ALIYEKUWA AKILETA NYOKA WA KICHAWI KANISANI AKAMATWA NA HIRIZI NYEKUNDU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024
  • ALIYEKUWA AKILETA NYOKA WA KICHAWI KANISANI AKAMATWA NA HIRIZI NYEKUNDU
    #peace #scripture #biblestudy #photooftheday #instagood #music #o #praise #travelphotography #kirche #igreja #life #nature #italy #chiesa #inspiration #churches #history #sunday #iglesia #picoftheday #bhfyp #family #instagram #jesuslovesyou #cathedral #photo #community #landscape #jesussaves

ความคิดเห็น • 235

  • @JohnLukumay-wb2db
    @JohnLukumay-wb2db 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu akulinde nakupenda bure baba

  • @ngenabuloze9984
    @ngenabuloze9984 2 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @UmaziMuweye-sq1jw
    @UmaziMuweye-sq1jw 5 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen Amen

  • @ManVoice-tk4dx
    @ManVoice-tk4dx 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nakupenda sana mtumishi wa mungu ninazawadi yako

  • @LuciaMwijarubhi
    @LuciaMwijarubhi 4 หลายเดือนก่อน

    Baba kazi yako ni njema na mwenyezi mungu aendelee kukutumia kutusaidia,baba imi naomba uniombee na familia yangu hatuna amani wala fulaha tumekuwa ni watu wakutengeneza maneno ya kutuumiza wenyewe na tunashindwa hata kusaidia,baba naomba uniombee pia mahusiano haya niliyonayo.

  • @francismalisho5862
    @francismalisho5862 3 หลายเดือนก่อน

    Nabii kwanza napongeza kazi yako naona mungu akikutumia vizuri,
    Mimi kwa majina naitwa Francis John Naomba unisaidie kwa maombi kwani mambo yangu kiuchumi umeyumba sana kila ninapo Pata kazi sidumu katika kazi nikifanya biashara zinakufa tu, kazi hazipatikani mke wangu anaumwa sana na meno, mwanangu mkubwa ameshahangaika sana kutafuta kazi hapa
    TAFADHALI sana nabii nisaidie katika swala Zima la kiuchumi nirudi kama mwanzo ubarikiwe sana baba

  • @priscashiyo9392
    @priscashiyo9392 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mbwana Yesu asifiwe mchungaji naomba umwombee mjukuu wangu haongeei vizuri. Sasa hivi anamiaka 7 naomba msaada wako Niko Arusha

  • @Yasinta-cb6bt
    @Yasinta-cb6bt 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akutie nguvu m2mishi niombe na matatizo na watoto wangu naomba mungu awatulize maana wanahangaika Sanaa naitwa yasinta p kimario

  • @RechoSanka
    @RechoSanka 5 หลายเดือนก่อน

    Amen amen 🙏🙏🙏

  • @JacksonMuhandiki
    @JacksonMuhandiki 4 หลายเดือนก่อน

    Kazi zako baba ninzuri sana naomba unganishe familia yetu na vile vile mm nawaombea sana familia yangu matokeo yake naitwa mchawi baba niombee kama nimchawi bila kujua sipendi uchawi wachiwi wabaya nami kama mchiwi nife

  • @shukurusimba9866
    @shukurusimba9866 4 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi wa mungu naomba kuniombea

  • @Feisalmatandula
    @Feisalmatandula 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nice🎉🎉🎉

  • @PiusMaira
    @PiusMaira 4 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu yupi ,tamka kwa jina la Yesu kristo mkombozi wa ulimwengu.

