Hii ndiyo sababu ya Nape, Byabato kutenguliwa? Rais Samia akitembeza fagio Wizara ya Mambo ya Nje

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.

ความคิดเห็น • 226

  • @cloudjulius-sf6nw
    @cloudjulius-sf6nw หลายเดือนก่อน +10

    Nathaniel mungu alikuwa anatuonyesha kinachofanyika

    • @SuperMukama
      @SuperMukama หลายเดือนก่อน +1

      Kweli

  • @OlivreKimario
    @OlivreKimario หลายเดือนก่อน +5

    Na bado,mungu atawapiga upofu mtasema siri zote

  • @AwardHakimu
    @AwardHakimu หลายเดือนก่อน +5

    Naona kama alikua amelewa ndio maana akatoa siri😂

  • @noonelike6382
    @noonelike6382 หลายเดือนก่อน +6

    Nadhani bado haitoshi,.. mali zake zote zingetaifishwa pia

  • @noelbryson7840
    @noelbryson7840 หลายเดือนก่อน +5

    Hili jitu halijawahi kuwa na akili hata siku moja ndiyo maana hata mzee Magu alilifukuza..

  • @ndinzeissa4778
    @ndinzeissa4778 หลายเดือนก่อน +4

    Mama.samia oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hapo mama unaonyesh ualusia wa cheo ulichonacho hapo umenifrahisha sana bado kuna wengine humo asante mama hapo asilimia miamoja tuko na wewe pamoja

  • @habibaramadhani-xv2ed
    @habibaramadhani-xv2ed หลายเดือนก่อน +5

    Usifanye Utani Ukiwa Kiongozi Watu wanasikiliza Maelekezo hata tabia zote wanaiga.

  • @mwajabuYusuph
    @mwajabuYusuph หลายเดือนก่อน +3

    😢😢😢😢 aiseee watu kama hawa kifikra ndio walipo ifikisha nchi yetu really is so sad my country 😢😢😢

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu หลายเดือนก่อน +7

    Huwezi Kutenda Dhuluma Makusudi Halafu Ati Unakimbilia Kutubu, Yaani Unambaka Na Kumnajisi Mtoto Makusudi Ukijiambia Nikimaliza Nitatubu... Huko Ni Kumkufuru Mungu Na Kumwona Hana Akili.

  • @jumashedafa
    @jumashedafa หลายเดือนก่อน +5

    Uyu jamaa alikuwa amekunywa kidogo si dhani kama alikuw yupo normal ila amesema kwel sema kafichua siri za kambi..Ktk kuongea kama hukupangwa rasmi ni kher usalimie ukae cz somet unakosa la kuongea ndio hay yanatokea na ndio maana ni vyema san kuandaa hotuba au main points zako za kutiririka nazo..Kazi hana bwana ila hii akajifunz kama mama bado yupo watarud..Amekisaliti chama kwa kuonesha CCM ni wezi na hawapiti kwa haki ndio maana miaka yote kipo madarakani...Ni wakat wa Mungu pia umefika si ujanja wake

  • @Gamba177
    @Gamba177 หลายเดือนก่อน +7

    Hii ndiyo iliyokuponza sasa kauze bangi Mtama.

  • @user-vc8cc2pt7n
    @user-vc8cc2pt7n หลายเดือนก่อน +4

    Magufuri alionaga mbali sana hata raisi Samia nae kajionea Hawa watu hawabebeki kbs

    • @annamwakibinga527
      @annamwakibinga527 หลายเดือนก่อน

      Kabisa huwezi kuongea hivo sasa ilikuwa nia ni nini kama siyo kuiharibu ccm? Magufuli aliwaona hawa

  • @AlexIbrahim-m2j
    @AlexIbrahim-m2j หลายเดือนก่อน +3

    Mungu hamfichi mnafiki,hata palipozobwa atazibua!

  • @user-ej2th7jc9k
    @user-ej2th7jc9k หลายเดือนก่อน +4

    Hao ndo watoto wa waasisi wa taifa. Taifa ni la kwao acha watambe. Kuwatengua si tatizo maana walitoa siri za CCM katika uchaguzi.

