HUWEZI KUSHIBA pachal cassian video official

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 81

  • @MGALILAYABillionaire
    @MGALILAYABillionaire 6 หลายเดือนก่อน +3

    Amen, Hallelujah! Glory to Jesus. Ulichanguliwa kati ya wengi kwa ajili ya kuhubiri kweli ya Kristo. Na watu hawajui ni wewe tu uliyebaki kuutangaza ukweli kupitia nyimbo na mahubiri! Siku ipo na inakuja watabaki kuulizana tumpate wapi yule mtumishi wa Mungu.
    Hakika ubarikiwe sana, hakuna mahali utapata mwimbaji anayeimba kweli maana wengi wamechukua Yesu kama sim unamuweka kwa mfuko na uku unaenda kwa pombe au uasherati... upandishwe palipo inuka nyimbo nikama huu sasa.... continue with the same spirit God Is with you always. Mbinguni ni furaha tu wimbo kama huu unaposikika hapa duniani

  • @paschalcassianoriginal9411
    @paschalcassianoriginal9411  6 หลายเดือนก่อน +5

    #0766998994 #call0688199370 #0788871769 #0688199370
    Shalom wimbo huu ni wimbo PENDWA SANA KATIKA MOYO WANGU na sababu ya kuupenda ni ULE uvuvio uliomo NDANI yake kuanzia KATIKA utayalishaji mziki Hadi KATIKA utunzi uimbaji merodi hivyo na Imani huu wimbo utabadilisha moyo wako ukiupa sikio kwa Mara kwa mara pia unaweza kusbaza link hii KUWA okoa weng fanya kadili uwezavyo

    • @amansamson-if6qc
      @amansamson-if6qc 6 หลายเดือนก่อน

      Wacha nifanye hivyo baba...., niisogeze injili hata kwa kusambaza link TU, Mungu akubariki sana.

    • @MarcoErnesto-ut7ki
      @MarcoErnesto-ut7ki 4 หลายเดือนก่อน

      amina kubwa sana m2mish wa bwana mala nyingi nimekuwa nikijilecod nyimbo zako nakuimba kwasababu napenda sana huduma yako piah nataman niimbe kama wewe barikiwa sana shujaa wa iman hakika binafs nakukubali sana paschal mungu wa mbinguni azid kukupa nguvu na ushind siku zote

  • @musamalaba6401
    @musamalaba6401 6 หลายเดือนก่อน +3

    Wimbo wa injili mzuri sanaa, nyimbo za hivi zimekuwa chache sana,
    Mungu akubariki sanaa mtumishi wa Mungu Paschal.

  • @amansamson-if6qc
    @amansamson-if6qc 6 หลายเดือนก่อน +3

    Shalom, Mungu wa mbinguni na azidi kukutunza sana mtumishi wake...... Hakika yadunia hayashibishi baba.... Asante sana Kwa ujumbe rafiki yangu.

  • @childofgod3216
    @childofgod3216 6 หลายเดือนก่อน +7

    Wimbo unaanza tu nimeshabarikiwa my God Mungu akubariki kaka yangu

    • @SuzyMuhando-yf8do
      @SuzyMuhando-yf8do 6 หลายเดือนก่อน

      Kabisa wimbo una bariki sana

    • @childofgod3216
      @childofgod3216 6 หลายเดือนก่อน

      Tumpe Yesu utukufu wote

    • @DennisMangula
      @DennisMangula 4 หลายเดือนก่อน

      Kabisa kweli Mungu anatenda

  • @sundimalekwa8391
    @sundimalekwa8391 6 หลายเดือนก่อน +1

    Niliusubr jmn daaah bad tumezoea

  • @tukuyufm
    @tukuyufm 6 หลายเดือนก่อน +1

    paschal ni mwimbaji kweli kweli haki ya mungu ukikosa nyimbo yake moja kwenye simu yako. Ni hakika hupendi nyimbo za injili zenye ujumbe ulionyooka

  • @NapegwaBenjamin
    @NapegwaBenjamin 6 หลายเดือนก่อน +2

    Ubarikiwe sana Mtumishi Kwa Ujumbe mkubwa katika kizazi hichi 🙏

  • @jovettedenise2591
    @jovettedenise2591 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu anisayidiye niyashibe ya ulimwengu Mungu akubariki.

