Shukra sana JEMEDALI wetu,Allah akufanye uwe Mzazi mwema zaidi na zaidi binafsi Aprishiet,Dipenden na incourage,imeniasaidia Sana kwa kijana wangu wa kwanza uelewa ulikuwa chini tofauti na wapili(Uko sahihi kabisa Daima💪🏽)
Mara yakwanza kuangalia video yako kweli upo sahii bro mahana wazazi wengi wamesababisha watoto kutokuwa na confidence kwenye maisha ya badae. Nimependa somo lako namini litanisaidia mimi kama single mom
Asante sana , kaka kwakuzidi ktusaidia maarifa, mimi binafsi na muathirika wa ili jambo japo njitaidi kuondokana na lkn bdo ni changamoto yaaan self confidence sina kabsa naweza na mawazo mazuri lkn kurepresent kwa watu wengi, mara najihic kuogopa na kutetemeka yaan hii hali inanipa shida sana asseih! Kaka .
Hili somo zuri Sana ! Mi wazazi wangu in short hawakuwa na hayo mambo uliyoyasema walikuwa ni wakali Sana ukimuona baba au mama amerudi toka kazini unachanganyikiwa ! Baba yangu alikuwa mwalimu na mama yangu alikuwa mwalimu kwa sasa ni wastaafu ! Hata ujitahidi vipi atakwambia bado nakumbuka siku moja nikiwa darasa la sita hisabati nilipata 83 na nilikuwa wa kwanza katika somo hilo ila baba alinichapa akisema nimepata alama ndogo , niliwahi kuwa namba 5 katika annual nikiwa darasa la 6 nilikula stick kwa nini sijawa wa kwanza ! Wazazi walikuwa ni wakali Sana aise ! Ila mwisho wa siku tumekuwa watu wakubwa sasa maisha yanasonga ! Ila mi nilisema watoto wangu sitawalea katika mfumo huo ! Kwa sababu mfumo huo ulisababisha nipoteze Hata kipaji changu cha mpira wa miguu pia Hata riadha mita 100 na 200 nilikuwa nipo vizur ila ndio hivyo Hata kushiriki kwenye michezo tulikuwa haturuhusiwi kabisa ukikutwa haupo home ujue siku hiyo viboko vinakuhusu ! Ila Nashukuru nimejifunza
Pole.hilo limetukuta wengi.wazazi wa zamani walikuwa hivyo.wachache ambao walikuwa tofauti. Sisi huu utandawazi na teknolojia vimetusaidia kupata hizi nondo kwahyo tujitahidi watoto wetu tuwalee tofauti na tulivyolelewa. See u at the Top 👍
Mimi nakumbuka kwamba Baba alikua mkali sana kiasi ambacho kwamba ndungu zangu wote hata mimi mwenyewe nilikua na uoga katika sehemu fulani tu, kwa mfano kama nilienda vibaya katika mitihani nilikua namwonyesha max zangu. Nashukuru Mungu alikua ananielewa na kunisaidia. Elimu tuliopata nyumbani ndio imetukomaza ni kweli alikuepo dada wa kazi lakini alikua anamajukum yake yaani kusaidia mama, sisi kama watoto kwanza palipo nafasi tumsaidie, halafu tumheshim kama moja wa familia. Baba anikua anamajukum mengi, lakini alikua present yaani wakati yupo nyumbani yupo- mama ingawa alikua nyumbani wakati wote alikua na shuhuli zake. kama mzazi haikuwa rahisi kwake kwani tulikua wanne, naye pia alikua na shuhuli zake nje. Kwa hiyo tumejifunza mengi toka wadogo ambayo yametusaidia katika maisha hivi leo. Kwa kuwa tuko tofauti inategemea uoga wetu umetusaidia katika aina moja au umetuharibu kwa aina nyingine. Kuna alie pona au alie kufa.
