AL,HAMDULILLAH, america bay bai safari imeanza tartiiiib ya kuiangusha america na washirikina wenzake. hongera urusi china irani na korea ya bwanamdogo.
Huwezi kusema Israel isitishe vita na huku hamas ameshika mateka? Israel anaona viongozi wa dunia hawana nia njema na Israel, huwezi kusema Israel sitisha vita bila kuweka shinikizo kwa hamas ili waachie mateka.
Yani netanyau anataka awamalize wapalestina ote 😭😭😭laana yamwenyezi Mungu iwe juu yake
Pongezi sana Rashid Kwa habari safi unatuletea
Good job from 🇧🇮💐🌹 tuponanyi
Mdomo tu lkn Izrael haiwez abadan kusimama peke yke bila ufadhili wa Marekan-West
Andaa sana na uairudi nyuma kbs liwalo na liwe
Ipo siku yao hao wanafki wa saudia
Rusiia piga mungu atakusaidia
Saud Arabia ni wanafiki wakubwa
Sio wanafiki tu ni mambwa
Hii vita ni nzito mpaka ina tisha mola tunusulu
Awadhi baba lao
nipo
Borel ameongea kweli bila unafki
sio kweli huyu mfalme wa saudia ana asili ya kizayuni kama hujui nipandikizi la marekani
Saudia wanafiki na serekali yake ya kidhalimu
Sana zaidi ya sana
Safiii
Putin afe
Israel anapewa kiburi na Marekani
❤❤😂😂Safi RUSSIA/PUTIN oyeee ,endelea kutoA kichapo zaid.
HUTO GAGI ANAZO AKILI MZIMA. NA ANAKIONA KINACHOENDELEA UCREIN. NA ANAUJUA MZIKI WA PUTIN.
AL,HAMDULILLAH, america bay bai safari imeanza tartiiiib ya kuiangusha america na washirikina wenzake. hongera urusi china irani na korea ya bwanamdogo.
Israel inashinda hata bila mshirika
Piganeni ss ngoja tutafte ugali tule maanna njaa inatuumiza
Jaji wa Poland amejihami ili umwagikaji damu usio walazima asiwe na nae kaunga mkono usaliti huo wa viongozi wa Poland
Netanyahu atapigika mbaka mashetani wake wapotee
😂😂😂 lsrair aiwez kuwa peke yake nahaitowah kuwa peke yake mana bila marekan wingereza hamna taifa linalo itwa lsrail
Arusha redio redio ya urusi china nairani
Ukweli utabaki milele hatw shetani yupo na watu wake
Hamas kwanini wasiwaachie mateka!? Ache wapigwe
Ngoja tupini apotezwe tu marekani ilimiwekea mtego kauingia yeye mwenyewe kwani mtego uliwekwa siku nyingi
Bibi ni hatar
Huwezi kusema Israel isitishe vita na huku hamas ameshika mateka? Israel anaona viongozi wa dunia hawana nia njema na Israel, huwezi kusema Israel sitisha vita bila kuweka shinikizo kwa hamas ili waachie mateka.
MBONA HUJATULETEA HOTUBA YA PUTIN KWAKISWAHILI!!??
Vita yagaza ikiisha urusi ijipange kwani razima Israel ikaisaidie ukren lazima tu
Kamwe Israel hawezi msaidia Ukraine atapigwa mpk atapike kama hamansi taifa dogo linamtesa sembuse Russia watapigwa mpk wakimbie.
Wana nini hao Israel
Acha kuropoka Kama hamasi kikundi cha Watu 30,000 kimewaendesha Miezi Saba sembuse Russian au unadhani Russia ni Palestine 😳😳😳
Tatizo la Saudia anaumadhehebu ushia na usuni haangali udini anachuki nairan hataki Iran iwenanguvu za kijeshi shida umadhehebu😮
Wananchi wa saudia wanatakiwa waupindue ufalme ulioko madarakani
Sijui wanasubilia Nini kuupindua
Siyo vyepesi
Wakipindua nchi ndo mwanzo wa magaidi kuingia Saud Arabia. Nadhani unaona yanayotokea Libya