Carlos N Tz ft Lizy Lee-Ronaldo au Messi (Official Audio)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
- 🎶🎉 Habari njema kwa wapenzi wa muziki wangu! 🎉🎶
Nawakaribisha nyote kuusikiliza wimbo wangu mpya, "Ronaldo au Messi," Wimbo huu unachanganya soka ,mapenzi na muziki, ukileta msisimko na furaha kwa kila mmoja!
Kwa mashabiki wapya, napatikana kwenye Instagram, tafadhali nifuate @carlosn_tz ili kupata habari mpya, matukio na nyimbo zangu za hivi karibuni.
Asanteni kwa kuendelea kuniunga mkono. 🙌🎶💖
0:38 ❤❤❤❤❤❤❤❤
Hongera sana kwa nyimbo nzuri iliyojaa tafsida ya hatari.Bonge ya songi
hongera sana nyimbo ni kaliiiiiiiii
Chumaaaa pwaaaaa kaka unajua na Mimi Ni shabiki wako mkubwa.Gabi hapa
Kali sana kaka
Ngoma Kali sana
Huu wimbo paka nimeupata nakutana nao kila bar unamdundo huo bwana yangu anaupenda mno
💣💣💣💣umeuwa braza Messi🔥
Hongera sana Carlos N Tz amini kwamba wewe si msanii mdogo 🔥🔥🔥
Booooom pupupuuuuum...kali sana hii ngoma 💯💯💯
Ngoma kali
Haya ndio magoma tunayoyataka.We ni Messssssss
Ahsanteni sana wadau wangu kwa support mnayonipa.Hii ngoma video yake iwe vipi?nasikiliza maoni yenu .....nataka video simple
🔥🔥🔥
Hahaha huku nakupima pumzi ya puani Jana usiku nimemwambia Dj rudia nyimbo hii naomba number yako nikupe tip
Hatar ngom kar mno
Ahsante sana
💥💥💥💥💥💥💥💥🔥
Lizy Lee mwenye moyo wake na uwezo.🎖️🥇
Ni carlos n tz umeuaa
Thanks
Naona goma letu atimae limetoka
Yeeeees Jona
We ndo bingwa wa kuyatafuta.......💦
Madini yanajuana hahahahhaha umetisha Grey🫡🫡