  • @user-ue2nz3vc4j
    @user-ue2nz3vc4j หลายเดือนก่อน +8

    Pombe sio chai 😂

  • @mwazanimnyamani8493
    @mwazanimnyamani8493 หลายเดือนก่อน +5

    Ulimi umeponza kichwa

  • @lilyjones3584
    @lilyjones3584 หลายเดือนก่อน +8

    Huenda Nape alishatonywa utenguzi unakuja, hivyo akawahi kwenda kuchafua kwa makusudi na kufichua dhuluma zinazofanywa na chama chake!!! Hebu tukae kwa kutulia tuone CCM watakavyochunana ngozi 😅

    • @abuumuhammad7133
      @abuumuhammad7133 หลายเดือนก่อน +1

      Chuki itawatesa sana mlikuwa hamuwataki sasa wametolewa mnasema hayo kweli sisi waswahili nishida

    • @lilyjones3584
      @lilyjones3584 หลายเดือนก่อน

      @@abuumuhammad7133 Chuki, unafiki na kulewa madaraka vinawatesa wao! Cheo ni dhamana! Aliyewateua kaamua kuwatengua shida ipo wapi?

    • @abuumuhammad7133
      @abuumuhammad7133 หลายเดือนก่อน

      @@lilyjones3584 waulize maana alivyowaweka wakalalamika amewatoa wanalalamika sasa sijui wanataka nini kwakweli

  • @ElibarikiMaussa
    @ElibarikiMaussa หลายเดือนก่อน +4

    Jamaa ametoa code

  • @willymwaipaja6783
    @willymwaipaja6783 หลายเดือนก่อน +2

    Alichokisema Nape ni uhalisia wa kinachofanyika, ila tatizo ni kusema hadharani. Unapokula na kipofu usiseme unavyomdhurumu yaani usimshike mkono, bali endelea tu kumdhurumu kimya kimya.

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 หลายเดือนก่อน +4

    Hiyo ndiyo pombe, huwa ikifika kichwani inasema ukweli.

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 หลายเดือนก่อน +4

    Mama mrudishe jerr slaa tunakuomba wananchi tunamwelewa mno mama mama mama tunakuomba

  • @user-eh2fi9ds5h
    @user-eh2fi9ds5h หลายเดือนก่อน +3

    Kwani kusema ukwel kosa ,kamauongo wangemuweka rokap kwanza atoree ushahid wake ,kwa vile ni kwer ,ndo maana rais kachukua hayo maamuz ,,,,,,,,,,,,,,unadhani kuna marefu yasiyo na ncha ,ccm itafikia tu mwisho

  • @user-ts7nc9ik2t
    @user-ts7nc9ik2t หลายเดือนก่อน +3

    😂😂Ana pepo yake mbinguni ukweli umuweka mtu huru😂😂

  • @saidhamza5318
    @saidhamza5318 หลายเดือนก่อน +2

    Kuchamba sana! Afu hivi nape na chalamila yupi mkubwa kuliko mwenzie?👀😳

  • @user-pl6cl6um4l
    @user-pl6cl6um4l หลายเดือนก่อน +2

    Jerry Kahamishwa amegusa Mali za wakubwa

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 หลายเดือนก่อน +4

    Nape alisema ukweli naona ili kuficha makucha kuelekea uchaguzi wamemuengua....
    Live long my country people😂
    Ila mwanangu Jerry slaa kaka ulimefanya Kazi nzuri sana kwenye ardhi umetenda haki Kwa kuomuogopa Mungu Stey blessed bro🎉

  • @MwanahamisNyenzi
    @MwanahamisNyenzi หลายเดือนก่อน +2

    Ukweli wako umekuponza umetoa Siri za Serikali

  • @anethmtei2912
    @anethmtei2912 หลายเดือนก่อน +2

    Nape kweli kilaza. Sijui hata uwaziri aliupataje.

  • @AbdulhaamidSoud
    @AbdulhaamidSoud หลายเดือนก่อน +1

    Naona mungu hakukusamehe chukuwa mauwa Yako ila sera ya chama ndio hiyo🎉🎉🎉

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mjinga anajisahau sana ina maana anamaanisha nini hebu mweke pembeni kwanza ajitafakar

  • @AngelousKanjika
    @AngelousKanjika หลายเดือนก่อน +2

    Tatizo lililopo kwa baadhi ya viongozi wetu wa Taifa letu, huwa wanalewa madaraka. Na kujiamini kupita kiasi😂😂