  • @bhavinjani4415
    @bhavinjani4415 3 หลายเดือนก่อน

    Wimbo mzuri unaujumbe sana ubarikiwe mtumishi was Mungu

  • @PHEOBEMUSIMBI
    @PHEOBEMUSIMBI 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Amen Baba Jimmy nice song 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @zawadidaniel3005
    @zawadidaniel3005 7 วันที่ผ่านมา

    So talented and annointed all the best in his carrier

  • @MarcoErnesto-ut7ki
    @MarcoErnesto-ut7ki 6 หลายเดือนก่อน +1

    hakika nyimbo hii iko saf hujawai feli kamanda shujaa wa iman mungu akutie nguvu sanaaaaa tena sanaaaa nakukubali sana paschal 👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻

  • @MchPeter
    @MchPeter 7 วันที่ผ่านมา

    Wabalikiwe wazazi waliokuzaa nitakuombea nitaiombea familia yako usiogope usiogope Mungu yupamoja nawe

  • @bensonkamesh3204
    @bensonkamesh3204 6 หลายเดือนก่อน

    Amen mungu akubariki na hakuzidishie kuambia watu ukweli 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @josephtimoth8533
    @josephtimoth8533 6 หลายเดือนก่อน

    Tuko pamoja san mtumishu mungu azd kukulinda

  • @CecileNgendapasi
    @CecileNgendapasi 6 หลายเดือนก่อน

    Namna navyo kupenda mtumishi wa bwana yesu christo

  • @JanethKeiser
    @JanethKeiser 28 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu.

  • @Tasiabeljohakim-fb2rp
    @Tasiabeljohakim-fb2rp 4 หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwa mwakipesile kale nilitembea

  • @KundaelGeorge-tv8mz
    @KundaelGeorge-tv8mz 2 หลายเดือนก่อน

    Hivi watu hawaogopi kufungwa jamani. Je kweli wanauhakika kwa haya. Mama mwenyewe kanyamaza, tunajua ana maana sana kwenye hili hivyo ni vema kukaa kimya

  • @ElishaKhamsini
    @ElishaKhamsini หลายเดือนก่อน

    Asante mungu endelea kumutumia mtumishi wako atupe matunda ya kiloho

  • @WolfugangiNgongi
    @WolfugangiNgongi 6 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe na MUNGU AZIDI KUKUTUMIA

  • @martinnsuhuje7821
    @martinnsuhuje7821 6 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa ujumbe mzuri,unatukumbusha uwepo wa Mungu. " Huwezi kushiba ya ulimwengu"😢😢😢😢

  • @Pendopasilika
    @Pendopasilika 6 หลายเดือนก่อน

    Wanailipia jehanamu wameghalamia dhambi duniani wakisubiri matunda ya jehanamu barikiwa mtumishi wa BWANA MUNGU akuinue zaidi

  • @JacoboBonifas
    @JacoboBonifas 6 หลายเดือนก่อน

    Yani mtumishi MUNGU nakuombea azidi kuku epusha na wabaya

  • @MosesLubely
    @MosesLubely 6 หลายเดือนก่อน

    Yanini kusumbukia yaulimwengu😊

  • @katherinasamwel3937
    @katherinasamwel3937 6 หลายเดือนก่อน

    Amen barikiwa mtumishi

  • @ramosmicrocredit-ez5si
    @ramosmicrocredit-ez5si 6 หลายเดือนก่อน

    Nabarikiwa san mtumishi

  • @Mwasame_Official1
    @Mwasame_Official1 6 หลายเดือนก่อน

    Ongeza Saudi mtumishi 😅

  • @Rashid-vm1fk
    @Rashid-vm1fk 6 หลายเดือนก่อน

    Amina Mtumishi wa Bwana ubarikiwe

  • @christinasebastian9546
    @christinasebastian9546 6 หลายเดือนก่อน

    amen amen mtumishi wa Mungu barikiwa sana na Mungu azid kukuinua Kwa viwango vya juu🙏🙏

  • @CharlotteMuyenga
    @CharlotteMuyenga หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe baba 🙏🏻🙏🏻🙏🏻😭🕊️

  • @josegambi7149
    @josegambi7149 หลายเดือนก่อน

    Mungu azidi kukuinua

  • @davidmazengo626
    @davidmazengo626 6 หลายเดือนก่อน

    Wimbo unanikumbusha ibadaaa ubarikiwe sanaaa mtumishiii ❤❤❤❤❤❤

  • @Franckmulaj-Officiel
    @Franckmulaj-Officiel 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu asifiwe

  • @SamweliKayanda
    @SamweliKayanda 6 หลายเดือนก่อน

    Nyimbo nzur MUNGU Akubariki ndugu

  • @IsayaMyovela
    @IsayaMyovela 6 หลายเดือนก่อน

    Kaka kwakweli mungu kakupa kipaji Cha uimbaji kwa kweli mungu azidi kukubaliki

  • @SamweliMwita-ul2kh
    @SamweliMwita-ul2kh 6 หลายเดือนก่อน

    Amina mtumishi

  • @martinahlighare6495
    @martinahlighare6495 6 หลายเดือนก่อน

    Heri kutumia pesa kuutafuta ufalme wa mbinguni. Vya ulimwengu vitabakia papa hapa.