  • @catherinemaua5115
    @catherinemaua5115 3 หลายเดือนก่อน

    Akufe katika jina la yesu

  • @TinaModest-hh2pf
    @TinaModest-hh2pf 9 หลายเดือนก่อน

    Njoo Arusha mtumishi watu wapone....Umeitwa na Mungu kufanya kazi hii...wanaokupinga ndio wachawi namba moja...walipue

  • @MagrobiUrasa
    @MagrobiUrasa 4 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @Patricksabore
    @Patricksabore 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuongeze zaidi

  • @katabaronsheka2665
    @katabaronsheka2665 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi Nzuli Baba

  • @RobertMilamba
    @RobertMilamba 5 หลายเดือนก่อน

    Nabii mungu azidi kukulinda zaidi kwa kazi ya mungu unayoitenda wengi wanafunguliwa wengi wanaponyeka nami nitende Nabii mambo yangu yafunguke Kila kilichofungwa kifunguliwe kiuchumi kiafya ni Mimi Robert Mathias milamba nipo Temeke Mbande

    • @FrankMushi-cs5js
      @FrankMushi-cs5js 5 หลายเดือนก่อน

      Wewe acha upumbavu amna kitu hapoo

  • @VailetiMushi
    @VailetiMushi 4 หลายเดือนก่อน

    Amina Baba yetu

  • @furahakiza1782
    @furahakiza1782 4 หลายเดือนก่อน

    Amina sana

  • @magebenedict823
    @magebenedict823 3 หลายเดือนก่อน

    Amen baba

  • @fapypano9684
    @fapypano9684 4 หลายเดือนก่อน

    Baba mungu akuzidishie nguvu zaid.tuombee nas tuijue kweli yake.

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mimi sitaki kujua kama ni mganga au mchungaji ila ninachotaka wachawi wote wafe.

  • @JacksonMuhandiki
    @JacksonMuhandiki 4 หลายเดือนก่อน

    Baba kwa jina la Yesu anayekutumia nami naomba unisaidie kaka yangu anaumwa Mungu na alishakatwa mguu mmoja na Sasa wapili anatakiwa kukatwa nisaidie vilevile Mtoto wangu simuelewi ameisha udhurua hapo kwako naomba unisaidie baba

  • @SophiaMichael-k4u
    @SophiaMichael-k4u 3 หลายเดือนก่อน

    Baba.mungu naakubari naomb muombe bitiyangu hasiki..masikio

  • @FarajaMapunda
    @FarajaMapunda 3 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi naomba unisaidie binti yangu wa kidato cha pili kusumbuliwa na kifua mara tu anaporejea shuleni.pia naomba umponye na mama yangu mzazi anayesumbuliwa na kuishiwa damu mara kwa mara, amina.

  • @edwineMbuya-nd9gb
    @edwineMbuya-nd9gb 4 หลายเดือนก่อน

    Nabii niombee Kazi zamikono yangu wabaya wangu wapigwee kwa jina la Yesu Kristor

  • @JoanesFredinand
    @JoanesFredinand 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kwo unakubali mchawi akutese mbona mnamtukana mtumishi WA mungu ? Ujue maandiko ya biblia yanasema usiache mwanamke mchawi kuish Baba mungu akulinde miujiza yesu aliye kuwa akizisema asante❤❤❤❤❤❤

  • @MonicaMohina
    @MonicaMohina 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubaliki sana mchungaji

  • @LilianMwenda-t7k
    @LilianMwenda-t7k 6 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa baba naomba unikomboe mm nafamilia yangu baba tunateswa sana nawachawi

  • @WinfridaJoseph-c8u
    @WinfridaJoseph-c8u 2 หลายเดือนก่อน

    Jaman uyonae hatar kutuma nyoka akiamungu

  • @MagrobiUrasa
    @MagrobiUrasa 4 หลายเดือนก่อน

    Aminaa

  • @catherinemushi6360
    @catherinemushi6360 5 หลายเดือนก่อน

    Tabiri juu yangu baba naomba nisaidie napata shida kwenye maisha yangu

  • @PeterLaiza-zu3iz
    @PeterLaiza-zu3iz 4 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi bwana yesu asifiwe naomba uniombe. mim nafamily yang namme wang pya naomba uniombe nijifungue salam