Kwa wale wanaopenda kujua namna gani ya kujenga ujasiri kwenye maisha yao, unaweza kutafuta kitabj changu cha MBINU ZA KUJENGA UJASIRI NA KUJIAMINI...wasiliana na 0756-094875 utakipata popote ulipo duniani.See You At The Top
Nimependa Sana Coach yako kimsingi namshukuru Mungu siko mbali Sana kwa yake uliyoyaeleza japo vitu Kama ukali wa Mzazi nimeukutana lakin haukunifanya weak us such
Samahani mwalimu kukuambia neno hili, Wewe ni zaidi ya Baba, Mungu ame kuleta kwa wakati unao faa, unaendelea kutunza vidonda, nilio umia tangu utotoni, sasa Mimi ni jasiri, na watoto wangu ni majasiri, wana uwezo wa kujitegemie wote kabisa, tuliteswa na wazazi, ila tume wasamehe.
DA. Hcho kipengele kaka cha 5, .mimi kimeniadhiri sna wazaziwangu wote wawili niwakli, ila mama ndokuzid, so nikiwel mpka sasa sina kujiamni sna. Nanauwoga mnoo at a kazin hapa nilipo, nimeharbika kabsa ki saikologia ila nashkr nitakuwa mama bora sna hapo mbele. THANK YOU KAKA
Ahxante Mkuu kwa kunipa Elimu hii maana wengi wetu huwaga tunajuwaga ukali ndo kumjenga Mtoto ,ukirudi Mtoto anajificha chumbani , Ubarikiwe xana Mkuu.
Duh yaan kuhusu kujiamin ,mm nimeathriwa sana mpka saiv cwez kujichanganya na wenzangu Kwanza naona n kma sistaili kua Nao Yan kila ninae kaa nae ATA kma n mdogo kwangu,mkubwa yaan vyovyote vile mm naishia kujiona wachini (inferior) Cjui tu,hili swala lilianzia nikiwa primary mwl wangu WA primary wameplay party kuniharb physiology Kisa tu nilikua na uwezo mdogo class
ASANTE KWA masomo Haya tunapona wengi Sana nami Ni mmoja wapo.Natamani kufika ulipo JOEL NANAUKA Mimi nipo mbezi juu.Nataka kufika unapotoa Huduma Nahitaji kujifunza zaidi.HOSEA 4:6 & DANIEL 9:2.
Mimi nimeathiriwa Sana na hiyo tabia because I lost my parents when i was in childhood,hence I failed even using the word "No"because when I tried to use.it make my life hard.
Mmmmh kaka Joel utanimalizia bundles zangu maana karibu kila siku nikiingia TH-cam kazima nianze na ww asee ndo naridhika maana mafundisho yako nayapenda sana kongole kwako
Ahsante kaka Joel....Mimi huwa namkalipia sana mtoto wangu na kuna wakati hata anaogopa kufanya kitu fulani nikiwa sipo au kuchukua kitu kwa kuhofia nitakuja kumfokea.Naomba nisaidie kaka Joel hii hali najitahidi kuacha lkn kuna wakati najikuta narudia rudia lakini pia huwa wakati mwingine najilaumu kwa nini nimemfokea na unaweza kuta kaniuliza kitu namjibu kwa shortcut au nakuwa kimya na nikijaribu kumueleza kuhusu hicho alichouliza basi nitamueleza kwa ukali kiasi. Nafanyaje niache kabisa hii hali.
Duhu mm nina asili ya asila muda mwingne nampiga mtoto hata km anasema ukweli nakuja kugundua badae nimekosea jaman naomben msaada pia nakumbuka nina mtoto wa miaka minne uwa anapenda kuniulza mara kwa mara mama ukitaka kuwa tajiri unafanyeje uwa namfokea kwann unaniulza hivi we bado mdogo kwann unawaza kuwa tajili utanitoa kafara
Kwanni mtoto anakua mzembe wa kupitiliza yani anapoteza vitu hana umakini hata darasani kupuuzia vitu hachukulii kitu serious namsaidiaje mtoto kama uyu miaka 16 mvulana
Mm mtoto wang ana miaka mitano kusema ukweli nikijabu kumwambia afanye kitu au kumfundisha najukuta tu nampiga nakuwa mkali mpak najisikiag vibaya naitaji msaada
Kweli hata mm ninahiyo shida na inanisumbua sanaaa siwezi kabisa natetemeka kabisaa uwezo ninaoo ila wogo ndio unanifelishaa by NOBERT KAWISHE Help me please
Kweli kabisa.... Mwanangu ana miaka 2 na nusu ameniuliza password za simu yangu ili achezee... Hivi hakuna athari yoyote baadae kwa mtoto kutumia smart phone km kitu cha kuchezea....?