  • @leomika8473
    @leomika8473 หลายเดือนก่อน +2

    Kumbe ccm niwezi wa Kula siku zote ndomaana wameanza kujisema wenyewe adharani

  • @RajabuSikabwe-rp1lj
    @RajabuSikabwe-rp1lj หลายเดือนก่อน +2

    Kumbe ndo tabiya ya CCM Nilikuwa sijuwi

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 หลายเดือนก่อน +1

    Nape hua simkubal ila kwenye neno hili nisahihi kabisa ccm hua inashinda hata kwa jiwe lamko 😂😂😂😂ukweli mbaya sanaaa tatizo katoa siri yakambi

  • @user-rt7si4kc2i
    @user-rt7si4kc2i หลายเดือนก่อน +1

    Nape hajawahi kua na nia nzuri kwa nchi hata ck 1 labda huko jimboni mwake, ila mm binafsi namuonaga ropo ropo sana hata hana sifa ya kua kiongozi kbs basi tu tz sjui tunakwama wapi,

  • @emanuelsinyinza
    @emanuelsinyinza หลายเดือนก่อน +1

    😮mwamfamu mungu. Kumbukeni kilichotokea. Kwa magufuri.spika ndugai katibu mkuu wa ccm muhaya sasa hivi nape mungu snanguvu zake wote wabaya ombeni siku 90.matokeo mtayaon.hakuna wa milele.

  • @kambalakafuko7695
    @kambalakafuko7695 หลายเดือนก่อน +2

    Amechlewa sana kumtumbua,

  • @sabasjacob9038
    @sabasjacob9038 หลายเดือนก่อน +3

    Ata waziri wa fedha na yeye afai kabisa

    • @lilyjones3584
      @lilyjones3584 หลายเดือนก่อน

      @@sabasjacob9038 Mama kama yupo serious anataka mitano mingine, asafishe wanaomharibia. Comments nyingi watu wanalia na waziri wa fedha! Jamaa anasema hovyo utadhani yeye hajui shida!!! Watu wanataka viongozi wanaojali na kuweka maslahi ya wananchi kwanza. Mifano ipo, Kagame wa Rwanda, Traore wa Burkina Faso.

  • @isaackarwemera4076
    @isaackarwemera4076 หลายเดือนก่อน

    Kaongea ukweli nape.

  • @DerickNgowi-mf5pe
    @DerickNgowi-mf5pe หลายเดือนก่อน +2

    Ss rais anamtoa kwakusema ukweli au

  • @user-sj3wf5vz7l
    @user-sj3wf5vz7l หลายเดือนก่อน +3

    Sasa wewe unatoaje siri za chama wewe umekosea bwana

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 หลายเดือนก่อน

      It was meant to be ili watu wajipange

  • @NdebileMathias
    @NdebileMathias หลายเดือนก่อน +1

    One day yes haki itatokea 2

  • @allamanomakoga8190
    @allamanomakoga8190 หลายเดือนก่อน +2

    Walikuwa wameshampa Tanzania konyagi chezea Bukobaa wwe

  • @user-vc8cc2pt7n
    @user-vc8cc2pt7n หลายเดือนก่อน +1

    Huyu hata uanachama aliyakiwa avuliwe kbs

  • @user-ui5du6wj7n
    @user-ui5du6wj7n หลายเดือนก่อน +2

    Nilisema mlevii anasema kwelii sasa hongereni waliyo mpa kamnyweso aseme ukwelii sasa bado amjasema madudu tu

    • @user-ts9lp4rm9j
      @user-ts9lp4rm9j หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @isamony58
    @isamony58 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa kwa nn wananchi mnatusimamisha foleni kipindi cha kura wakati mnaibaaa😢😢😢

    • @siaammo1104
      @siaammo1104 หลายเดือนก่อน

      Tatizo katoa siri ya kambi.
      Asipotumbuliwa hawawezi kujitetea 😅

  • @user-rn6ft5yz2l
    @user-rn6ft5yz2l หลายเดือนก่อน +1

    Uongozi ni vazi la kuazima mama asante saana kwa kututolea hayo mabeberu ndo yoliyokuwa yanakuchafulia sifa bado mwigulu na bashe hawafai kwenye uongozi wako mama toa kabisa hayo mafisadi yanakuchukulia poa wakati wewe ndo kiongozi mama fumua ila mama jerry murudishe kwenye wizara ya ardhi heshima ilikuwaimerudi

  • @OgellohEvanceObunga
    @OgellohEvanceObunga หลายเดือนก่อน +1

    kuwa waziri ni cheo kubwa sana hivyo kiongozi anapashwa kujitathmini sana kabla ya kuongea kwa sababu kile unachosema inaweza kuleta madhara makubwa sana

  • @JeniferPiter-wo3ve
    @JeniferPiter-wo3ve หลายเดือนก่อน +2

    Kwanini Jerry slaa ametenguliwa kwenye wizara ambayo anaimudu?

