TUNDU LISSU NA SUGU WANATOA TAMKO MDUDE KUTOJULIKANA ALIKO, WAMTAJA MWENYEKITI MBOWE NA RAIS SAMIA.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024
- VUGUVUGU LA KUELEKEA UCHAGUZI KAMATAKAMATA ZINAZOENDELEA CHADEMA KUPITIA MAKAMU MWENYEKITI TUNDU LISSU WATOA TAMKO ZITO. WALIOKUWA CHINI YA KIFUSI GHOROFA KARIAKOO KUPOROKA , KUELEKEA UCHAGUZI.
Inanikela sana hivi police mnafanya nini jamani wakati huu wa kampeni hivi kama ni hivi kwa viongozi sisi watu wa chini itakuwaje
Asikari ndie wafunjifu waamani tanzania
Mbona wanajiaibisha sana polisi Tanzania
Kabisa
Ccm hawajihilewe
Ccm hawana sera sakuwasaidia watanania chadema imeokoa Mambo mengi sana
Mmmmmm kuna nini? Chadema itoshe vijana wanapotea jamani,mungu hatuhitaji historia ya kupotea watu iandikwe nchini kwetu.
ILA ANAYEONGEA KAMA NAMUELEWA ANALALAMIKA KUWA KUNA WANAOLALAMIKA WAMEPATA FUNDISHO SIKILIZA OVER AND OVER UTAJUA NIA YAKE ELSE ANGECHAGUA MANENO MENGINE, HAKUNA MANENO YANAYOSEMWA KWA BAHATI MBAYA KWENYE SIASA.
Kule Same Mbowe Alidaiwa Ati Alifanya Mchongo Azuie Mkutano wa M2 Fulani, Lakini Mbeya Amefanya Mchongo Akamatwe... HIVI MJINGA NANI HAPA! IT MAKES ME SICK, HIZI SIASA ZA MATOPE NI ZA KIJINGA SANA.
Kama ulivyo mujinga wewe?
TUSIISHI KWA HOFU
Mnaandika ujinga tu. hajulikani alipo wakati alikamatwa na Polisi? Waende kitup cha Polisi watamkuta na sio kupakaza propagandas.
Chama kikuu kwako siyo chama kikuu kwa Tanzania .Hata wewe bado utakamatwa tu kwa matusi yako .
We chukulia poa2 na uchawa wako muda utaongea na kizazi chako
This Makes Me sick. Natamani Mbowe Aende Sabbatical ya Miezi 6 Amwachie Mwenye Akili na Asiyedanganywa Afanye ambayo anadhani Wajinga Wameshidwa...
Reconciliation ni muhimu if the other side is genuinely committed. Nafikiri walitaka kuwachota maneno. Its unfortunate it did not work out and that's way Mwenyekiti anaonekana he messed up
@@adelinelyaruu3036 ILA ANAYEONGEA KAMA NAMUELEWA ANALALAMIKA KUWA KUNA WANAOLALAMIKA WAMEPATA FUNDISHO SIKILIZA OVER AND OVER UTAJUA NIA YAKE ELSE ANGECHAGUA MANENO MENGINE, HAKUNA MANENO YANAYOSEMWA KWA BAHATI MBAYA KWENYE SIASA.
Kila Lissu anapopata Fursa anataka Kumshambulia Mwenyekiti wake Kumfanya Hana Akili na Ni Mtu Wa Kudanganywa! I HATE THIS BEHAVIOR MSIKILIZENI KWA MAKINI UTAJUA ANAFANYA MAMBO MAWILI, KULAANI KUKAMATWA KWA MBOWE Na at the Same Times Kutuambia Mbowe alikuwa Mjinga... Maridhiano Yalikuwa ni kwa Nia Njema... Waliofanya Uhuni Ni Waliotudanganya Sio Ati tuliotaka Masikilizano tulikuwa ni Wajinga... HAPA MJINA NAMWONA MMOJA AND TIME WILL TELL ANAYEKATA TAWI ALILOKALIA.
Huna akili ya kuchambua hoja
Jinga wewe
@@FrankMashauri-t4t Ungeniambia Otherwise ningeshangaa sitegemei kingine Kutoka kwa Sycophants wa Mfitini.
Hajamshambulia,hujaelewa hapo alichosema.
Acha ukenge wa kijani ww