SINA MKE MWENZI AM SINGLE VIDEO LYRICS PASCHAL CASSINA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024
  • #0766998994 #call0688199370 #0688199370 #

ความคิดเห็น • 113

  • @fadhilimollel6295
    @fadhilimollel6295 ปีที่แล้ว +22

    Huyu ni Mtumishi wa Mungu aliyetoka nje ya box kwa ubunifu wake kwa njia ya kipaji chake Cha uimbaji kuelimisha kundi Fulani la watu na kuwafariji.Ukiona hujabarikiwa na huu wimbo ujue haujakulenga wewe lakini hakika Kuna watu wameguswa moyo kwa huu wimbo kwasababu mwili huitaji kupata majitaji yake,nafsi na Roho pia.Balance ikikosekana katika maeneo hayo hukosi kupata shida.

  • @jescakazungu5027
    @jescakazungu5027 ปีที่แล้ว +6

    Mungu akupe haja ya moyo wako,barikiwa Sana Mtumishi wa MUNGU 🙏🇰🇪🇰🇪

  • @myahudiog
    @myahudiog ปีที่แล้ว

    Aman amen 🙏 🙌 👏 ❤ piga injili baba utalipwa tu huenda kule mbinguni ukawa katibu😅❤❤🎉

  • @lawmaina78
    @lawmaina78 ปีที่แล้ว

    Dah hii kweli, kosea kingine ila usikosee kwenye kumchagua akufaaye, watu wanalizana sana kwenye hizi ndoa, msubiri utakayeletewa na Mungu.

  • @FamtamAli-vl2wx
    @FamtamAli-vl2wx 2 หลายเดือนก่อน

    Walahi na mm mungu anipe mume wa ndoto zangu mungu anichagurie

  • @esthermbete9932
    @esthermbete9932 ปีที่แล้ว +3

    Ujumbe mzuri sana kwa yule anayeelewa mambo ya kiroho be blessed mtumishi wa mungu pascal cassian napenda sana nyimbo zako.Esther from kenya

  • @TuaircachimoNantola-po7oo
    @TuaircachimoNantola-po7oo ปีที่แล้ว +4

    Amina mtumishi wa mungu nyimbo hii imenigusa sana nami naomba pia azibariki ndoa zetu ❤❤kwa jina la jesus so that we can finish the journey safely🎉

    • @FikiriPascal-z6z
      @FikiriPascal-z6z 9 หลายเดือนก่อน

      Nikwel usiulazimishe nafs

  • @quintavitalis926
    @quintavitalis926 ปีที่แล้ว +2

    Mungu atusaidie macho ya Rohoni tuwatambue kwa usaidizi wako Ee Mungu wangu

  • @bahatimaselo8528
    @bahatimaselo8528 ปีที่แล้ว +3

    Barikiwa mtumishi hapo unatufundisha sisi tusubili chema kutoka kwa Mungu ubarikiwe Sana kwa kutupa kujifunza

  • @DalineClervil-hb2fx
    @DalineClervil-hb2fx ปีที่แล้ว

    Amen amen my song god bless you a love you

  • @shamimtv254
    @shamimtv254 ปีที่แล้ว +4

    God bless me too with my soulmate I'm tired being single

  • @lydiamichael5509
    @lydiamichael5509 ปีที่แล้ว +3

    Amen
    Wimbo nzuri sana wenye mafunzo ndani yake barikiwa mtumishi wa Mungu

  • @mariammgeni2832
    @mariammgeni2832 ปีที่แล้ว

    Wimbo ni mzr unaujumbe wakuponya,Kwakweli ni Mungu tu mwenye macho sahihi yakuona make sahh kwako

  • @agnessaid
    @agnessaid ปีที่แล้ว

    Yani nimejikita kichwa kinasisimka hivi 🎉🎉🎉kaz nzur nyimbo nzur

  • @princehenry7113
    @princehenry7113 ปีที่แล้ว +2

    Pole.. pole sana... Najua kuatu chako hakuna wa kukivaa... Na ndo wanawake walivyo😢

  • @kelvinidamiani7808
    @kelvinidamiani7808 6 หลายเดือนก่อน

    Kila lakher mtumishi bado tunabarkiwa nawew

  • @FamtamAli-vl2wx
    @FamtamAli-vl2wx 2 หลายเดือนก่อน

    Niowe mm mtumishi

  • @ruthkhalayi5097
    @ruthkhalayi5097 ปีที่แล้ว +2

    Mungu wangu I'm waiting for my own husband 🙏🙏 Amen

  • @EdithKelvin
    @EdithKelvin ปีที่แล้ว

    Mungu wa Mbinguni akukumbuke Mtumishi. BWANA AMESIKIA , ATAKUJIBU KWA WAKATI WAKE.

