ENEWZ - Chid Benz auza mjengo wao wa Ilala

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 291

  • @spartachize122
    @spartachize122 6 หลายเดือนก่อน

    Duh yaani miaka sita kama jana wallah.... Naikumbuka hii interview leo tupo 2024

  • @hamisidilangale2954
    @hamisidilangale2954 6 ปีที่แล้ว +3

    Chidi benzi mwamba wa dare s salaam na Tanzania nzima best arts after Ngweair, ni msanii ambae haujawahi kukosea kwenye mziki unapitia changamoto naamini iko siku utakaa sawa hala LA FAMILIAAAAA🎙🎹🎸🎷🎧📢

  • @iddikogo4987
    @iddikogo4987 6 ปีที่แล้ว +1

    Watangazaji ni vibonzo Sana, wallahi hamna kazi mwapenda umbea tu.ila poleni maana media za bongo wengi hawaja soma.

  • @francomwacha2262
    @francomwacha2262 6 ปีที่แล้ว +4

    Jamaa wa kuhoj hayuko professional kabisa.. Kawaida sana..

  • @wizzyochu4679
    @wizzyochu4679 6 ปีที่แล้ว +1

    ilala,sura,2,galacha hood om respect brooo

  • @elizabethyamy2705
    @elizabethyamy2705 6 ปีที่แล้ว +9

    yaani chidy nimekuelewa sana majibu yako watu wanapenda sana kudodosa maisha ya watu wapeleke vyovyo hata kama hawataki ngazi zipo hivyo hata ukipanda kimaisha pia ume panda ngazi Alaaaa wanaku lazimisha kupanda gorofa wao wanayo au ndiyo hiyo ya kukodi

  • @sashababy1321
    @sashababy1321 6 ปีที่แล้ว +1

    nyinyi wahandishi wapumbavu sana chidBenz kajibu vizuri tu japo yupo km katuni

  • @stanilupelele2793
    @stanilupelele2793 6 ปีที่แล้ว +2

    makonda asante kwakupinga unga huyu jamaa kwishaa yani teja original

  • @maulidmango5575
    @maulidmango5575 6 ปีที่แล้ว +1

    Chid alikua sahihi,watangazaji wanapenda kujua maisha binafsi

  • @primordial10
    @primordial10 6 ปีที่แล้ว +1

    Mwandishi kasome tenah,,Chid wee ni MTU unajielewa na unajua kujibu maswali fresh

  • @bahatialex5243
    @bahatialex5243 6 ปีที่แล้ว +2

    Dah! Noma sana

  • @naymah3560
    @naymah3560 6 ปีที่แล้ว

    Dah bado kidogo mshkaji achezee mkong'oto 🚶🚶

  • @yohanabundala9162
    @yohanabundala9162 5 ปีที่แล้ว

    Nampenda xana chid benz, by yohana bundala from mwanhuzi meatu,

  • @asmasturamwanza693
    @asmasturamwanza693 6 ปีที่แล้ว +1

    Dada unatangaza vizuriii

  • @kedmonmaquiz
    @kedmonmaquiz 6 ปีที่แล้ว +1

    guwd explanation frm chidy

  • @happinessmwaipopo7426
    @happinessmwaipopo7426 6 ปีที่แล้ว

    Bangi bange mbaya. Masikini Chidi ushapotea mzee baba

  • @tabithahenry1057
    @tabithahenry1057 6 ปีที่แล้ว +1

    pole kaka mungu atakusaidia

  • @filbertmapendo4108
    @filbertmapendo4108 6 ปีที่แล้ว

    Dah!!!! Nimependa anavyojibu

  • @tumainkaaya3006
    @tumainkaaya3006 6 ปีที่แล้ว

    ah unga nomaaaa

  • @tithomhagama
    @tithomhagama 6 ปีที่แล้ว +1

    Amejibu vzur..Hapa pia nitauza

  • @nashonnashon689
    @nashonnashon689 6 ปีที่แล้ว

    hill jamaa chidy halijielewi hovyioooo kabisa imba gospel sasa

  • @emmanuelkivenule875
    @emmanuelkivenule875 6 ปีที่แล้ว +4

    Chid is real man mtangazaji utoshi

  • @mariamukajiru1898
    @mariamukajiru1898 6 ปีที่แล้ว

    Kweli unga mzuri wa Ugali tu, acha China wanyongwe

  • @daudodulu8080
    @daudodulu8080 5 ปีที่แล้ว +1

    Nyooooo mtakuja mpigweee

  • @mwafrikabarz4507
    @mwafrikabarz4507 6 ปีที่แล้ว

    Jaman! Dua zetu zaitajika, kwa ndg; YETU,,
    Yaraab mnusuru mja wako, dhidi ya shari za duniyaa!

