AIC SHINYANGA CHOIR/ BWANA AMEFANYA/ ZILIZOPENDWA AFRICA MASHARIKI.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
  • #MsalabaMEDIA #DirectorAbson #MsalabaSOS #TanzaniGospleMusic #UpendoUpatanishoUkombozi
    ©2020 Administered Msalaba MEDIA
    +255767957191 /+255 710 132 291
    Msalaba SOS & MEDIA
    Forward We Go 🚶🚶🏃🏃💪
    Efeso 2:16. 2Wakoritho5:17-19.
    WITO (Isaya 49:1-26.)
    (A-Kurudisha Sauti Ya Mungu tuliyoipoteza
    (B-Kutufanya Silaha
    (C-Jina la Yesu Kutukuka kupitia Sisi
    (D-Kuwarudisha Waliopotea Kwa Mungu
    (E-Wafalme, Watawala Na Wakuu Kusujudu kwa Mungu
    (F-Kufanya Agano Na Mungu
    (G-Kanisa kutembea ktk nguvu za Mungu
    (H-Ardhi Kupatanishwa Na Mungu
    (I- Ulimwengu kuinuliwa Upya
    (J-Kurithishwa Urithi tuliokuwa tumeibiwa
    (K-Uhuru Kwa Wana wa Mungu
    (L-Giza kuwa Nuru
    (M-Walio Na Njaa Kushibishwa
    (N-Kutokusahaulika Na Mungu
    (O-Ongezeko La Haraka
    (P-Kutoonewa Na Shetani
    KUSUDI (Mathayo 28:19-20.)
    UTUME - Enendeni
    UALIMU - Mkafundishe
    MISSION
    Zaburi 24:7-10
    Waefeso 6:10-20
    2Wakoritho 10:3-5
    MFUMO
    Mitume
    Manabii
    Walimu
    Wachungaji
    Wainjilisti
    Waimbaji
    Jicho
    Karama.
    Uhusiano & Taarifa.
    #Msalaba SOS For the Peoples.

ความคิดเห็น • 22

  • @SakinaEmanuel
    @SakinaEmanuel ปีที่แล้ว

    Jamani huu wibo nakupenda mbalikiwe

  • @erickmeshac3135
    @erickmeshac3135 ปีที่แล้ว +2

    Eti yule Dada soloist aliaga Dunia 😭😭

    • @simonmaige7785
      @simonmaige7785 ปีที่แล้ว

      😢😢😢😢😢

    • @florencenthenya9735
      @florencenthenya9735 ปีที่แล้ว +2

      Yeah so sad

    • @agnesnyawira
      @agnesnyawira ปีที่แล้ว +1

      Mgani sababu naona wakiwa watatu

    • @florencenthenya9735
      @florencenthenya9735 ปีที่แล้ว

      ​@@agnesnyawirahuyo mwenye anaanza video Kwa kuongea

    • @agnesnyawira
      @agnesnyawira ปีที่แล้ว

      @@florencenthenya9735 woooi 😥😥😥😥😥😥 when did she passed on and what happened to her

  • @ghb1tz
    @ghb1tz 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimeipenda Sana hii nyimbo imenigusa

  • @joshuandaki-g9s
    @joshuandaki-g9s 4 หลายเดือนก่อน

    huu wimbo unanikumbusha mbali sana

  • @EvaJapheth
    @EvaJapheth ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda saana huu wimbo bwana amefana

  • @EvaJapheth
    @EvaJapheth ปีที่แล้ว

    Nawapenda saaana

  • @makutowambeteh2005
    @makutowambeteh2005 ปีที่แล้ว

    There you are brothers n sisters God bless you

  • @GilbertYirung
    @GilbertYirung 9 หลายเดือนก่อน

    Muko Malaika wa Mungu . Mola azidi kuwapatiya akili, salama na maisha mema ili mumwimbie mpaka Bwana atarudi. Munitumie ma albums ya sasa.

  • @AoreWilson
    @AoreWilson ปีที่แล้ว

    God of providence

  • @melicmganilwa4326
    @melicmganilwa4326 5 หลายเดือนก่อน

    May the soul of my dear Mummy rest in peace 💔 💔 💔 🙏

  • @RuthNyanzira
    @RuthNyanzira 4 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤲🏼🤲🏼

    • @Mdidiemanuel
      @Mdidiemanuel 3 หลายเดือนก่อน

      556

    • @Mdidiemanuel
      @Mdidiemanuel 3 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤7😢u❤