesu kwa Roho Mtakatifu auimarishe. Ahsante BWANA Mungu (Jehovah). Ahsante Bwana Yesu Kristo kwa roho hii ya Umoja. Ahsante Roho Mtakatifu mwalimu na mwombezi wetu. Ahsante Askofu Mkuu wa FGBF Zakary Kakobe. Ahsante Askofu Mkuu Josephat Gwajima, wewe ni jasiri, umeshinda vita. Ahsante Maaskofu na Wachungaji wote. Ahsante majeshi yote ktk huduma ya Ufufuo na Uzima. Songeni mbele, hizi ni dalili nzuri Wokovu wetu u karibu. Bwana Yesu yuko standby kwa sasa, Wakati wowote anakuja kutunyakua Kanisa lake. Haleluya!

  • @daughterofakingtabitha.9833
    @daughterofakingtabitha.9833 5 ปีที่แล้ว +4

    Glory be Jesus !!!!!!! Hallelujah. I thank God for Bishop kakobe. "Baba tunakupenda sana sana kwa ujasiri wako" Mimi nasimama na wewe pia kwa lolote lile. Your God has become my God. Be blessed.

  • @renovatcubwa6690
    @renovatcubwa6690 4 ปีที่แล้ว +1

    Bishop Gwajima, unajua sana kufndisha Neno la Bwana.

  • @barikinihataringira5113
    @barikinihataringira5113 5 ปีที่แล้ว +7

    Nawapenda watumishi wa Mungu pigeni kazi mliopewa na Jehova

  • @blessingmwakalindile585
    @blessingmwakalindile585 5 ปีที่แล้ว +3

    Hakika kazi ya Mungu inasonga mbele....🔥🔥🔥HONGERA SANA MTUMISHI GWAJIMA ...TUNAJIFUNZA UJASILI UNAPOPITIA MAGUMU,MAJARIBU...This is fire

  • @ghhfgbgfhh1980
    @ghhfgbgfhh1980 5 ปีที่แล้ว +2

    Ameeeeeeen!!!!
    Amepigwaa akapigika KWA JINA LA YESU. .bendera ya YESU juu juu juuuuuu saaaanaaaa!!!

  • @eligiuselias4469
    @eligiuselias4469 5 ปีที่แล้ว +1

    Mimi nimeokoka na ninasafiri kwenda mbinguni,ila namshukuru Bishop Kakobe kwa umoja huu,natamani kuona makanisa yote wanaomwamini Kristo ingependeza kama majeshi ya Bwana tukishikamana mmoja wetu anapoumizwa ili tushinde maana shetani anafanya vita na kanisa.

  • @tegemeomalimi9014
    @tegemeomalimi9014 5 ปีที่แล้ว +12

    Waliofikiri watapunguza nguvu ya Kanisa Wameshindwa kwa jina la Yesuuuu...

  • @margaretkarambu936
    @margaretkarambu936 ปีที่แล้ว

    Amen amen Baba ❤❤❤❤

  • @edwinelias8554
    @edwinelias8554 5 ปีที่แล้ว +4

    Neema ya bwana yesu iwe juu yenu watumishi wa mungu maaskofu , manabii na mitume
    Pia kila jema kiwe juu yako Askofu kakobe na askofu gwajima na maaskofu wengi busara ya kakobe ni ya ajabu sijawahi kuona I swear

  • @joshuanguyahambi4330
    @joshuanguyahambi4330 5 ปีที่แล้ว +6

    Hekima ni kitu cha thamani sana kwa kila Mkristo kuwa nayo! Ask. Kakobe ni moja ya Wakristo wa nyakati hizi ambaye ana hekima ya hali ya juu! Mungu nijalie nami niwe na hekima

    • @mpondaahamida2146
      @mpondaahamida2146 5 ปีที่แล้ว

      Hakika Bwana YESU tunaitaka hekima sasa kuliko wakati wowote.

    • @omanabcd9249
      @omanabcd9249 3 ปีที่แล้ว

      Hsleluya

  • @bettyandeso6559
    @bettyandeso6559 5 ปีที่แล้ว

    Amen ...wapigwe na majeshe ya mungu .na washindwe kwa jina la yesu.