  • @UpendoChurch-u6c
    @UpendoChurch-u6c 3 หลายเดือนก่อน

    Marine water

  • @MwasitiHegga
    @MwasitiHegga 7 หลายเดือนก่อน

    Amin

  • @magekimei4676
    @magekimei4676 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu ni mwema Nabii naomba ntabirie mim Magreth John

  • @ellykawa4755
    @ellykawa4755 5 หลายเดือนก่อน

    Nabii kiboko wa wachawi mwombee kaka yangu Onisaeli Jackson yko kalazwa Muhimbili hali yake sio nzuri kabisa vipimo vinaonyesha ana homa ya ini amepoteza kumbukumbu kabisa kwa uwezo wa Mungu kupitia wewe najua utapona

  • @zakariamwamburi-7940
    @zakariamwamburi-7940 4 หลายเดือนก่อน

    Nakuamini paster watching from kenya

  • @happymwangoka6203
    @happymwangoka6203 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu wanabii was uchawi kila uchawi utakao inuka juu yangu uteketee Kwa moto Kwa jina la YESU

  • @martinbarabara4370
    @martinbarabara4370 5 หลายเดือนก่อน

    nabii kiboko ya wachawi niombee mimi na ukoo wangu maisha ya furaha na amani naandaa kikao mwezi wa sita 2024

  • @RoseGabriel-l6v
    @RoseGabriel-l6v 2 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu asifiwe mtumishi baba napitia majaribu makubwa sana sina kaz kila mwanaume ninae ishi naye ananiacha mimba sibebi baba najuwa wewe ndie msaada pekee kwenye maisha yang

  • @ellykawa4755
    @ellykawa4755 5 หลายเดือนก่อน +3

    Kama mtu huna imani na nabii kaa kimya wacha ss tunaemwamini tupate uponyaji kwa jina la Yesu na kwa damu ya Yesu wachawi wafeee kabisaaaaaa

  • @MbarakaHussein-hm3oi
    @MbarakaHussein-hm3oi 4 หลายเดือนก่อน

    nabiiii kazi yako nimeiyona mungu akubaliki sana tena sana

  • @IreneWilly-gk3gd
    @IreneWilly-gk3gd 6 หลายเดือนก่อน

    Naomba niokoe mtumishi wa Mungu

  • @ElizaMolle
    @ElizaMolle 5 หลายเดือนก่อน

    baba nabii mungu akulinde wanawo pigana nawewe mungu apigane nawo uwawachawi

    • @FrankMushi-cs5js
      @FrankMushi-cs5js 5 หลายเดือนก่อน

      Wewee acha upumbavu amna mchungaji hapo nimaigizo tuuu

  • @sarahMbilinyi-e8q
    @sarahMbilinyi-e8q 3 หลายเดือนก่อน

    Mm nashanga watu kila mtushi mushawi kwahio mnataka twende kwawanganga hatuachi kamwe

  • @NaaminEmanuel
    @NaaminEmanuel 3 หลายเดือนก่อน

    Kuja kwetu kilimanjaro jamani wilaya same kata hedaru;;! Mungu akupe kibali mtumishi

  • @DoanaJoseph-yv6bx
    @DoanaJoseph-yv6bx 5 หลายเดือนก่อน

    Naomba baba niisaidie nipate kupona Afya yangu na familiya yangu ipokeee kazi ndoa na nilipwe pesa zangu walizonizurumu

  • @luendosabah2047
    @luendosabah2047 5 หลายเดือนก่อน

    Mchawi anaye loga family yangu afe sasa hivi kwa jina la Yesu.