  • @peterdani9740
    @peterdani9740 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubaliki mtumishi nyimbo za
    Ko zinaujumbe mzuli sn

  • @blessedsuccess2462
    @blessedsuccess2462 ปีที่แล้ว

    Mimi anaitwa blessed anatoka madafu asante kwa nyimbo yako nuzuri sana na mungu akubariki sana .paschal cassina ameni asante sana kwa nyumbo yako nuzuri sana

  • @stevenkipara9310
    @stevenkipara9310 ปีที่แล้ว +2

    Tu LIKE wapendwa ku sapoti mtumishi wa Mungu wapendwa

  • @FamtamAli-vl2wx
    @FamtamAli-vl2wx 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akufariji

  • @ZakayoChungu
    @ZakayoChungu หลายเดือนก่อน

    ❤ Barikiwa

  • @pamamwoyaofficiel9770
    @pamamwoyaofficiel9770 ปีที่แล้ว +1

    Hubarikie mtumishi

  • @fearful254
    @fearful254 ปีที่แล้ว +1

    Kongole brother

  • @EVERMTANGI
    @EVERMTANGI ปีที่แล้ว +1

    🙏🙏mungu atakupa anaekufaaa mtumishi

  • @sakshiwinnie3859
    @sakshiwinnie3859 ปีที่แล้ว +3

    Oh Hallelujah 🙌 am single God please remember me 🙏 this song is so wauh 🥰 in love with song ❤️❤️🇰🇪🇰🇪

  • @EdinaRuben-l2k
    @EdinaRuben-l2k 8 วันที่ผ่านมา

    Amina San❤❤❤❤

  • @fighterbenson-cs2tz
    @fighterbenson-cs2tz ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana huu wimbo umenigusa

  • @lukafbbwebelof3874
    @lukafbbwebelof3874 ปีที่แล้ว +1

    Mimi naona hana mke tena . Yeye na Tembo Jeshi wote ni Single man . Sijaona anamtambulisha mkewe hata siku moja akiwa kwenye injili au gospel song's zake.

  • @kingside5053
    @kingside5053 ปีที่แล้ว +1

    Tunashukulu kwa wimbo unatugusa sana lohoni

  • @ephellyangalia2845
    @ephellyangalia2845 ปีที่แล้ว +3

    Ilove your songs mtumishi,,may God continue using you aa His vessel,, listening from kenya

  • @rehemashariff3119
    @rehemashariff3119 ปีที่แล้ว

    Halleluya.halleluya niko hapa na mimi yesu nakusubiria...Mungu ailinde huduma hii ubarikiweno

  • @womanofgod2217
    @womanofgod2217 ปีที่แล้ว +3

    May God keep helping you man of God

  • @nchilima_dcj
    @nchilima_dcj ปีที่แล้ว +2

    I like this video God bless evermore your work man of God Paschal Cassian
    🇲🇿🇲🇿

    • @zuhuraaugustino4641
      @zuhuraaugustino4641 ปีที่แล้ว

      Mbeba maono hafi hadi afikishe ujumbe sehemu husika, Mungu azidikukutumi mtumishi,