  • @suxiezongi7918
    @suxiezongi7918 6 ปีที่แล้ว +1

    Sam unatangaza vizuri sana
    professional big up sana mnyamwezi

  • @jennifergsm8186
    @jennifergsm8186 6 ปีที่แล้ว +1

    we suzi unakiuka utangazaji unaleta vituko vyako vya mtaani sasa unamcheka nini hayo maisha tuu hata wewe yatakutokea muda wowote tuu

  • @moto_film
    @moto_film 6 ปีที่แล้ว +1

    Chuma #GUSAPICHA kwa burudani zaidi

  • @kennedyedson9097
    @kennedyedson9097 6 ปีที่แล้ว +3

    Rashidy kakuvumilia sana wewe boya.

  • @salcle9702
    @salcle9702 6 ปีที่แล้ว +3

    Huyo chalii namkubali sana hakuna msanii East Africa anayo sauti yake

  • @marthawillbert9327
    @marthawillbert9327 6 ปีที่แล้ว

    Mungu saidia kizazi changu jamani simshangai chid mahana ata kaka yangu yuko ivi

  • @RomwardWM
    @RomwardWM 6 ปีที่แล้ว +2

    Pole Mungu akusaidie

  • @bigboy8508
    @bigboy8508 6 ปีที่แล้ว +1

    Ma mbwa nyinyi. Tangazeni yenu masikini nyinyi kazi kuchekelea watu wengine wakiteleza

  • @bzo_mc
    @bzo_mc 11 หลายเดือนก่อน

    Cheed Ni Mtu Makini Sana .. Unapotaka Kumuhoji Unatakiwa Uwe Na Akili ya Ziada .. Afu Pia Alikuwa Na Kipindi Pale Eatv

  • @Dr.zaidi4
    @Dr.zaidi4 6 ปีที่แล้ว +1

    Kwa taalumu iliyostawi bora anayemhoji chidi awe na utaratibu,haina haja kupepesuwa mic kama kumdonesha samaki chambo kwenye ndoano.Huyu ni mtu mzima aliyebeba hoja zake,anastahili muda wala so kukerwakerwa hadi alipuke.Hipo hekima ya kumchimba mtu hadi kuebua hats vile vinavyobaniwa

  • @tehamarobema9403
    @tehamarobema9403 6 ปีที่แล้ว +1

    Daa pole chid

  • @pascarmwatosya5855
    @pascarmwatosya5855 6 ปีที่แล้ว +2

    DaaaaAaa,Inauma madawa hayaaaa

  • @eliamwakalong6160
    @eliamwakalong6160 6 ปีที่แล้ว +6

    Daa jamaa kaisha sana mwili amekonda sana

  • @mosesjnr8436
    @mosesjnr8436 6 ปีที่แล้ว +20

    Kuna watu toka Chid benz apate haya matatizo wanamchukulia kama mpuuzi flan hivi hasa watangazaji nyie ,Ila me naona kama Chid ndo anazid kuwa na akili za kikubwa sana ona kwanza jamaa alivokuheshimu kukupeleka kwake af unamchokonoa chokonea ukipigwa hapo chid aonekane Mpuuz mtu kashakwambia anaishi kwa mama yake mzazi af unahoj hoji nini sasa,mnamkosea sana Chid

  • @ebisalum8828
    @ebisalum8828 6 ปีที่แล้ว +1

    Wachane washamba hao maana nyumba umeuza lakin hawajajenga wao warudi shule kujifunza utangazaji tena

  • @samyjoseph2732
    @samyjoseph2732 6 ปีที่แล้ว

    Chidy washa motoooooooooooooo

  • @oscartandula8644
    @oscartandula8644 6 ปีที่แล้ว +1

    Watangazaji kama mnampania chidi kukwama kwa mwandamu nikawaida so isiwe case bana

  • @mospeciol
    @mospeciol 6 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana chumaa

  • @leslienakara9890
    @leslienakara9890 6 ปีที่แล้ว

    DAH EBWANAEEEEEE......................