    • @mwanaidimussa
      @mwanaidimussa หลายเดือนก่อน

      Yaaan 😢😢😢 nihasaraaa tu

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 หลายเดือนก่อน

      Lazima Kuna sababu

  • @JuliusMlengeswa
    @JuliusMlengeswa หลายเดือนก่อน +1

    Jibu swali hili
    Je matokeo ya kura katika uchaguzi wa viongozi walioshinda zaweza kuwa za aina gani katika nchi za Afrika?

  • @safiaothman5175
    @safiaothman5175 หลายเดือนก่อน +1

    MH.SLAA ANGEENDELEA NA WIZARA YA ARDHI ALIIWEZA SANA KWA KUTETEA WANYONGE.

  • @user-uu6pg2pi2p
    @user-uu6pg2pi2p หลายเดือนก่อน +2

    MUNGU anajibu

  • @drbalagomwatvonline4937
    @drbalagomwatvonline4937 หลายเดือนก่อน +1

    Kwakweli Kwa upande wa ardhi Slaa ndiye kiongozi pekee ameonesha utendaji kazi Kwa ueledi na kutetea haki za wanyonge wanaonyonywa na watu wenye pesa na wanaotumia madaraka yao kuwakandamiza watu wa hali ya chini kwahiyo mama yetu mrejeshe Jerry Slaa kwenye wizara ya ardhi watu wanazurumiwa ardhi zao Kwa kipindi kiufupi Jerry Slaa amerejesha amani, matumaini na faraja Kwa wanyonge waliokuwa wamedhulumiwa ardhi zao.

  • @starjay3052
    @starjay3052 หลายเดือนก่อน +1

    ata mahakamani wanaangalia kauli ya kwanza ndio ukwli auwezi kukubali alafu badae ukatae icho kitu akipo ccm ni wezi me sijawai kupiga kula ila siwezi kupoteza muda wangu kwenda kupiga kula wakati ccm wezi

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 หลายเดือนก่อน

      Kura yako moja inaweza kuleta mabadiliko.

  • @JohnLaurent-n3b
    @JohnLaurent-n3b หลายเดือนก่อน +2

    Ulemsemo uliye sema hukumu hapa duniani

  • @IJUEMITAATV
    @IJUEMITAATV หลายเดือนก่อน +1

    Huyu kapumzishwa ila atarudishwa tu kwa mfumo

  • @witneskilinda5034
    @witneskilinda5034 หลายเดือนก่อน +1

    jerry hakupaswa kutolewa kwenye wizara ya ardhi

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 หลายเดือนก่อน +1

    Magufuli hakuwa mjinga alivyowatumbua mama akajifanya ana huruma. Hawa wanachafua makusudi wapate sababu ya kuunda chama kingine pumbavu zao! Kwanza Hawajui kuongoza na hawana busara walipata vyeo kutokana na heshima za wazee wao

  • @starjay3052
    @starjay3052 หลายเดือนก่อน +1

    ccm awajawai kushinda kialali ata siku moja nape kanyosha kila kitu yani ukweli ndio uwo

  • @isamony58
    @isamony58 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu ingekuwa kipindi cha magufuli saizi hana kazii

  • @lulurubby2235
    @lulurubby2235 หลายเดือนก่อน +1

    Mlevi hawezi kuwa kiongozi

  • @michaelnehemia4932
    @michaelnehemia4932 หลายเดือนก่อน

    Safi Sana mama kwakufuza Hawa watu bado mmoja

  • @AbubakariBausi-zd6xf
    @AbubakariBausi-zd6xf หลายเดือนก่อน

    Raisi Asante Sana uyu nguluw hatukuwai Wa Tanzania kumpenda hata kidg ntaludi CCM kama uyu nguluwe atokuwa na mbunge wala waziri

