Gumzo la Umri wa mke wa Walter Chilambo, analelewa na mkewe?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ต.ค. 2024
  • Baada ya mwimbaji wa Gospel Walter Chilambo kufunga ndoa hivi karibuni kulikuwepo maneno kuhusu umri wa mpenzi wake ambapo baadhi ya mashabiki walikuwa wanadai kuwa amezidiwa umri na isitoshe mwanamke huyo ana mhudumia Walter Chilambo.
    Sasa kupitia Ayo TV na Millardayo.com msanii huyo amezungumza kila kitu kuhusu hilo.

ความคิดเห็น • 45

  • @ajonline7994
    @ajonline7994 5 ปีที่แล้ว +2

    Upo mahal sahihi sana kk Walter Chilambo tangu uanze kuimba Gospel umenibariki mm na wengine wengi kwa kazi zako..
    #KwaMunguKilaKituKinawezekana

  • @nayrinekakuni9046
    @nayrinekakuni9046 6 ปีที่แล้ว +7

    Jamani mapenzi hayausiani na umri mkishapendana mkaheshimiana inatosha, big up warter wasikutishe kikubwa kama mnapendana.

  • @solomonitv7808
    @solomonitv7808 6 ปีที่แล้ว +11

    Iyo ni namba mzee Baba mke ni mke tu kubwa Masikilizano,Upendo,na ubumilivu....Piga kazi kijana napenda sana kibao chako cha Only you

  • @nevernorbeth1560
    @nevernorbeth1560 6 ปีที่แล้ว +1

    Fanya yako my brother, wakupotezea muda halafu wasikusumbue hyo ni chaguo lako. Mungu ameona kuwa ndo ataweza kubeba Huduma yako.

  • @wemambonge5518
    @wemambonge5518 5 ปีที่แล้ว +1

    mungu ailinde ndoa yenu

  • @bestkimali216
    @bestkimali216 6 ปีที่แล้ว +2

    nakubali Kaka apatae mke apata kitu chema na kibali hakika ndoa imekuongezea kibali mtumishi

  • @christinephilip5043
    @christinephilip5043 2 ปีที่แล้ว

    Achana na maneno yao songs mbele na Mungu🙏

  • @lasifa7807
    @lasifa7807 5 ปีที่แล้ว +1

    Funga maskio kwa yote wasemayo wanadamu baba, tumikia Mungu. Mke ni wako, mkubwa au mdogo ni wakwako. Shukuru maulana

  • @robertsospeter7819
    @robertsospeter7819 6 ปีที่แล้ว

    kwanamna unajibu maswali unajibu kiutu uzima uko vizuri kaka Mungu akubariki sana Fanya kazi ya Mungu

  • @joycemakala44
    @joycemakala44 6 ปีที่แล้ว +3

    Naupenda sana sana wimbo wako, kwasiku nausikiliza zaidi ya mara ishirini. Hongera sana.

  • @herryluka1240
    @herryluka1240 6 ปีที่แล้ว +1

    Mke nini baba, mungu akubariki wewe, kwani mke ndo atakupeleka mbinguni, mtegemee mungu tu ktk yote.

  • @hellenndekeja54
    @hellenndekeja54 6 ปีที่แล้ว +2

    Hongera kaka nimefurah sana kumpenda mkeo na kumckiliza ndoa yenu Mungu azid kuitunza

  • @amossamwel7749
    @amossamwel7749 5 ปีที่แล้ว

    nakupenda sana kaka Walter mungu azidi kukutia nguvu.

  • @pastor_bedondickson
    @pastor_bedondickson 6 ปีที่แล้ว +3

    Nakuelewa sana we jamaa

  • @stephanoelia1528
    @stephanoelia1528 6 ปีที่แล้ว +1

    Tunasubiri wake zenu nyie kama hamtakuja kuoa ama kuolewa na mabibi,acheni ndoa za watu jaman yann kuchimbana chimbana ya sirini kwa watu,Walter Baba endelea kufanya kazi ya Mungu,tunasubir ndoa zenu mnaochimba miaka ya wake wa wenzenu,acheni woga oaaaaaa

  • @victoriachesco35
    @victoriachesco35 5 ปีที่แล้ว

    Vibonge tutakoma tunaonekna vizee jmn puh!