Mruhusu ila mwongoze zaidi kutizama vitu vya kielimu. Mfano katuni. Watoto wanapenda sana katuni. Mimi wa kwangu hajaanza hata chekechea ila amejua kuhesabu, kuzungumza maneno baadhi ya kiingereza, kutaja rangi. Hajawahi kufundishwa na mtu hayo yote. Ila hakikisha hatumii mwanga mkubwa hasa wakati wa usiku ili kulinda uoni wa macho yake.
Mimi wakati ni mtoto ikikuwa kesi kubwa Sana najambo baya Sana kuchangia maada kama wakubwa yan, kaka zangu, Dada zangu wakiwa wanaongea jambo flani. Pia ilifahamika kuwa nikikosea jambo bas nikipigo tuu wala hakuna mjadala zaidi
Nimejua kwa nini sijiamini ktk kuongea maana tangu nipo mtoto kila nikijaribu kuongea mbele ya watu including my parents naambiwa hujui kuongea, nyamaza! So sad. Laiti wangekuwa wameona video hii !
Uzuri umeshajua sababu na unaweza kuanza kujenga kujiamini kwako sasa.Unaweza kutafuta kitabu changu cha Jinsi Ya Kujenga Kujiamini na Ujasiri utapata mbinu zaidi.
Shukra sana JEMEDALI wetu,Allah akufanye uwe Mzazi mwema zaidi na zaidi binafsi Aprishiet,Dipenden na incourage,imeniasaidia Sana kwa kijana wangu wa kwanza uelewa ulikuwa chini tofauti na wapili(Uko sahihi kabisa Daima💪🏽)
Asante sana Joel mimi mama alikua mkali sanaa alinijengea uoga hadi leo mimi ni muoga mpaka hata kufanya maamuzi
Nimejifunza Mambo mengi mazur kwako super coach JOELI NANAUKA 🙏🏆🏅
Mara yakwanza kuangalia video yako kweli upo sahii bro mahana wazazi wengi wamesababisha watoto kutokuwa na confidence kwenye maisha ya badae. Nimependa somo lako namini litanisaidia mimi kama single mom
Nanauka nakupenda sana baba Mungu aku inue sana
Asante sana , kaka kwakuzidi ktusaidia maarifa, mimi binafsi na muathirika wa ili jambo japo njitaidi kuondokana na lkn bdo ni changamoto yaaan self confidence sina kabsa naweza na mawazo mazuri lkn kurepresent kwa watu wengi, mara najihic kuogopa na kutetemeka yaan hii hali inanipa shida sana asseih! Kaka .
Hili somo zuri Sana ! Mi wazazi wangu in short hawakuwa na hayo mambo uliyoyasema walikuwa ni wakali Sana ukimuona baba au mama amerudi toka kazini unachanganyikiwa ! Baba yangu alikuwa mwalimu na mama yangu alikuwa mwalimu kwa sasa ni wastaafu ! Hata ujitahidi vipi atakwambia bado nakumbuka siku moja nikiwa darasa la sita hisabati nilipata 83 na nilikuwa wa kwanza katika somo hilo ila baba alinichapa akisema nimepata alama ndogo , niliwahi kuwa namba 5 katika annual nikiwa darasa la 6 nilikula stick kwa nini sijawa wa kwanza ! Wazazi walikuwa ni wakali Sana aise ! Ila mwisho wa siku tumekuwa watu wakubwa sasa maisha yanasonga ! Ila mi nilisema watoto wangu sitawalea katika mfumo huo ! Kwa sababu mfumo huo ulisababisha nipoteze Hata kipaji changu cha mpira wa miguu pia Hata riadha mita 100 na 200 nilikuwa nipo vizur ila ndio hivyo Hata kushiriki kwenye michezo tulikuwa haturuhusiwi kabisa ukikutwa haupo home ujue siku hiyo viboko vinakuhusu ! Ila Nashukuru nimejifunza
Pole.hilo limetukuta wengi.wazazi wa zamani walikuwa hivyo.wachache ambao walikuwa tofauti. Sisi huu utandawazi na teknolojia vimetusaidia kupata hizi nondo kwahyo tujitahidi watoto wetu tuwalee tofauti na tulivyolelewa.
