EE mwenyezi Mungu naomba nikirudi Oman nipate nyumba zuri ya mcha Mungu na nitajenga nyumba yangu mwenye kwa kutumia madhabau hii neenda baba ukawe kiongozi katika familia yangu na utufanyie wepesi kwa kila jambo na utubariki kiuchumi na ninaomba baba leo mussa anitafute ni katika jina la yesu kristo amen 🙏🙏
Asante ukuu wa mungu nimeuona.Mama amekuja kuniomba msamaha wajukuu walikua wananiibia.Akawataja na wenzake walikuwa wananiibia mazao mahindi.Namshukuru mungu
Namshukuru mungu kwani bado nipo hahai namuomba mungu anitendee nipate kibari nitapate pesa nifanye biashara naanifungue kimwiri nakiroho wario nitenga waniombe msamaha
Nataka Nizar wapacha tatu waumembili nawakike moja naniuze gari namanyumba kiraisi nawatu wafike nyingi kwa opitale yangu nyingi Sana namutoto wangu apate kibali yakua enda cheza mupira ulaya kwa kiraisi Sana tena isikuake mambo yakifo kwasipitale yangu naniuze hii nyimba kwakiraisi Sana nmungu wa mwamposa anipikani kima vitæ kiroho nayakimwili Pia mutoto wangu Pia natinguba Pia tujue mungu wa mwamposa nimungu wakwili nafilomo alipe vitu giangu boîte kiraisi Sana amen kwa jina la yesu christo
Mungu naomba unisaidie katika masomo yangu na mimi niwe katika wanafunzi wenye ufaulu bora piah maneno yote mabaya yaliyonenwa juu ya elimu yangu yakawarudie wenyewe na mimi ntakuwa mshindi ndani ya kristo yesu Amina
Nashukuru mungu mtumishi naitwa Mery kyungai nasoma chuo kikuu Cha mwalimu Nyerere nilikuwa nadaiwa course work ya mark's 6 nimefata mwalimu akanijanzia mark's kirahisi sana na Mimi nafanya final exams mungu akulinde kuliko jana mtumishi wa mungu Mwamposa
Mungu naomba anifanyie muujiza mume wangu afunguluwe kiuchumi na Kila chumaulet iangamiy na chuo nipate mkopa Kwa wepesi na nifany vizur kwny necta🙏🙏amen
Naomba niombee nipate kazi mungu wang niachene nahii kazi za baa mungu wang nitendee amen 🙏🙏 naomba nipate mume mwema ee mungu naamini utatenda amen 🙏🙏🙏😭 😭😭
Nianze kuona kua nzia sasa kwa Isha na miujiza, Huduma yangu iongezeke na kuzidishwa mara mia zaidi kuliko awali, chochote nitakacho tamka kitukie na kupponya watu, kufungua vifungo vyaoo katika jina la yesu napokea kufunguliwa kwa nyota ya ndoa yangu ,, kiuchumi,ki mafanikio makubwa sita tumikia watu Bali watu watanitumikia, miaka yangu iloliwa na nzige, Mungu ukanirudiashie mara mia zaidi
Amen mungu nisaidie kwa jina la yesu amen naomba uniondolee hofu kwa jina la yesu amen naomba uniondolee hofu kwa jina la yesu kwa jina la yesu amen naomba uniondolee hofu naomba nipate hala leo kwa jina layesu amena
Nakuomba mungu anisaindie mdogo wangu recho na mume wake miraji natuma moto kwao wawe na furaha katika maisha yaona wazae watoto weng Kwa jina la yesu naachilia nguvu za yesu kristo mponye recho apokee kizazi kipya kwa jina la yesu naachilia nguvu za yesu kristo mponye recho apokee ukauzito
mungu naomba unisamehe makosa yangu na uniinue kiuchumi nijenge nyumba na niwe na biashara kubwa na wateja wajae katika biashara yangu . asante mungu kwa kuwa napokea uponyaji ndani nya mwezi huu AMINA.