  • @husnangapu502
    @husnangapu502 6 ปีที่แล้ว +2

    Kiukweli mimi huwa napenda sana kuangalia unachokivaaga Suzy, mshono wako wa leo ni fabulous Tarumbeta zimekaa mahala pake

  • @shamsahassan2586
    @shamsahassan2586 6 ปีที่แล้ว +1

    ndio yakaitwa maisha kupanda nakushuka

  • @meleckgasper2350
    @meleckgasper2350 6 ปีที่แล้ว +1

    Achen umbeya eatv...kama kauza nyumba si ya kwake???

  • @aishaelias986
    @aishaelias986 6 ปีที่แล้ว

    nimempenda chidi benz,anajua ku change gear kubaabake, .mara ya kwanza eti"karibuni kwangu niulizeni chochote mnachotaka, chidi: wee mambo gani ya Ngazi tena??" lol

  • @knamics
    @knamics 6 ปีที่แล้ว

    watangazaji bureeeeeeeee...

  • @uledimtumwa3045
    @uledimtumwa3045 6 ปีที่แล้ว +1

    Hawa watangazaji wakuokotaokota wanawaponza wamiliki wa media zao. Hajui hata kumhoji mtu anayeonyesha ushirikiano.

  • @samsonkarume7173
    @samsonkarume7173 6 ปีที่แล้ว +2

    For many people struggling with addiction, the toughest step toward recovery is the very first one: recognizing that you have a problem and deciding to make a change. It’s normal to feel uncertain about whether you’re ready to make a change, or if you have what it takes to quit. If you’re addicted to a prescription drug, you may be concerned about how you’re going to find an alternate way to treat a medical condition. It’s okay to feel torn. Committing to sobriety involves changing many things, including:
    the way you deal with stresswho you allow in your lifewhat you do in your free timehow you think about yourselfthe prescription and over-the-counter medications you take
    It’s also normal to feel conflicted about giving up your drug of choice, even when you know it’s causing problems in your life. Recovery requires time, motivation, and support, but by making a commitment to change, you can overcome your addiction and regain control of your life.

    • @opehydsilver
      @opehydsilver 6 ปีที่แล้ว

      SAMSON KARUME Kiswahili bhana kaa!!! mambo gani hayo lugha ya kitumwa hiyo@

    • @flameske293
      @flameske293 3 ปีที่แล้ว

      Thanks

  • @razzomusiq7218
    @razzomusiq7218 6 ปีที่แล้ว

    Jmn maisha ni kupanda na kushuka kwaiyo mlo angalia clp hii jifuzen k2 kutoka kwao

  • @mohamedisarafi2025
    @mohamedisarafi2025 6 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji mshamba

  • @classicstilly8223
    @classicstilly8223 6 ปีที่แล้ว

    Halo chid mmmmm skia kwa watu ila usiige

  • @khamiskhamis5323
    @khamiskhamis5323 6 ปีที่แล้ว +1

    Yani Tanzania ni Nchi ya kwanza kwa umbeya,,mda si mrefu itachukua Tunzo,,,mana kwa wenzetu Hamna mambo km ayo ya kuchunguzana sasa mtu si kauza chake km anashida aende wp,,kimfaacho mtu chake,,,,acheni mambo ya kufatalia wanaume wenzenu wa Tanzania Nchi ya Aibu

  • @elizabethkinyanjui7831
    @elizabethkinyanjui7831 6 ปีที่แล้ว +1

    Mambo kangaja huenda yakaja. Katika maisha haya usimcheke mtu kwani hatujui ya kesho.