  • @magdalenaobet8502
    @magdalenaobet8502 3 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana Greci gwajima Barikiwa mama❤️❤️❤️

  • @neemamyula7365
    @neemamyula7365 5 ปีที่แล้ว

    Powerfull msg! Mbarikiwe sana watu wa Mungu

  • @prophetdrenock8831
    @prophetdrenock8831 5 ปีที่แล้ว +5

    Hongera Bishop kwa Ushindi MKUU

  • @PhilipoOsea-xz4sb
    @PhilipoOsea-xz4sb ปีที่แล้ว

    Barikiwa Baba

  • @amosgadau4395
    @amosgadau4395 5 ปีที่แล้ว +3

    Kakobe be blessed

  • @GloriousRestorationTV
    @GloriousRestorationTV 5 ปีที่แล้ว +3

    Ubarikiwe sana Mtumishi wa Baba

  • @amiwitu9101
    @amiwitu9101 5 ปีที่แล้ว +8

    ukiona mtu anakubali na kusambaza uovu juu ya watumishi wa Mungu ujuwe kabisa ndo wakala wa shetani.
    TANZANIA SIJAONA MTU JASIRI ZAIDI YA ASKOFU GWAJIMA .!!

  • @bubasha88
    @bubasha88 3 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU

  • @viktamade
    @viktamade 5 ปีที่แล้ว +2

    Whenever Kakobe is referring the bible scripts I get some goosebumps..........The more you read the bible the more God dwells wisdom upon u......BIBLIA NI MSASA WA KINYWA

  • @amanidikson3575
    @amanidikson3575 4 ปีที่แล้ว

    Nakukubali askof gwajima ni mwaz na mkweli

  • @atukuzwemesco1642
    @atukuzwemesco1642 5 ปีที่แล้ว +1

    Ameeeeni
    Mbarikiwewatumishi wa BWANA

  • @belindabsl524
    @belindabsl524 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu mkubwa mipango yake hakuna wakupinga walidhani watafunga mtumishi kumbe watazimia wenyewe god bless you mtumishi Moto niuleule

  • @GladnessLushino
    @GladnessLushino 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤

  • @-lameckvitalis
    @-lameckvitalis 9 หลายเดือนก่อน

    Amennnn

  • @christophernzige3913
    @christophernzige3913 5 ปีที่แล้ว

    Mashetani yameshindwa katika jina la Yesu,

  • @manassehleonard2879
    @manassehleonard2879 5 ปีที่แล้ว +5

    Wamekwishaaaaaaa

  • @nehemiantungu5224
    @nehemiantungu5224 5 ปีที่แล้ว +2

    Gwajima taifa kubwa aliejaribu
    Kumchafua
    Aibu imemrudia

  • @mwimbajinamwalimujaphetgeo1718
    @mwimbajinamwalimujaphetgeo1718 5 ปีที่แล้ว +4

    Kakobe ni baba Yangu wa kiroho japo nilihama kanisa lake bado namkubali hd Yesu anarudi.

  • @medsonmlonganle4201
    @medsonmlonganle4201 3 ปีที่แล้ว

    Amen Majabar hayo

  • @kalebumkandi6439
    @kalebumkandi6439 5 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akutie nguvu mtumishi ,,,wa Mungu ,,,,please ,,naomba uwezekano wa kupata number zako

  • @ElishaNada
    @ElishaNada 6 หลายเดือนก่อน

    Napenda huduma yako baba askofu

  • @watendeprinting8825
    @watendeprinting8825 3 ปีที่แล้ว

    Ya lini hii

    • @joycepumzikakwaamanbabagab9945
      @joycepumzikakwaamanbabagab9945 2 ปีที่แล้ว

      Askofu mkuu Kakobe, ameeleza utaratibu ili mashtaka dhidi ya Watumishi wa Mungu yapokelewe na yasikilizwe.
      ALIPASWA NA KUMALIZIA KUWA MUNGU NDIYE ANAJUA KWELI NA HAKI. IKIWA NI DHAMBI YA KIFICHO,MUNGU ATAMDHIRISHA NA KUHUKUMU.

  • @musamwambusye1296
    @musamwambusye1296 5 ปีที่แล้ว +2

    Gwajima moto nenola mungu halichezewi hata sikumoja kama unamini hakuna video yeyo ambayo inaonyesha mungu kashendwa kwahiyo aliye editi kwa kazi yamungu ajiandae kupata laana

    • @winiemartin8933
      @winiemartin8933 5 ปีที่แล้ว +1

      Majeshi ya Bwanaaaa ameni songa mbele

  • @thewellministry9008
    @thewellministry9008 5 ปีที่แล้ว +3

    Nilipoona kwenye group letu niliuliza swali moja tu ..jamani hii picha ya mtumishi wa Mungu huyu wanataka kumbambikia nini tena ?Mmoja akajibu kama huamini hulazimishwi ..nikamwambia wewe shauri lako nikatulia nione kitakachoendelea..
    Nikaja kuona kwenye group lingine ..mara instagram ..Kazi moja tuliamua kuvunja roho ya mpinga kristo sio anakuja..
    Mpinga Kristo haji bali yupo ..Tutapambana naye hadi hapo Yesu atukute vitani.! VITA HIVI NI VYA KIROHO SIO VYA KIMWILI...NA kupigana kwetu sio juu ya damu na nyama....bali ni juu ya Falme, mamlaka,wakuu wa giza hili ,na mapepo wabaya katika ulimwengu wa roho!!