See u at the Top 👍
@@ahz6907 Aise walikuwa wakali si baba na Mama wote walikuwa wakali ! Kula stick ilikuwa ni sekunde tu na wakati wowote
@@damianmakala2913 yani njia pekee walikuwa kumrekebisha mtoto ni viboko na wengine kumnyima kula 😁
Ukipata mume wa hivyo aliyelelewa kikatili utajuta yale aliyoyapitia anataka na watoto wayapitie hayohayo...
Mimi nakumbuka kwamba Baba alikua mkali sana kiasi ambacho kwamba ndungu zangu wote hata mimi mwenyewe nilikua na uoga katika sehemu fulani tu, kwa mfano kama nilienda vibaya katika mitihani nilikua namwonyesha max zangu. Nashukuru Mungu alikua ananielewa na kunisaidia. Elimu tuliopata nyumbani ndio imetukomaza ni kweli alikuepo dada wa kazi lakini alikua anamajukum yake yaani kusaidia mama, sisi kama watoto kwanza palipo nafasi tumsaidie, halafu tumheshim kama moja wa familia. Baba anikua anamajukum mengi, lakini alikua present yaani wakati yupo nyumbani yupo- mama ingawa alikua nyumbani wakati wote alikua na shuhuli zake. kama mzazi haikuwa rahisi kwake kwani tulikua wanne, naye pia alikua na shuhuli zake nje. Kwa hiyo tumejifunza mengi toka wadogo ambayo yametusaidia katika maisha hivi leo. Kwa kuwa tuko tofauti inategemea uoga wetu umetusaidia katika aina moja au umetuharibu kwa aina nyingine. Kuna alie pona au alie kufa.
Kwa wale wanaopenda kujua namna gani ya kujenga ujasiri kwenye maisha yao, unaweza kutafuta kitabj changu cha MBINU ZA KUJENGA UJASIRI NA KUJIAMINI...wasiliana na 0756-094875 utakipata popote ulipo duniani.See You At The Top
Well done Mr. Joel , I appreciate you for most things and I can ask if you will never mind
Nimependa Sana Coach yako kimsingi namshukuru Mungu siko mbali Sana kwa yake uliyoyaeleza japo vitu Kama ukali wa Mzazi nimeukutana lakin haukunifanya weak us such
Sawa kaka Joel nahtaji icho kitabu niko Arusha
Asante kaka, kwa mafundisho yako nimekuelewa Sana nitakuwa mama Bora kwa mwanangu
Mungu akubariki sana Joel, hakika you are at the top.
Amen Mungu akubariki sana na azidi kukutumia na kukupa nguvu na afya njema,utufunze zaidi
Appreciate sana joel mungu akubariki
Samahani mwalimu kukuambia neno hili, Wewe ni zaidi ya Baba, Mungu ame kuleta kwa wakati unao faa, unaendelea kutunza vidonda, nilio umia tangu utotoni, sasa Mimi ni jasiri, na watoto wangu ni majasiri, wana uwezo wa kujitegemie wote kabisa, tuliteswa na wazazi, ila tume wasamehe.
