ความคิดเห็น •

  • @rose_Winchester86
    @rose_Winchester86 42 นาทีที่ผ่านมา +1

    Hao wauweni kwa njia nyingine

  • @mkondomkondo4721
    @mkondomkondo4721 25 นาทีที่ผ่านมา

    Umewatetea wametoka jela,mungu yupo..kinachofuata sasa wakubake ndo ujue damu ya mtu si ya kunguru

  • @NapeDkilia
    @NapeDkilia 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tanzania ni nchii pekee mtu akikwambia namwachia mungu. Huna maisha marefu yakuishii

  • @AbibonFesto-e9j
    @AbibonFesto-e9j 8 นาทีที่ผ่านมา +1

    Muachie mungu tu japo inaumiza kwakweli

  • @husseinhemedi9314
    @husseinhemedi9314 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Miaka (10) dah

  • @kashrajabu5744
    @kashrajabu5744 48 นาทีที่ผ่านมา

    Mimi sitaki mtu aniambie namuachia mungu kwakweli naogopa sana, aisee hii ndio tanzania zaidi ya uijuavyo

  • @ShinestarErnest
    @ShinestarErnest 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    hawa mbwa kama wamechiwa huru, hawatodum, Bora wangekaa mahabus bila hivo watamfata marehm

    • @Sharifa_Fashion_21
      @Sharifa_Fashion_21 53 นาทีที่ผ่านมา

      Punguza ukali wa maneno Dunia duara

  • @JechaMakameIssa-gs2bl
    @JechaMakameIssa-gs2bl 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mwachie Mungu kaka kama wamefanya bc watahukumiwa na Mungu wala usiwe na hofu

  • @tataLil-i3v
    @tataLil-i3v 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Binadamuu tunaogopana sana, sasa mtoto kauawa na nani,na alikosea nini,mbona sisi tunaishi na watoto wa majirani vzr tu kwa upendo. 😱😱🥲

  • @MariamAbuubakar-e5o
    @MariamAbuubakar-e5o ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hivi kweli kabisa muuwaji anaachiwa ili akazidi kuuwa saw tanzania naichukia kwa sasa😢😢😢

  • @peternyagonde5524
    @peternyagonde5524 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Sio kila anayeshitakiwa na mauaji kufanya mauaji,mkumbuke hata maabusu wanasari na Mungu anasikiliza pia.

    • @Zaynab-ny6gr
      @Zaynab-ny6gr ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ndio Mungu humsikiza kila kiumbe ndio maana hata firauni alifanikiwa ila sikia tuu kwa mwenzio usiombe yakukute

  • @chichasam9032
    @chichasam9032 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Miaka 10 duu

  • @MWAKIPESA
    @MWAKIPESA 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Ogopa sana sana mtu anakuambia namwachia mungu

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Angekua mtoto wangu mm ningewaua

  • @trendings1293
    @trendings1293 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Siwezi kuhukumu maana ni ushahidi ndio unaomfunga mtu,kama wameshindwa kuthibitisha na kesi ina miaka kumi basi wajipange wakate rufaa

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yaani wamebaka mtoto na unasema hawana hatia ? Duh hii nchi ya mama Samia hii inachosha sana mungu ingilia kati

  • @GdFf-ik2eo
    @GdFf-ik2eo 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mama wee mwachie mungu
    Atakuhukumia
    Hapo wanacheka
    Watacheka sn

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Bado sijamuelewa huyo wakili wa utetezi...point ni angeelezea namna gani mahakama iliwaachia hao kwa kuonekana kama siyo wauaji

    • @frankmhengilolo1584
      @frankmhengilolo1584 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Et kwamb awajatimiza miaka18 ndo hawewez kubaka😂😂

  • @McT-m1m
    @McT-m1m 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Kesi za ubakaji na uaji bora kumalizana na wananchi

    • @aminakasim1198
      @aminakasim1198 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kabisaa

    • @jizzomonster
      @jizzomonster 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂

  • @vincentobrien8676
    @vincentobrien8676 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    iv upelez file lao lilifika mahakaman kwel je kama mtoto akubakwa bas wakwanza kuchukuliwa atua ni dactar afungwe afe wapili ni police waliopeleza nakama kashazikwa wakat ndugu waligoma nawakawaomba kwa busara wampunzishe marehemu ilikuwa nin mm naona hii kesi ipelekwe njombe wakitoboa ao sijui pia ndugu wasikate rufaa mana wamepoteza pesa nyingi sana kuendesha kesi swal je uyo mtoto alikufa kifo cha kawaida ?
    2)je DNA kwenye mwili wa marehemu ata vina vya ao wabakaj avipo
    3)je watoto wamiaka 8 hawawez kubaka
    mwisho sio jambo limfikie rais kuna waziri wa mambo ya ndan kuna jaji mkuu ao wakishindwa wampe mama mama kawateua awa ili nin sasa kama watashindwa kwenye ili😢😢😢😢😢

  • @Zaynab-ny6gr
    @Zaynab-ny6gr ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hapo ubora ni kumuachia Mungu lwa imani na majibu mtapata

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Polen.wazazi wa marehemu km.mie ctak rufaa wala nn ntapanda milima na mabonde tukose wote ntauza kila kitu mpk nihakikishe jambo langu limetimia😢 watt wadogo mbona walidindisha mboro zao kumfanya ? Hpo kuna namna hapo c bure

    • @jizzomonster
      @jizzomonster 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂 Oyaaaa

  • @cincreareuben1444
    @cincreareuben1444 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    10 years duuh

  • @ismailsanga3233
    @ismailsanga3233 17 นาทีที่ผ่านมา

    Miaka kumi??

  • @honestakitomari7048
    @honestakitomari7048 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Bora tufe kuliko watoto wafe kwa mateso hivyo.😢

  • @shaabanayoub6343
    @shaabanayoub6343 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Aisee hawa jamaa ni kuchinjwa tu sasa huko mtaani haiwezekani duuh😢

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Miaka kumi kwanini? Duh mama tumia njia mbadala waueni km walivyoua na wao yaani hao kuleni nao sahani Moja ni kitu kidogo tuu nao watanyoosha njia wamfate mwenda zake

  • @sadamissa5687
    @sadamissa5687 53 นาทีที่ผ่านมา

    Ni kuwaloga tu wawe vichaa

  • @jazirajazira8116
    @jazirajazira8116 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ni bora kumuachia Mwenyezi mungu atatoa hukumu

  • @Zaynab-ny6gr
    @Zaynab-ny6gr ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Bora kumalizana nao kuliko kipeleka police nu usenge tuu

  • @efraimjohn4956
    @efraimjohn4956 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yaani watuhumiwa wanacheka kabisa kwa kitendo walichofanya duh 😭😭😭

  • @jesusismyeverything1630
    @jesusismyeverything1630 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mnasemaje???

    • @jizzomonster
      @jizzomonster 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😅😅😅 oyaaa

  • @samsonkusupa6809
    @samsonkusupa6809 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hiv hamuwezi kukata rufaa...!?

    • @jizzomonster
      @jizzomonster 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Oyaaa 😂

  • @rosepaul7901
    @rosepaul7901 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jamani labda hawa siyo wahusika wamesingiziwa, maza alichezeshewa, uwii maskini

  • @FucianeBulemo-nd4wc
    @FucianeBulemo-nd4wc 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mambo ya ujirani ni magumu sana

  • @jamesjoseph6825
    @jamesjoseph6825 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hao vijana wana miaka mingapi?

  • @BarbaraYoung-n5q
    @BarbaraYoung-n5q 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Lee Jessica Jones Susan Harris Kevin

  • @leahmagaiwa9099
    @leahmagaiwa9099 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Asee😢

  • @chichasam9032
    @chichasam9032 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😢😢😢

  • @NeemaKomba-f1u
    @NeemaKomba-f1u 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Naamini mahakama Iko njombe tu..huku kwingine ptuuuuu..

  • @emmanicko1535
    @emmanicko1535 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tutamalizana huku huku mitaani

  • @SabrinaCute-r2w
    @SabrinaCute-r2w 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hawana hatia na walibaka mtoto

  • @arafatmosha78
    @arafatmosha78 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😮

  • @AiraSaid-f9w
    @AiraSaid-f9w 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    😢😢😢 kiukwel ningewamaliza mmoja mmoja 😊

    • @jizzomonster
      @jizzomonster 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂Oyaaaa

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Haya wamerudi mtaani

  • @joycemlay5762
    @joycemlay5762 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tena wanachekelew kabisa yan

  • @asiamalonji5962
    @asiamalonji5962 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hhhhm

  • @kidisa_alphonce7009
    @kidisa_alphonce7009 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😅

  • @salimseif
    @salimseif 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😢😢