  • @shadrackkasekwa5465
    @shadrackkasekwa5465 ปีที่แล้ว +2

    Ameni

  • @bensonmgaya5693
    @bensonmgaya5693 ปีที่แล้ว +2

    Nyimbo hii niyangu hakika

  • @JamesJack-le3ew
    @JamesJack-le3ew 10 หลายเดือนก่อน

    Soo good song

  • @harrietkiden7808
    @harrietkiden7808 ปีที่แล้ว +4

    GOD RICHLY BLESS YOU PASTOR PASCHAL 🙏🏽🙏🏽

  • @bahatikyusa8864
    @bahatikyusa8864 ปีที่แล้ว +4

    Wimbo mzuri sana mtumishi wa mungu ira tuweke wazi kweri upo single ? 😅

    • @warakawayohana2896
      @warakawayohana2896 ปีที่แล้ว

      Umemuelewa mtumishi😂

    • @petermbayi5885
      @petermbayi5885 ปีที่แล้ว +1

      😢no haja maanisha ako single why can't you understand you people of God.he use the song to open people who are married and who are single

  • @ElizyJem
    @ElizyJem ปีที่แล้ว

    Mungu atutane naonja ya moyo wako

  • @monicahmuema6748
    @monicahmuema6748 ปีที่แล้ว +2

    May GOD bless us pia wenye tuko single

  • @jovettedenise2591
    @jovettedenise2591 ปีที่แล้ว +1

    God bless you and i love your song pascal from USA🎉

  • @benardcharo4332
    @benardcharo4332 ปีที่แล้ว +1

    Iwapi hekima na maarifa yale yaliyotumika kutunga nyimbo kama turudi, Ona wanavyomwabudu, parapanda na mbona nyimbo hizi zilikuwa na ujumbe usiokinzana?

  • @Peaceman-S
    @Peaceman-S ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi umetuchanganya umeandika lyrics alafu hamna hizo lyrics kijana

  • @ClareMakotswe
    @ClareMakotswe ปีที่แล้ว

    Wow 😳 Asante sana mtumishi wa mungu hakika mungu amekujakua kweli nyimbo zote anazoziimba hakika ziko na ujumbe msuri sana fanya Kaz ya mungu ndugu barikiwa sana mtumishi wa mungu Asante 🙏🙏

  • @mercykasyoka4007
    @mercykasyoka4007 ปีที่แล้ว

    Ulikuwa dani ya roho pastor nimekutana mmoja mwenye sura zuri kube amejaa uongo moyoni mwake?

  • @odetaniyonkorera8132
    @odetaniyonkorera8132 ปีที่แล้ว +1

    Mbona watu tunachanganya vitu kuliko tusikie maneno kwanza tunaanza ku comment na maswali Yeye mtumishi alifafanuwa vizuri 2 days ago kuhusu huu wimbo na watu waelewe sababu ya yeye kuimba huu wimbo na akaelewesha kweri

  • @SofiaGoodrack-he5ww
    @SofiaGoodrack-he5ww ปีที่แล้ว +1

    Amen ubarikiwe

  • @denisrukangula2227
    @denisrukangula2227 ปีที่แล้ว +2

    Am in marriage 😂😂😂

  • @LusajoMwakipasile
    @LusajoMwakipasile ปีที่แล้ว +1

    Mungu atakupa mtumishi

  • @ElipendoElias-no6ki
    @ElipendoElias-no6ki ปีที่แล้ว +2

    Amen,amen ubarikiwe mtu wa Mungu

  • @sarahs7003
    @sarahs7003 ปีที่แล้ว

    Mungu atimize ndòto ya moyo wako barikiwa sana

  • @daisyakhini9331
    @daisyakhini9331 ปีที่แล้ว +1

    Amen Amen 🙏🙏🙏hiyo song n wangu mimi, bado nasubiria mungu kunipa ubavu wangu,Amen barikiwa sana mwinjilist imeni nimeiweka kwa mungu ndo mwenye jib kwa maswali yangu

    • @wardawarda6109
      @wardawarda6109 ปีที่แล้ว

      I'm here Mungu nipe mume mwema anaekujua wewe na kukuogopa

  • @furahahappiness110
    @furahahappiness110 ปีที่แล้ว +1

    Mungu kumbuka kaka yetu 😅🙌❤

  • @patricknyamkora1419
    @patricknyamkora1419 ปีที่แล้ว

    😂😂😂 Mungu yupo nawewe kaka

  • @Deboraclementgm
    @Deboraclementgm ปีที่แล้ว

    Amen amen 🙏🙏🙏 barikiwa mutumishi

  • @gahungubertin1214
    @gahungubertin1214 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo unanichekesha ila ni mzuri🤣🤣, ilo UA unalo lishika mkononi sasa 😂

