KISUGU AFOKA "ENG HERSI AMETHIBITISHA HAJI MANARA HATAKIWI YANGA" CHANZO NI ALLY KAMWE/WAMEMVUA NGUO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 36

  • @chandeyusufu9570
    @chandeyusufu9570 2 หลายเดือนก่อน +5

    Nakukubali kisugu leo umeongea kitu cha maana haji hawamtaki kweli akufukuzae akwambii toka unaona mambo yanabadilika

  • @BahatiBashiri-y1s
    @BahatiBashiri-y1s หลายเดือนก่อน

    Sijaipenda raisi mrudishe manara

  • @BahatiBashiri-y1s
    @BahatiBashiri-y1s หลายเดือนก่อน

    Jamani ebu muacheni aji manara

  • @LidyaMakali
    @LidyaMakali หลายเดือนก่อน

    Jamani tuachieni haji wetu tumemzoea sanaah 😢

  • @waziribori2280
    @waziribori2280 2 หลายเดือนก่อน +1

    HAJI RADHI YA USALITI KWA SIMBA INAMTAFUNA

  • @SalumAli-j6y
    @SalumAli-j6y 2 หลายเดือนก่อน

    Kisugu.sikuzote.nakupenda.kwakuongea.ukweli.leo.umemaliza.uyo.Haji.atakiwi.anataka.ajielewe.asi.bembeleza.Yanga

  • @Mapesa-j8b
    @Mapesa-j8b 25 วันที่ผ่านมา

    Manara ataangikasan

  • @salumomar-ph8ht
    @salumomar-ph8ht 2 หลายเดือนก่อน

    Ww mchambuzi msenge pamoja na kisugu

  • @neemaraphael8732
    @neemaraphael8732 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli umesema hatakiwi huyo

  • @twalibuchaye7687
    @twalibuchaye7687 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asitaafu tu mpira make anaenda kudharirika huyo Haji huko mbeleni

  • @JJ-fb9jp
    @JJ-fb9jp 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenyewe simtaki mi mwananchi

  • @JJ-fb9jp
    @JJ-fb9jp 2 หลายเดือนก่อน +1

    Umenifurahisha kwenye Biblia kiukweli

  • @RojaAbdul
    @RojaAbdul 2 หลายเดือนก่อน

    Mi nikikuona tu najuwa nasikiliza madini kaka kisugu una bayaaaa

  • @saidalhinai1131
    @saidalhinai1131 2 หลายเดือนก่อน

    Iyo kufungiwa manara miaka 2 sio Tff ni yanga wenyewe maana hawamtaki nani alifungiwa muda mrefu kushinda manara

  • @LwessoKisekaJuma-wb1zu
    @LwessoKisekaJuma-wb1zu 2 หลายเดือนก่อน

    Ubaya wa wachambuzi mnashindwa kuuliza mambo ya msingi mnaleta unafijki,ila siezi nikawalaumu nalaumu elimu mlionayo

  • @nassirali7499
    @nassirali7499 2 หลายเดือนก่อน

    Inaonrkana ww ni msomi mzuri lkn hujatumia ipasavyo elimu yako ya dini.

  • @MuhyiddiniSaid
    @MuhyiddiniSaid 2 หลายเดือนก่อน

    Leo kisugu umeongea uhalisia kila mtu ana zama zake,ni vyema tu Haji asalimu amri

  • @kizitomkude
    @kizitomkude 2 หลายเดือนก่อน

    ally kamwe nafasi ile in mfiti zaidi, kuliko haji

    • @ericlowasa3097
      @ericlowasa3097 หลายเดือนก่อน

      Hakuna msemaji yoyote nchi hii anaeweza kumfikia haji manara hasa kwenye inspiration hayupo na hatokaa atokee .....

  • @JILBERTDaniford
    @JILBERTDaniford 2 หลายเดือนก่อน

    ACHA AVUNE UNAFIKI WAKE.
    ALITUDHALAU SISI SIMBA
    SIJUI NI MGENI WA NAN

  • @salimobeid1470
    @salimobeid1470 2 หลายเดือนก่อน

    Eng hersi naendelea kutoa mawazo kwa club ya yanga tafakarani sana na mabadiliko ya tasisi hii ya yanga msichukulie poa hii kadhia ya hajji manara lazima muangalie ukubwa wa tasisi na malengo ya taasisi kwa sasa mie naona hili jambo linaenda kuleta mpasuko

  • @selemanisabihi5994
    @selemanisabihi5994 2 หลายเดือนก่อน

    Toka nikujue leo ndio ume ongea chamana😅😅

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 2 หลายเดือนก่อน

    Yaani mm huwa nashindwa kuelewa hivi huwa inakuwaje mwandishi unamhoji mshabiki wa Simba unamuuliza kuhusu Yanga?au mshabiki Yanga kumuuliza kuhusu Simba?na cha ajabu kila siku mashabiki wa Simba wanaizungumzia Yanga lakini wanayanga wapo bize na mambo yao.

  • @maryfides591
    @maryfides591 2 หลายเดือนก่อน

    Manara ni muhuni hata mimi simtaki

  • @LwessoKisekaJuma-wb1zu
    @LwessoKisekaJuma-wb1zu 2 หลายเดือนก่อน

    Tatizo unafatilia ya wenzako sijue ya kwako sangapi?!

  • @johnkimaro7350
    @johnkimaro7350 หลายเดือนก่อน

    Kisugu ww ni hatar yaan nakukubali sana tena kwenye kipind cha nongwa za msimu kinachoonyeshwa azam cku ya j2 yaan huwa unaongea point sana yaan unamsikiliza mtu vzr than unajuwa wp pa kumshika yaan hata wanayanga wawe 1,000;000 hawakuwez ww peke yako ukisoma coment yako nitumie namb yako nikutumie pesa ya bando

  • @SalimMchomvu-b1q
    @SalimMchomvu-b1q 2 หลายเดือนก่อน

    Kipengele mkiej mkebojd kipendd kiwanja magomeni

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona Simba wamefurahi?

  • @FilbertKalembe-fy4oq
    @FilbertKalembe-fy4oq 2 หลายเดือนก่อน

    Hivi nyie vichwa vyenu vimejaa mavi au nyie ndo mnaiongelea yanga kisugu kama ww siyo mwehu badi utakuwa chiz

  • @Mbavunene-7
    @Mbavunene-7 2 หลายเดือนก่อน

    😂

  • @BJMKANGALA1
    @BJMKANGALA1 หลายเดือนก่อน

    Mpuuzi wewe! Yanga ni ya yeyote!

  • @ElizabethLukosya-lv2vf
    @ElizabethLukosya-lv2vf 2 หลายเดือนก่อน

    Aende shambani akalime 🤣🤣 ubaya ubwela

  • @saidkikuji9958
    @saidkikuji9958 2 หลายเดือนก่อน

    Haji manara shida inayommeza anajipenda yy na kujipa ukubwa kuliko taasisi kitu ambacho kina fanya anajizika akiwa hai

  • @janiafaomaa5120
    @janiafaomaa5120 2 หลายเดือนก่อน

    KWAZA WEWE MSEMAJI WA POWER MEDIA NI MNAFIKI MKUBWA NAZANI HATA KWEYE FAMILIA YAKO UNAIFITINISHA WEWE UNAKUJA KUMULIZA KISUGU NINANI YEYE NI RAIS WA YANGA AU NI MFAYAKAZI WA TFF WEWE BRO UNAFANANA NA WANAWAKE

  • @BahatiBashiri-y1s
    @BahatiBashiri-y1s หลายเดือนก่อน

    Sijaipenda raisi mrudishe manara