  • @olaislukumay571
    @olaislukumay571 6 ปีที่แล้ว +2

    Unga sio mzuriiii

  • @johnkisaka9881
    @johnkisaka9881 6 ปีที่แล้ว +1

    Dah e newz mnafel bhna kama mtu ataki kuulizwa mnakausha tyu... Mwana mpaka analose temper vtu vdgo kma kauza nyumba c yao wazee baba..!

  • @Hanspuffy1
    @Hanspuffy1 6 ปีที่แล้ว

    Mnamcheka like serious

  • @mayungarichard7443
    @mayungarichard7443 6 ปีที่แล้ว +1

    Mi naona mtangazaji ndio bwege kabisaaaa.....utavaaje kilemba mwanaume??? Useeenge

  • @sudishaffi3498
    @sudishaffi3498 6 ปีที่แล้ว +3

    Mm ningempiga mangumi huyo mtangazaji..mtu Kama hataki kujibu wamlazimishia nn..

  • @hassankihonde1275
    @hassankihonde1275 6 ปีที่แล้ว +1

    Bwana Dullah umechemsha Sana coz hata maadili ya uandishi hayakubaliani na kile ulichokifanya coz huwezi kufanya Mahojiano na source Kama haujaongea nae mantiki ya Mahojiano yenu napia huwezi kumforce source akijibu kile unachotaka ww, kutokana na kutokufahamu maadili ya uandishi wa habari ndio yaliaka kukuta usiotarajia coz chid tayari alikuwa ameshapanik kinyama angalikupa na nakoz zakutosha cjui ungelia na Nani aiseeee funzo kwako na kwa presenters wengine

  • @eromville1670
    @eromville1670 6 ปีที่แล้ว +1

    Everyone has a right to do what he wants

  • @piarasendeu2335
    @piarasendeu2335 6 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂😂😂 duuuuuhhhh chid noumaaaaaa

  • @japanisyakuza8198
    @japanisyakuza8198 6 ปีที่แล้ว

    Ila madawa to yana mkosti Dar es Salama Stand up

  • @youngsouijapyoungsouijap472
    @youngsouijapyoungsouijap472 6 ปีที่แล้ว

    Nakuelewa sana suzi nakutamani

  • @kusekwasita1576
    @kusekwasita1576 6 ปีที่แล้ว +1

    Anauliza maswali yakijinga

  • @hasanoshohilali10
    @hasanoshohilali10 6 ปีที่แล้ว

    unga noma

  • @soudysaidy23
    @soudysaidy23 6 ปีที่แล้ว +1

    Dullah! Unanikela!

  • @mkwechemedy9929
    @mkwechemedy9929 6 ปีที่แล้ว +2

    Dah 😭😭😭

  • @tabithahenry1057
    @tabithahenry1057 6 ปีที่แล้ว +1

    jamani jamani.mungu atasaidia

  • @romanulazi9882
    @romanulazi9882 4 ปีที่แล้ว

    Bora angekutembezea kichap

  • @hassankihonde1275
    @hassankihonde1275 6 ปีที่แล้ว +2

    Haka katangazaji kakike hakina mpango wowote kinafata upepo tu na mashauzi yasiyo na msingi inshort kibovu Sana hakina ubongo wakuwa presenter

  • @henryjoseph5703
    @henryjoseph5703 6 ปีที่แล้ว

    Hahaaaaa chidi maisha yamemvuluga jamani mwachenii

  • @japanisyakuza8198
    @japanisyakuza8198 6 ปีที่แล้ว +1

    Chidi benz mkali....!!!

  • @samira0616
    @samira0616 6 ปีที่แล้ว

    bas ni shampoteza 😭😭😭 chid wangu

  • @cholokanji7139
    @cholokanji7139 6 ปีที่แล้ว +8

    nyinyi mnaona madawa tu kwan yy anamakosa gani alivyojibu kajibu sahihi tu kama kauza nyubma siyakwake au yakwenu kinachomfaa mtu chake mikundu yenu mnapenda mtu akutwe namatatzo tu chidi ulikua umchenjie kweli

  • @hitmanhunter9557
    @hitmanhunter9557 6 ปีที่แล้ว

    Unga mbaya aseeeh...

  • @imamumponda276
    @imamumponda276 6 ปีที่แล้ว +4

    Mmemlazimisha kusema mnavyotaka nyinyi sasa natumai alivyowajibu roho zenu zimetulia dah imeniuma sana mmemlazimisha huyo hakujibu kwa khiyari yake

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 6 ปีที่แล้ว

    chid!!....mwisho atajiuza mwenyewe

  • @ckukuu8404
    @ckukuu8404 6 ปีที่แล้ว +2

    Daaah chidy anahurumisha aki

    • @meshackenock7495
      @meshackenock7495 6 ปีที่แล้ว +1

      Fresh sn mshikaji wng majibu mazuri xn

  • @saidsaid9463
    @saidsaid9463 6 ปีที่แล้ว +3

    Mbona anajielewa jamani ila watanagazaji mszoee hayafai ktk kazi mtu usimlazimishe kusema ukweli

  • @akimmbwego797
    @akimmbwego797 6 ปีที่แล้ว

    Mimi nilikuwa shabiki wake number moja lakini tangu atoboe pua na kuvaa heleni puani nimejivua kuwa shabiki wake........SIWEZI KUWA MSHABIKI WA MVAA HELENI PUANI TENA DUME ZIMA LA KIISLAM OVYOOOOO

  • @boazmtileghe378
    @boazmtileghe378 6 ปีที่แล้ว +1

    Hahaha razima upande ngani noma 😂😂😂😂😂😂😂

  • @mkalekundya8955
    @mkalekundya8955 6 ปีที่แล้ว

    swala LA ngaz staki😂😂😂😂

  • @RamazaniMulongeca
    @RamazaniMulongeca 6 ปีที่แล้ว

    #CHUMAAAAAAA

  • @davidngayanimo4171
    @davidngayanimo4171 6 ปีที่แล้ว +2

    East africa acheni kumgelezea Soud brown

  • @thauratali3656
    @thauratali3656 6 ปีที่แล้ว +2

    Kuna watu wanapenda kutukana wallah

  • @ezekielmugeta2427
    @ezekielmugeta2427 6 ปีที่แล้ว

    htreee kapotea hyu benz

  • @ezapesambili2902
    @ezapesambili2902 6 ปีที่แล้ว +5

    Mzee Chid Benz pole sana kwa maamzi yako! ya kuuza mJengo

  • @husseinabdallah3358
    @husseinabdallah3358 6 ปีที่แล้ว

    Duuh dizain watangazaji mkienda kumuhoji huyo Chuma muwe na mabodigadi...!!hataree iyo

  • @kimally3771
    @kimally3771 6 ปีที่แล้ว +1

    duuuuh bangi mbaya bhana

  • @ashaselemani7830
    @ashaselemani7830 6 ปีที่แล้ว +1

    Sasa hata kama kauza nyinyi inawahus nini

  • @brendaluvanda3289
    @brendaluvanda3289 6 ปีที่แล้ว +2

    Mhhh Mungu okoa kizazi chs sasa

  • @emmanueldagharo9462
    @emmanueldagharo9462 6 ปีที่แล้ว +3

    personal life are personal life ...he didn't wanted ,leave him alone

  • @cecymaleko8692
    @cecymaleko8692 6 ปีที่แล้ว +1

    mtangazaji kama shoga yaan unalazimisha akujibu maswali😒😏😏😏😏

  • @babylidyaandrea4568
    @babylidyaandrea4568 6 ปีที่แล้ว +3

    Jaman huyu ni chiddy mhh siku nyingi sijamuona jaman mbona hivi

  • @brendaluyange270
    @brendaluyange270 6 ปีที่แล้ว

    Seriously🙁🙁🙁🙁 is that chidi... Haaaii

  • @petersagala7756
    @petersagala7756 6 ปีที่แล้ว

    kwann watangazaji mna focus kwenye maisha personal ya mwanamuziki badala ya muziki wake mwenyewe?,mwisho wa siku mnakuta msanii anapata stress kumbe kisa ni nyie mnayatangaza mno mambo yake na makosa yake badala yakuangalia mna push vipi game ya muziki

  • @happyalfred8520
    @happyalfred8520 6 ปีที่แล้ว +2

    ila chidi bhna 😂😂😂