DA. Hcho kipengele kaka cha 5, .mimi kimeniadhiri sna wazaziwangu wote wawili niwakli, ila mama ndokuzid, so nikiwel mpka sasa sina kujiamni sna. Nanauwoga mnoo at a kazin hapa nilipo, nimeharbika kabsa ki saikologia ila nashkr nitakuwa mama bora sna hapo mbele. THANK YOU KAKA
Asante Sana
Niwakati sahihi Mimi kupata Ujumbe huu kijanawangu atakua nimwenye kujiamini.
Ameen tuendelee kujenga hali ya kujiamini kwa watoto wetu.
Kaka naitaji namba yako kaka
Ahxante Mkuu kwa kunipa Elimu hii maana wengi wetu huwaga tunajuwaga ukali ndo kumjenga Mtoto ,ukirudi Mtoto anajificha chumbani , Ubarikiwe xana Mkuu.
Ameen Ameen nashukuru sana
Najifunza sana akili ina tanuka Ahsante sana brother Joel 💚
Asante Pastor. Nimejifunza
Hili somo ni muhimu Sana katika malezi ya mtoto ! Hongera mtoa mada
Duh yaan kuhusu kujiamin ,mm nimeathriwa sana mpka saiv cwez kujichanganya na wenzangu Kwanza naona n kma sistaili kua Nao Yan kila ninae kaa nae ATA kma n mdogo kwangu,mkubwa yaan vyovyote vile mm naishia kujiona wachini (inferior)
Cjui tu,hili swala lilianzia nikiwa primary mwl wangu WA primary wameplay party kuniharb physiology
Kisa tu nilikua na uwezo mdogo class
ASANTE KWA masomo Haya tunapona wengi Sana nami Ni mmoja wapo.Natamani kufika ulipo JOEL NANAUKA Mimi nipo mbezi juu.Nataka kufika unapotoa Huduma Nahitaji kujifunza zaidi.HOSEA 4:6 & DANIEL 9:2.
Muokozi wa jamii
Mimi nimeathiriwa Sana na hiyo tabia because I lost my parents when i was in childhood,hence I failed even using the word "No"because when I tried to use.it make my life hard.
Nime jua kwann before nilikuwa siji amini
Lakin kwa sasa najitahidi kubadilika.
Ume ni fungua zaidi kaka Joel
#see_u_at_the_top
@Benson Baba Amina
Mmmmh kaka Joel utanimalizia bundles zangu maana karibu kila siku nikiingia TH-cam kazima nianze na ww asee ndo naridhika maana mafundisho yako nayapenda sana kongole kwako
Shukran
Tuko pamoja sana mwalim joel
SEE YOU AT THE TOP
Ahsante kaka Joel....Mimi huwa namkalipia sana mtoto wangu na kuna wakati hata anaogopa kufanya kitu fulani nikiwa sipo au kuchukua kitu kwa kuhofia nitakuja kumfokea.Naomba nisaidie kaka Joel hii hali najitahidi kuacha lkn kuna wakati najikuta narudia rudia lakini pia huwa wakati mwingine najilaumu kwa nini nimemfokea na unaweza kuta kaniuliza kitu namjibu kwa shortcut au nakuwa kimya na nikijaribu kumueleza kuhusu hicho alichouliza basi nitamueleza kwa ukali kiasi. Nafanyaje niache kabisa hii hali.
Asante kaka,hii imenisaidia japo mimi mmoja wapo niliyepitia hayo na nimeathiriwa sana kiasi ambacho nakosa fursa nyingi
Kwakweli baba yangu alikua mkali sana alikua ananipiga sana kifupi alikua hanipendi,hiyo imeniathiri sana nina hofu wakati wote
Unaongea ukweli❤
Ni kweli inatakiwa tufuate masharti haya
Tuweke notes kwa ajili ya watoto wetu badae 😍😍
I appreciate your efforts to Change the Society Mindsets..
Nashukuru cn kwa hili somo litanisaidia kumulea mtoto maana nilikuwa namforce abafilike
Appreciate you
Shukran kakangu ubarikiwe
Knaa wazee kaka joeli niwakali kwa wototo wao kama hawakuzaa ,kitendo hicho bupelekea watoto wengi kuwachukia wazazi wao ,!!!
Salute brother
Asante
Shukrn
Asante sana
Ukali tu kakini hua namuomba msamaha na kumwambia asiniogope hua inatokea tu lakini Mungu atanisaidi
Duhu mm nina asili ya asila muda mwingne nampiga mtoto hata km anasema ukweli nakuja kugundua badae nimekosea jaman naomben msaada pia nakumbuka nina mtoto wa miaka minne uwa anapenda kuniulza mara kwa mara mama ukitaka kuwa tajiri unafanyeje uwa namfokea kwann unaniulza hivi we bado mdogo kwann unawaza kuwa tajili utanitoa kafara
😢una hasira nae au usiwe na chuki na mtoto mpende alafu utaona faida yake
Kwanni mtoto anakua mzembe wa kupitiliza yani anapoteza vitu hana umakini hata darasani kupuuzia vitu hachukulii kitu serious namsaidiaje mtoto kama uyu miaka 16 mvulana
Mm mtoto wang ana miaka mitano kusema ukweli nikijabu kumwambia afanye kitu au kumfundisha najukuta tu nampiga nakuwa mkali mpak najisikiag vibaya naitaji msaada
thanks so much bro
Congrats Brother keep it up
Alhamdulillah
Kweli hata mm ninahiyo shida na inanisumbua sanaaa siwezi kabisa natetemeka kabisaa uwezo ninaoo ila wogo ndio unanifelishaa by NOBERT KAWISHE Help me please
Kweli kabisa....
Mwanangu ana miaka 2 na nusu ameniuliza password za simu yangu ili achezee...
Hivi hakuna athari yoyote baadae kwa mtoto kutumia smart phone km kitu cha kuchezea....?
Mruhusu ila mwongoze zaidi kutizama vitu vya kielimu. Mfano katuni. Watoto wanapenda sana katuni. Mimi wa kwangu hajaanza hata chekechea ila amejua kuhesabu, kuzungumza maneno baadhi ya kiingereza, kutaja rangi. Hajawahi kufundishwa na mtu hayo yote. Ila hakikisha hatumii mwanga mkubwa hasa wakati wa usiku ili kulinda uoni wa macho yake.
#T0P🙌
👏👏👏
Sasa kaka ndomimi nimesha mhalibu mwanangu kwakumkemea nakumpiga tangu akiwa mdogo Sasa Yuko fom 1 je hapo unanisaidiaje au namsaidiaje
Mimi wakati ni mtoto ikikuwa kesi kubwa Sana najambo baya Sana kuchangia maada kama wakubwa yan, kaka zangu, Dada zangu wakiwa wanaongea jambo flani.
Pia ilifahamika kuwa nikikosea jambo bas nikipigo tuu wala hakuna mjadala zaidi
Sorry hiki kitabu cha Money Formula kwa Kahama kinapatikana wapi
🙏
Nahitaji namba yako
Mimi imenifanya kutokuwa jasiri na kushindwa kuongea jambo ambalo silipenda mpaka sasa
Kama mzazi hutaki kuulizwa darasani ataweza kuuliza? Hii ni kweli
Balikiwa kaka nimejifunza kitu hapo
Kaka Joel 10x a lot
🙌
Broo nimekusoma lakin kwanini usifanye darasa hata kwakila j Pili naweke naada watu wajifunze ana kwana kunamuda hapa huwez kuuliza swali moja kwamoja
Nimejua kwa nini sijiamini ktk kuongea maana tangu nipo mtoto kila nikijaribu kuongea mbele ya watu including my parents naambiwa hujui kuongea, nyamaza! So sad. Laiti wangekuwa wameona video hii !
Uzuri umeshajua sababu na unaweza kuanza kujenga kujiamini kwako sasa.Unaweza kutafuta kitabu changu cha Jinsi Ya Kujenga Kujiamini na Ujasiri utapata mbinu zaidi.
@@joelnanauka Ahsante bro. Lazima nikisome. Kwa Dar vipo book store ya wapi ! Ikiwezekana nipe google location