Yaani MI kwa mapenzi ya dhati ya moyo wangu ni kwamba nilimpenda sana Hayati baba Wa Taifa J.K Nyerere na Hayati J.P.Magufuli niliwapenda sana kwa UWEZO na Maono yao Mungu awahifadhi.
🇹🇿💪🏾🙏MWALIMU NYERERE NI MTU WA PHILOSOPHY YA HALI YA JUU 🎓 MIE HUPENDA KUMSIKILIZA SANAA , MWINGINE NILIYEMFATIA TOKA TEEN-AGERS -UTOTO WANGU NI TOMAS SANKARA MPAKA DAKIKA ZA MWISHO.
Not every single comment on our first leader late julias kambarege Nyerere is the key point same ather comment of late julias kambarege Nyerere is you to add your capacity to see way of drive your leadership on saif control
Niko murundi lakini machozi ananitoroka nikisisikia speech za huyu simba wa africa ,tunge mupata kiongoz kama yeye tusinge kumbwa na mtego ya wazungu ilitufanya tuuane😢
Mungu ailaze rohoyako peponi amina
Yaani MI kwa mapenzi ya dhati ya moyo wangu ni kwamba nilimpenda sana Hayati baba Wa Taifa J.K Nyerere na Hayati J.P.Magufuli niliwapenda sana kwa UWEZO na Maono yao Mungu awahifadhi.
Ulimpenda ulimwona wapi?
Remember you Baba yetu wa Nation Julius Kambarage Nyerere pia We live Lea vision zako.... Forever I will miss and Remember you😪..
Mungu aiweke mahali pema peponi, Mwalimu Julius Nyerere. Mimi nilanza kupenda sera zake kutoka nikiwa shule ya msingi. Ilikuwa 1971 mpaka leo .
Anaye mwelewa nyelele elewa like nyingi kwangu
Acha ufala wewe nyelele ndio kitu gani ? Sema Nyerere
Nimekuelewa
😂😂watakuwa wanakufila wachawi @@alexkiria1901
Nyerere alikua raisi wa kipekee sana
Freedom and unity fighter. Haukueleweka lakini saivi wanakuelewa. Yote ni sahihi video hii viongozi wangeipitia Mara kwa Mara
Maneno mazuri sana yenye busara na ya mtu makini.
😆😆😆😆😆
Mungu akurehemu mahali ulipo raisi wa Africa mashariki tutakukumbuka sana
Mumgu hamrehemu
Amen
Wosia muhimu sana,tutapata maarifa namna ya kuwa na tahadhari ktk jamii na utamaduni wake,12/1/2021.
🇹🇿💪🏾🙏MWALIMU NYERERE NI MTU WA PHILOSOPHY YA HALI YA JUU 🎓 MIE HUPENDA KUMSIKILIZA SANAA , MWINGINE NILIYEMFATIA TOKA TEEN-AGERS -UTOTO WANGU NI TOMAS SANKARA MPAKA DAKIKA ZA MWISHO.
Great, great, great. The only son of Africa who loved it the most.
Huyu ana mtazamo chanya sana
Very charismatic leader, with vision
ni sawa serikali moja inatosha kule kuwe wakuu wa mikoa na wabunge its enough mwl umenena inatosha
Mwalimu
Kama umemuona mzee wa busara wa msoga gonga like 2021...June.....10
Apumzike kwa amani mzee wetu
Baba wa taifa
Uko Vzur Mwl
Mwalimu Nyerere tunakumbuka sana, Ila bado matatizo umetuachia matatizo makubwa kuhusu Siasa
Matatizo gani? Be specific…
Not every single comment on our first leader late julias kambarege Nyerere is the key point same ather comment of late julias kambarege Nyerere is you to add your capacity to see way of drive your leadership on saif control
Well said. Mwalim !
Zawadi kutoka kwa Mungu ni bahati kubwa kwa Tanzania kuwa na kiongozi kama huyu
Genius huyo wa Duniani ndio huyo sasa anaesumbua baba tumbua mbaka wakubali
Niko murundi lakini machozi ananitoroka nikisisikia speech za huyu simba wa africa ,tunge mupata kiongoz kama yeye tusinge kumbwa na mtego ya wazungu ilitufanya tuuane😢
Leadership
Nimeipenda. Unanyingine?
Kwelibaba
"Mambo ya kuongoza nchi hayapendi mtu mpole sana, wakati nwingine inabidi uwe rough. Hasa kwa wahalifu"... - Nyerere.
Mzee namuelewa saana
🙏⚖️🔨!!AHAA🙏 WAS MY OPINION TOO WHY MFUMO WA NYAMA VINGI??? CCM INATOSHA🇹🇿💪🏾🙏
Ikitekelezwa inajitosheleza nimekuelewa mwalimu..niukweli usiofichika baazi ya viongozi wengi wasasa hawaitekelezi wanapindisha pindisha mambo
Mtaalamu
Ulale mahali pema baba wa taifa
Sawa
Ok
Mwl
Alikuwa ajijua kuchezea akili za watu sana Mzee huyu
Poyoyo wewe