  • @christophermdachi2377
    @christophermdachi2377 5 ปีที่แล้ว

    Mbarikiwe sana Watumishi wa Yesu Kristo lakini. katikamambohayoyote tunashinda nazaidi yakushinda kwayeye aliye tupenda

    • @michaelelifasi995
      @michaelelifasi995 5 ปีที่แล้ว

      Mungu ni mkuu sana ,ashukuliwe kwa umoja huu wa imani

    • @stevenkarem3698
      @stevenkarem3698 5 ปีที่แล้ว

      Naishi Canada,nimelia sana kwa kusikia habari hizi mbaya alakini kwakusikiya Mtumishi wa Mungu Kakobe kwakumusibitisha Askofu Ngwajima Kama Mtumishi wa Mungu, nimefurahi na machozi yakadondoka. Bwana atukuzwe sana na aimidiwe.
      Nawapenda UFUFUO NA UZIMA.

  • @barikinihataringira5113
    @barikinihataringira5113 5 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna kurudi nyuma gwajima mbele kwa mbele mpaka Yesu arudi. Yesu ni moto wa mioto yote. Huwezi kumnyamazisha mpakwa mafuta wa Mungu wewe. Nafurai kwasababu wana ufufuo na uzima ni wajasiri. Niko manyara mererani nawapata hata mimi baba yangu wakiroho namkubali sn hawawezi wakaniletea habari mbaya kuhusu yeye nikamkimbia nitakua mchanga sn kiroho

  • @juliusmartin1839
    @juliusmartin1839 ปีที่แล้ว

    Mjadala Umefungwa wenye clip mkaendelee kuuza utumbo wa samaki kule feri.

  • @ambokileasheengai1140
    @ambokileasheengai1140 4 ปีที่แล้ว

    KWA ANAEJUA KANISA LA ASKOFU TEMBA ANIJULISHE,,,,WAPOI KWA DAR ES SALAAM,,,

  • @romanamassawe814
    @romanamassawe814 ปีที่แล้ว

    Kipindi kile kakobe ulitukuka Sana,

  • @winlandmmbando3998
    @winlandmmbando3998 5 ปีที่แล้ว +1

    Ukongwe ni Dawa! na Isiyo Kongwe haivushi!

  • @immaculatasongati9610
    @immaculatasongati9610 5 ปีที่แล้ว +1

    Duh

    • @francesmakweta9717
      @francesmakweta9717 5 ปีที่แล้ว

      Hii Ni hatari,Mungu hadhihakiwi,apandacho mtu atakivuna kwa wakati wake

    • @gladysgeorge8062
      @gladysgeorge8062 5 ปีที่แล้ว

      Amen,hakika joka wa zamani alishaangushwa zaidi ya miaka 2000 iliyopita hatakaa ainuke tena kama Mungu ishivyo. Kazi ya Mungu inasonga mbele .jina la Bwana libarikiwe.

    • @janethmwenda7384
      @janethmwenda7384 5 ปีที่แล้ว

      Mbarikiwe watumishi wa Mungu

  • @uwrtvuwrtv3575
    @uwrtvuwrtv3575 5 ปีที่แล้ว

    Imetokea hivyo ili jina la BWANA litukuzwe ona yatakayotokea Tanzania nimenena kama mmoja wa manabii kuna mtu anaenda kuanguka na kanisa linaenda kuinuliwa

  • @lainifh4663
    @lainifh4663 5 ปีที่แล้ว +1

    The devil is a liar

  • @watendeprinting8825
    @watendeprinting8825 3 ปีที่แล้ว

    Ya lini hii

  • @musamwambusye1296
    @musamwambusye1296 5 ปีที่แล้ว +3

    Gwajima moto nenola mungu halichezewi hata sikumoja kama unamini hakuna video yeyo ambayo inaonyesha mungu kashendwa kwahiyo aliye editi kwa kazi yamungu ajiandae kupata laana