Kayumba leo hayumbi Nashangaa haouse boy kumzidi kitambi boss Natamani kunywa sumu lakini sumu zimepanda bei! Tisha sana jamaa _wana mwanza kitumieni hiki kipaji
musa sadiki we ndo mshamba ,kama unafatilia HIPHOP ndo utajua kuwa coyo amefanya kawaida sana ila km unamfatilia COYO ndo utaona kafanya vizur Na me naona we hufatilii HIPHOP unamfatilia COYO. katika dk kumi alizochana punch line zake hazifiki hata kumi. Coyo hana ubunifu mzuri wa mistari Km wasanii wenzie kutoka mwanza, ndo mana yeye kwenye nyimbo zake anachana kwenye beat za kubang na sio beat ngumu. Pia coyo hafit kwenye new school rappers wala old school rappers yan yupo kawaida tu.
Naenjoy sana kutoka mkoa mmoja na koyo masta koyo montana
Biti za summer za kichoko sana....ajifunze kuwasoma wasanii...
coyooooooooo umetishaaaa MWANZA!! MWANZA!!! 100%
Safi sana Ngosha una mizuka yakutosha confidence yakutisha big up mwananume keep the good music
Jamaa Hatariii sana Mani ni zaidi ya burudani
Maamae eti house boy anamzidi boss kitambi
Vibe la kutosha hizi dakika kumi ulizitendea haki mkuu gonga like twende sawa kama umemkubali ngosha
woza woooza....nyc coyo...ila una swaga kama za zaidii....!
Aisee nairudia sana hii 10 MIND KILLER ya COYO ulifanya vizuri sana TOP 5 ya waliouwa 10ZPB
Oyooooooooo hatari sana nimenda verse ya mwatex pigaua RIP afande wetu
oya bah nakubal san 👊👊👊👊👊👊👊#coyo
Rock City monster Coyo. Makini Sanaa 10 za maangamizi
Nataka kunywa sumu!!! Nasumu imepanda bei!!! 😁😁😁😁😁😁😁😁🙌🙌🙌🙌🙌
Ernest Ndauka safiiii
@@matangabussines7521 1
Kayumba leo hayumbi
Nashangaa haouse boy kumzidi kitambi boss
Natamani kunywa sumu lakini sumu zimepanda bei!
Tisha sana jamaa _wana mwanza kitumieni hiki kipaji
Nimekubalii kaka pesa sio kalioo kila mtuu anazooo sawaaaa
Hongera by enos
Coyo katisha sana.. Namuweka kwenye top5 soon
toka kuanzia kwa dk 10 huyu jamaa mm ndio nampa tuzo 🔥🔥🔥
Nimekuelewa sana coyo
iko gwd xanaa coyo
Aisee umetisha Akitoka fid unafuata kwa Michano mikali
Sana mkali coyo, respect
Sharap bhn coyo Tisha sana
Hawatoweza we nihatari
Mwanzaaaaaaa noma xanaaaa #broo coyo umetixha sanaaaaaaaa
Brother wewe mbaya #COYO
coyo uko vizuri #big_up_brother
anzisha darasa #coyo
naona umechenza viwanda vingi vya voice kwel we msitu Wa vina.
#ngoshaaaaaaaaaa
Coyoooooooooooooo,, ni sheeeeeeda mzee,,
Coyo Ameuaaaa kuliko wote
Planet bongo coyo katisha sana wazee
bila ubish coyo ni dangerous raper 🙌🙌🙌🙌
Coyo mkali balaaa!
yupo vzur anayeb!isha ajaerb
Safi sana NGOSHA.
