Uwaa ( Official Music Video) lizy lee
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- #lizylee#Uwaa#Banger#NgoniQueen
Video Directed by Joowzey.
Audio Produced at Sgizo Music Ukonga Masika by Johdeny.
Mixed and Mastered by himself @The Mixing Killer
Follow Lizy Lee on instagram @ Lizylee_tz
Facebook @ Elizabet Elnest
Lizy Lee is signed by @Sgizo Music Label
all right reserved by Management
Song Lyrics
Aaah! With badman Johdeny
Lizy
It's a bad killer Johdeny
Uwaa! Uwaa! Uwaa! Uwaa! Uuh!
Uwaa! Uwaa! Uwaa! Uwaa! Uuh!
{VERSE1}
Mbona wenge sijalewa na yumba eeh!
Nimedata na kaboy si sebure ni chumba eeh!
Lete moja nigonge we mama muuza eeh!
Mi nataka nimchane asije kupuuza eeh!
{BRIDGE}
Kama nikimpata tutagandana!
Nitaupiga mwingi kama maradona!
Kwenye jicho anichochee!
(Hayaweeee!!)
Nami nimpe yotee!
(Hayaweee!)
Akipanda asishukee!
(Hayawee!)
Adi ngoma ipasuke
(Hayaweee)
{CHORUS}
Uwaa! Uwaa! Uwaa! Uwaa! Uuuh!
(Kama kitonga akishuka ntashuka nae!)
Uwaa! Uwaa! Uwaa! Uwaa! Uuh!
(Kwenye ganda la ndizi nteleze na yeyee)
Uwaa! Uwaa! Uwaa! Uwaa! Uuh!
(Kama nikifo akifa ntazikwa nae! )
Uwaa! Uwaa! Uwaa! Uwaa! Uuh!
(Kwenye kilio akilia ntalia na yeyee!)
{BEAT.......!🎶}
{VERSE2}
Yani ana kibody, akivaa kidosi kama ameniroga rogaa!
Anaponusa pochi, mana kwake sitoki akili amevuruga ruga eeh!!!
Au nimpe mazima nimteke, tena niongeze makekee, au niende kwa sangoma nimkesheee! (oooh! Nimkeshee)
Yani nitajibana ama nikope mambo flani zigzaga kama juice cocktail
Nitapambana nimlizishe, dua nyingi kwamungu safari tufike
{BRIDGE}
Kama nikimpata tutagandana!
Nitaupigamwingi kama maradona!
Kwenye jicho anichochee!
(Ayaweee!)
Nami nimpe yotee!
(Ayaaawee!)
Akipanda asishukee!
(Ayaweee!)
Adi ngoma ipasukee!
(Ayaweee!)
{CHORUS}
Uwaa! Uwaa! Uwaa! Uwaa! Uuh!
(Kama kitonga akishuka ntashuka nae!
Uwaa! Uwaa! Uwaa! Uwaa! Uuh!
(Kwenye ganda la ndizi nteleze nayeye)
Uwaa! Uwaa! Uwaa! Uwaa! Uuh!
(Kama nikifo akifa ntazikwa nae!)
Uwaa! Uwaa! Uwaa! Uwaa! Uuh!
(Kwenye kilio akilia ntalia na yeyee!)
(Mama muuza wee !!)
It's a bad killer Johdeny
The mixing killer..!!!
Sgizo music beibiiiiii
Venye nitakuwa wa kwanza kuView🤗🤗🤗🤗
Tunalisubiriii
Kaaaliii
Mama hatare
Ngoma kali umetisha
Achia dude iloo
Ngoma poa Sana
Hii hatariiiiii
Ngoma kali
SKIZA SAUTI TAMU
Hii iko kimataifa🙌🙌🙌🇹🇿
🙏😍
Nyimbo y'ako nzr I wish naww unasauti nzr unaimba vizuri
Jamani eee nikiwa na kilizangu timamu lizy lee ndo msanii bora zaidi was like Tanzania 🔥🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🙏🙏
Tatizo cjui kucheza cjui nikutumie video😼😼😼au ninyamaze nayo
Club banger ya hatari.
Ila wadada Wana viuno laini jamani dooh❤❤❤❤
Moto sana 💙✔😍
You nailed it kuanzia chupa mpk wimbo wenyweee 🔥🔥🔥🔥 club banger moja nzurrr
waiting at 07.00 kwa hamu
Nani anaangalia hii 2024🔥🔥🔥🔥
Kama umeikubali hii ngomaa weka like twende sawa
Vocal ipo kazi nzuri
tutakuwa macho muda huooo mapemaaaa
Uwaaa uwaaa 🔥🔥🔥🔥🔥
heeeeeeh hiyo beat imeweza. Alafu Lizy Lee akaimuurderrrr
🔥🔥🙏
Kaliiiiiii
Ngoma kali sana kiukweli sichoki kuisikiliza nakuona mbali sana my sister #Lizylee🔥🔥🔥
Go my Girl Goooooo🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🙏
Unaimba vzurno jaman naipenda Sana hii nyimbo
asante sana
Kutoka sns
Safi sana dada ake...
Video kaliiii, ya 💥💥
Mau,,,Maufundi Daaah Kweli Anafaidi,,,,,,,,
Nimeletwa na haluna niyonzima
Karibu😊
Kutoka kondegang from South African Dc mwijaku kanifikisha hapa Kip going sister
Thanks 😍
Your FAN FROM KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪♥️♥️🇰🇪🇰🇪🌠💫♥️♥️
Thanks 😊
Ngomaa mzm ww
love from UGANDA
Unajua umetisha nakuona mbali yani kama sio mgeni kwenye gemu nakuona mbali sana myaka kazaa ijayo.
🙏
Huja kurupuka umezamilia ndio maana una pendwa una swaga za mziki
Woooow video kali sana da lizzy nakupenda sana
kama na wewe unasubiri ngoma kama mimi naomba like
😊😊
Lizy Umetishaaaa✨
Lizz lee kama lizz lee🔥🔥🔥 saut unayo.. then unajua sana mdda
Mung afany wepec katka kaz zako utimize ndot zako
Asante🙏🙏😊
My fevorite Kenyan love here
Thanks hope you have subscribed in my channel
@@lizy9569 yees lasima, looking forward for more of this
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🙏🔥😊
Banger
🔥🔥
😁😁😁😁view namba nne nipo apa kali
👏👏
La kusema sina Ila Jowzeey kaua kinoma
Bonge la nyimbo hili kali sana 🔥🔥🔥🔥
Thanks
wewe lizy amsha muda huu tunahamu na video
video Kali nice song
🔥🔥🙏
Hongera
Asante mwanangu neapple
Ya Motoooooo🔥🔥
maphe kama Maphe
🔥🔥🔥
Pesa 2
🔥🔥🔥🔥❤❤
Tulio letwa na sns tujuane apa
karibuni sanaaaa, nawapenda SNS members naomba support yenu kusubscribe,comments,like etc Mungu awabariki
under rated !
🥰
Chupaaaaa la Kibabeeee ✔✔✔✔✔✔✔✔✔✔✔✔
Acha tu niku subscribe tuuu... Ni kama umeniroga
Nataman sikumoja nije fanya ngoma moja na ww dada lezy naomba namba yako tufanye kazi dada yangu
Gongeni like kwngu
Nipo Austraria lakini nakupata vema we mdada.. Unajua mno
🔥🔥🔥🔥
Kaliiiiiii
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Thanks Kisso