Amina mungu naomba maicha yangu yawe ya mafanikio sana kila ninapo tembea ninapo Lala, na lengine naomba mchumba yangu popote alipo anikumbuke sana kila a lalapo a tembeapo moyo wake yote awe na Mimi Amém
Namshukul mungu kwa kunipa uhai mungu wang nakuomba ukafungue maisha yangu kila nguvu za kichawi kimapepo za kinganga sikashidwe kwa jina la Yes kila aliye shikilia maisha yangu kupitia madhabau hii akatekete kwa moto wa bwana
Namini kuanzia Sasa kabla ya mwez wa tisa ntaenda chuo kilahisi Sana na amini nimeshakombolewa Asante yesu kwa kunikomboa ameniiii namini mungu yupo lazime nifike mbali
mungu ninaomba unijalie nimpate mume sahihi ninaomba unifungue vifungo katika mwili wangu,pia mama yangu akae sawa kuna vitu vinamtembea mwilin huu mwaka wa pili 5:32
Nakuomba Mungu wa madhabau ya arise and shine nipate mkopo na boom, nipone uzazi,mama yangu apone magonjwa yote kama pressure na wadogo zangu wafanikiwe
Mungu wa mwamposa usaidiye mutoto wangu aachemambo ya wasichana wote agate mambo ya maicha yake nakumufata mambo ya mungu wa mwamposa Sana ikuwe harti ndani ya maicha yake muzima kumupendeza mungu wa mwamposa Lila Siku ndani ya maicha yake muzima amen
Ee MUNGU naomba utende pia katika familia yangu, kuondosha roho za magonjwa, roho za madeni, roho za mabalaa, nuksi na mikosi na roho zote chafu...leo iwe zamu yangu EeYESU KRISTO...
Namuomba MUNGU Aweze nisaidia nifanikiwe katika isaili wang wa migration jina lang liwez kutoka na nipite katika vipimo viwe safi naomb hayo kwa njia ya kristu Amen🙏

Mungu wa mwamposa naomba kila mipango ya watu wa ngiza juu yangu ili nitezeke kiwarambe wenyewe wakingonja kuisha kwangu waone kuinuka kwangu,ameni.
Naomba nipandishwe cheo kazn amina
Asante ukuu wa mungu nimeuona.Mama amekuja kuniomba msamaha wajukuu walikua wananiibia.Akawataja na wenzake walikuwa wananiibia mazao mahindi.Namshukuru mungu
Namshukuru mungu kwani bado nipo hahai namuomba mungu anitendee nipate kibari nitapate pesa nifanye biashara naanifungue kimwiri nakiroho wario nitenga waniombe msamaha
Naomba mniunganishe maombi ya saa nane nipokee jsmani
Mtumishi naomba uniombe navifungo vingi sana
Naomba mungu anisaidie mdeni wangu anirudishie ela yangu
Naomba nipate minba mapasha walume wawili wakike wawili amém 🙏 Katika jina lá Yessu Cristo 🇲🇿🙏♥️
Amen
Mungu wangu komboa familia yangu amina pia uchumi wangu ukaongezeke wateja wakanizidie amina mwanangu Lillian apate mume sahihi pia uchumi wangu ukaongezeke wateja wakanizidie amina
Amém napokea
Mungu naomba niwe mtu ❤
Mungu nataka niwemtu mkuu katika maisha yangu mungu nbariki❤
Mungu akubariki pia mtumishi mwamposa uwe wa afya bora tu ktk jina la yesu ameeen
Nataka Nizar wapacha tatu waumembili nawakike moja naniuze gari namanyumba kiraisi nawatu wafike nyingi kwa opitale yangu nyingi Sana namutoto wangu apate kibali yakua enda cheza mupira ulaya kwa kiraisi Sana tena isikuake mambo yakifo kwasipitale yangu naniuze hii nyimba kwakiraisi Sana nmungu wa mwamposa anipikani kima vitæ kiroho nayakimwili Pia mutoto wangu Pia natinguba Pia tujue mungu wa mwamposa nimungu wakwili nafilomo alipe vitu giangu boîte kiraisi Sana amen kwa jina la yesu christo
Mtoto wangu samha aachane na mapenz apende shule ameen 🙏
Namshukuru mungu amentendea juu yamasomoyangu sahiv naongoza vizur sana
Napokea upako kwa jina la yesu kristo amen 🙏 mtumishi wa Mungu unazidi kutushibisha kiroho kwa neno la Mungu barikiwa ❤
Mungu uniponye biashara yangu
Napokea amani leo kazi ya shetani iaribiwe maishani mwangu ameen
Mungu nataka nitolewe mahali yangu mme wangu na nifunge ndoa yangu na mme wangu ulionipangi katika maisha yangu mwezi huu
Mungu naomba unisaidie katika masomo yangu na mimi niwe katika wanafunzi wenye ufaulu bora piah maneno yote mabaya yaliyonenwa juu ya elimu yangu yakawarudie wenyewe na mimi ntakuwa mshindi ndani ya kristo yesu Amina
Napokea kufunguliwa njia Kwa jina la yesu amin
Amen napokea muhujiza mimi pamoja nafamiliya yang tutakombolewa kwajina LA yesu
Asante mungu kwakujuwa madhabahu ya mwAmbosa na maisha yangu pia yamebafilika. Nimeuona mkono wa bwana Amina ❤❤❤❤
Asanteeee mungu kwa jili ya ibada hii ya usiku ya maombi matatu naomba mungu ukanitende sas nipokee amenii
Kupitia operation komboa familia naomba Mungu anitendee miujiza ,nipokeee Leo miujiza Maombi niliyoandika nijibiwe Leo
Justina mwenda
Asante yesu kwa kunitendea mtoto wa dada yangu ameacha pombe baada ya kuandika maombi hakika mungu ni mwema Amen
Namshukuru mungu niliandika maombi kumi na mbili nimejibiwa matatu Kwa Imani ninauhakika yote nitajibiwa ubarikiwe sana mtumishi 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amen 🙏🙏🙏🙏 Asante Yesu wangu
Kila mikono inayo cheza na familia yangu ,pia bihashara yangu na uarimbiwe leo hii bla huruma.
Mungu naomba labda ya mwaka kuisha nipokeee muujiza wangu
Ee Mungu kupitia madhabahu hii naomba unipe mtoto amen
Eee mungu wangu naomba unikomboe mm na watoto wangu pamoja na wadogo zangu bariki kaz ya mikono yangu
Amen naamini maombi yangu yamesha anz kujibuwa katika jina la yesu naamini n uhuu mwez waz was 2 auishi bila mm kushika ujauzito amen 🙏
Nashukuru mungu mtumishi naitwa Mery kyungai nasoma chuo kikuu Cha mwalimu Nyerere nilikuwa nadaiwa course work ya mark's 6 nimefata mwalimu akanijanzia mark's kirahisi sana na Mimi nafanya final exams mungu akulinde kuliko jana mtumishi wa mungu Mwamposa
Mungu naomba anifanyie muujiza mume wangu afunguluwe kiuchumi na Kila chumaulet iangamiy na chuo nipate mkopa Kwa wepesi na nifany vizur kwny necta🙏🙏amen
Ee mungu wangu na kuomba uwafunike watoto wangu na majalibu ya giza napokea kwajina ya yesu
Subira haji makale naomba yesu wa mwabosa afute kesi zangu zote kwa jina la yesu
Naomba niombee nipate kazi mungu wang niachene nahii kazi za baa mungu wang nitendee amen 🙏🙏 naomba nipate mume mwema ee mungu naamini utatenda amen 🙏🙏🙏😭 😭😭
Mungu bariki watoto wangu ki afya ki akili waongezeke pia wazidishiwe upendo na amani ktk jina la yesu nyota zao zika nģae sasa ameen
Eee bwana naomba niwe na biashara yangu mungu wang nimechoka kufanya kazi kwa watu naomba na mi niwe na biashara yangu naamini utatenda amen😭😭🙏🙏🙏
Nianze kuona kua nzia sasa kwa Isha na miujiza, Huduma yangu iongezeke na kuzidishwa mara mia zaidi kuliko awali, chochote nitakacho tamka kitukie na kupponya watu, kufungua vifungo vyaoo katika jina la yesu napokea kufunguliwa kwa nyota ya ndoa yangu ,, kiuchumi,ki mafanikio makubwa sita tumikia watu Bali watu watanitumikia, miaka yangu iloliwa na nzige, Mungu ukanirudiashie mara mia zaidi
Amina,naamini nimefunguliwa na nitafanikiwa,kiuchumi nitafunguliwa,napokea kwa jina yesu, amina na imekuwa
Napokea uponyaji wa uzazi wangu napokea uponyaji kwenye kizazi changu🤲🤲🤲