    • @ELLYJ24
      @ELLYJ24 ปีที่แล้ว

      Ngoja remix yake ashirikishwe Konde boy ndo utacheka zaidi na vile jeshi akikohoa koh koh koh koh ndo kbs🤣🤣🤣🤣

  • @ndagijimanawinjoness933
    @ndagijimanawinjoness933 ปีที่แล้ว +1

    Kwaukweri wimbo umenichanganya sana single Sisi tunajua yakwamba mtumishi una mke sasa hatuelewi kabisa kwanini umeimba wimbo kama huo?

    • @damariskavolo1829
      @damariskavolo1829 ปีที่แล้ว

      Kuimba am single imaanishi anajiimbia hii ni injili kwa kila mtu

  • @e-songbeats6453
    @e-songbeats6453 ปีที่แล้ว +2

    Art is creativity
    Good Pastor❤

  • @SAMBAZAUPENDOTV
    @SAMBAZAUPENDOTV ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki kaka

  • @RebeccaObadia-km7kx
    @RebeccaObadia-km7kx ปีที่แล้ว

    So.nice❤❤❤❤❤

  • @benjaminwafula
    @benjaminwafula ปีที่แล้ว

    Hii ni Kwa wale walioma kiroho usitazame muonekano sikiza message baba mchungaji najua unapitia Hali ngumu kutokana na vitu vigumu mambo mazito yatokelezayo lkn mungu wetu sio athumani kazi njema barimiwa

  • @pamelabracedes9600
    @pamelabracedes9600 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen 🙏🙏🙏🙏

  • @damarismuia5469
    @damarismuia5469 ปีที่แล้ว

    God remember me🙏🙏🙏🙏

  • @Jonathangodhana
    @Jonathangodhana 10 หลายเดือนก่อน

    Hii ni Gospel song pia ama tuieke category gani ?

  • @saradavirginia-kd7tn
    @saradavirginia-kd7tn ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @shadrackkasekwa5465
    @shadrackkasekwa5465 ปีที่แล้ว +1

    Yes am single

  • @ImeldaMyinga
    @ImeldaMyinga 2 หลายเดือนก่อน

    Ameen ameen

  • @barakagminga5728
    @barakagminga5728 ปีที่แล้ว

    Aminaaaa blessed sana

  • @devissyprian1526
    @devissyprian1526 ปีที่แล้ว

    Kibiblia ukiachana na mwanamke unatakiwa usubilie mpaka afe ndo ndo uje uoe ko kama unafuata biblia subilia afe ndo uje huoe

  • @shadrachkelvin4300
    @shadrachkelvin4300 ปีที่แล้ว

    Absolutely

  • @bibishemartha4378
    @bibishemartha4378 ปีที่แล้ว

    Kweli muke ambae alivumia mateso yote unaweza imba kweli kwamba hauna muke 🤷🏻‍♂️🤦🏻‍♂️🙆🏽‍♂️

    • @lukafbbwebelof3874
      @lukafbbwebelof3874 ปีที่แล้ว

      Inawezekana Pascal ni Single kabisa. Kwasababu aliwai kusema hatazaa tena mtoto mwengine.
      Sasa sijuwi alijiunga na hile neno ya uzazi wa mpango au ni kufuatana na matibabu aliyo pitia pale India ulizofisha kizazi? (Mimi sijuwi. )yeye anamajibu. Nivizuri ajitokeze na mkewe hazarani ili watu waone kama wimbo huo ni ujumbe kwa wengine ila siyo yeye kajiimba .

  • @odetaniyonkorera8132
    @odetaniyonkorera8132 ปีที่แล้ว

    Hakukuwa anaimba kuhusu yeye aliimba tu kwa wale bado wangali single ili Mungu awachagulie wakuishi nao

  • @pastorzakariatv1786
    @pastorzakariatv1786 ปีที่แล้ว

    Mkeo alifaliki?