coyo umetisha xanaaaa
Samakiii
#Coyo yupo vzr asee
hata mimi kitambi ni zaidi ya boss wangu
dah kweli *uwezi kuondoa mawazo mawazo kwa pombe kali wakat na ela ya supu auna* #Coyo sjakupinga kk 👊
aiseee umetisha xaaaaaaa
mwenye kujua Dj sammer anatokea wap mana co buree wasanii mwanza mwanza anapigaga mabeat ya adabu afu kwa wengne anambwelesha tu
yuda SYC wa atown summer
Anatokea ARUSHA ila kaish san #MWANZA na mashindano ya SM street muzic alishindia #MWANZA VIRA PAC
Call me PiZzO mSuKuMa Fashion Killer
Tisha sana coyo itakukost
Rock cty mwanzaaaaaa lake yako tafadhaliiii 🙉
Mzuka ulikuwa poa kaonyesha nguzo ya best emcee tena kaitendea haki, japo nguzo ya freestyle hakuionyesha hapo.
umeua ile mby coyo
nashangaaa house boy kumshinda boss kitambiii
coyo unaweza sana boy
Ckudhan kama #Coyo anaweza rap kama hiv but big up sana
coyo dah noma sana uko vzr nakwelewa sana
Coyo keshafanya yake next adondoke darasa..yuko kimya sana
fresh kaua sema iyo verse ya itakucost amezngua so sehm ake apa
upo vzur xanaaaa coyooo
coyo kaua safi sana
Coyo nomaaaaaaaaaa💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥
salute sana #Coyo unajua joh,! ✊
Mwake sana
Katishaaaaa
noma #mchezo wa baba na mama tukiona gari zuri tunasema gari la baba
yeeees coyo🔥🔥🔥umetsha
Coyo.. Dangers asee.. Noma sana
Mzee baba umeuwaaaaaaaaaaaaa
Noma sanaaa...
Hahahahahahah
@mwanza bhana hatari sana kuna vichwa kwenye jiji la miamba
coyo habar nyingine
Coyoooooooi mzaziuuiii nmaaaaaaa xnaaaaaa
mreteni nchama the best
Nowma Sana Ila apo ktk baba bora,hola na bakora nlimsikia motra ktk one day yes
Leo anajiita Mnyamwezi alaf aijui Tabora!!!!!Wozaaaaa
amesahau alikuwa anapaki kanda mbili
Oyyooooooo!, ninja uko gud
Diglove tv
Coyo unatisha siongei sana
Ndio mzeeee
Coyo unaweza sema unahtaj promo tu na mixtar michafu kidogo tu
Hadi rahaa gari LA babaaaaaa
Tisha Sana Coyo100/
safi sana coyo
nice my broth
Coyo tisha mbaya
Coyo 🔥🔥💯💯💯🎧
Hi 5 coyo
Huyu msenge mbaya anajua Kuma la MAMA YAKE anJua #CoYo
Daaah! We jamaa huko ni kumsifia mtu
Nouma sana mwana
coyo..... see u tomorrow
Rock city🎤🎤
hatariiii saana ngalooooo wiseeee 😂😂😁😁😀
kweli kahangamiza 👍👍👍
N noma
Ivi mbona hamsikiki tena huku Nairobi. Angalieni hilo please
Good
Coyo Yuko vizur, pumzi anayo, mzuka anao ila anamistari ya kawaida sana!
Isack Kimaro we falaaaa
Isack Kimaro Huyo sio G nako we mshamba
Isack Kimaro yan we jamaa weweeee
musa sadiki we ndo mshamba ,kama unafatilia HIPHOP ndo utajua kuwa coyo amefanya kawaida sana ila km unamfatilia COYO ndo utaona kafanya vizur Na me naona we hufatilii HIPHOP unamfatilia COYO. katika dk kumi alizochana punch line zake hazifiki hata kumi. Coyo hana ubunifu mzuri wa mistari Km wasanii wenzie kutoka mwanza, ndo mana yeye kwenye nyimbo zake anachana kwenye beat za kubang na sio beat ngumu. Pia coyo hafit kwenye new school rappers wala old school rappers yan yupo kawaida tu.
coyo sio mtu mzuri bro duuuh
Coyo ninoma sana
goooood muno
uligembe coyo!
Coyoooooo🔥🔥🔥🔥🔥
tishaaaaa sana coy
bado NCHAMA THE BEST
Koyo atariiiii
We coyooooo!!!!!
Katishaaa
atari braa
coyo nooooma
COYO kaua hatari