  • @amoskimena
    @amoskimena 6 หลายเดือนก่อน

    YESU atukuzwe kwa kazi njema mwana wa MUNGU

  • @azizafrancine301
    @azizafrancine301 6 หลายเดือนก่อน

    Amena dunia nimatata

  • @charlesjacksontz267
    @charlesjacksontz267 6 หลายเดือนก่อน

    Kazi kubwa kamanda wangu ubarikiwe sana

  • @annijulius4953
    @annijulius4953 6 หลายเดือนก่อน

    Amen Asante kwa kutuletea nyimbo za zamani tusizisahau kabisa.

  • @kharidkinono2490
    @kharidkinono2490 6 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sanaaaaaaa Mtumishi wa Baba Kwa ujumbe mzuri

  • @Isaya-Anosisye
    @Isaya-Anosisye 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubarik sana

  • @VIOLETNANDERA-mt8ce
    @VIOLETNANDERA-mt8ce 6 หลายเดือนก่อน

    MUNGU abariki huduma yako

  • @malimadtv
    @malimadtv 6 หลายเดือนก่อน

    UBALIKIWE SANA MKUU SEMA SIJUI KWANINI UMEIPOTEZEA ALBAM YA KIAPO CHA DAMU MI NAAMINI SHETANI HAWEZI KUWA NA NGUVU KWAKO ⛪📖ACHIA FIMBO HIYO IWATANDIKE

  • @Jamessefania-n5z
    @Jamessefania-n5z 6 หลายเดือนก่อน

    Nyimbo nzuli sana hii ila mtumishi kiapo cha dam tunaisubili sana

  • @Mwasame_Official1
    @Mwasame_Official1 6 หลายเดือนก่อน

    Umenikumbusha tukiimba kwaya mtumishi wa mungu umekaribia sana 😊

  • @STEVENM.G
    @STEVENM.G 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki Sana mtumishi wa Mungu pascal cassian 🇿🇦

  • @mmongaemanga6959
    @mmongaemanga6959 6 หลายเดือนก่อน

    Jumbe zako ndio hunikosha

  • @EstraEmily
    @EstraEmily 5 หลายเดือนก่อน

    Amina ubarikiwe sana 🙏

  • @eliasmyamba4767
    @eliasmyamba4767 6 หลายเดือนก่อน

    Nyimbo inafutisha na inailimisha balikiwa mtumish🙏🙏🙏

  • @hoseamwambambale3503
    @hoseamwambambale3503 6 หลายเดือนก่อน

    Asante mtumishi ujumbe umefika kazi kwetu kuchangua kuutendeea au kuupuzia kazi kwetu

  • @adamjulius9782
    @adamjulius9782 6 หลายเดือนก่อน

    Kiapo cha damu naisubili kwa hamu sana,

  • @zuberally9351
    @zuberally9351 6 หลายเดือนก่อน

    Hakuna ajue kesho, acha kesho ijisumbukie yenyewe

  • @jimmyngata
    @jimmyngata 6 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa mtumishi ...

  • @childofgoddorsila5338
    @childofgoddorsila5338 6 หลายเดือนก่อน

    Amen, ukweli kabisa barikiwa Sana

  • @irenemuia2718
    @irenemuia2718 6 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏

  • @annsophyombasa3019
    @annsophyombasa3019 6 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @AsiaMussa-y8b
    @AsiaMussa-y8b 6 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @Kelvinchristopher072
    @Kelvinchristopher072 6 หลายเดือนก่อน

    Izi ndo nyimbo za injili, so mbona kama naota

  • @Mswahili_
    @Mswahili_ 6 หลายเดือนก่อน

    Mkuu mbona hujampa credit mwenye wimbo??
    Au amekuuziaa copyrights??
    Back in Early 2000s Neema Ibrahim sang this song

  • @IssaygeradGerad
    @IssaygeradGerad หลายเดือนก่อน

    AMINA

  • @AnnaMsigwa-b9h
    @AnnaMsigwa-b9h หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤

  • @sarifusteven4634
    @sarifusteven4634 5 หลายเดือนก่อน

  • @Modekaidaudioriginalsaund
    @Modekaidaudioriginalsaund 6 หลายเดือนก่อน

    Good san

  • @amanjoshua5317
    @amanjoshua5317 6 หลายเดือนก่อน

    Ameeen

  • @SameerKassam
    @SameerKassam 6 หลายเดือนก่อน

    ❤❤

  • @juniorkakudji5970
    @juniorkakudji5970 6 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @labanijapheti3045
    @labanijapheti3045 6 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @LusajoMwakipasile
    @LusajoMwakipasile 6 หลายเดือนก่อน

    Amen