  • @user-br1mf8bc9q
    @user-br1mf8bc9q หลายเดือนก่อน +2

    Yani baadhi ya ccm wenzetu wanatuabisha

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 หลายเดือนก่อน

      Sijui hawa watu wamelishwa nini

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 หลายเดือนก่อน

      Anajiaibisha mwenyewe!! Laana inamuandama na bado....aliombaga msamaha kinafki... Mungu hamfichi mnafki

  • @brunopeter9776
    @brunopeter9776 หลายเดือนก่อน +1

    Haina haja kupiga kula bas

  • @wilsonuhenge1926
    @wilsonuhenge1926 หลายเดือนก่อน +1

    Ameonewa kiukweli, alikuwa ameerewa hajarewa

  • @user-fq3bf4cd1s
    @user-fq3bf4cd1s หลายเดือนก่อน +1

    Fridge haligabdishi ubaya ubwela

  • @valentinolema8077
    @valentinolema8077 หลายเดือนก่อน

    Nampongeza sana raising Samia kwa hilo

  • @abdallahmanula1627
    @abdallahmanula1627 หลายเดือนก่อน +4

    Samia bado mwigulu una agenda gani na mwigulu?

  • @briankatani6770
    @briankatani6770 หลายเดือนก่อน

    Ulevi wa madaraka huo.Safi sana kumrudisha nyumbani

  • @user-sh6ch6ex1h
    @user-sh6ch6ex1h หลายเดือนก่อน

    Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu.. usiogope ya mwilini. Rohoni we ni mshindi...

  • @homeandaway2811
    @homeandaway2811 หลายเดือนก่อน +1

    TUNAKOELEKEA MAKONDA ANAWEZA KUWA WAZIRI 😂😂😂 DAAAAH hatari na nusu

    • @GeofreyKalo-ot3we
      @GeofreyKalo-ot3we หลายเดือนก่อน

      Makonda mwenyewe yupo kwenye danger utakuja juona

  • @maryhaule5625
    @maryhaule5625 หลายเดือนก่อน +1

    Umelewa madaraka Ovyooooo

  • @tidomilinga3750
    @tidomilinga3750 หลายเดือนก่อน +1

    Dhambi haifichiki

  • @FadhiliMwaitete-ls2li
    @FadhiliMwaitete-ls2li หลายเดือนก่อน +1

    Hii habali ya nape imewamsha upinzani kuwa macho na chaguzi ccm imesha bainika kuwa nikweli wezi wakura kwakuwa nape kuwa lazima kura tuibe ili tushinde sasa wapinzani wamejipanga kwa lolote nape umeamsha popo namimi nasema safari hii lazima ccm ikae vizuri mkiiba tu kura mjuwe machafuko mmeyakalibisha nape kafanya vizuri kuyasema maovu yote ya ccm kuhusu chaguzi amna usalama hapo sasa nivita tu watendaji mjiangalie nyiye ndiyo walengwa na walimu na mapolisi ndiyo mnao chakachuwa kura mkitumwa na ccm safari hii lolote litatikea mkidiliki kufanya huwo uchafuwenu

  • @mselemsaidmwananyanga3228
    @mselemsaidmwananyanga3228 หลายเดือนก่อน +1

    Kucha mba kwingi mwisho una shika mavi

  • @starjay3052
    @starjay3052 หลายเดือนก่อน +3

    sababu ata nisipopiga wanashinda why nipoteze muda wangu

  • @vincentcharles4385
    @vincentcharles4385 หลายเดือนก่อน

    Mama bora umemtoa huyo shoga,safi sana Madam president.

  • @gladistaemanueliy6336
    @gladistaemanueliy6336 หลายเดือนก่อน +2

    Mwizi wewe kumbe kweli mlikuwa mnaiba

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 หลายเดือนก่อน

      Kwa hii Kauli sheria inasemaje endapo watashinda??

  • @JeremiahMwakanyamale
    @JeremiahMwakanyamale หลายเดือนก่อน

    uo ndoukwer,,mama hapendi2 liwewazi lakini ndivyo lilivyo sikuzote,mpaka kigogo kutoka na kusema hayo ndivyoyalivyo.

  • @lovely-mq4rg
    @lovely-mq4rg หลายเดือนก่อน +2

    Nape likubwa la mwili akili halimna,kumchagua tn mbunge atatetea usenge

  • @user-hq5qx1hu2x
    @user-hq5qx1hu2x หลายเดือนก่อน +1

    Kwa watu wasio na ufahamu watamraumu nape kwa kusema ukweli

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 หลายเดือนก่อน

      Na watampeleka tume ya maadili.

    • @AbdulLiumbo-gz2qs
      @AbdulLiumbo-gz2qs หลายเดือนก่อน

      Nape mkweli siku zote ila watu huwa wanaona anatania ila kaamua kusema kweli

  • @mganyizirubogorwa6932
    @mganyizirubogorwa6932 หลายเดือนก่อน +1

    Nape ni mkweri akusema uongo

  • @sethkavenuke6401
    @sethkavenuke6401 หลายเดือนก่อน +1

    Nape mkwrli sana,sema kosa lake kutoa siri kali n nyeti

  • @evaristjoseph8151
    @evaristjoseph8151 หลายเดือนก่อน

    Nikweli kbs nape:::: Rudi mtama ukale halali Yako!!!!

  • @SteveMsemakweli
    @SteveMsemakweli หลายเดือนก่อน

    Pole yake

  • @BakarNasoro-fq4sc
    @BakarNasoro-fq4sc หลายเดือนก่อน

    Mama naomba umrudishe huyo waziri wa Ardhi kwenye nafasi yake,,🎉🎉

  • @user-vc8cc2pt7n
    @user-vc8cc2pt7n หลายเดือนก่อน

    Samia km nanza kumuelewa vile Hawa ndio wamemchafua sana raisi samia

  • @user-br1mf8bc9q
    @user-br1mf8bc9q หลายเดือนก่อน +1

    Hivi mh ulikua umelewa?

  • @wilifredmollel9690
    @wilifredmollel9690 หลายเดือนก่อน +1

    angeshtakiwa kwa kuongea maneno ya kichochezi

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 หลายเดือนก่อน

      Wale wasiojulikana walikuwa wapi?

  • @annamwakibinga527
    @annamwakibinga527 หลายเดือนก่อน +1

    Ovyooooooo kabisa huwezi amini kama kweli ni wewe unaongea

  • @JosephManala
    @JosephManala หลายเดือนก่อน +1

    Fyuuu watu wa jimbo mtama amkeni jizi

  • @JonasPhilimon
    @JonasPhilimon หลายเดือนก่อน +1

    Inanikimbusha ule msemo mwanangu chunga ulimi wako kuliko vingine

  • @magrethpaul5959
    @magrethpaul5959 หลายเดือนก่อน +3

    Mdomo ulimponza kichwa😢

  • @user-ku1rg7mr3i
    @user-ku1rg7mr3i หลายเดือนก่อน

    Huyuh mama bora kwenye uwaziri wa habari na mawasiliano angeweka jiwe tyuh lakin huku kwenye ardhi amearibu kumtoa huyoh jamaah

  • @rizikiminga3010
    @rizikiminga3010 หลายเดือนก่อน +2

    Katoa siri za chama chake😂😂

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 หลายเดือนก่อน +1

      Ndo maana wamemtupa nje, katoboa siri hahahaha aibu tupu CCM haijawahi kushinda wanaiba kura tu!

    • @AbdulhaamidSoud
      @AbdulhaamidSoud หลายเดือนก่อน

      Halikuwa Siri wanaiba mchana kweupeee udhahid ni 2015 Zanzibar na 2020 Tanzania nzima

    • @nantaembanusurupia5674
      @nantaembanusurupia5674 หลายเดือนก่อน

      Amesahau kiapo "sintatoa siri za serikali "

    • @marcokaroje8980
      @marcokaroje8980 หลายเดือนก่อน

      Yees amekiuka kiapo chake na amevujisha siri za vikao vya chama katika kupata ushindi haramu katika chaguzi mbalimbali​@@nantaembanusurupia5674

  • @vanessastafford6426
    @vanessastafford6426 หลายเดือนก่อน

    Ni kwamba watanzania tumelala, huu ndio ukweli wa kila chaguzi miaka yote.

  • @ramadhanimohamed4190
    @ramadhanimohamed4190 หลายเดือนก่อน +1

    Nina miaka 33 ilaa cjawai kupiga kura

  • @MussaAbdallah-z6e
    @MussaAbdallah-z6e หลายเดือนก่อน

    Hee😮

  • @simonmalegesi414
    @simonmalegesi414 หลายเดือนก่อน

    Mama yupo makini🎉🎉🎉🎉