  • @gorretyawuor4918
    @gorretyawuor4918 ปีที่แล้ว

    Amen very powerful with wonderful messages in it ❤

  • @SindolecharlesPalino
    @SindolecharlesPalino ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤

  • @SheillahWairai
    @SheillahWairai ปีที่แล้ว

    ❤❤❤wimbo unaniguza moyo... nakunifundisha kwamba Mungu ndiye awezaye kukupa chema na cha kudumu... Macho yangu kwako Yesu...
    Amina mtumishi ubarikiwe sana.... Wako ako tayari Mungu amekuchangulia ❤

  • @kelvinidamiani7808
    @kelvinidamiani7808 6 หลายเดือนก่อน

  • @medsonsanga4813
    @medsonsanga4813 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥🔥

  • @gashkanay4870
    @gashkanay4870 ปีที่แล้ว +1

    I love it

  • @daudimahenge4384
    @daudimahenge4384 ปีที่แล้ว

    💯💯💯💯🙈❤️❤️❤️

  • @kizandume3015
    @kizandume3015 ปีที่แล้ว

    Mtumishi wa mungu kuwa wazi kwawatu mkeo alikuhacha hau mbona ulivyo pata ajali ulikuwa naye kulikoni sasa tunashindwa kuhelewa

    • @komandowainjiliyayesu
      @komandowainjiliyayesu ปีที่แล้ว

      Ndio yaan nilikuwa nikihubili mitaani natolea na mfano wa mke wa pascol maana alihudumia sana kipindi chamatatzo .mm naomba pascal ajitokeze na mke wake tuwe na aman maana mm sinahamani kabsa

    • @mestonisimzosha203
      @mestonisimzosha203 ปีที่แล้ว

      @@komandowainjiliyayesu mwanamke alimkimbia mtumishi

    • @elizabethjeremiah8323
      @elizabethjeremiah8323 ปีที่แล้ว

      Ooooh jaman

    • @hellaskarras1567
      @hellaskarras1567 ปีที่แล้ว

      Hata mimi kaniachia swali hapo

    • @komandowainjiliyayesu
      @komandowainjiliyayesu ปีที่แล้ว

      @@mestonisimzosha203 Tunaomba atuambie jmn

  • @abedykibona3595
    @abedykibona3595 ปีที่แล้ว

    Barikiwa na bwana mtumishi

  • @martinahlighare6495
    @martinahlighare6495 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂 haki watu hawachoki na maswali. Mahubiri huwezi ona comment nyingi au swali kuhusu kilichohubiriwa, ila wakisikia, "am single" yanatiririka kwa wingi. Anyway, if u know u're single, these is ur prayer request to God.

    • @MeryMbaga-d7b
      @MeryMbaga-d7b ปีที่แล้ว

      Hayuko single ameimba kwa niaba ya wengine huyo Ana mke na watoto wawili

  • @eliudniyongabo8396
    @eliudniyongabo8396 ปีที่แล้ว +3

    Mtumishi wa Mungu huna Mke ama ? Nataka kujua maana kipindi kile ulipo pata ajali ulikuwa na Mke wako.
    Ao unaimba kama kuimba tu kwa kweli mimi nataka jua zaidi ?

    • @jeremiahmwasomola1252
      @jeremiahmwasomola1252 ปีที่แล้ว

      Ana mke huyo na amemuuguza sana

    • @benardcharo4332
      @benardcharo4332 ปีที่แล้ว

      Confused? Even his songs are loosing taste...I'm not sure if it's the same mind yenye ilitubariki na nyimbo ya wambieni watu, Turudi, Ona wanavyo mwabudi..siku izi amejawa na Kiki na propagandi mingi ata aeleweki..

  • @joycemanegabe9154
    @joycemanegabe9154 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akuchagulue mke kama Ruthi ambae alimfaa Boazi kwa kipindi kile🥰🥰🥰

  • @norahelima1776
    @norahelima1776 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤

  • @Farajahelene23031
    @Farajahelene23031 ปีที่แล้ว +1

    i love it

  • @evalynemutindi3102
    @evalynemutindi3102 ปีที่แล้ว

    😍😍😍😍😍

  • @MeryMbaga-d7b
    @MeryMbaga-d7b ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤❤