MTOTO GENIUS WA MIAKA 14 APATA KAZI KAMPUNI YA ELON MUSK, "SOFTWARE ENGINEER".

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 26

  • @ameirdarueshi2593
    @ameirdarueshi2593 ปีที่แล้ว +5

    Safi sana sisi wetu hadi leo tunawafundisha nzii ana miguu mingapi hadi anamaliza chuo akimaliza tayri miaka 30 hana ajira anafundishwa uchwa maisha yanaenda

  • @simonitaagesti4765
    @simonitaagesti4765 ปีที่แล้ว +4

    mungu azidi kukuinua zaidi

  • @afreytonemajidi6909
    @afreytonemajidi6909 ปีที่แล้ว +4

    Uyu mtoto kashaliza mpaka chuo tuendeele na ujingaa wa mitaala ya miakaa 30 ndo tunamaliza vyuo mpaka45

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 ปีที่แล้ว +6

    Wakati watoto wa umri huo bongo bado hata nguo zao za ndani wanafuliwa. Kenya ndio kwanza bado wanalishwa hata kushika kijiko bado hawajajua

  • @AmiBoy-vs2td
    @AmiBoy-vs2td ปีที่แล้ว +1

    Kwani wale wa tokomeza ajira kwa Watoto wanasemaje hapa

  • @fredrickmatiku7783
    @fredrickmatiku7783 ปีที่แล้ว +2

    Miaka 14 babalevo alikuwa darasa la 5 miaka 40 akawa chawa wa Diamondplatnumz huuyu miaka 14 ana ajira kwa bilionea

  • @benjo_brighter
    @benjo_brighter ปีที่แล้ว +2

    Kwa hiyo hii ishu ya ajira kwa watoto tunakaziwa hapa kwetu tu 🤔 ndio maana wenzetu wanatuzidi kwa vitu vingi sana.

  • @jumahassan273
    @jumahassan273 ปีที่แล้ว +1

    Mtupostie na habari ya bandari yetu kuuzwa..,ya uko marekani ayatushitui

  • @anizatunrazac2934
    @anizatunrazac2934 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah Allah amfungulie zaidi ya hapo

  • @kidatokassim7616
    @kidatokassim7616 ปีที่แล้ว +1

    😂😂sisi tuendelee tu kuangalia ngono kwa mitqndao watoto wanaajiriwa huko😂😂

  • @storytownTv
    @storytownTv 3 วันที่ผ่านมา

    Bongo kusoma tu, Ajira haaaaa😂

  • @storytownTv
    @storytownTv 3 วันที่ผ่านมา

    Nilifundishwa Child labour is against human rights ..😂😂 ,kumbe mwalimu wangu wa civics alikuwa snich .😂😂.. Mdhungu sio rafk yet ama kwel unatupumbaz sana waafrica afu wao. Hao wanapepea..🎉

  • @gigoyrn4394
    @gigoyrn4394 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂 ingekuwa bongo serkali ingeanza kusema mna ajiri watoto

    • @bjzee1981
      @bjzee1981 ปีที่แล้ว

      Africa hadi pesa ulizo tafuta mwenyewe zinataifishwa . ulipataje ilhali mdogo hivi

  • @duncangilberth7715
    @duncangilberth7715 ปีที่แล้ว

    Kumamakeeeee sisi bado tunalia na umeme na maji barabara Hali ngumu mtaani

  • @zamalisaide3209
    @zamalisaide3209 ปีที่แล้ว

    😂😂😂wallah kweli

  • @felixsolomon6293
    @felixsolomon6293 ปีที่แล้ว

    Sishangai Bali ninachofurahi dogo anatuwakilisha Simba sports club vizur😂

  • @hamidmweusiii35
    @hamidmweusiii35 ปีที่แล้ว

    Dah dogo kajiramba kala shavu kbsa apo, apo ajiandae kuwatomba wari wa watu maan anaanza kuchzea Hela mdgo

  • @jrsaid4270
    @jrsaid4270 ปีที่แล้ว

    Sasa miaka 14 huku kwetu so Mtoto wa kidato Cha pili ambaye anafundishwa kukariri mavitabu tena Kwa viboko

  • @lilgicky484
    @lilgicky484 ปีที่แล้ว

    Daaaah 14years bachelor hahahahahahahahahaha nenda Vyuo vyetu kul

  • @motivation-ic3nf
    @motivation-ic3nf ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🔨

  • @miltonmachage2462
    @miltonmachage2462 ปีที่แล้ว

    Wenzentu ukiwa na akili unavukishwa Darasa so sishangai kumaliza mapema

  • @abdiidi2494
    @abdiidi2494 ปีที่แล้ว

    Dogo amevaa tai ya mnyama simba sc