  • @sefaniagodfrey9706
    @sefaniagodfrey9706 3 ปีที่แล้ว

    Sifana utukufu ni kwa bwana

  • @pendokanga2454
    @pendokanga2454 6 ปีที่แล้ว +6

    "ONLY YOU " umenibariki saana

  • @wahabmkazi7902
    @wahabmkazi7902 5 ปีที่แล้ว

    Kwani inafikiri walter anaonekana mdogo? No ana mwili mdogo na hiyo haimaanishi kuwa ni mdogo. Sura yake onazungumza ako na kaumri kidgo si haba

  • @kacheali4777
    @kacheali4777 6 ปีที่แล้ว

    Umeongea vzur kk ukitaka kufanya jambo lazima ujiamin usisikilize maneno ya waja ..kila mara hao hawana jema

  • @roseafrael6842
    @roseafrael6842 6 ปีที่แล้ว +5

    Kuna kitu watu wanashindwa kuelewa watu wenye miili mikubwa huzeeka haraka lkn siyo kwamba ni mkubwa tofauti na watu wembamba

    • @kacheali4777
      @kacheali4777 6 ปีที่แล้ว

      Rose Afrael urongo kuzeeka inategemea n vile wajieka Dada wengine wembamba bt wamejiachilia wakaa kama kinyanya

  • @andersonmshama9694
    @andersonmshama9694 6 ปีที่แล้ว

    Wanao penda kuhoji ukubwa wamke inahusu nini?

  • @josephinenjella413
    @josephinenjella413 5 ปีที่แล้ว

    umejibu vema

  • @judynjabeky5602
    @judynjabeky5602 5 ปีที่แล้ว

    Wanadamu kazi yao kuongea wamezoea walitaka uwaoe wao huyo ni chaguo lako achana nao

  • @nellyshow2772
    @nellyshow2772 6 ปีที่แล้ว

    Acha waseme hawakusaidii kwa lolote we piga kz ya mungu tu na kikubwa ni upendo tu naelewano

  • @dianadeogratias7533
    @dianadeogratias7533 6 ปีที่แล้ว

    yes wasikusumbue umri sio mapenzi wakuache

  • @maubarak9831
    @maubarak9831 6 ปีที่แล้ว +1

    umri namba haiuhusiani na mapenzi

  • @saitotisaitoti6734
    @saitotisaitoti6734 6 ปีที่แล้ว +1

    Kimuonekano ni kweli make wako anaonekana mkubwa kwako.lkn kama ni mdogo basi anaumbo kubwa

  • @evvajohn9209
    @evvajohn9209 6 ปีที่แล้ว +2

    Mbona mamà yake Walter anakamwili kadogo kwahiyo tuseme ni binti acheni maneno jaman nyie wenyew hatahamjui mtaoa lini.

  • @consolatamedard2777
    @consolatamedard2777 4 ปีที่แล้ว

    Wasikusumbue kaka songa mbele achana na wajinga Mungu amekupa uyo mrembo wako mtunze

  • @bmptz3624
    @bmptz3624 6 ปีที่แล้ว

    xaf xn kk

  • @halimamapande6272
    @halimamapande6272 6 ปีที่แล้ว +1

    uyo mtu mzima awezi kuzaa tena inatakiwa ujiongeze sasa kuusu swala la mtoto

    • @roseafrael6842
      @roseafrael6842 6 ปีที่แล้ว +2

      Halima Mapande jamani kumbuka ww siyo Mungu na istoshe huyo dada ajazeeka acha kashfa kwa mwanamke mwenzako

    • @jackiejackie1272
      @jackiejackie1272 6 ปีที่แล้ว

      nyooo utalala hapoooo

    • @fbhj443
      @fbhj443 6 ปีที่แล้ว

      Halima Mapande mtoaji wawatoto ni Mungu.

    • @tumaininalaila2865
      @tumaininalaila2865 6 ปีที่แล้ว +1

      Binadamu angekua na uwezo kama wa Mungu sijui ingekuaje ..Kwa nn umseme binadam mwenzako kwa ubaya kiasi hiki

    • @roseshoo3878
      @roseshoo3878 6 ปีที่แล้ว +2

      Halima acha roho mbaya mmmh utakufa macho waz we, maybe hujaolewa unaona wivu, mfyyyu

  • @nevernorbeth1560
    @nevernorbeth1560 6 ปีที่แล้ว +1

    Fanya yako my brother, wakupotezea muda halafu wasikusumbue hyo ni chaguo lako. Mungu ameona kuwa ndo ataweza kubeba Huduma yako.

    • @salamakasumba6961
      @salamakasumba6961 6 ปีที่แล้ว

      Hongera Bro unaweza ziba masikio songa mbele.Mungu yu upande wako USIOGOPE!!!

  • @amossamwel7749
    @amossamwel7749 5 ปีที่แล้ว +1

    nakupenda sana kaka Walter mungu azidi kukutia nguvu.

  • @halimamapande6272
    @halimamapande6272 6 ปีที่แล้ว

    uyo mtu mzima awezi kuzaa tena inatakiwa ujiongeze sasa kuusu swala la mtoto