Amen mungu nisaidie kwa jina la yesu amen naomba uniondolee hofu kwa jina la yesu amen naomba uniondolee hofu kwa jina la yesu kwa jina la yesu amen naomba uniondolee hofu naomba nipate hala leo kwa jina layesu amena
Asante napokea Kwa jina la Yesu
Yesu WA madhabau hii niondolee ugomvi juu ya ndoa yangu naomba heshima nipewe na mume wangu omondi
Ninapokeya❤ kufuguliwa Leo katika kwa jina la yesu nichinde tiyani ninaenda kufanha amen
Amung naomba niwe na mtot wa kiume emung naomba unifungue kiuchumi emung naomba mume wangu aweze kuja mwez alio niaidi emung naomb uweze kufanya mwanaume apandixhwe cheo
Asante mungu kwa àjili madhabahu ĥiì
Napokea Leo miujiza ya Mungu nilipe madeni kiurahisi na watoto wangu wasome napokea napokea amina
Naomba unitendee miujiza katika maisha yangu. Mizidiwe wateja katika biashala ya gi
Asante mungu kwaajili ya mazabahu hii mana unaenda kutenda
Nakuomba mungu anisaindie mdogo wangu recho na mume wake miraji natuma moto kwao wawe na furaha katika maisha yaona wazae watoto weng Kwa jina la yesu naachilia nguvu za yesu kristo mponye recho apokee kizazi kipya kwa jina la yesu naachilia nguvu za yesu kristo mponye recho apokee ukauzito
Amina Mungu aniunganishe na hiyo nafac ya halimashauri nipate Kaz ya ukaguzi 🙏🙏
naomba na mim mutumishi wangu nipone mangujwa yate yanayo nisubua katika kizazi changu Napoles🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu bariki njiazangu nifanikiwe kujenga nami nipate mjiwangu kupitia upako huu leo nifanikiwe ameeen
Asante baba mwamposa kwakunibadilisha maisha yangu na namjua mungu na nimeona matendo makuu ya mungu maishani mwangu nakushukuru baba mwamposa
Mkono wa bwana unitete kwa kila jambo amem😊
mungu naomba unisamehe makosa yangu na uniinue kiuchumi nijenge nyumba na niwe na biashara kubwa na wateja wajae katika biashara yangu . asante mungu kwa kuwa napokea uponyaji ndani nya mwezi huu AMINA.
Mungu naomba unisaidie nipate kazi na niolewa kabla ya mwaka 2025 na nipate mimba ya mapacha Amen naamini
Napokea muujiza wa uponyaji kuanzia unyao mpaka utosi kwa jina la yesu kupitia madhabahu ya arise and shine
najiuganisha mungu nitendee maisha yangu nipe moyo wakutambua neno lako niinuwe pamoja na familia yang emen
Mungu naomba ndani ya huu mwaka nifanikiwe kirahuc napkea nyumba gali na mtaji million 10
Mwenyezi mungu najiungamanisha na madhabau hii naomba ufanye moyo wangu uwe na amani kuanzia sasa
Naenda kupokea uzima kwenye mwiliwangu nakatika miguu yangu nitembee bila shida yakushikiliwa ,Amina
Naomba ndoa njema pia amani na upendo kwenye familia yangu pia mume wangu awe na mke mmoja,amina
Napokea Radha njema kwa watt wangu shulen kwa jina la yesu
Mungu.anisaidie.nifunguliwe.uchumi.magonjwa.watotowangu.wapate.kazi.biasharayamashat.yamwanangu.ifunguliwe..munguanisaidis
Amina mungu naomba maicha yangu yawe ya mafanikio sana kila ninapo tembea ninapo Lala, na lengine naomba mchumba yangu popote alipo anikumbuke sana kila a lalapo a tembeapo moyo wake yote awe na Mimi Amém
Namshukul mungu kwa kunipa uhai mungu wang nakuomba ukafungue maisha yangu kila nguvu za kichawi kimapepo za kinganga sikashidwe kwa jina la Yes kila aliye shikilia maisha yangu kupitia madhabau hii akatekete kwa moto wa bwana
Nataka mungu amalize Vita tuliokuwanao nchini Mozambique kwa jina la yesu Cristo Amen 🤲🤲
Amen na amin nimepokea kwenye mapungufu yng nguvu za mungu zitatimia