  • @MerryKmwaitolage
    @MerryKmwaitolage 2 หลายเดือนก่อน

    Funga mdomo kama uamini acha si tuamini wengin wamekufa so kwa mapenzi ya Mungu ko Mungu anamtumia mtumishi mungu akuponye

  • @fapypano9684
    @fapypano9684 4 หลายเดือนก่อน

    Naomba yeyote anaetesa familia yangu asiione Kesho

  • @Gracenassary-zv4qc
    @Gracenassary-zv4qc 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wachawi wanatutesa,babaa tusaidie watoto wangu awajapata ndoa,wakike na wa kiume

  • @SiteraMushani
    @SiteraMushani 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu nawomba uniponye mauvimbe kwenye kizazi

  • @AnnaLyatuu
    @AnnaLyatuu 3 หลายเดือนก่อน

    Jamani hawa watumishi wa Bwana hawajajiita wenyewe wametumwa na mungo acheni kuwakashifu kikubwa ni IMANI

  • @EdinaKagoma
    @EdinaKagoma 4 หลายเดือนก่อน

    Baba mume wangu amepata ajari ya kutatanisha nisaidie

    • @MOlo-po5qc
      @MOlo-po5qc 3 หลายเดือนก่อน

      Wakomeshe kabisa

  • @BerryTarimo
    @BerryTarimo 6 หลายเดือนก่อน

    Niombee baba naomba uniombee nifunguliwe Mimi na familia yangu pia naomba umuombee mama yangu apone maradhi yanayomsumbua Mimi berry Tarimo

  • @AsiaMsemo-ox1tg
    @AsiaMsemo-ox1tg 3 หลายเดือนก่อน

    Kama kuna mtu anayemroga mtoto wanga aungue kwa jina la yesu amen

  • @MarthaRobert-lj4de
    @MarthaRobert-lj4de 6 หลายเดือนก่อน

    Mmeshindaje uko

  • @MarryMussa-q5z
    @MarryMussa-q5z 6 หลายเดือนก่อน

    Achakumtukana mtumishi was mungu

  • @UpendoChurch-u6c
    @UpendoChurch-u6c 3 หลายเดือนก่อน

    Dying beared

  • @HawaMtayogola
    @HawaMtayogola 8 หลายเดือนก่อน

    Akufe leo kwa jina la yesu

  • @priscashiyo9392
    @priscashiyo9392 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba msaada kwa watoto wangu mchungaji

  • @shukurusimba9866
    @shukurusimba9866 4 หลายเดือนก่อน

    Nami nipo marekani naomba maombezi yako🙏🏿

  • @Hapygideon
    @Hapygideon 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mnaontukana mtumishi ipo siku mtamtafuta aawasaidie

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 9 หลายเดือนก่อน

    Lifeee tuu! Tuanateseka sana.

  • @FurahiniPeter
    @FurahiniPeter 8 หลายเดือนก่อน

    Ameni

  • @DanielDamianDanielDaniel
    @DanielDamianDanielDaniel 5 หลายเดือนก่อน

    Naitwa Daniel Damian. Naomba maombi yako Mtumishi. Mpango yangu haifanikiwi kila nikipanga

  • @aminarama711
    @aminarama711 9 หลายเดือนก่อน +2

    Njoo Kenya please sisi tunahitaji msada wako

  • @FaudhiaAthuman
    @FaudhiaAthuman 5 หลายเดือนก่อน

    Nisaidie baba ali yangu inabadika kila siku na sio maisha yangu aya

  • @AsteriaJoseph
    @AsteriaJoseph 3 หลายเดือนก่อน

    Uje na shinyang mtumish

  • @esthershaban1732
    @esthershaban1732 4 หลายเดือนก่อน

    Baba mimi nipo zanzibar nataka unionbee pamoja na familia yangu ganzi imetAwala kwenye nyumba yangu

