Masheikh zangu nimependa sana kazi yenu ya Daawa Mungu awabariki sana inshallah mungu akiniwezesha nitawawawezesha japo hata kidogo nitakacho jaaliwa nacho naomba pia ndugu zetu wenyeuwezo wajitahidi kadri ya uwezowao kuwasapoti viongozi wetu maana hii kazi inagharama kubwa pia inamaripo makubwa mbele ya Mungu na ningeshauritu masheikh wetu siku nyingine muende na miswala yenu muwe mnaswali hapohapo maana inaonekana watu wanamswali mengi sana nawanatakakujua nakujifunza kwahi kitendo chakuondoka mnawapoteza wengi pia inawezekana mnapokuja siku nyingine muwakose Tena inakua sio vizuri niushauritu msinichukulie vipaya nimaoni yangutu pia mjitahidi kuitangaza sana channel mnapoanza na mnapomalizia iliwatu wakaendee kujifunza mjumbani mwao mbarikiwe sana Assalamualaikum
Naomba ujuwa ntasomaji, am born Muslim Alhamdulillah but i need more knowledge insha'Allah, Allah awape umri na Afya kazi yenu masha'Allah Allah awalipe hapa duniani na Akhera Ameen
Please subscribe like and share
Assalam Alaykum Warahmatullahi Wabatakatuhu... Maa Shaa Allah
MaashaALLAH
Yaa Rabb wajaalie wakristo wakiona haki waifuate.
Aamiin
Aamin
9:11 eh cameraman amepitia ediscovery ameonaje kote uku
Masheikh zangu nimependa sana kazi yenu ya Daawa Mungu awabariki sana inshallah mungu akiniwezesha nitawawawezesha japo hata kidogo nitakacho jaaliwa nacho naomba pia ndugu zetu wenyeuwezo wajitahidi kadri ya uwezowao kuwasapoti viongozi wetu maana hii kazi inagharama kubwa pia inamaripo makubwa mbele ya Mungu na ningeshauritu masheikh wetu siku nyingine muende na miswala yenu muwe mnaswali hapohapo maana inaonekana watu wanamswali mengi sana nawanatakakujua nakujifunza kwahi kitendo chakuondoka mnawapoteza wengi pia inawezekana mnapokuja siku nyingine muwakose Tena inakua sio vizuri niushauritu msinichukulie vipaya nimaoni yangutu pia mjitahidi kuitangaza sana channel mnapoanza na mnapomalizia iliwatu wakaendee kujifunza mjumbani mwao mbarikiwe sana Assalamualaikum
Mashaallah, Shukran
Naomba ujuwa ntasomaji, am born Muslim Alhamdulillah but i need more knowledge insha'Allah, Allah awape umri na Afya kazi yenu masha'Allah Allah awalipe hapa duniani na Akhera
Ameen
Aamin
Asi isukuu 😂😂😂