Mung katika maombi ya kupandish level y juu naomba unikumbuke mfalme Kwa jina la yesu kristo amn
Mungu na Mimi nitendee Amen
Napokea muujiza wangu watoto mapacha wa tatu kwa jina la yesu
Nataka ishara kila ulevi kwenye familia uharibike ufe kabisa katika jina la YESU Ameeeeen
Naomba nipokee pesa za ujenzi niendelee bila kukwama ktk jina la yesu ameeen
Najiungamanisha na madhabahu hii mungu aniinue kiuchumi niwebilionea amen
Naomba mungu anitendee miujiza nipate mafaniko katika biashara yangu !! AMEEN
Namini kuanzia Sasa kabla ya mwez wa tisa ntaenda chuo kilahisi Sana na amini nimeshakombolewa Asante yesu kwa kunikomboa ameniiii namini mungu yupo lazime nifike mbali
mungu ninaomba unijalie nimpate mume sahihi ninaomba unifungue vifungo katika mwili wangu,pia mama yangu akae sawa kuna vitu vinamtembea mwilin huu mwaka wa pili 5:32
Été mungu na mazabahu hii napokea kupona operesheni niliyofanyiwa nipone kidonda kipone na nianze kazi bila usumbufu ameeen
Nakuomba Mungu wa madhabau ya arise and shine nipate mkopo na boom, nipone uzazi,mama yangu apone magonjwa yote kama pressure na wadogo zangu wafanikiwe
Napokea uponyaji Kwa mdogo wangu Lucy pamoja na eshe wafunguliwe aminaaaa
Mungu wa mwamposa usaidiye mutoto wangu aachemambo ya wasichana wote agate mambo ya maicha yake nakumufata mambo ya mungu wa mwamposa Sana ikuwe harti ndani ya maicha yake muzima kumupendeza mungu wa mwamposa Lila Siku ndani ya maicha yake muzima amen
Ubalik uchumba wangu Sina hamani kwakwel mtumishi
MUNGU Asante 🙏 Kwa asuhii yaleo tunakushuru tumeamka salama
Naomba mungu nipate mimba na mm mwakan niitwe mama kwa jina la yes napokea mimba mwez huu amin
naomba mungu anisaidia amfungue baba watoto wangu aniowe tulee mtoto pamoja, kwajina la yesu popote alipo aminaa
Bwana yesu komboa uzao wangu na umkomboe mume wangu katika mikono ya makahaba
Mimi nataka mumke wangu apate mimba
Yesu naomba vita juu yangu na basilisa niondolee kabisa
Amen 🙏🙏🤰🤰🤰nataka nipate ujauzito kilahisi ndn ya mwez huu
Napokea mfadhili wakunisomesha napokea na uyajirii nyota kungaa ameen
Mungu wa mwamposa naomba unifungulie baraka nipate mtaji mkubwa bila kukopa kwa jina la yesu
Mungu na jesu anibalike
Napokea Radha njema nitakapo kumtana na mme wangu mtarajiwa pascko kwa jina la yesu
Naomba mungu uniponye uzazi wangu kwa jina LA yesu amen
Mungu nataka unifungulee kwenye vifungo vya dunia hii kwa jina la yesu
Ee MUNGU naomba utende pia katika familia yangu, kuondosha roho za magonjwa, roho za madeni, roho za mabalaa, nuksi na mikosi na roho zote chafu...leo iwe zamu yangu EeYESU KRISTO...
P]
M
Naomba uponyaji Nina cancer Nina uvimbe kwenye kichwa.Mtumishi wa Mungu niombee uponyaji katika jina la yesu.Amen.
Naomba mungu afunguwe njia zangu za mafanykio kwa jina la yesu Cristo Amen 🤲🤲🤲
Ameni
Niwenakamati mbilikuu fedh,maadili
NapokeAmeni
Nashukuru kupata mtumishi wa mungu kwenye mtanda
Namuomba MUNGU Aweze nisaidia nifanikiwe katika isaili wang wa migration jina lang liwez kutoka na nipite katika vipimo viwe safi naomb hayo kwa njia ya kristu Amen🙏
Naomba Mungu anitedee muhujiza juu yamaisha yangu, nipate kuwakutanisha wanangu wore wajuane.
Ameni mungu naamin umeenda kunifungu nitapata kazi na mausiano yangu yatakuwa mazuri tena ya ndowa asante mungu
Mungu naomba ukaniondolee vitu vyote vilovyopo mwilini mwangu vikatoke kwa damu ya yesu
Imani yangu iniponye mungu unipe maisha yenye mafanikio tele Ameen👏