  • @ManVoice-tk4dx
    @ManVoice-tk4dx 6 หลายเดือนก่อน

    Naitwa kadoda Mohamed niombee mtumishi wangu

  • @EdinaKagoma
    @EdinaKagoma 4 หลายเดือนก่อน

    Baba mume wangu amepata ajari kwa njia yakutatanisha amefariki nisaidie

  • @GraceKaguo
    @GraceKaguo 6 หลายเดือนก่อน +2

    Naomba yoyote aliyechafua Familia zetu aadhibiwe

  • @AnethSamwel-zw9mu
    @AnethSamwel-zw9mu 5 หลายเดือนก่อน

    Naomba uniombee😅 niweze kupata kazi na uniombee mungu anifungulie ni pate mume niolewe

  • @JuscardTraore-qh8bn
    @JuscardTraore-qh8bn 3 หลายเดือนก่อน

    kazi njema baba wachawi wana tesa watu sana niombeye n'a mimi baba ni Daniel from Congo Drc

  • @AshulaKalama
    @AshulaKalama 5 หลายเดือนก่อน

    Baba naomba unisaidie naumwa baba,naitwa Ashula moshi

  • @UpendoChurch-u6c
    @UpendoChurch-u6c 3 หลายเดือนก่อน

    Hii Ni mchezo

  • @Tadei-uk2hu
    @Tadei-uk2hu 5 หลายเดือนก่อน

    Tuna kupata vizur

  • @shukurusimba9866
    @shukurusimba9866 4 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi wa naomba kuniombea ninashinda

  • @NaomiSabuni-d9j
    @NaomiSabuni-d9j 4 หลายเดือนก่อน

    Nikweli hata na mimi weme mukibiza mama yangu😢😢😢

  • @LidiaDominic
    @LidiaDominic 5 หลายเดือนก่อน

    Naomba baba msaada wako uniokoe Mimi mwanao ninapitia shida kubwa ya kes

  • @PriscaFabianmgaya
    @PriscaFabianmgaya 5 หลายเดือนก่อน

    Msaada wa namba

  • @magrethmrutu7298
    @magrethmrutu7298 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nabii tunakuomba sana kipindi cha redio na sisi wa Moshi tupate

  • @SuzanaOlonde
    @SuzanaOlonde 8 หลายเดือนก่อน

    Wachawi wabaya sana wafe

  • @CellinDion-ic9kn
    @CellinDion-ic9kn 4 หลายเดือนก่อน

    Ata bibilia imeandikwa usimuache mchawi aishi

  • @RachelJoseph-cb6vb
    @RachelJoseph-cb6vb 4 หลายเดือนก่อน

    Ubarinkiwe saaana BABA

  • @GraceKaguo
    @GraceKaguo 6 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi naomba komboa familiar yangu na
    Baba yangu

  • @TtKk-hc3ks
    @TtKk-hc3ks 4 หลายเดือนก่อน

    Baba nisaidiya mm na nyumba yangu mm Niko Saudi naninatesaka sana baba ni saidiya na maombi

  • @VailetiMushi
    @VailetiMushi 4 หลายเดือนก่อน

    Tunapokea

  • @PachaPanga
    @PachaPanga 4 หลายเดือนก่อน

    Wafeeeee wanaotutesaaaa

  • @KasukuAlex-ex9bk
    @KasukuAlex-ex9bk 9 หลายเดือนก่อน

    Akate Moto baba wanatutesa ss

  • @EstherPatrick-ec4nm
    @EstherPatrick-ec4nm 3 หลายเดือนก่อน

    Njoo Moro baba

  • @JacklineSikuyakwenda
    @JacklineSikuyakwenda 3 หลายเดือนก่อน

    Uishi milele baba

  • @GroryJumaa
    @GroryJumaa 5 หลายเดือนก่อน

    Naomba niombee familia yangu ipone kwani tumekua tunaota misiba tu

  • @BehathaThadeo
    @BehathaThadeo 4 หลายเดือนก่อน

    Pointi

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 6 หลายเดือนก่อน

    Mchawi asiishi akafie kwao baba

  • @TinaModest-hh2pf
    @TinaModest-hh2pf 9 หลายเดือนก่อน

    Imeandikwa wasiachwe waishi.afie mbaliii